🟢LIVE: MAKONDA AWUWASHA MOTO IRINGA ANASIKILIZA KERO ZA WANANCHI MUDA HUU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 ноя 2024

Комментарии • 128

  • @Dorka12-n7b
    @Dorka12-n7b 5 месяцев назад +3

    You're a God fearing leader be blessed makonda and live long I wish ningezaliwa Tanzania hongera makonda wewe ni Suleiman katika bibilia

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 5 месяцев назад

    Asante Mheshimiwa Makonda Mungu akuongezee nguvu na uwezo wa kuwatumikia wanyonge na hasa Wazee sababu Wazee waliitumikia Nchi mpaka hapa tulipo leo ubarikiwe

  • @yunistinatemba9466
    @yunistinatemba9466 9 месяцев назад +2

    Mungu akupe maisha marefu mheshimiwa MAKONDA mtetezi wa wanyonge

  • @mariaawet6499
    @mariaawet6499 9 месяцев назад +2

    Hongera.sannna.mungu.azidi kukulinda makonda

  • @jamesmongelwa8625
    @jamesmongelwa8625 9 месяцев назад +2

    My brother Paul you are wonderful, powerful man of God Nakushushukuru sana vita unayopigana ni pana beyond your capacity Mungu akıwa na wewe Kazi tumeweza ila kero siyo kwa hao tu hata mimi Niko na kero zangu japo Niko ughaibuni ukipendezwa unaweza nipa Namba yako nikupigie tuongee maana kero yangu ni kubwa kuliko unavyodhani

    • @RamadhanmasolwaNkwabi
      @RamadhanmasolwaNkwabi 2 месяца назад

      Makonda Mungu akulinde lakin pia naomba uwe rais uiongoze nchi ye2 naamini litakuwa ni jambo jema zaidi

  • @JumaShimende
    @JumaShimende 9 месяцев назад +5

    Hakika mungu hashindwi mungu yupo mile na mile hali Wala hasinzii.binadamu huwezi kushindana na Alie kuumba.kamchukua maghufuli katuletea maghufuli mwengine hakika wembe ni uleule.marehemu Kombat sikumuelewa vema kipindi kile Kwa tunzi yake hiyo.Sasa ndio napata maana halisi ya wembe ni uleule ooniuleuleee.makonda chapakazi na mwenyez mungu akulinde insha Allah.mama Samia rais wetu asante kwakutuletea kijana huyu chapa kazi tuko pamoja nawe na mungu akulinde mama yatu.🤲🤲🤝🙏

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 5 месяцев назад

    Danke Mheshimiwa Makonda wanyoshe hao wanaotumia nguvu na kuwaangamisha Wananchi asante

  • @AMIRIMAGWADA-o9b
    @AMIRIMAGWADA-o9b 9 месяцев назад +1

    Ndugu yangu Makonda mwenyezi Mungu akujalie afya njema hakika mitano tena mitano kwa Dr Samia kazi iyendeleeee

  • @KabiyonaWabibonye
    @KabiyonaWabibonye 5 месяцев назад +2

    Makonda baba mungu akubariki shapa kazi una stahili

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 9 месяцев назад +1

    Asante Mheshimiwa Makonda huwo ndio wongozi wa haki kwa Wananchi

  • @fatemafatema4780
    @fatemafatema4780 4 месяца назад +1

    Makonda oyeeee ,mama samia oyeee hongereni sana,mambo Mambo mazuri saaana .

  • @LeonidaGasper-t6w
    @LeonidaGasper-t6w 4 месяца назад

    Mungu akubariki sana makonda👏👏👏👏

  • @mohamedwwnurumasagcom8171
    @mohamedwwnurumasagcom8171 9 месяцев назад +3

    Ahsante mama Samia kwa kumpa nafasi paul makonda

  • @peterdaud8905
    @peterdaud8905 9 месяцев назад +2

    Mheshimiwa Paul Christian Makonda mwenyezi Mungu aendelee kuwasimamia ww na Rais wetu Mama Dr. Samia Suluhu Hassan, hakika kwa speed uliyonayo 2025 wapinzani awatakuwa na nafasi... kila hatua Dua.

  • @SelemaniMngozi-k3j
    @SelemaniMngozi-k3j 9 месяцев назад +1

    M/Mungu akulinde katibu wa nec taifa Paulo Makonda watanzania tunaimani na ccm,watanyooka mwaka huu.

