ASKOFU DALLU: MNAHANGAIKA NA DINI ZA USANII/HAKUNA UTAKATIFU BILA MATESO/ KUKANYAGA MAFUTA NI KUFURU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 янв 2025

Комментарии • 28

  • @renisterhyera2552
    @renisterhyera2552 2 года назад +4

    Nimebarikiwa Sana na mahubiri haya yameitoa Imani yangu kutoka sehemu moja Hadi nyingine , tunashukuru kwa kutukumbusha kweli yetu wakatoliki

  • @jenipherkyando4822
    @jenipherkyando4822 Год назад +2

    Amina baba nimebarikiwa mno

  • @agnesshayo9371
    @agnesshayo9371 Год назад

    Asante sana Baba Askofu Mkuu🙏Umesema vyema na Mungu atusaidie

  • @piusanthony3907
    @piusanthony3907 2 года назад +3

    Tunashukuru Baba Askofu kwa mahubiri yako

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 2 года назад +2

    Amina baba Askofu

  • @gracegesare5313
    @gracegesare5313 2 года назад +2

    Thanks papa askofu for the word of GOD and ways to follow also.

  • @catherinehozza4285
    @catherinehozza4285 2 года назад +3

    Amina Baba.
    Asante Sana.

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 5 месяцев назад

    Milele Amina

  • @dottokunambi7390
    @dottokunambi7390 Год назад

    Amina

  • @livinusmuhimbula8547
    @livinusmuhimbula8547 2 года назад +1

    That's a good approach to solve conflicts

  • @hellenmwakasungula6850
    @hellenmwakasungula6850 2 года назад +3

    Ni kweli kabisa Asaante saana

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 года назад

      Asante Baba kwa mahubiri mazuri... Ila Cameraman huyu hafai... Ni dhahiri kwamba hii sio taaluma yake... Ikikupendeza, hili liangaliwe vizuri... Ubarikiwe🙏🏽🙏🏽

    • @williamsfreddy7557
      @williamsfreddy7557 2 года назад

      @@j.c.maxima816 Umeona nini mpendwa..!?

    • @alphaexaud5279
      @alphaexaud5279 2 года назад

      Mungu akubariki Baba Askofu Kwa kufasiri hiyo idadi ya 500

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 года назад

      5000 na sio 500! 😆😆🤣 Ukiangalia, Yesu amewalisha Watu takribani 15000 ! Kwa mikate 5 na samaki 2 tu!

  • @dominicsomola402
    @dominicsomola402 2 года назад +3

    Omilia ya kibaba imeshiba...

  • @bonifacejohanes895
    @bonifacejohanes895 2 года назад +1

    watu wanataka miujiza ya maigizo; wanataka shortcut ktk kufikia mafanikio, hawajiulizi kwa nn Yesu alifanya Miujiza na kwa malengo gani.. kwao dhana ya msalaba haipo, ukristu kwao ni sherehe, furaha, chereko, .... hakuna kupigana vita kulinda imani

    • @ibraahngula2449
      @ibraahngula2449 2 года назад

      Mtafuteni Mungu maadamu anapatikana.

