MWANAFUNZI MALAYA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 дек 2024

Комментарии • 240

  • @mrbigibigi9829
    @mrbigibigi9829  Год назад +77

    SIKU NJEMA WAPENDWA

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 8 месяцев назад +1

    Mtoto na mama hao wanashindana vikao duuuh,kweli tuzaeni tu kupunguza ugumba.safi sana mr big bigup

  • @Bonvivant_Richard_Mayila
    @Bonvivant_Richard_Mayila Год назад +14

    Dada yetu kaishia Kumtaja Mama😢
    Sad moment but ni darasa kwa wengi....Acheni kuomba Like Jifunzeni Na Mtoe Maoni
    This Group Always Delivers What is Needed🔥🔥🔥🔥

  • @luckyshumeofficial
    @luckyshumeofficial Год назад +6

    Hongera Kwa huyo mama yangu ....n kioo Kwa Jamii

  • @sophsoph4740
    @sophsoph4740 Год назад +17

    Funzo kubwa sana mr big big 👊

  • @jumahamadkali4683
    @jumahamadkali4683 Год назад +10

    Duuuu gari inatikisika😅😅😅

  • @ZaideMakai-vw3gl
    @ZaideMakai-vw3gl Год назад +6

    Na kukubali Sana mr. Big big Mimi ni ntu wa Mozambique

  • @DamianKwahhay-i9i
    @DamianKwahhay-i9i 5 месяцев назад +4

    Mama mzazi nimekupenda kwa ushauri mzuri❤❤❤

  • @naumi2302
    @naumi2302 Год назад +18

    Nmeshangaa nahuo mtetemeko wa gari pumbav zenu😂😂😂

  • @hawasaid7151
    @hawasaid7151 Год назад +11

    Nawapenda sana ❤❤

  • @SalodInterprenure
    @SalodInterprenure 2 месяца назад +2

    Big acha kuwapotezea wanafunzi malengo yao.

  • @LuisMateusMateus-p9p
    @LuisMateusMateus-p9p 8 месяцев назад +1

    Safi sana big. Unapendwa na kazi zako na uku kwetu Msumbiji.

  • @charlesmgonja8689
    @charlesmgonja8689 7 месяцев назад +1

    Hii imekaa vizuri sana Kuna funzo kubwa sana ndani yake.😮

  • @daisyrapando5095
    @daisyrapando5095 Год назад +1

    Wanafunzi someni vijana na wababa wachaneni nawanafunzi wasome😊😊😊

  • @Teddy-fq5oc
    @Teddy-fq5oc Год назад +7

    😂😂😂Mr Big noma sanaaa❤

  • @AnabelleNkunzimana
    @AnabelleNkunzimana 2 месяца назад +1

    Mama kila siku nimaman kwaushauri nimeipenda san hiyo💚💚

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme Год назад +8

    Aisee maisha halisi ya mtaani ugali na mboga zake dah

  • @rogatussimon4876
    @rogatussimon4876 8 месяцев назад +1

    😊😊😊😊wanafunzi somen 'achen tamaa😢😢😢😢😢

  • @RachealMunyendo
    @RachealMunyendo 28 дней назад

    Hali mtu hapa nyoo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣watching live from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    Ila asiyefunzwa na mamae hufunzwa na ulimwengu
    Dada wa kazi mambo🤣🤣🤣🤣🤣

  • @derrickpoul9504
    @derrickpoul9504 Год назад +4

    Big big ngja nakupa content

  • @rosellaabraham13
    @rosellaabraham13 Год назад +9

    Huyu mama anajua sana❤️

  • @najatysaid9282
    @najatysaid9282 Год назад +4

    Mama ya nyoko😅😅😅😅😅

  • @rachelpaul460
    @rachelpaul460 Год назад +4

    Yan mm Huwa nikimuona tu v naagalia

  • @samiramulwayohana6287
    @samiramulwayohana6287 Год назад +1

    Duh hatari ila kazi nzuri sana hongereni

  • @onesmongulo3770
    @onesmongulo3770 Год назад +5

    Kiukweli huyo mama vee anajua sana

  • @EdwardKabongo
    @EdwardKabongo 7 месяцев назад +2

    Mungu akubariki sana we mama bonge la funzo

  • @patricktegea1430
    @patricktegea1430 Год назад +5

    😂😂😂😂😂mama kaamua kukimbiza gari😂😂😂😂😂

  • @KhaizoPleish-hm5td
    @KhaizoPleish-hm5td Месяц назад +1

    Mmmmh Mambo moto yakuaaaa😂😂😂😂❤

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob Год назад +1

    Vero unakuwa chibonge, punguza mwili, punguza starch

  • @jamesmwangi8598
    @jamesmwangi8598 6 месяцев назад +2

    Sawa iko siku utakumbuka mama yako maneno aliokua ana kuambia

  • @sofiakinyia2734
    @sofiakinyia2734 Год назад +4

    Muendelezo😂😂😂

  • @pascalgirukwayo3576
    @pascalgirukwayo3576 7 месяцев назад +1

    Habali zenu? ninawapenda sana kwa kazi njema mnayofanya ili mfundishe vijana. Mwenyezi Mungu awabalikie sana. Ni Pascal kutoka Rwanda

