Asante YEHOVA kwa Kumponya Mzee huyu. Mungu azidi kukupa Moyo wa ushindi na kila Leo Ktk Jina la Yesu. Nami Napokea Nguvu ya Roho Mtakatifu ikae ndani yangu.Amen
Namshukuru Mungu aliyenionesha ushuhuda huu. Nami nakiri YESU NI BWANA. Mateso hayatainuka mara ya pili. Sifa, heshima na utukufu kwa Mungu wetu aliye mwaminifu.
Asante Yesu ubarikiwe Rev.Dr.Eliona Kimaro. Jina la Bwana libarikiwe.
Safi sana mtoto wang mungu akubarik sanaaa
Mungu naomba na mimi unitendee muujiza kama huu juu ya babu yangu Emanuel na yeye apate kuona
Asante YEHOVA kwa Kumponya Mzee huyu. Mungu azidi kukupa Moyo wa ushindi na kila Leo Ktk Jina la Yesu. Nami Napokea Nguvu ya Roho Mtakatifu ikae ndani yangu.Amen
Amen Amen.
Neema imenuliwa kwa wote.
Ni sisi kuwa tayari kuipokea.
glory to God
Sifa utukufu na heshima ni kwa Bwana.
Hallelujah!!!!
Asante Jehovah Rapha kwa uponyaji huu Bwana!!!
Ameni at Mimi napokea uponyanzi kutoka Kwa iyo kanisa kanza toika katika jina ka yesu ameni
Bwana asifiwe baba nami napokea uponyaji kwajina la yesu
Baba naomba uniombee macho yananisumbu a nakoo baba
Amen🙏🙏🙏
Kwa Yesu rahaaaa forever,sitoki Kwa YESU
School of healing powerful 💪💪💪 Yes ni mkono wa Mungu
Wamevaa sare na Pastor mlee huyo Mjuukuu wako huyo❤ powerful 💪
Namshukuru Mungu aliyenionesha ushuhuda huu. Nami nakiri YESU NI BWANA. Mateso hayatainuka mara ya pili. Sifa, heshima na utukufu kwa Mungu wetu aliye mwaminifu.
Mungu Baba Mwenyezi ni mwaminifu hakika. Amina
Amen 🙏
Mtumishi ninayekupenda
mtumishi nafuatilia maubiri yako sana upo vizuri mungu akuongezee mafuta ya upako zaidi
Babangu natembea na upako wako.Niko full
Amen sana Antony
Hakika Yesu ni Bwana!
Ameeeen, ubarikiwe baba Mch Eliona kimaro,nabarikiwa kutoka songea
Mungu ni mwema Asante yesu
Yesu Kristo ni Bwana.
Mungu ni mwema Sana ametenda maajabu
Halleluyaaaaa Yesu ni Bwana
Sifa na utukufu na Heshima upewe wewe Baba Mungu.
Hallelujah!
Mungu akubariki mtumishi WA mungu
Mtumishi muombee mwanangu apone kanss
Ee Mungu mtoto huyu na awe Mikononi mwako daima.😍😍😍
MUNGU ni mwema...kwa kweli huyo mtto ameniliza sana...MUNGU azidi kumuinua zaidi
Mungu wewe ni Mungu usiyeshindwa
Amen and Amen
Honor and Glory go back to Jesus Christ 🙏
MUNGU NI MWEMA SANA AKUBARIKI SANA
Glory be to our mighty God 🙏🙏
Mungu ni mwemaaa sana,hashindwi jambo!
AMEN
Ameeen Ameeen 🙏🏻🙏🏻
Nami nabarikiwa sana pongesi mungu mkuu atukuzwe
Hallelujah
Mungu ni mwema siku zote na hana upendeleo
Jehova is fireee,Glory to my Almighty God
Kweli Mu,ngu akisema ndio ni ndio
Yesu daktari
What a coincidence, wamevaa Nguo za kufanana?? Glory be to God. Mchungaji Ubarikiwe sauna. More Anointing and more blessings. Amen.
GLORY TO THE MOST HIGH GOD
Ameen
Mungu nimwema asante
Baba
nmelia jaman oooh mchungaji Anton
yesuuuuuuuu anawezaaa yoteeeee
Mungu anafanya Mambo ya ajabu sana
Glory to God
Mungu ni Mungu tu
Amina
😭😭😭😭God Is Real
Amen amen Glory to almighty God
mungu awabariki caaaane mucungaji basi mimi ningekua mutanzania
Heshima na utukufu ni kwake MUNGU wetu🙏🙏
Hakika yeye ni Mungu asiyeshindwa
Sifa nautukufu zirudi kwake mungu
Amen sifa na utukufu ni kwako jehova
Ameen utukuzwe mungu uliye mbinguni
kwa Yesu kuna raha
Hallelujah 🙌🙏
Amen sjhalom
Halleluyaah🙌🙌🙌🙌
Hakuna kama yesu wa mbìnguní.
Jina la jesus lina nguvu amen thank to God
God is Real
😊Antony ❤
Ameeeeeeen
Halleluya sifa na utukufu tunakuludishia kwako mungu wetu
Jaman nimemis ibada za mchungaji kimaro
Ni Yesu amekuponya ili umtumikie
mashallha
Eeeeee...Mungu nimelia juu ya huyu mtoto.
Glory be to God
Amen
Amen Yesu amefanya!
Amen 🙏 Yesu ni mwema
ameni
Hakuna kanisa la mtu kanisa ni la Kirsto sema kusanyiko lenu ubarikiwe mtumishi
Yesu ni Bwana!
Daaa aisee mpaka nimelia
HALLELUJAH
yesu ni bwana
Aisee mtoto kajua vitabu vyote daa!!
Aaamen
Mungu ni Kila kitu kwetu hata wabishi wachawi walio ingia mia 666 kutuaibisha Bado Mungu atabatilisha mauti
Miraculous! Glory to God 🙏
JESUS IS EVERYTHING.
Jesus jaman mama usitoe mimba dah😭
SIFA NA UTUKUFU KWA MUNGU WETU
Aiseee raha mtupu.. Huyoo ni Mchungaji kabisa!!!
kwa yesu kuna raha
Mmmm..nikiskia hivi jamani kwa Yeau sing'ooki!!
Mungu akubariki mchungaji kimaro
Shikilia huyu mtoto Mungu amempatanisha kwako
Mungu tenda na kwangu pia
Hakika atatenda...
Halleluyaa!
HALLELUJAH!
amina kubwa
8
munguuu yu mwema amefqnya miujizaaa ubarikiweee
Mwache mungu aitwe mungu.
Hakuna jina lipitalojina la yesu.ndiye mkuu kuliko wote ispokua mungu.
Glory be to God