  • @scolasticakaduma5143
    @scolasticakaduma5143 9 месяцев назад +5

    Tulikuwa hatuna Serikali tangia JPM ametwaliwa. Sasa tumepata Mungu ametuona Watanganyika. Mh. Makonda Mungu akutunze.Ugendela Uludodi Ulumu luladenyekha

  • @Elias-gy8qu
    @Elias-gy8qu 5 месяцев назад

    Yaani kwasababu mumesoma na kubarikiwa kuweni na kazi basi munasahau kua mungu yupo na ni mtetezi wa wanyonge. Alavu mungu anavyo kuja kutetea wasie jiweza uwa atateuwa malaika wa duniani kama vile magufu na makonda hao watetezi wako pamoja na mungu kwaiyo tuwaheshimuni sana

  • @Mwana-d1u
    @Mwana-d1u 3 месяца назад

    Big up kwake makonda mungu amfanyie wepesi maliza arusha wasilishwa tanga ukajionee madudu yaliyopo huko😂😂😂😂

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 9 месяцев назад +1

    MUNGU. AKULINDE WEWE KIJANA. MAKONDA. TUSAIDIE BABA

  • @WilliamMichael-z9d
    @WilliamMichael-z9d 9 месяцев назад +2

    Mhe.Makonda Tusaidie Wengine Tunakufuatilia Hatujajariwa ,Aridhi tumedhurumiwa Tanzania Nzima ,Kesi Za kubambikiwa ,Wat u Tunaisha.

  • @Mwana-d1u
    @Mwana-d1u 3 месяца назад +1

    Ccm oyeeeeh❤❤❤❤

  • @StanLion-en8nb
    @StanLion-en8nb 9 месяцев назад +3

    Umetishaaa makondaaa

  • @banguha
    @banguha 9 месяцев назад +1

    Mungu ameweka Neema ya uongoz ndani yako haijalish utapingwa utashushwa ila hii neema hakuna wa kuiondoa

  • @vickyshayo7880
    @vickyshayo7880 9 месяцев назад +4

    Mungu akutunze baba

  • @estermhangwawambura
    @estermhangwawambura 9 месяцев назад

    Mungu akibariki makond kwa kuwasaidia walio onewa haki zao na u tinakuombea

  • @SelemaniMngozi-k3j
    @SelemaniMngozi-k3j 9 месяцев назад

    Nakufuatilia kaka yangu Paulo Makonda katibu mwenezi wa nec taifa,kazi iendelee mikoa yote,ufike na Morogoro.

  • @loyakanuda2521
    @loyakanuda2521 9 месяцев назад +1

    Kwa kweli yangu umeanza ziara, nimelia zaidi ya mara 9, si kwasababu ya ushabiki hapana, ila. kwanamna mungu anavyo kuja kivingine pale dhuluma inapovuka kiwango,hongera Rais wetu hongera mdogo wangu makonda❤

  • @SamsonLubeleje
    @SamsonLubeleje 8 месяцев назад

    Sawa kaka ila watendaji wenye we baazi hawana ukwer kama huku kwetu daa natamani Mungu akusaidiwe ufike wiliya ya chamwino kijiji chadabalo

  • @magretilwoga9212
    @magretilwoga9212 9 месяцев назад +1

    Semaa makonda wapone

  • @dastanjrk1811
    @dastanjrk1811 9 месяцев назад +3

    Hello 🤗 makonda washa moto💥

  • @thomastemu3332
    @thomastemu3332 9 месяцев назад +2

    Makonda hoyee hongera babaa

  • @yonnamgonde3044
    @yonnamgonde3044 5 месяцев назад

    Makonda MUNGU akulinde milele. Na ww ndio Rais wetu ujae. Hata mama mwenywe anafurahi kwa kazi unayo ifanya

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 5 месяцев назад +1

    Jamani kero za Wananchi zanitoa machozi

  • @ZubedaAbdallah-yy6zh
    @ZubedaAbdallah-yy6zh 9 месяцев назад +5

    Nakufatilia saana makonda piga kazi

  • @VenerandaJulias
    @VenerandaJulias 9 месяцев назад +3

    Mungu akulinde baba

  • @LuhgiloKibiki
    @LuhgiloKibiki 9 месяцев назад

    mama yetu samia hukumchaguwa wewe makonda ila mungu alikuelekeza ufanye uteuzi huo usije sikiliza la mtu ukamtengua wadhifa huo utakuwa umeiangamiza nchi na watu wa tanzania muache makonda akuonyeshe yanayo tendeka maovu sana sana