  • @LazaloMtoji
    @LazaloMtoji 3 месяца назад +2

    Hata kwetu wapo mabinti Kama hawa

  • @fredrickhenrygwantemi1816
    @fredrickhenrygwantemi1816 Год назад +1

    Bg umekomaa kaz nzuri

  • @TatuSelemani-n5r
    @TatuSelemani-n5r Месяц назад +1

    Uko vzr big

  • @NyanzaMasanja
    @NyanzaMasanja Месяц назад +2

    Chakupewa hazina laanna

  • @allymaarufu8888
    @allymaarufu8888 3 месяца назад +1

    Mr bigi bigi umefanya jambo 😊

  • @yohanekopilato-wn3lo
    @yohanekopilato-wn3lo Год назад +5

    Kazi nzuri

  • @ngagishow2614
    @ngagishow2614 Год назад +2

    Iyisasa kali

  • @suleymansalim5732
    @suleymansalim5732 Год назад +4

    SERIKALI IINGILIE HILI SWALA LA KUCHEZEA HADHI YA ELIMU MARA MWANAFUNZ MALAYA MARA MWALIMU MALAYA HIZI NI AGENDA ZA KUISHUSHA HADHI ELIMU YETU NA SIO MAIGIZO TU

    • @adeodatapetro7915
      @adeodatapetro7915 Год назад +1

      Hilo funzo halijaangaliwa bali kichwa cha habari?? Yanayotokea kwenye jamii ni mabaya zaidi na uchafu kuliko kichwa cha habar kwahiyo mimi sioni kama kuna changamoto sana

    • @Sisopotashiumz
      @Sisopotashiumz 7 месяцев назад

      Kama ww uko siriazi saana,kasome usiangalie maigizo

  • @unclegmihale455
    @unclegmihale455 Год назад +2

    Hahahahah ila Big ww Mungu anakuona😅😅

  • @usumanezana1775
    @usumanezana1775 Год назад +2

    Hahahaha 🤣🤣🤣🤣 mama unaweza kazi

  • @juniourrovers888
    @juniourrovers888 6 месяцев назад +1

    Funzo nzuri saana😢

  • @philomenasteery3685
    @philomenasteery3685 3 месяца назад +1

    😂😂😂😂😂nyokooo ety nimemchana mama boya ww mama hongera zko

  • @ClarahMsuya
    @ClarahMsuya Год назад +2

    nimeipenda hiii sana safi Mama

  • @SophiaChimbola
    @SophiaChimbola Месяц назад

    Nimeipenda iyo my momy

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Год назад +1

    Mama nunda mulemule😂😂😂lazima kieleweke😂😂😂
    Watoto wa sku izi😂😂😂hatari sana 😂😂eti nae anaaga kuondoka nyumbani kachoka manyanyaso😂😂

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Год назад +1

    Mpe mimba yake😂😂😂cha mwenyewe huwa kwa mwenyewe😂😂big kawa bigi😂😂😂mabigi😂😂rudi kwenu😂😂

  • @mrben227
    @mrben227 Год назад +5

    Well done 👏 ✔️ 👍

  • @emidalumwesa5765
    @emidalumwesa5765 Год назад +2

    Dada veee umenichekesha jamani..hahahahahaha hahahahah hahahaaaaaa jamaniiii

  • @AidaniMlungu
    @AidaniMlungu 4 месяца назад +3

    Umakini uenderee

  • @hawasaid7151
    @hawasaid7151 Год назад +7

    Funzo hili😢

  • @JosephOwino-ix1gi
    @JosephOwino-ix1gi 7 месяцев назад +2

    Madem wanataka ivo

  • @saidindizeye2206
    @saidindizeye2206 Год назад +2

    dah big usia mzuuri kbx salute

  • @EmmanuelMikaely
    @EmmanuelMikaely 4 месяца назад +2

    Anakua na tabia mbaya

  • @maryamconstantine2232
    @maryamconstantine2232 Год назад +7

    Mama fimbo ya kwanza kamlapua kwel vee

  • @NoelObonyo-yp8yp
    @NoelObonyo-yp8yp 8 месяцев назад +1

    Maamu mzuri kuliko mtoto

  • @NataliahAbdalah-yu9xf
    @NataliahAbdalah-yu9xf Год назад +2

    Ujumbe mzuri sana

  • @kassimdadi5406
    @kassimdadi5406 Год назад +4

    Big the bigz 👍

  • @leylahkhassim-sy5vv
    @leylahkhassim-sy5vv Год назад +4

    Nakubali

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 Год назад +5

    Wa1 kutoka Zanzibar....

