Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Mdogo wangu makonda unanifurahisha Sana hizi family za kifungaji zinashinda Sana Mimi na ndungu zangu hatujawahi kupata Chochote kuhusu mali za baba yetu inauma Sana.
Nimfano wa kuigwa huyu kijana utendaji wake.nchi hii ingepiga hatua na mungu ange ibariki kuliko sasa kunabaraka said ya hizi tukisimamia haki.kwauchache wangepatikana wakuu wamikoa 15 having dah nchi hii ulaya ingesubiri.
Hii HAKIKA inaonyesha ni jinsi gani system ya nchi ime collapse. Wanaopewa dhamana ya kusimamia matatizo ya wananchi hawatekelezi majukumu yao. Sasa ni wa ngapi Tanzania wapo akina Paulo Makonda!!!!!!!?.Na Makonda hana muda mrefu tangu ameteuliwa baada ya kifo cha Magufuli, alikuwa benchi..INATISHA SANA. Rais Samia ungeliona hili mapema nadhani utawala wako usingekuwa na doa kama ilivyo hivi.. .
Sana adui mnyongeni lkn haki yake apewe anaifanya kazi kijana wa wtu na wananchi wanayao matatizo kibao hawajuwi wayamwagie wapi matatizo yao hongera Paul Makonda🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Ila ifike pahala serikali itoe tenda ya maji kwa makampuni ya nje haiwezekani miaka 60 ya uhuru watu hawana maji...Hao watumish wengefanya kazi kama makonda kufutilia swala la maji mbona kero zingeisha...is too much maji maji ..
Hivi wakuu wa Mikoa mingine wao wanajisikiaje wakiona mwenzao Mkuu wa Mkoa wa Arusha jinsi anavyofanya kazi nzuri??wakuu wa Mikoa wengine unawaona tu na kuwasikia mpaka viongozi wakuu wakitembelea Mikoa yao.hivyo wanafanya kazi kiunafiki.waige na kujifunza kwa Makonda.

😢q😢
Wanaosema taarifa ya habari Ni Arusha kwa Jembe Makonda naomba like
Makonda oyeee , makonda juuu juuu kabisa
Makonda kiboko ya wote mungu akubariki na uongezewe cheo na maisha marefu.
Big up Makonda mungu akusimamie ww ni mzalendo kama Magufuli
Hongera sana makonda kwakazi nzuri nenda nakigoma baba
Makonda Yuko vizuri kikazi
Mungu akubaliki sana mkuu wa mkoa damu ya yesu ikufiche adui asikupate kwajina la yesu kristo aliye ai
Mdogo wangu makonda unanifurahisha Sana hizi family za kifungaji zinashinda Sana Mimi na ndungu zangu hatujawahi kupata Chochote kuhusu mali za baba yetu inauma Sana.
Kwakweli arusha mmebarikiwa sana kupata mtu kama uyu mungu kawapendaraa
Nimfano wa kuigwa huyu kijana utendaji wake.nchi hii ingepiga hatua na mungu ange ibariki kuliko sasa kunabaraka said ya hizi tukisimamia haki.kwauchache wangepatikana wakuu wamikoa 15 having dah nchi hii ulaya ingesubiri.
viongozi wa Tanzania ,igeni uchapa kazi wa Makonda ukweli Mungu atamsaidia
Ukimtegemea Muñgu hakuna kinashindikana
Chapa kazi makonda hoyeeee
Mkoa wa Arusha mnabahati ya kupata mkuu wa mkoa mwenye kusimamia haki bila kubagua
makonda mungu akutanglie mpambanali mlisi wa makufuli
Mugu akubalik kwa utendaji
Njooo sekeiii pia mzeee kumbuka Arumeru kaka
Ni jinsi gani wananchi wanavyoridhishwa na unavyosimamia mkoa wa Arusha
Mh Njoo siku vijiji vya Mbuyuni na Naiti siko Kata 🎉🎉🎉🎉Makuyuni (Monduli
Mkuu makonda ukimalixa nenda meru tengeru,sangis Barabara mbovu sanaaa kwenda kimundo ndoombo.
Sijui wakuu WA mikoa wengine Tunajifunza Nini kupitia Kwa MH makonda
😂😂❤❤❤makonda
Una akili nyingi Sana
Hii HAKIKA inaonyesha ni jinsi gani system ya nchi ime collapse. Wanaopewa dhamana ya kusimamia matatizo ya wananchi hawatekelezi majukumu yao. Sasa ni wa ngapi Tanzania wapo akina Paulo Makonda!!!!!!!?.Na Makonda hana muda mrefu tangu ameteuliwa baada ya kifo cha Magufuli, alikuwa benchi..INATISHA SANA. Rais Samia ungeliona hili mapema nadhani utawala wako usingekuwa na doa kama ilivyo hivi.. .
Sana adui mnyongeni lkn haki yake apewe anaifanya kazi kijana wa wtu na wananchi wanayao matatizo kibao hawajuwi wayamwagie wapi matatizo yao hongera Paul Makonda🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Makond akitumua watumish
Ardhi ardhi ardhi itawapeleka matajiri motoni
This is Takataka😂😂😂
Ila ifike pahala serikali itoe tenda ya maji kwa makampuni ya nje haiwezekani miaka 60 ya uhuru watu hawana maji...Hao watumish wengefanya kazi kama makonda kufutilia swala la maji mbona kero zingeisha...is too much maji maji ..
Hahaaaaa mtu wa Camera Chaliiiiiiiiiiii 😅😅😅😅 Huyu Mzee ni KIBOKO kajipanga Kinoma...Duh hata Kanisa mnanyanyasa walemavu..? Khaa
😂😂😂😂et anapaka nini shida sauti tu kama dume
kamnda
SHIDA NI KUBWA WASAIDIWE JAMANI WAZEE WETU HAWA
Hivi wakuu wa Mikoa mingine wao wanajisikiaje wakiona mwenzao Mkuu wa Mkoa wa Arusha jinsi anavyofanya kazi nzuri??wakuu wa Mikoa wengine unawaona tu na kuwasikia mpaka viongozi wakuu wakitembelea Mikoa yao.hivyo wanafanya kazi kiunafiki.waige na kujifunza kwa Makonda.
Wakuu wa mikoa wengine kazi yao ni Kupiga Madili..Muacheni MAKONDA awe MWAMBA bhana.
Maboya wanakazi ya kula posho tu
Lema alikuwa anamchafua or muuaji or nn ila sasa Arusha mseme makonda vibaya ujue una kesi ya kujibu kwa raia