prodyuza C9, amechuja sana, inaharibu naturality ya babatoni. Tafadhali wasiharibu mziki halisi ambao mnao, ukisikiliza ile Nemc usizime mziki ni More natural and Much Better Kuliko Hiyo. ingekuwa Vizuri Vifaa Vyenu vitumike studio kuingiza na kistumike kifaa cha mzungu kuchuja sauti.
Pokeeni likes zangu kutoka 254 Kenya. Wale ambao wanasema ety Producer C9 amefinya sana sijui shida yao nini, huu ni mziki mtamu sana. Wakati Wamwiduka band walikua wanatafuta finances za kuenda studio mlikua wapi kuwasaidia?? Sasa wamefaulu kurecordi mziki mtamu kisha nyie mwaanza kulalamika, acheni ufidhuli. Tusupport hawa vijana wetu wana vipaji tajika. Mungu awabariki sana Wamwiduka band na producer C9.
Tumien lugha ya asili yakisafwa na mahadhi yakisafwa hata mkichanganya na kiswahili kdgo midundo ibaki ya asili mnapoteza ladha ya asili...rudini kwenye asili technology isiwachanganye watu wanapenda asili wakitaka hyo mingne wataskilza bakin kwenye asili.
In South Africa there is a road called N1 which is 1937km. The road is from Cape Town to the ends of Limpopo province in the north. This is the right song to drive from Gauteng to Limpopo in South Africa which is 500km.
original version ya Ile wimbo NEMC usizime muziki ilikuwa nzuri,pamoja na kwamba waliomba wasifungiwe kwa uchafuzi wa mazingira kupitia muziki wao nyakati za usiku,nahisi wahusika kama ilivyo ada Yao uwepo neno NEMC labda hawakupenda matokeo yake wame edit wimbo na kuvuruga taste ,mpangilio wa vyombo na content/substance ya wimbo husika. Watu hawataki constructive criticism, tunapenda kusifiwa TU basi na Hawa wamwiduka wastaarabu sana hawapendi' mtanange' na wanaosimamia miziki lkn ingekuwa bongo flavour wangeachia hivyo hivyo na wasifanyiwe chochote maana huko ndio kiwanda Cha kuzalisha tungo nyingi zisizo na maadili lkn wanamezewa Hongera wa mwiduka band mko vizuri, sana wosia wangu hongeni padogo kuleni pakubwa isiwe kinyume chake
Naomba Msizime mziki mtaniua Jamani Ongereni nyimbo nzuri mno❤
Uhalisia wa mziki(originality) jambo ambalo wasanii asilimia 99 wa kizazi cha sasa hawana.
Hongereni wamwiduka.
Mh apna kiukweli wamwiduka msipo angalia mnaenda potea endapo msipo shituka tunafuatiria sna mzki wenu dah rudini kwenye vifaa vya asili jama mwii vaayaa
Nimewahi nataka like zangu aiseee maaana sitaki kuzima mziki❤❤❤
prodyuza C9, amechuja sana, inaharibu naturality ya babatoni. Tafadhali wasiharibu mziki halisi ambao mnao, ukisikiliza ile Nemc usizime mziki ni More natural and Much Better Kuliko Hiyo. ingekuwa Vizuri Vifaa Vyenu vitumike studio kuingiza na kistumike kifaa cha mzungu kuchuja sauti.
Safi kaka wasitumie hizo vitu za mzungu sisi n waafrika
Umeligundua hilo kumbe kaka
Wangetumia vifaa vyao mfano kwenye nemc
Umewakilisha vyema🙌
Nikwel hiii imeenda ilitakiwa watumie kawaida namanisha vyombo vyao❤❤
After translating i agree with you 100% this is the song that brought me here,the original version in the studio was gonna be a hit.
Tiktok brought me here!❤❤❤ mch respect from Botswana 🇧🇼
Inlove of this song am from Zimbabwe l.dont know this language although
The best culture music from Tanzania we love all of you brothers
I salute you guys well planned composed ,heko Sana jamani kutoka kenya
Watched a small small clip on a friend's status and I enjoyed. Thanks to Sharzam app im here playing full song
Pokeeni likes zangu kutoka 254 Kenya. Wale ambao wanasema ety Producer C9 amefinya sana sijui shida yao nini, huu ni mziki mtamu sana. Wakati Wamwiduka band walikua wanatafuta finances za kuenda studio mlikua wapi kuwasaidia?? Sasa wamefaulu kurecordi mziki mtamu kisha nyie mwaanza kulalamika, acheni ufidhuli. Tusupport hawa vijana wetu wana vipaji tajika. Mungu awabariki sana Wamwiduka band na producer C9.
You guys should have kept the original sound of this song it was gonna be a big hit,much love from Bulawayo Zimbabwe.
Like seriously. I prefer the raw version of the highlife
This is the best rendition so far. Kiswahili is a beautiful language. Keep it up
Wow hapa jamani hongereni hapa mumegonga ndipo... asanteni Wana wamwiduka... lots of love from Kenya East Africa..🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I always repeat this track, we love you from Zimbabwe 🇿🇼
Huu sio mzuri Kama ule original ninaupendaa ule Kwanza 🤗
Mziki ni Jina langu. Naomba usisime
mmeuharibu jamani Ile og ilikuwa poa SANA
Ingekua vizuri mtumie vyombo vyenu kwamaa naona kidogo producer anachocha
Napenda Sana Sana nikisikia mziki oh naombausizime mzk utaniua
Napenda muziki wenu kwa midundo ya asili.msihame mkatekwa na ukoloni mamboleo
Tumieni vifaa vyenu bhana Uzungu unaharibu uhalisia na utamu wa mziki wenu
Traditional music 🎶 i like the beats... shakers boy keep up. 🇰🇪🇰🇪😂
Imepoteza uhalisia tofauti na ya mwanzo
Producer ameharibu huu wimbo
thanks guys. this made my day. the African culture must be upheld
Mimi mtaniua jaman sio kwa mziki mtam hivi jaman daaah
Jamaani, producer amefinya sanaa. Amechuja ule uhalisia wa ngoma. Sasa hadi ile live performance ikawa safii sana.
sure
Ile "base" haipo tena
@@Dailybestoftheinternet Kabisaa sasa iko flat.