  • @BravinKhayumbi
    @BravinKhayumbi 7 месяцев назад +1

    Iyo ni kawaida kwn hamjui hizi mmbo acheni kuuliza maswali ya ujinga

  • @JoshuaKivuyo-y5k
    @JoshuaKivuyo-y5k 4 месяца назад +4

    Hiyo unene nayo unachangia

  • @Chumaadela
    @Chumaadela Год назад +2

    😂😂😂😂😂😂 mama kashika me fimbo kama mwalimu was mathe

  • @tomegermanodabalia2991
    @tomegermanodabalia2991 Год назад +1

    Good laike big masta

  • @Sadiekabe
    @Sadiekabe Год назад +5

    Good job bro 😊

  • @Fatma-to6rq
    @Fatma-to6rq Год назад +1

    😅😅😅😅Veroo wapiga nyumba mawe utaitobowaa

  • @rahmah6635
    @rahmah6635 Год назад +4

    Wa mkopoa xana

  • @DalmondKasereka-he9mm
    @DalmondKasereka-he9mm 6 месяцев назад +1

    Hafike ataku chule😊

  • @AngelDaqute
    @AngelDaqute 5 месяцев назад +1

    Mr big itakuwaje live

  • @FrancisAgonya
    @FrancisAgonya Месяц назад +1

    pia mm nawaona

  • @ShukuruKimathi-p5v
    @ShukuruKimathi-p5v 2 месяца назад +1

    Mwanafunzi wa ovuohuyu 😅😅

  • @lochnoditifamily
    @lochnoditifamily Год назад +4

    Uko sawa kaka😂😂...na piah naomba utufuatilia sisi kama lochnoditi family channel na utupige jeki ndo tu grow pamoja tafathali...

    • @JevidanSele
      @JevidanSele 3 месяца назад

      Ttyuiopasz🎉 of 8*-

  • @MosesKahindi-zn8vf
    @MosesKahindi-zn8vf 6 месяцев назад +1

    Funzo Hill linamaana kwa watoto

  • @sirimediatanzania
    @sirimediatanzania Год назад +2

    Aiseee inaelimisha kinomanoma

  • @legendarymmwamba4136
    @legendarymmwamba4136 Год назад

    SAFI SANA, NATAMANI KAMA WANAFUNZI WOTE WALIOKO MASHULENI WANGEIONA HII

  • @EliizabethMathias-l4q
    @EliizabethMathias-l4q 5 месяцев назад +3

    Wanafunzi malaya

  • @LewaliliAna
    @LewaliliAna Год назад +1

    😂 iNi mkali huyu mtoto

  • @AndreConstancio
    @AndreConstancio 4 месяца назад +2

    Mr big uyooooo😅😅😅

  • @danielmutinda-f8p
    @danielmutinda-f8p 2 месяца назад +1

    Pia nmi naitazama

  • @EricKaij
    @EricKaij 3 месяца назад +1

    Siku moja mavuno ya kwicha kabisa rafiki uta kuwa wapi ?

  • @hamidouba8987
    @hamidouba8987 Год назад +7

    Mashallah je vous aime

  • @pereslbulahm
    @pereslbulahm 23 дня назад

    Nzuri

  • @LikuShinji
    @LikuShinji 7 месяцев назад +1

    Yaan watoto wa siku hiz

  • @ZaideMakai-vw3gl
    @ZaideMakai-vw3gl Год назад +1

    So pessoa de moçambique

  • @AnastaziaJeremia-d3j
    @AnastaziaJeremia-d3j 5 месяцев назад +1

    Hii sio poa jmn tupunguzeni😢

  • @zaituniabdallah
    @zaituniabdallah Год назад +3

    Et kuna pikpk kuna bodaboda🤣🤣🤣

  • @NgomboHarrison
    @NgomboHarrison 7 месяцев назад +1

    😂daa gar yatkisika

  • @BenigneNiyomugenzi
    @BenigneNiyomugenzi Месяц назад

    Nauyo mwana muke ananguvu ichochote

  • @MbwanaSamagoli
    @MbwanaSamagoli 2 месяца назад +1

    Da jamaa nmekukubar

  • @barkyabdallah170
    @barkyabdallah170 Год назад +1

    Hiyo ni funzo kwa watoto wenye hawasikii

  • @LucyMtewele
    @LucyMtewele 4 дня назад

    Nimeona gari lina tikisika ety mnaweza mkanisaidia nn kilikuwa kinaendelea

  • @shaviercharvinho18
    @shaviercharvinho18 Год назад +2

    Huyu Bibi anajuwa kuekt sana kama nafasi ya mzazi Kwa mwanawe WA kike

  • @ElezedChirwa
    @ElezedChirwa 6 месяцев назад +1

    So interesting but the only challenge is the language you used

  • @rammyissakheir8658
    @rammyissakheir8658 6 месяцев назад +1

    Hii title ingebadilishwa, iwe mwanamme malaya, sababu anamcheat mkewake na amemhadaa msichana wa shule.

  • @josephisayamkali
    @josephisayamkali 4 месяца назад +2

    VP wadada

  • @nashonokichode1729
    @nashonokichode1729 Год назад +2

    Have mercy on earth people of God

  • @TomuShobani
    @TomuShobani 4 месяца назад +2

    safy

  • @OigeniMsigwa
    @OigeniMsigwa 10 месяцев назад

    😂😂😂😂😂😂 nyooo

  • @Sarahjoseph-s7f
    @Sarahjoseph-s7f 4 месяца назад +2

    itakuw mtetemo ty