NYUNDO YA BARUAN MUHUZA: Waziri Ally, mkongwe wa muziki kutoka Kilimanjaro Band ‘Wana Njenje’

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2025

Комментарии • 7

  • @mrs2918
    @mrs2918 3 года назад +1

    mtangazaji wa kwanza kutaja jina lako kamili baba angu lala salama🙏

  • @bobrudala3784
    @bobrudala3784 Месяц назад

    Baruan uko vizuri sana

  • @zonko0488
    @zonko0488 6 лет назад +1

    Kazi za msanii huakisi Maisha halisi ya jamii anayoishi kwa maana nyingine ukitaka kujua mwenendo wa Maisha ya jamii Fulani angalia kazi za Sanaa za jamii ile…..hiyo ndio maana ya msemo Msanii ni Kioo cha jamii. Kaka yangu Waziri bahati mbaya mada ya muziki wa KiTanzania ni upi haikuweza kujadiliwa kwa kina nilikuwa niko makini sana niliposikia swali hilo ili kujua majibu yako Mkongwe. Nategemea ipo siku hilo swali litajadiliwa kwa mapana na kina chake. Muziki wa Tanzania ni upi…???!!!! Mungu aendelee kuwapa Maisha marefu wanamuziki wetu nyie mliochangia sana kuipa Tanzania kitambulisho kiutamaduni. Na mtaendelea kuwa mashujaa wa kukumbukwa kwa kazi nzuri na muhimu ya kuhamasisha, kuelemisha, kuburudisha na kutunza utamaduni wetu toka Uhuru na mpaka sasa. Tutaendelea kuwaenzi.

  • @bobrudala3784
    @bobrudala3784 Месяц назад

    R.I.P teacher Waziri Ally Seif

  • @dngilangwa
    @dngilangwa 3 года назад +1

    Kwa heri Waziri Ally

  • @victormkongewa5229
    @victormkongewa5229 6 лет назад

    Waziri ally na jjb ,kinanda kimefika