Asante Sana Baba kwa maelezo mazuri. Niko Kampala hapa tetezi kwamba Canada wafanyakazi kama wa Ujenzi; carpenter,kuchunga ngombe mimi ni mjenzi nifikeje canada
Kaka ebm za kwako.... Pole na majukumu.... Naomba jiuliza ivi mwaka huu green card lottery IPO? Na inaanza tarehe gap? Vip kuhusu kigezo Cha passport kimewekwa?
@@tinaminja5500 EBM huwa hajibu comments 🤣🤣🤣 wajibu wako ni kufatilia videos anazotoa, mwaka huu green card ipo kuanzia October hadi Nov, but tr rasimi bado haijatoka na shariti la passport halipo,wewe kazi yako ni ku apply tu 💃💃💃
Ahmed,wewe kama una Imani ya kushinda green card,ukitaka kuondoka au kuacha kazi Oman,omba hiyo barua kabla hujaondoka ili kuepusha gharama za kwenda na kurudi Tz
@@ahmedalfan8075 unawaambia clearance form inayokutambulisha wewe kama huna kosa la jinai, lakini hii nafikiri ni lazima uwe umemalizana na campuni unayofanya kazi,coz ni lazima uanze na barua ya kampuni then police
Kama upo Marekani au Canada, jaza form hii upate FREE CONSULTATION ebmscholars.com/finance/
Kwaiyo kaka kwend oficin nd mpaka mwez wa 10 tusubili
Brother nipo Dallas TX, nahitaji kupata namba yko kwa mawasiliano zaidi kuna kitu napenda unielekeae hasa kuhusu kujifunza na truck driver
Asante Sana Baba kwa maelezo mazuri. Niko Kampala hapa tetezi kwamba Canada wafanyakazi kama wa Ujenzi; carpenter,kuchunga ngombe mimi ni mjenzi nifikeje canada
Safi sana EBM !!!
Bw mdogo hongerasana,elimuyako ni nzurisana
Shukran kaka
Safi kbs EBM 100%👍🏻👏
👏🏽👏🏽👏🏽 Well said
Thanks brother 🙏
Nimekuelewa Sana brother
Nakuelewa saana kaka
God bless you
Unaongea kweli mm Nina binti yangu amesoma phamasia ,nifanyie utaratibu afike huko Ili atafute maisha yake.
Ushauri mzuli
Asante kwa elemu unayo tupeya
Good job ❤😂
EBM SCOLARS OFICE
Habari kaka mm nipo Tz ni process zipi nifuate
Kaka ndoto yangu nikuishi america one day japo kwasasa sina vigezo vyaku apply green card lottery
"Ni rahis kumiliki gari marekani kuliko kumiliki simu"
Kaka naomba ungefuatilia maswala ya ufugaji na kilimo huko US
Boss muda wa kazi pale ofisini kwako mwenge saa ngapi mpaka saa ngapi..?
Hellow Habar Mkuu na Sisi Tusiojua Lugha Hatustaili Kujaza Form Ya Kuomba Makazi America?
Kaka ebm za kwako.... Pole na majukumu.... Naomba jiuliza ivi mwaka huu green card lottery IPO? Na inaanza tarehe gap? Vip kuhusu kigezo Cha passport kimewekwa?
Turiha DV IPO
Turiha DV IPO
@@tinaminja5500 EBM huwa hajibu comments 🤣🤣🤣 wajibu wako ni kufatilia videos anazotoa, mwaka huu green card ipo kuanzia October hadi Nov, but tr rasimi bado haijatoka na shariti la passport halipo,wewe kazi yako ni ku apply tu 💃💃💃
@@ReginaMussa mbona kanijibu labda wewe Ni mgeni poleee
@@tinaminja5500 una bahati basi, maana huwa naona hajibu
AHSANTE
Nauliza kuhususu visa siunajua wengine english ni shida je wanatumia kiswahili?
Kaka Salam alaikum I'm from Zanzibar, ..so having applied with DS260 in August when should I expect my interview ???
Kaka EBM mimi nilikua nataka kufaam nikishinda green card nipo nipo Oman. nilimskia bro juma Rashid yule alieshnda aliekua dubai kua kuna barua ya police. Sasa nahitaji kujua iyo barua inaitwaje? Naamin mwakani nitashinda mungu ni mwema 🤝
Ahmed,wewe kama una Imani ya kushinda green card,ukitaka kuondoka au kuacha kazi Oman,omba hiyo barua kabla hujaondoka ili kuepusha gharama za kwenda na kurudi Tz
@@ReginaMussa yes sasa nilitaka kufaam pale police unawaambia ni barua ya nn
@@ahmedalfan8075 unawaambia clearance form inayokutambulisha wewe kama huna kosa la jinai, lakini hii nafikiri ni lazima uwe umemalizana na campuni unayofanya kazi,coz ni lazima uanze na barua ya kampuni then police
Kampuni ndio linajukumu la kukutambulisha wewe ili upate barua hiyo
@@ReginaMussa kwa kampuni za gulf ni ngumu sana. Je na kama sipo kwa kampuni Yaani binafs
Asant kaka kwa ushauli wako ubalikiwe
Na Sisi Wa Dodoma Unatusaidiaje Kaka Kutujazia Form
Je kaka kama ujui English pale airport ya nchi unayoenda je utatakiwa utumia lugha gani
Tunaweza j kupata mawasiliano yako kaka ya what's up
@@KulwaManase-j8w WhatsApp number ya EBM angalia kwa video zake za nyuma,🤔🤔
Kaka salama niko na 6000$ nisaidiye nije u america ao canda
Njiya ni mingi