Mama Teresa alikataa watu wasiende Calcutta India kwa sababu angeaibika kwa sababu pale kuna masikini wengi ambapo yeye akiulizwa ,mbona umeacha masikini wako na unawasaidia wengine 😂
Munaitafisiri bibilia vibaya. Munayumia jina la Mungu kukusanya fedha kwa watu. . Mwizi wewe pesa wanazotowa wakitristu zinatakiwa ziende kwa masikini, Acheni kuwadanganya watu fedha munazo kusanya zinaenda kwa Mungu.Nyinyi wachungaji ni wezi wakubwa. Fedha za Mama Theresa zinaenda kwa masikini, haziendi kwa wahubiri wadanganyifu.
Wakati Mungu anasema.Nitoleeni kondoo walio nona kwani walimpaje Mungu na Mungu hakuonekana? uwe na ufahamu wa neno usiwe na chuki.yawezekana uliliwa pesa na manabii wa uongo ukafikiri kila mtu yuko hivyo.Mungu aliposema mnitolee kumbuka waliopokea ni watu waliokuwa ni Makuhani.Yako mengi yakukuambia lakini nikushauri tu.Soma Bibilia.Mungu anamwambia Eliya nenda mpka kijiji cha Serepta.Utamkuta mwanamke mjane nimemuagiza akulishe,napo unasemaje? au wewe unamwamjni Mungu yupi?
Amazing speeches,
Nice
Umetumia mbinu ya hali ya juu kufikisha ujumbe.Heko,hongera na shukran
Barikiwa sana padre kwa kutukumbusha kwa habari ya utoaji
Hongera San fr kwa neno zito ulilolitoa .hakika umetufungua sana.Mungu azid kukujalia afya ya kulihubir vema neno lake.
Mungu akubariki Father
Hakika n mahubiri mazuri sana
Baba nimekuelewa mungu wa mbinguni akutunze akufunike amina
Kweli kbx grace umeenda majumbani kwako wamejenga Kama ikulu
Ninebarikia sana kusikiliza maubili yako Fr mungu hakupe nguvu na uwezo ukafanye kazi yake kila mara
Usiache kusubscribe hii chaneli ili tuwe tunapata mahubiri mazuri kama haya
Wow wow kweli Fr ameubili vizuri kabisa kama uwezi sikia ole wako
Asante Kwa mahubiri mazuri juu ya ukarimu
Mwenyezi Mungu Akubariki Sana, na Azidi kukuongezea mafundisho yanayo penya,
Wewe ni miongoni mwa Mapadre ambao ni Hazina kwa Taifa letu.
Mungu akupe maisha mrefu mwenye masikiyo nasikiye.
Mmmmmm
Ujumbe ulioje! Kamili na wenye kushika roho na kujirejelea ki imani
Asante Kwa mahubiri mazuri
Asante Kwa mahubiri mazuri Father
Nimebarikiwa sana na mahubiri yako mtumishi mungu aendelee kukutia nguvu
Usiache kusubscribe hii chaneli ili tuwe tunapata mahubiri mazuri kama haya
Asante kwa neno
Mungu atuhurumie
Mahubiri mazuri Sana.
Well said father. Tutoe ili tusaidie jamii yetu.
Ahsante baba kwa mahubiri yako
Amina 🙏
Wewe padre njoo ututemberee huku arusha jamani tunahamu ya kuisikia sauti ya kimungu iliyopo ndani mwako
Amina! Kweli kbsa baba nimeona ukuu waMungu
Usiache kusubscribe hii chaneli ili tuwe tunapata mahubiri mazuri kama haya
Nimefurai Sana fr kwa maubili yako mazuri nayenye kutia moyo tumekumis Sana fr bkb jamani
Usiache kusubscribe hii chaneli ili tuwe tunapata mahubiri mazuri kama haya
Lakini wewe fr mbona umenyoa nywele kama kijana wa mtaani,uko sawa na wanawake wanaoenda saluni unapenda anasa pia
Wanatafuta hela za kujengea majumbnai kwao na kusaidia ndugu zao na kununua wake za watu
Mungu akusamehe ndg yng
Mama Teresa alikataa watu wasiende Calcutta India kwa sababu angeaibika kwa sababu pale kuna masikini wengi ambapo yeye akiulizwa ,mbona umeacha masikini wako na unawasaidia wengine 😂
Chai yako ni elfu kumi,je nani kamuona Mungu akipokea pesa au mali😂
Huyu padri yule wa kutaniko kigamboni, yani ni zaidi ya mahubiri mzee upendo wa nazi.
Usiache kusubscribe hii chaneli ili tuwe tunapata mahubiri mazuri kama haya
Munaitafisiri bibilia vibaya. Munayumia jina la Mungu kukusanya fedha kwa watu. . Mwizi wewe pesa wanazotowa wakitristu zinatakiwa ziende kwa masikini, Acheni kuwadanganya watu fedha munazo kusanya zinaenda kwa Mungu.Nyinyi wachungaji ni wezi wakubwa. Fedha za Mama Theresa zinaenda kwa masikini, haziendi kwa wahubiri wadanganyifu.
Natumaini wewe ni mkristo
Wakati Mungu anasema.Nitoleeni kondoo walio nona kwani walimpaje Mungu na Mungu hakuonekana? uwe na ufahamu wa neno usiwe na chuki.yawezekana uliliwa pesa na manabii wa uongo ukafikiri kila mtu yuko hivyo.Mungu aliposema mnitolee kumbuka waliopokea ni watu waliokuwa ni Makuhani.Yako mengi yakukuambia lakini nikushauri tu.Soma Bibilia.Mungu anamwambia Eliya nenda mpka kijiji cha Serepta.Utamkuta mwanamke mjane nimemuagiza akulishe,napo unasemaje? au wewe unamwamjni Mungu yupi?
We ndo unatafasiri vibaya! Soma Biblia utajua haki ya Haruni kuhani wa Mungu ilikuwa ni nini? Kuwapa masikini sio lazima ipitie kanisani!
Ulazimishwi kutoa nasikutegemea Kama ungesema hayo kutokana najinalako ningekuta jina lako ni Ashura nisinge kushangaa.
Hilo ndio kanisa la kitume