Abate Pambo atoa tofauti ya Askofu na Abate katika Misa ya Kuwaombea Wafia Dini, Kituo cha Hija Pugu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 янв 2025

Комментарии • 17

  • @bintindimbo422
    @bintindimbo422 2 года назад +4

    Hongera Baba Fr. Christian Temu Kwa kuwa Abate. Ulikua mlezi wetu nikiwa utoto Mtakatifu

  • @InnocentiusMuchunguzi
    @InnocentiusMuchunguzi Месяц назад

    AMINA

  • @WilliamLuhanga-w6e
    @WilliamLuhanga-w6e 2 месяца назад

    Mungu akurinde katika uduma yako ya utume

  • @peterkimario2902
    @peterkimario2902 2 года назад +3

    Dah namkumbuka sana baba hyu anajua kufundisha sana

  • @stanslausbernard5950
    @stanslausbernard5950 2 года назад +5

    Askofu una karama ya kufundisha. Mungu akuinue zaidi.

  • @jeremiakalumbete1131
    @jeremiakalumbete1131 2 года назад +1

    Abasia ya Mvimwa ni abasia ninayoipenda sana natamani siku moja kushiriki masifu na Abasia hii Baba Abate Pambo Hongera kwa Abasia hii

  • @Deonfnyoni
    @Deonfnyoni 2 года назад +2

    Mungu akubariki sana baba abate pambo

  • @tithonyaunyau
    @tithonyaunyau 5 месяцев назад

    Pambo osb
    Mtu sana uyu abate

  • @josephmasenga3517
    @josephmasenga3517 2 года назад +1

    Asante sana mkuu.

  • @kopereweglorry8346
    @kopereweglorry8346 2 года назад +2

    Naomba afanywe askofu

  • @thomasnyingo7272
    @thomasnyingo7272 2 года назад +2

    Anafaa kuwa Askofu huyo baba Abate 👏👏👏

  • @br.samwelmparange4986
    @br.samwelmparange4986 2 года назад +2

    Kwa unyenyekevu huo Mungu na afanye makuu juu yako Kwa ajili ya Kanisa lake. Nayatilia manani sana maneno hayo yenu." Ora et labora" I am ready to be corrected. Ndimi ndugu mdogo wa hiari wa My. Francis wa Asisi

  • @uwembatvonline
    @uwembatvonline 2 года назад +6

    One day "Pambo" utakua Askofu tena Askofu mkuu 🙏🙏

  • @innocentludovick4724
    @innocentludovick4724 Год назад

    Huyu ni mwl wa kanisa