Kazi zenu nimezisoma sana, mmeonyesha ukomavu wa kisanii japo bado ni wadogo kiumri. maoni yangu ni kuwa endeleni kutumia zana za kitamaduni zenye asili yenu kama vile nyanga., ngoma, lakini bila kusahau mavazi ya kisafa mtakuwa juu sana. Nimevutika sana na midundo yenu, Pia mbuni namna ya uchezaji hasa wa kabila lenu itapendeza zaidi. BIG UP..........
Hongereni Wamwiduka Ila Director uwe makini kwenye matumizi ya props. Kwa mfano hapo imeoneshwa mwaka 1980 kisha jamaa akatoa simu ya mkononi. Kwa Tanzania zana hizo zimeanza miaka ya 90. But kwa ujumla Ni kazi bora kabisa.
Kabisa shida ya waswahili wengi hawajielewi na hawafahamu ukishika asili ndipo unqweza ukatoka na mitindo yako, Kwani hao wanigeria wameshika asili yao n ndio wameweza kuibuka na tone yao ndani yake na wakichomekea miondoko ya kileo
Mnanibania wimbo wa mere. Naupenda sana nautafuta siupati. Vipaji vipo sana bahat mbay miziki ya kijinga ya kusifia pombe umalaya na madawa ndo zipokelewa na kupigwa. Komaeni ipo cku.
Mwl. Gano hakika asili ionesheni mtazunguka dunia nzima maana kila msanii huimba mambo yakisasa niyi asilisa mukovizur nawapenda hasa wimbo nenda kijiweni
Wanaotazama 2024 gonga like hapa
Aisee bado sijapata majibu kwanin nimechelewa ivi kuufaham huu wimbo... Wimbo mkali sio siri content, melody na mziki wake ni vyaukweli sana ❤👌
Aiseee naomba tugonge like hapa jmn kama tunawakubali hawa jamaaaaa
omary R john .555m
Hawa jamaa ni noma aiseeeeeèe
Wanajuwa
2020 kama naww unadamu na awajamaa kama mm 😘mm ni mm tu
Nawaelewa Sana wamwiduka nataka siku ya harusi yangu niwaalike hawa watu"
Daah yan ukiisikiliza nyimbo hii unarud ujanan kipind tuko kijijin axee! Hii ndo asili yetu watanzania ❤
The music is on top level,message collected,the vybe,pure africana..❤
Nyimbo za maana kumbe ziko huku aiseee,siyo zile namtafuta hani.
Daah hii style inanifanya nikumbuke magoma ya awilo wa mbeya....mmeua sana mazee hatar radha ya mtanzania
Komaeni mludi nyumbani na ushindi kazi nzur sana na muomba San mungu ndoto zenu zitimie
huu wimbo umenigusa sana had choz linatoka mko vizur sana nawaombea mfike mbal
Umeona eeeh?
Kazeni wazee huu mziki bongo mnao nyie tu komaeni sasa hivi mnatoboa
Aisee hawa wamwiduka ni shida wanajua
I love this song very much ❤❤❤
Wanyumbani hawa,wasafwa tuko vzr.
This is the kind of music we need to represent our african culture.
Ni kweli wa nyumbani kwenu album yake gan unenunua tuache unafki tuwasupport awa watu
@@emanuelmatola7351 pimbi ww unataka niseme umu nimesupport vp,acha utahila ww
😂😅😅😂😂
Unauwaa sana Ngoma zako kali san
Natamani niimbe ngoma Kali kama hizi mmetisha
Kama unamkubali p didy gonga like hapa
asiekupenda atshana naye, belle mélodie et très bonne composition bravo à vous !!!!!!!!!!
Unanikosha sana nasubir safwa boy upo vzur unatuwakilisha wasafwa kuwa tunaweza tunashkr sana
True African.. much love from Malawi 🇲🇼
Nawaona watu wa om kaz nzur
Me and wamwiduka in one train 2024, gonga like 10000 🎉🎉🎉
Oohooo bhayaya nasungwa mweeeeh
Duuu ipo powa sana hiyo kweli wewe uliyemoyoni mwangu
Nawakubali sana shemeji zangu. Heko safwa salaga, yole n.k
Sana mbeya juuu sana
Bonge la ngoma mesen kajitaidi kuongeza vionjoo
gwelelagwemwoyo maeweeeeeeee nashyukwa hukwitu wilambo
Umeona eeeh?
Saf sana wahumwitu
Hatar sana mwiduka mnatisha
Nikiagalia hiv nakumbuka hom wallh hao watot wanavocheza apo🥰🥰
Kazi zenu nimezisoma sana, mmeonyesha ukomavu wa kisanii japo bado ni wadogo kiumri. maoni yangu ni kuwa endeleni kutumia zana za kitamaduni zenye asili yenu kama vile nyanga., ngoma, lakini bila kusahau mavazi ya kisafa mtakuwa juu sana. Nimevutika sana na midundo yenu, Pia mbuni namna ya uchezaji hasa wa kabila lenu itapendeza zaidi. BIG UP..........
