Haya maisha usimdharau mtu, kila mtu ana bahati yake. Agela amekaa Konde Geng Miaka yote kakosa gari. Anaenda kupata gari kwa kwa Zuchu. This is amazing
Simbaaaa ndio msaada wa kila kitu ...mola akampe simbaaa maisha marefu then zuchu she's something special to dangotes life ....plz simba usimuache zuuuuu ana malengo na ww achana na hawa wa harmonize wanapenda hela
Ni somo kubwa kubmaisha yetu ya kila siku nime shangaa Sana kwa kuone zuchu ame onesha upendo kwa yulu mdada aliye lazimashwa na konde bangi eti awe mshindani wake love you mke simba
Gari hiyo kampa Simba, ila kirahisi huwezi kuelewa!! Simba atabaki kuwa Simba tu!! Mwamba ana Hakili sana na anajuwa kutengeneza biashara yake from zero to 9
Ukika kwa simba nibarakatosha,minamuombea maisha malefu simbanamwishomwema, iyonimatundayake, huyudada arinizunishasiku amenyanganywa gali sasa leonisikuyake
HAKUNA CROWN NA MIL 9 ILO KOPO😊,,WASAFI MNAMSAIDIA SANA UYO DEM,,,ILA TALENT YAKE BADO..,,MKITAKA KUMSAIDIA MUWEKENI KAMBI MUMTENGENEZE;;MAISHA SIO RAHISI IVO
@@JohnKalevela KASOME UPYA😄,,MWALIMU WAKO ANAZEEKEA SHULE UKO;KWENYE VITI VYA MBAO, WE UKO OFSINI UNAPULIZWA NA AC;;GARI KALI,,,,KWANI MWALIMU WAKO HAKUPENDA IZO AC NA GARI??
❤❤❤ nazidi kumpenda tu Zuchu our bongo flavor Queen love you sana
Wallah mungu amzidishie
Zuchu hongera kw kumsapot anjella Mungu akuzidishie...
Haya maisha usimdharau mtu, kila mtu ana bahati yake. Agela amekaa Konde Geng Miaka yote kakosa gari. Anaenda kupata gari kwa kwa Zuchu. This is amazing
ni aibu kbwa kwel kwa konde boy
Mpeni pia contract huyo Anjela ana kipaji🎉❤❤😢😢 thanks zuuh
Hongera Zuchu Mwenyezi Mungu akuzidishie akupe hitaji na moyo
Tunakupenda sana Zuuuu
Amiin
Zuchu ana sauti nzuri sana
Tunampenda anjella sana tunaomba aongezwe wasafi maana ni msanii mzuri sana na anapitia magumu toka alipokuwa kondeng
Anajuwa kuimba jamani
Diamond Platnumz your the baddest wachache sana watanielewa
Nimefurahi sana hakika zuchu ana moyo mzuri,Anjera mungu atakujalia
Amin Zuch Hana Roh Mbay💯💯
Nakupenda zuchu una moya ya upekeye sana mungu ata zidi kuku bariki ilove you mamy from congo🎉
ASANTE DIVA ASANTE ZUCHU TO SUPPORT THAT SHE❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ KWA VYOVYOTE VILE IT'S SO HOPELY
Upendo kama huu wasanii wetu tuzidi kuishi nao😢❤
Huyo angella amesha kuwa msani wa WCB tayari!! Diamond will always be platnumz
😀😀😀 hii kali ☝🤣
Nashangaa huko kwa Harmomavi alikuwa analipwa shingapi kwa mwezi..