    • @chrisdeoglatias8665
      @chrisdeoglatias8665 Год назад

      N kwl Kuna kundi la wajidhaniao kuwa n WAKRISTO wapendao shortcuts ila nnamashaka na maneno 2 uloyasema pengne ww mwenyw pengne na wakatoliki wengi hawaielewi!
      DHANA YA MSALABA:
      Wengi huhisi n njia ya msalaba au rozari au njia za mateso kiibada,kumbe n Ile garama Amby mtu hukutana nayo,mazito,vkwzo,mazito apatayo mkristo( mtu aliyeokolewa na Yesu sio mtu WA DINI) kwasabb tu ya Imani yke ya kumpokea na kumfuata Yesu.
      Bado hujamfuata Yesu ila DINI Tena sio yke!
      KUPIGANIA IMANI
      Hapa wakatoliki wengi hifikir labda KUPIGANIA kubakia kuwa mkatoliki maana lko andko Moja linawakanganya'MLICHO NACHO KISHIKENI SN MPK NTAKAPOKUJA" weng wakafikir DINI waliyokulia wasiiache la!
      Kabla ya Hilo Neno lko jngine" JIJARIBUNI WENYEWE MUONE KM MKO KTK IMANI KWELI AU MMEKATALIWA? au mfn n pale Mungu lipomuuliza Musa UNA NN MKONONI? akajb fimbo,akaambiwa IBWAGE CHINI lipoibwaga ikageuka nyoka,akaanza kuikimbia!
      INAMAANA GANI?
      Mungu anataka tuvichunguze vle tunavyoviamn ,kibali kuibwaga chini Imani yko,pengine km Musa livyofikir n fimbo au silahsa ya kuitumainia kmbe yaweza kuwa n kitu hatari kwko ambacho yafaa ukikimbie haraka! Umeichunguza Imani yko ya kikatoliki JE INAONGOZA UZIMANI Au INAPISHANA na KATIBA ya Mungu?
      KUPIGANIA IMANI iwe kubaki ktk kweli ya Mungu inayodhihirishw kw Neno lke,hvyo maadam uko hpo nawezasema HUIPIGANII IMANI YA KRISTO,ILA DINI YA UKATOLIKI vtu viwili tofauti!

  • @kilianchalle-hj6xn
    @kilianchalle-hj6xn Год назад

    Semeni akina baba wa Roho maana Waroma tumezidi kuhangaika na madhehebu

  • @moriskalegeleshusha2619
    @moriskalegeleshusha2619 Год назад

    Usanii upo mwingi hata kupakaa majivu nao ni usanii kama kukanyaga mafuta

  • @ibraahngula2449
    @ibraahngula2449 2 года назад +1

    Watu wanataka kukutana na Mungu kwa ishara na miujiza.sio bla bla huku watu wanateseka na nguvu za giza.

    • @bonifacejohanes895
      @bonifacejohanes895 2 года назад

      miujiza ya michongo, elewa kwa nn Yesu alifanya miujiza

    • @ibraahngula2449
      @ibraahngula2449 2 года назад

      @@bonifacejohanes895 Kama wewe una Mungu,onesha nguvu za Mungu wako.Uhai wa Mungu wako uonekane.au Mungu wako alikufa.

    • @bonifacejohanes895
      @bonifacejohanes895 2 года назад

      @@ibraahngula2449 Mungu hajionyeshi kwa namna unavyotaka ww na kwa matakwa yako. Mungu haamrishwi. Mungu hafanyiwi mzaha

    • @ibraahngula2449
      @ibraahngula2449 2 года назад

      @@bonifacejohanes895 Yesu habadiliki ni yule yule jana leo na hata milele.sasa mnamtumikia Yesu gani asiyeonekana! au ndio propaganda za dini kulishana upepo huku watu wanateseka.

    • @bonifacejohanes895
      @bonifacejohanes895 2 года назад

      @@ibraahngula2449 Ndg ni kweli Yesu habadiliki, ni yule yule jana leo na hata milele. Ni muhimu kuelewa kuwa; kuwa mfuasi wa Kristu ..mkristu..hakuondoi mateso/kuteseka. ...dhana ya msalaba...Kwa njia ya imani Mkristu anaimarishwa kuyakabili mateso na kuyapokea yote (furaha/mateso) kutoka kwa Mungu kwa moyo wa shukrani, uvumilivu hata kufikia wokovu....kuungana na Mungu Mbinguni. Ndivyo ilivyokuwa kwa mitume wote 11 ambao waliteswa na kuuawa kwa sababu ya Kristu. Yesu hakuzuia mateso yao, na kuuawa kwao maana ndivyo ilivyompendeza iwe. Mitume hawa waliyapokea mateso yao tena kwa moyo wa sala na shukrani kwa Mungu. Yesu ni Mungu na sisi ni viumbe. kama viumbe hatuna uwezo wa kumwamrisha chochote. wajibu wetu ni kuomba na yeye anatutimizia kwa kadri ya mapenzi yake, kinyume chake ndio hayo tunayoshuhudia ..miujiza ya michongo, lkn hawathubutu kufufua

  • @florachogo243
    @florachogo243 2 года назад

    🙈