  • @comsmkemwa2671
    @comsmkemwa2671 9 месяцев назад +1

    Aibu sana viongozi kwa viongozi, mzee wa watu, ana haki

  • @HumphreykirutuKirutu
    @HumphreykirutuKirutu 9 месяцев назад +4

    Makonda anafanya kazu nzuri jamani

  • @AlbethaGasper
    @AlbethaGasper 9 месяцев назад

    Baba mungu akutie nguvu hayo majini ya aridhi ni wuaji mako da

  • @jjjohn3988
    @jjjohn3988 9 месяцев назад

    Ndugu Makonda usirudinyuma songambele wa Tanzania tunakuamini, na MUNGU atakulinda.

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 5 месяцев назад

    Mheshimiwa Makonda natoa pole kwa Wananchi wanaonewa na Watendaji wa Serikali bila haki na inasikitisha sana

  • @richardchimba3800
    @richardchimba3800 9 месяцев назад +6

    Yani makonda anakuwa live 😀😀😀 nchi inavituko sana

    • @zaitunirashidi5532
      @zaitunirashidi5532 9 месяцев назад

      Hehhehe wew uyu mtu mzito ww,,,yan yy wako wanakaa na mwenyekit wa chama kujenga we unachukulia poa?? Ambacho hawez ni kuleta fujo Kwa wateule wa rais tu lkn takataka zingine akina sisi anafukuza 😂😂😂😂😂sema naye akipeleka report mbaya Kwa Mkuu kule kuhus wateule wake wanatolewa chap chap

  • @SelciMsijakani
    @SelciMsijakani 9 месяцев назад +1

    Yes uyo ndo Rais wetu myaka ijayo kweli .kwasababu anajali wa raiya wake.

  • @AbdallahMohamedi-y1r
    @AbdallahMohamedi-y1r 10 дней назад

    KULA MTAPATA BILA KUPINGWA CCM JUUUUUUUUUU

  • @frowinmgimba8513
    @frowinmgimba8513 9 месяцев назад +1

    Shilima mwenyewe anatabasamu any time ningekuwa mi ndo magu part 2 shilima ningepiga cm moja hapo hapo shilima hana kazi natumbua jipu alaaaa

  • @MamaAfrica-f7i
    @MamaAfrica-f7i 9 месяцев назад

    Mungu akulinde sana tumepata mrithi wetu

  • @ShajoSailor
    @ShajoSailor 9 месяцев назад

    Makonda

  • @faridahalil4456
    @faridahalil4456 5 месяцев назад

    Mbona camera man ovyo, anatetemesha hatupati kuona view vizuri especially story ya SHIRIMA

  • @amanimyolo1478
    @amanimyolo1478 9 месяцев назад

    Mashaalah alhamdulilah Allah akbar

  • @ZubedaAbdallah-yy6zh
    @ZubedaAbdallah-yy6zh 9 месяцев назад +1

    Mimi nasubiri muujiza wangu wa shamba naamini wewe ni mtu wa mungu na ni mtu wawatu

  • @ellsonmkonyi1319
    @ellsonmkonyi1319 9 месяцев назад +1

    Mungu atusaidie watanzania tujue tunakokwenda

  • @DanielKanithi-n3q
    @DanielKanithi-n3q 9 месяцев назад

    Kwani mambo kama haya hakuna Kenya

  • @OmanState-e6p
    @OmanState-e6p 8 месяцев назад

    Hakika nimelia jmn na huyo mzee 😭😭😭😭😭 kama uhai mdogo unakufa pesa yako hujapata inaumiza Makonda tunakuamini msimamie huyo mzee jmn hawana lolote inamaana wameshindwa kimpigia cm aje ofcn kuchukua pesa zake

  • @SimonLukumay-cw4bd
    @SimonLukumay-cw4bd 9 месяцев назад

    Njoo Arusha Kuna madudu kijijini

  • @Masallah_kulangwa44
    @Masallah_kulangwa44 9 месяцев назад

    Kabisaaa mwenezi chapa kazi motoo wanauotaaa wa jiwe Tanzania hoyeee

  • @hawampate5029
    @hawampate5029 9 месяцев назад

    nchi imejaaa ujinga hii Mungu amlinde huyu mwamba. Viongozi wapo maofisini wanajali matumbo yao