biashara tu hakuna lolote
Simbaaaa ndio msaada wa kila kitu ...mola akampe simbaaa maisha marefu then zuchu she's something special to dangotes life ....plz simba usimuache zuuuuu ana malengo na ww achana na hawa wa harmonize wanapenda hela
True
Aisee wewe dada mungu akubaliki unapotoa paka ongezeke mara 2000 mimi ni shabiki ako toka utoke. Kwahili unafanya niendelee kukupenda zaid ❤❤❤
Zuchu Nakupenda mnoo adi mtoto wa wanamta zuchu❤❤❤
Hongera sn zuch unasaut nzuri una upendo wA dhAti Allah akuzidishie mnoooooo
Ni somo kubwa kubmaisha yetu ya kila siku nime shangaa Sana kwa kuone zuchu ame onesha upendo kwa yulu mdada aliye lazimashwa na konde bangi eti awe mshindani wake love you mke simba
Saan Love Zuch Anaroho Mzr Sana💯💯💯💯
Konde bangi sio😅😅😅😅
Kwahio sio konde gang ni konde bangi au vp 😂😂😂😂😂
biashara tu
😂😂😂😂😂 comment yako imenikosha
Zuchu have good heart
Nimekupenda sana sana zuchu mungu asikupungukie
Hongeraaaaa thnx zuchu for this mungu akubariki
I will support you u big gal zuchu mbebeni huyo dada anakipaji ila support ndogo
Zuchu BWANA YESU Akubariki sana
Washapanga hiyo.. Eti Loud speaker.. Anyway nice content
Mashallah zuchu mungu akuzidishiye🇰🇪
Anjela anafaaa kuwa wcb anakipaji sanaaaa believe me akiwa pale atakuwa mbaliii
Maisha n yako mam yang hkuna ajuye kesho....❤ atkuj kutmbua uhrilisia wak
Big up zuchu❤❤❤❤
Zuch Anasaut Mzr San 💯💯💯
Mungu akubariki sana zuchi kwa kumsaport gari mdogo wangu anjela
Mashaallah zuchu❤nimekupend
Hà zuhra zuchu machallah machallah c'est très gentil ❤❤❤❤❤❤❤❤❤💐💐🎂🎂🎂🍾🍾🍾🍾🍾🍾🥇🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Mungu akusaidie zuchu mama una roho safi
Zuchu ubarikiwe mwaya unamoyo WA kipekee Sana mungu akulinde 😊
Ongera sana zuchu mungu akubarik
Zuch masha Allah. Allah akulipe I love you so much
💯💯 Amiina
Zuchu mungu atazid kuku barik mmpe na dudu baya ata bajaj
Daah niupendo uliojee huu jamaniii mwenyezi mungu akuzidishie shemeji
Mungu akubariki Sana Zuchu kwa kumsaidia Anjela.Anjela nakuombea Sana usije ukamkosea zuchu
Kwanzia Leo natoka konde gang naenda wasafi ,. Nakupenda zuchu
Zuchu umenitoa machozi I love you❤❤
Nampenda zuchu nampenda anjella nampenda harmonize
Angela utafika mbali sana njia nyeupe mungu akutangulie mdogo wangu
❤❤❤ ❤ vizuli sana zuchu
Kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪... napenda sana lebo ya WCB especially the members how they cooperate,,,Zuchu pull up
I love that Zuchu 💓
Mashallah zuchu ❤❤
Hii ni nzuri. God bless you Zuchu
Nampenda mwanang zu chu chuuu
Ila anjela mzuri jaman sema konde kamyumbusha
Yani kila siku nazidi kukupenda❤❤❤😊
Ndio vizuri pigeni kelele mtuongezee views. Mfano mzuri wanawake mpendane.Ishallah Mwenyezi Mungu Akujalienulipotoanakurudishie mara dufu. Ukimaliza inshallah mpelekeni India mkamtibu wapate kasema vizuri.Mungu atakupa fungu lako. Ameen.
Msimpe tu gari mpeni na shavu wcb
Mashallah mashallah mashallah ❤❤❤❤😢😢😢
Diamond msaidie huyo dada anateseka na kipaji wakati anacho
Gari hiyo kampa Simba, ila kirahisi huwezi kuelewa!! Simba atabaki kuwa Simba tu!! Mwamba ana Hakili sana na anajuwa kutengeneza biashara yake from zero to 9
Sasa kumpa mtu gari na biashara vimeingilianaje kwahy yy hana akili hadi aseme zuchu ndio kampa hilo gari mbona kama hujielewi kaka 😏
@@KhadijaSamsonHajielewi kabisa Angela amemuomba zuchu amnunulie gari maana yeye anataka collabo na zuchu sio diamond
@@yusternyirenda7231 na kizuri kapiga simu live au mwenzetu kasikia sauti ya diamond platnumz pale😅
Kwani kunaubaya gani? Au zuchu hawezi kununua iyo car?
@@Zuu673 ndo ushangae na ww kama aliweza kumnunulia yule manager wake gari atashindwa kununua crown
The black queen ❤❤❤
Nimependa sana hii kwakweli kheee😘😘😗😙😍
❤❤❤❤
Simba akimsaini wasafi ela inarudi wiki tu😂
Maisha ya wasanii wa bongo ni sanaa tu😂
Zuchu umefanya vizuri
Mtu na roho yake jaman mungu amzidishie
aibu kwa konde boy hii kabisaaa alishindwa kumsave kwel 😢😢
Safi zuhura.huna moyo sana ww Dada.