Kweli kaka. Uhalisi haupo tena.... Lizima wairejelee tena
Ukweli kabisa
Sawa saw
sweet muziki
Hongereni sana, mziki mzuri sana
Ile ya nemc ilikuwa nzuri zaidi🙌🕺anyway kazi nzuri saafi
Kweli kabisa, waendelee na ile original
Kongole 🎉🎉🎉❤
Nakuelewa sana wamwiduka ila uasilia wamuziki dah siuon up kidigital
Much love from Zimbabwe ❣️
Huyu prodyuza asiharibu kazi
🇷🇴 super fan depuis le Tchad
African music at its best. Well done my guys. I am learning Swahili faster faster
Good voice my young boys
Respect from Zambia ❤❤❤
Africa is our business cradle land of our culture. Can't stop listening to this music. The calabash guy owns the music ❤❤❤❤
Wangetumia vifaa vyao ingetulia sana
Naomba msizime mziki mtaniua 🤗
Daaaaah au basi
You guys must come to Zimbabwe one
Kazi nzuri mabro's though hamngetoa ile part ya nemc
Kaharibu uhalisia wakati hili goma lilikua noma
Tumien lugha ya asili yakisafwa na mahadhi yakisafwa hata mkichanganya na kiswahili kdgo midundo ibaki ya asili mnapoteza ladha ya asili...rudini kwenye asili technology isiwachanganye watu wanapenda asili wakitaka hyo mingne wataskilza bakin kwenye asili.
Umechujwa Kwa kweli. Kitu Original ya NEMC HUWA SIACHI KUSIKILIZA KUTOKANA NA VIONJO VITAMU VYA KIASILI
In South Africa there is a road called N1 which is 1937km. The road is from Cape Town to the ends of Limpopo province in the north.
This is the right song to drive from Gauteng to Limpopo in South Africa which is 500km.
Tuanze na bismillah
this is what I was looking for!
Nyie nao mnakaa saana
Safi sana nawakubali sana mungu awasaidie
Love ❤❤❤🇧🇫🇧🇫🇧🇫🇧🇫🇧🇫 Burkina faso
nowmaaa
Nawapenda sana Wamwiduka sana sana Live zenu!
This is a classic, they don’t make this type of music anymore but it’s special type of music and it’s hard to make it
Producer bure kabisa kaiharibu ladha ya nyimbo
Nakubaliana na wewe
Hili goma halimfikia misondo🤣😂😂😅🔥🔥🔥🔥
Wameualibu huo mziki
I’m really into it,though not understanding the language ❤
I like it from Cameroon
Nice 👍
Appreciated ❤❤
Wapi Meneja Elis????? Yenyewe hii
Daah ile ya live ni kali sana kuliko hii😂😂😂😂😂
Kazi nzuli
Iyo nikweli na ina chunga jamaa kazi ni kazi
Asili imepotea nilipenda ile ya asili
Niko mkongomani alakini napenda Sana hii wimbo
Keep it og natural, only natural traditional instruments be used
The original sound was waaay sweet it had the feeling,i have come to realize studio kills good songs especially when the live raw version comes first
nomasana
Big ug brothers
Who's here from TikTok? ❤
Please share interpretation in English, we love the African beats
Simply they are singing about "not to stop music", if you stop the music you'll kill him...music is his life., today he is vibing".
asili
Very good song but the live version is so much better
Please mtuwekee original the producer has removed a lot things
Tik tok brought me here
Toeni ngoma msururu
I like this song ❤❤
Audio
Mtafika tu kaka zetu so nyie endeleen kupambana na msijali wanayo yasema wasowapenda maan daaaah...wengin washa anza kulalamik tayar kweny comments section 🤦🏾♀️🤦🏾♀️🤦🏾♀️🤦🏾♀️....
original version ya Ile wimbo NEMC usizime muziki ilikuwa nzuri,pamoja na kwamba waliomba wasifungiwe kwa uchafuzi wa mazingira kupitia muziki wao nyakati za usiku,nahisi wahusika kama ilivyo ada Yao uwepo neno NEMC labda hawakupenda matokeo yake wame edit wimbo na kuvuruga taste ,mpangilio wa vyombo na content/substance ya wimbo husika.
Watu hawataki constructive criticism, tunapenda kusifiwa TU basi na Hawa wamwiduka wastaarabu sana hawapendi' mtanange' na wanaosimamia miziki lkn ingekuwa bongo flavour wangeachia hivyo hivyo na wasifanyiwe chochote maana huko ndio kiwanda Cha kuzalisha tungo nyingi zisizo na maadili lkn wanamezewa
Hongera wa mwiduka band mko vizuri, sana wosia wangu hongeni padogo kuleni pakubwa isiwe kinyume chake
This is evidence that at times leaving things as they are is the best option. I'll listen to the original live song. This one is crap.
Iive performance is better than this
Pamoja sana