Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Jmn nne Leo na ni mwana Simba halisi gonga like hapa 🦁🦁🦁🦁🦁🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯💯💯💯
Maji mala moja tu 🔥🔥🔥🙌🙌🙌🥰🥰 Hongela simba like Hapa kama unaipenda Simba 🔥🔥🥰
🔥🔥🔥🦁🦁🦁🦁Nimelike na kucomment
Hii ni hatari mtu kapigwa kama ngomaa♥️👑
Phyiri ni noma
Simba Hongera sana
Wanasimbaaaa❤❤❤❤❤❤
This is simba tutamfunga kila atakaekuja🔥🔥🔥
Rrhli. Reklama pro vás Wa aa
Hongera sana Simba!
Hogera wana simba
Mhezaji ambaye hajitumi,hafanyi bidii ,Hana uchungu na timu aachwe arudi kwao
Mozes pili abaki jaman
Nimemic Sana Simba kama hii
Our aim is to play final of CAF champion league,so mo toamaamuzi mazito juu ya usajili
P.O.Sakho is fire🔥🔥💪
Ipo Siku Chama atampiga mtu chenga utoe avunje nyonga, Chama
Simba baba lao naombeni comment wadau
Simba ya msimu 2022/23 ndoo enyewe
Mbona sauti kama Ney wa Mitego
Chama asifananishwe na yeyote
2024 🇹🇿
🦁🦁🔴⚪
Mtangazaji huyu vipi 73% wakati inasoma SIMBA SC 77% possession 23% EAGLE FC
Mnajisifu kwa katibu toka daraja la nne? Khaa!!!
Uongozi wa Ssc tusajili mchezaji mwenye kiwango
Nashukuru fadhila alizo ifanyia Simba Boco Sasa astafu kwa hiari dirisha dog!!!!
Safiiii
Hongera San Simba
Hatar
Hii n aibu kwel wanayanga
MORUMBE JOHN AFRICANUS
Cham anakiwash
Na jn mabao mangapi nauliza
Huyu Kibu wa kutolewa kwa mkopo
Utopolo mpooo😁😁😁 kana kwamba hamuoni vile😂😁😁😁😁😁
MMEONAJE UTOPOLO LEO
Katimu kadogoo hvii mkakomea nane wachezaj na nwakubwa aibuu kwa simba hiv hamna watoto wadogoo wakuwachezesha na hz tm ndogoo 🤣🤣🤣
Pili ana bao ngapi kwa sasa?nauliza
Kumi
ok
Mmmh ingalikuw utopolo wangeambiw tigopesa hii ya makolo itakuw Airtel money
Mbona simba kwenye ASFC hawashangirii?🤔🤔
Tumechoka kushangilia
Kwa ukubwa wetu tushangilie nn
@@afterfull-time1348 ukubwa?🤔🤔😂😂. Sawa.🤐🤐.
Hatari sana aisee simba ni babalao kweli hata utopolo hawafikii mziki huu wajipange sana
Mziki umeuona wa yanga
Hiii ni Team kutoka wapi? Mbona mbovu hivi ? Ao wame hogotana tu bara barani wachezaji wenyewe duuuu. Hata mimi kupewa na fasi kwa team naweza nikafunga bao 3 kwa mguu wangu.
Kufunga kwa kuongea sawa
Karibu uwanjani tuone
Mchezaji bora wa mchezo "Man of the match"ruclips.net/video/WLa97naM9JM/видео.html

Mchezaji bora wa mchezo "Man of the match"
ruclips.net/video/WLa97naM9JM/видео.html