  • @aloyceKimaryo
    @aloyceKimaryo 6 месяцев назад

    Naruka nae INAPOKEA Muujiza wako😅😮😮😮😮

  • @ZubedaAbdallah-yy6zh
    @ZubedaAbdallah-yy6zh 9 месяцев назад +1

    Mh.mimi nimeomba ndoana siombii samaki ndoto yangu ni kufanya kilimo cha bustani na ufugaji ombi langu ni kupatiwa shamba lenye chanzo cha maji kisicho kauka utakuwa umenisaidia pakubwa saana nakuomba saana na mungu akubariki sana

  • @thomastemu3332
    @thomastemu3332 9 месяцев назад +1

    Huyo shirima ni mwizi kila mahali anatajwa

  • @DavidLikavo
    @DavidLikavo 3 месяца назад

    Uyu ni kiongozi wa hekima

  • @SimonLukumay-cw4bd
    @SimonLukumay-cw4bd 9 месяцев назад

    Kiongozi tunakupata vizuri nikiwa timbolo Arusha tutembelee kijijini

  • @JumaNjiku-df1fd
    @JumaNjiku-df1fd 9 месяцев назад

    Mwandishi wa taarifa hii arudi shule kusoma lugha ya kiswahili. Auwasha moto sio awuwasha moto!

  • @juliusmkopekwa336
    @juliusmkopekwa336 9 месяцев назад

    Papa-uponakazi-ngumu-mungu-akusaidie

  • @OmanState-e6p
    @OmanState-e6p 8 месяцев назад

    Shirima, shirima,shirima nimekuita mara tatu jmn wananchi wanalia na ww duuh kiboko 😂😂😂😂 Sasa sijuw hapo Tena utajibu nn 😂😂😂😂😂😂shirima Juma tatu

  • @JoramKaziga
    @JoramKaziga 8 месяцев назад

    Kwa kazi hiyo wapinzani wapumzike TU

  • @EmmanuelSalum-k9v
    @EmmanuelSalum-k9v 9 месяцев назад

    Sawa

  • @MakaayLukumay
    @MakaayLukumay 2 месяца назад

    Makonda jemedari

  • @charlesmugisha6529
    @charlesmugisha6529 9 месяцев назад

    Ayo tv siku izi mmeanza kuferi izo camera zenu zinazingua Sana.

  • @danfordkyando7863
    @danfordkyando7863 9 месяцев назад

    Sasa naelewa ile tamthilita tuliyoisoma kidato cha Tano Kivuli kinaishi

  • @LeonidaGasper-t6w
    @LeonidaGasper-t6w 4 месяца назад

    Natamani hata uwe mkuu wa mkoa wa iringa jamani

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 9 месяцев назад +1

    KAMA JESHI LA MTU MMOJA HIVI JEE WAWE NA MAMA WA TAIFA LA TANZANIA MHE RAIS DKT SAMIA?..WAPINZANI MTASUBIRI SANA KUONGOZA NCHI HII 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @Lodrickmwambene
    @Lodrickmwambene 9 месяцев назад

    Mimi naomba kazi niwe msaidizi wa makonda nisaidie kuwapa haki watanzania aisee makonda kaibuwa mengi Tanzania tunaihitaji kumrudia Mungu kwanza alafu ndio kazi ziendelee unaweza kulia

  • @WilliamMichael-z9d
    @WilliamMichael-z9d 9 месяцев назад

    CCM Nichama Ninakipenda Toka Udogo Wangu ,Lakini Kinamarazi ,Swali Langu, Hawa Watumishi ,Mnawaweka Ninyi ,Hivi Bila Chaguzi Haturusiwi Kusikilizwa Tumedhurumiwa Mashamba ,Mpanda Wamejenga.