Mmetisha sana nawakubali mno japo me sio wa mbeya twende kazi
Mbey kutamu
Pamoja Sana asili aifi
Pamoja Sana asili aifi
Pamoja Sana asili aifi
Nawapendeni hadi basi❤🎉
Hongereni Wamwiduka Ila Director uwe makini kwenye matumizi ya props. Kwa mfano hapo imeoneshwa mwaka 1980 kisha jamaa akatoa simu ya mkononi. Kwa Tanzania zana hizo zimeanza miaka ya 90. But kwa ujumla Ni kazi bora kabisa.
tasafwa juuu humwanya❤❤❤❤
Mmnatisha sana. Nyie wasafwa wenzangu
Nyinza Nyinza sanaaa Yan
WEW N WEW TU..... hakun meingineep1%%%%%%
kama niko home vile the green city kumbe niko mtwara
Wanangu wa ndaga ntokera nzunda galijembe igoma isyonje iwalanje unyamwanga number one fanye kulike hapa chap 🙌🙌🙌
Hizi Ndio nyimbo zenye asili ya Tanzania,pia heshima kwako mesen selekta unawagongea beat za Maana sana,siku moja mfanye colabo na mesen selekta
Woyooooooooooooooooo💃
Watching you in Zambia🇿🇲🇿🇲 one love
Aisee kama nliwaona ilala vile naomba mje tena basi
Profesa mwenye phd mmemuona kwa pangusa big up
Wasafwa kumbe tumo asante kwaujumbe twende kazi
Nawaelewa sana ndugu zangu tilipalishimo washi uwoga pakhaya khola ngoma
Niko Italy nachek ngoma hii mmetisha one day yes
Nataka kujifunza gitaaa
Kweli kabisa ❤️❤️❤️
Nawakubali sana
Good African vibes 🎶 keep it up.... So talented 💫
Watu wanamipenda kwajili yakusimamia misingi ya asili Mungu akubariki msibadilike mnatufurahisga sana nanyimbozenu
Mungu awabariki sana vijana nyie na Muwe na maisha marefu yenye heri nyingi
Wasafwaa hoeeeeeeee🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️❤️❤️
Ngoma Qaliiii san 👊👊👊🇹🇿
Nakubali mafundi wa muziki
Asanteni sana Wanamagufuli nimewapenda sana kutoka Kenya
Safi sana❤❤❤
Naipenda sana hii
Umetisha bwamdogo
Yaani sijui redio hazioni
Kweli kabisa
Kitu mxuri sana
Nawapenda sana
Nakubali songs
Kama namuona Roma Mkatoliki akitia vocal kwenye hii ngoma!
Kabisa asiekupenda achana nayee
Jaman kwa gharama yotote kama ntapata nyimbo za hawa jamaa ntafurah wananikumbusha mbali sana
Nkbl sana nazipenda sana nyimbo zenu sana
This is the best African artists, I swear
Fact
Wimbo wa narudi nyumbani mbeya mbona youtube haupo kulikoni
Yaani cjawahi kuona nyimbo imepostiwa ikakosa Dislike🤪🤪🤪.Mjitu inakeraaa.Hongera Sana mazee kwa kazi nzuriiiiiiiiiiii,wimbo mtamu
Ndio maana dunia ina wachawi
Daaaah ww unajua kaka
Mmeiba vizur Sana Jimbo inaelimisha Jamii
uwiii ..nakupenda et wamwiduka..umefanya Siku yang iende vizr ..asante sana
Karibu sana
Jamaa wanajuwa sana
Wimbo mtamu kwelikweli aisee
ipo siku watu wataelewa nini mnafanya nawakubali sana na nawaombea mfike mbal mfikishe muziki wetu mahari siku moja inshaallah
kaz nzuli
Saf sana
wamwiduka Kazi nzuri
Hii ndo asili yetu haya mambo mengne ya Nigeria yanafata nn kwetu ndo maan mziki wetu mzuri haupewi nafasi kaz nzur vijana
Kabisa shida ya waswahili wengi hawajielewi na hawafahamu ukishika asili ndipo unqweza ukatoka na mitindo yako, Kwani hao wanigeria wameshika asili yao n ndio wameweza kuibuka na tone yao ndani yake na wakichomekea miondoko ya kileo
Mnanibania wimbo wa mere. Naupenda sana nautafuta siupati. Vipaji vipo sana bahat mbay miziki ya kijinga ya kusifia pombe umalaya na madawa ndo zipokelewa na kupigwa. Komaeni ipo cku.
ahsante sana Mwl. Gano tunafanyia kazi maneno yako
Hongera sana, Hii Ngoma asili yake ni Mbozi kwa Wanyiha, Inaitwa BABATONI.
Mwl. Gano hakika asili ionesheni mtazunguka dunia nzima maana kila msanii huimba mambo yakisasa niyi asilisa mukovizur nawapenda hasa wimbo nenda kijiweni
Daaah kaka upo sahihi sana
Mere ameimba awilo
this song cheers me up ! it makes me feel so happy
Nilitafua ii nyimba sana Leo nime upata😍
Dah hawa jamaa wanaweza kukuliza
Very talented. Congratulations Wamwiduka Band.
Vema sana
Uyu jamaa ni fund bad kidog anilize ngoma imenigusa xan hii
Wasafwa oyeeee....
Jaman msaada ipandishen audiomark
Utamu mtupuuuuuuuu
Nawakubar sana wanangu
Wanyumban nawakubali sana komaeni na zana zenu nyie mnatisha akuna hahahaha🤣🤣🤣🤣
Napenda sana hii nyimbo
Nawaelewa Sana wamwiduka toka nawaona kutoka mitahani mpaka kutoa video mungu ajifichi kwa mtu mwenye kuitaji pamoja sana jamani.
Jamaaaaa wanajuaaa sanaaaa aiseeeeeee
Napenda nyimbo zenu 👌
navutiwa sana na nyimbo zenu kwakwel keep it up
Safi sana mwanawetu
Nawakubali sana hawa jamaa aina yao ya mziki wanaopiga ni wa kipekeee sana
nice
ngoja za asili tam hizi
Naliya mimi na yalili ya mapenzi
Kazi nzurii nduguzanguuu, mistari ya maana sana
Wasalipa sana wanawitu