Mashallah
so good .....jaman... ndo inavyotakiwa watanzania
ubarikiwe viwango vyako vilinganishwe na kina rihana Aminaaa
Zuchu safi sana kwa ulilolifanya kumpa gar rafiki yako
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Diamond plutnum.
Hii imeshaandaliwa kitambo tu na simba😅
Ukika kwa simba nibarakatosha,minamuombea maisha malefu simbanamwishomwema, iyonimatundayake, huyudada arinizunishasiku amenyanganywa gali sasa leonisikuyake
Zuchu anajitambua sana kwa kweli
Wamepangana ila sio mbaya mladi gari awe nalo
Kweli mpango huu
Much love🎉🎉🎉🎉🎉
Huyu diva mbn km kapewa maelekezo 😂😂😂
Mpango huu umepangwa
Hata kama kapangwa lakini mpango umetik ni jambo jema@@reynaaalrawahi4137
Ukwel huu mpango umepangwa
Sawa ila gari limetolewa
Kama ni kweli hongera Mungu amzidishie alipotoa ila kama kiki mnazingua
Nilikuwa nampenda Zuchu Ila hiii imenifanya nimpende zaidi
Zuchu unetisha, Umenifanya ni subscribe WASAFI🎉❤
ZUHURA A.K.A ZUCHU KWA HILI ISHI MIAKA MINGI PAMOJA NA FAMILIA YAKO❤
Zawadi kubwa NI contract...mpeni mkataba Angela Paige kazi.....hata hiyo miguu atajitibu mwenyewe!
Wow 🔥🔥
Nimefurahi sana kuona mnamsapot
Nice
Asalamu alleykum dada diva nakupendaga sn wewe dada
Hii mlipanga bana
Kazi safi sana kbs but musitupime eti Amekuja kma hajui habali ya hilo gali😅😅😅
Safi sana
mi nazani huo dada tayari yupo wcb
Habari ndo hiyo
Zuch ata kuongeya sauti nitamu.baby❤❤❤❤❤
San Zuch Ana Sauti Mzr Sana 💯✔️
Konde bangi alituma unakuwa mshindani wa zuchu kumbe yeye ndio atakuwa saidiya kimaisha daah🤔
Umenifuraisha saana, eti konde bangi😂😂😂
@@amisibilly5084 kaka yangu huyo konde bangi hata sisi wa congomani hatumupend ikwa sababu ni mtu mwenye haana akili timamu
Maokoto ya views za siji anjela kanunuliwa crown. Fresh sana
Ila zuchu hakumpa gari kwakutaka ni mtangazaji ndo kaingiliya kati ili anjela asaidiwe usafiri.sio mbaya,maisha ni kusaidiyana.
Yani mimi Dai akimsaport uyu dada naamia wasaf namuacha ney na Loma maana mkaonde alivyo tuma nkajala kumfukuza anjera
HAKUNA CROWN NA MIL 9 ILO KOPO😊,,WASAFI MNAMSAIDIA SANA UYO DEM,,,ILA TALENT YAKE BADO..,,MKITAKA KUMSAIDIA MUWEKENI KAMBI MUMTENGENEZE;;MAISHA SIO RAHISI IVO
😂😂😂😂😂😂😂
Bro hivi we ni nani hasa kwenye mziki wa bongo flavor mpaka uwafundishe biashara ya muziki?
@@JohnKalevela KASOME UPYA😄,,MWALIMU WAKO ANAZEEKEA SHULE UKO;KWENYE VITI VYA MBAO, WE UKO OFSINI UNAPULIZWA NA AC;;GARI KALI,,,,KWANI MWALIMU WAKO HAKUPENDA IZO AC NA GARI??
Maisha sio rahis kama anavyodhan au sio😂😂😂
@@JohnKalevela😂😂😂😂😂
Mbona Kama story za gari ziko staged 😂😂yaan anapigiwa simu the first thing kuongelewa Ni gari😢musiamin kila kitu mnaona Kwa mtandao
❤❤❤ zuchu
Thus good
Sasa kwan kumtibu mguu ni shingap mpaka amnunulie gar la 20m
Kwani harmonize si aliahidi atamtibu?
Achen ku question watu km icho ndo alichotamani
Kashakuambia anashida na gar mxiiew
Kwan yy ametaka nn..na unajua tatizo lake
Kamtibie wewe
Ila harmonize ko alishindwa kumnunulia gar anjella hata m9 kaz kumnunulia kajala gar mbili afu zote ni range afu akaenda kukupa MPAKA bank 😅
Yaani ampandisha post alivyoandika tunaangalia kuliona gari kumbe amna kitu daaah 😂😂😂 🙌