  • @MnuwiiItowela-vf1td
    @MnuwiiItowela-vf1td 9 месяцев назад

    Mtakata sana mawasiliano

  • @JumaShimende
    @JumaShimende 9 месяцев назад

    Halafu huyo shirima anavyo simama kaegemea kuniona boss mkubwaaa sana unasimameje hivyo Kwa dharau ungozi hautaki hivyo

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 9 месяцев назад

    😭😭😭😭😭yaani nyie hata khofu ya mungu hawana nyie vijana dhambi hiyooo

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 9 месяцев назад

    💞

  • @JumaNjiku-df1fd
    @JumaNjiku-df1fd 9 месяцев назад

    Makonda nchi hii imeoza kiasi ambacho kuirekebisha ni sawa na kuifanya izaliwe upya! Kwa muda ulionao wewe huwezi kufanya lolote! Huko ulikopita hujamaliza na mengine makubwa zaidi yanaweza kuwa yametokea. Watanzania tunahitaji kuivua gamba nchi. yetu yetu

  • @Elias-gy8qu
    @Elias-gy8qu 5 месяцев назад

    Lakini watu awaogopi kabisa ata ata babu kama uyo wansmudhulimu he jamani watanzania walie barikiwa mumekua na roho mbaya sana na itawakuta watoto wenu kama amujui hilo lijueni basi yaani unavyo mufanyia mwenzako mabaya mungu sana sana analipisha kwa watoto kwaiyo wacheni dhuluma na unyanyazaji

  • @OswardMadege-gd7yo
    @OswardMadege-gd7yo 9 месяцев назад

    Hali hii kweli inaumiza

  • @happybalama3591
    @happybalama3591 9 месяцев назад

    Hapo watumishi kukaa muda mrefu hapo ni shida

  • @asajileraphael1951
    @asajileraphael1951 9 месяцев назад

    Watu Wa ARDHI kila sehm shida sijui shida iko wapi

  • @iddywhitetz
    @iddywhitetz 4 месяца назад

    milard mbona zinagoma goma

  • @HumphreykirutuKirutu
    @HumphreykirutuKirutu 9 месяцев назад +1

    Huyu anafaa kuwa rais au kama vp makamu wa raisi

  • @AaAa-vm8bb
    @AaAa-vm8bb 9 месяцев назад

    Mh.wewe uko poa Mungu akubariki

  • @LuhgiloKibiki
    @LuhgiloKibiki 9 месяцев назад

    mh makonda mlandizi msufini kuna tatizo watu tumehalibiwa mashamba na mazao na watafiti wa mafuta tangu 2021 walisema wameluhusiwa na raisi na watatulipa hawajatulipa na hakuna dalili za kulipwa tunaomba msaada

  • @zawiaissa8912
    @zawiaissa8912 9 месяцев назад

    duuh watu jamani zuluma nyingi

  • @GracePaschal-h8w
    @GracePaschal-h8w 9 месяцев назад

    Ila huyo kamonga na shirima waangalie sana mkuu

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 9 месяцев назад

    Halafu huyo shirima anatuhuma nyingi kwelii kilapahala shirima

  • @AaAa-vm8bb
    @AaAa-vm8bb 9 месяцев назад

    Dunia inaenda kwa kuwazulumu wanyonge hilo mulijue viongozi

  • @rajabumalupu4184
    @rajabumalupu4184 9 месяцев назад

    Ayo tv mbona mitambo hailewek

  • @gibsonlwinga5950
    @gibsonlwinga5950 9 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @raphaelmlewa1901
    @raphaelmlewa1901 9 месяцев назад

    Mkuu tatualie na ya pamoja

  • @happymakweta2000
    @happymakweta2000 9 месяцев назад +1

    Niliona magari yanapita hapa kumbe ulikuwa mwenezi

  • @MnuwiiItowela-vf1td
    @MnuwiiItowela-vf1td 9 месяцев назад

    Mwenezi umeisha kwama😁😁

  • @erickmshoboth4705
    @erickmshoboth4705 9 месяцев назад

    😂shilima the boy main of match

  • @ZubedaAbdallah-yy6zh
    @ZubedaAbdallah-yy6zh 9 месяцев назад

    Ikikupendeza nakusubiri kwa hamu kubwa morogoro

  • @NachaKing-nj7cp
    @NachaKing-nj7cp 9 месяцев назад

    Hakiyamama walah

  • @simprianimarkmassawe5396
    @simprianimarkmassawe5396 9 месяцев назад

    Raisi ajaee

  • @amisamaurid1882
    @amisamaurid1882 9 месяцев назад

    Makonda ndo mwenezi Bora wa kisasa tuachane na goli la mkono, tunakuombea kaka mkubwa