SIMULIZI SUMBAWANGA: NILIVYOISHI NYUMBA YA KICHAWI USIKU MMOJA TU.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 янв 2025

Комментарии • 154

  • @Vanessa_Petro
    @Vanessa_Petro Год назад +4

    Daaa simulizi hii inatisha sana ila Asante sana kaka ferix kwasababu nimejfunza meng sana Asante kaka♥️

  • @lucyjoseph266
    @lucyjoseph266 3 года назад +4

    Upovzr saana Kaka nimeipenda mnoo

  • @Zuhrasaidi-sb8ps
    @Zuhrasaidi-sb8ps Год назад +2

    Nice voice brother bt unaweza 💪

  • @tausikaligolo1682
    @tausikaligolo1682 3 года назад +3

    Hongera sana kaka unakipaji cha kusimulia japokua inatisha.

  • @felisterkigawa7042
    @felisterkigawa7042 3 года назад +5

    Kaka Felix kipaji Cha kusimulia umebarikiw 😍😍

  • @meryomary541
    @meryomary541 3 года назад +4

    Kaka ubarikiwe kwa saut nzur ya kurembeshea simliz nzuri

  • @janethkashele3192
    @janethkashele3192 3 года назад +2

    Simulizi nzuri sana

  • @zaytonzayton2698
    @zaytonzayton2698 3 года назад +2

    Thanks sana felix God bless you sana season 2 please

  • @salamanauthartanzania6301
    @salamanauthartanzania6301 3 года назад +8

    Watu wa Sumbawanga tujuane kwa Like jamani

  • @halimahashimumdoe480
    @halimahashimumdoe480 3 года назад +2

    Simulizi nzuri sana ferix inavutia na kusisimua mwili. Ila inatisha sana

  • @scoutsmaybe4708
    @scoutsmaybe4708 2 года назад +1

    Tamu saaaan iii story 💞big up sana

  • @harrietmunika6133
    @harrietmunika6133 3 года назад +11

    Napenda hizi simulizi zako mbaya sana, lakini zinanifanya nipoteze tamaa kabisa ya kuenda Tanzania

    • @johnkuma6867
      @johnkuma6867 3 года назад

      Wachawi ni wengi sana Tanzania hata.mimi naogopa🇰🇪

    • @gerardkalindo9069
      @gerardkalindo9069 2 года назад

      @@johnkuma6867 Sis tuna enjoy Tanzania
      Hiz nistory2 kalbn

    • @abubakarimsere
      @abubakarimsere 9 месяцев назад

      😂😂😂😂

    • @AshaKache-nr5fz
      @AshaKache-nr5fz 6 месяцев назад

      ​@johnuma6867 😂😂😂

    • @leilaicaka3483
      @leilaicaka3483 2 месяца назад

      😂😂😂😂

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 4 года назад +16

    Hakika sauti yako ndio inakoleza utamu wa simulizi asante sana kaka Felix barikiwa

  • @caroruby690
    @caroruby690 4 года назад +4

    Ooh seriously 😮 Bala 😱🙄 simulizi mix love you more ♥️♥️♥️💋 Asante Sana Felix mwenda kwa simulizi mix imenifuza Mambo mengi thanks for all your ♥️♥️

  • @macarubomaryann338
    @macarubomaryann338 3 года назад +4

    Simulizi nzuri, ila kaka unasauti mashallah 💛💛😍

  • @salehsalehhh8721
    @salehsalehhh8721 3 года назад +1

    Felix .nimeludi tena baada ya miaaka mitatu iliyopita nilikua nakusikiliza sana simulizi zko lkn nikapata matatizo ila kwass Alhamdulillah na nimelud tena naanza na hii .simulizi mix kazi iyendelee

  • @fatmaomary3981
    @fatmaomary3981 3 года назад +1

    Sumbawanga noma mmmhhh 🤔🤔🤔hatari🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️

  • @salimjuma7364
    @salimjuma7364 3 года назад +1

    Felix hii sauti ndio inakufaa sauti hii nzuri sana kwa simulizi

  • @nibigiramwajuma7925
    @nibigiramwajuma7925 4 года назад +4

    Asante felix mwenda kwa marudiyo ya simbawangu nyumba mpya mbarikiwe sana

  • @johnkuma6867
    @johnkuma6867 3 года назад +5

    Sichoki kukusikiza. Inapendeza sana hii simuluzi na sauti yako inafanya kiswahili kiwe kitamu sana 🇰🇪

    • @phariahkhamayi8145
      @phariahkhamayi8145 2 года назад

      Nampenda Sana Felix Kwa sauti nyororo yakuvutia na simulizi zake zenye mafunzo kibao

  • @JanethiMwakasege
    @JanethiMwakasege 10 месяцев назад

    Napenda simulizi zako km naona move kbsa

  • @amijoella913
    @amijoella913 3 года назад +1

    🔥🔥🔥sauti nzuri sana😘🙌

  • @mwanamisihamisilibondo9541
    @mwanamisihamisilibondo9541 3 года назад +4

    pongez napenda aimuliz unazozisimulia felix ubarikiwe

  • @beatricebarbara3712
    @beatricebarbara3712 2 года назад

    Sumbawanga nimji wa kuotea mbali toba toba🙌🙌🏃‍♀️

  • @shazilaismali6266
    @shazilaismali6266 3 года назад +2

    Mungu yumwema

  • @evelynlyimo1557
    @evelynlyimo1557 2 года назад +1

    Felix much love ❤ from Egypt.. your simulizi is awesome

  • @maimunarajab6826
    @maimunarajab6826 3 года назад +1

    Mhhhh hakuendeki ukooo 🙌🙌

  • @salimashraf4266
    @salimashraf4266 3 года назад +4

    Nice story brother

  • @taharamohd2515
    @taharamohd2515 3 года назад +3

    Da mpaka nimeogopa kwann msiwe mnatoa movie zake

  • @qimramaa668
    @qimramaa668 4 года назад +8

    Bro felix kwa simulizi za aina hii ww ni moto wa kuotea mbali asee

  • @latifahbella7588
    @latifahbella7588 3 года назад +4

    Nimei penda hiyi storia sante sana💌💌💌

  • @emmanueljohn3026
    @emmanueljohn3026 3 года назад +1

    Uko fresh Mkuu

  • @CarolinaRenatus
    @CarolinaRenatus 4 месяца назад

    Napenda simlizi pia napenda kuandika naombeni connection na mimi napenda kuwa hivi

  • @dorotheachristopher5225
    @dorotheachristopher5225 3 года назад +4

    Unasimulia vizur sana kaka felix

  • @daudiibrahim2013
    @daudiibrahim2013 3 года назад +1

    Nice simulizi

  • @franklineshidende4215
    @franklineshidende4215 4 года назад +6

    Nakumbuka hii sana

  • @noelmbilinyi9229
    @noelmbilinyi9229 2 года назад

    Ama kweri navoskrza saut hii moyo wangu unatulia tulii ad raha Yan🙏💔❤️💔🙏 Mungu atusaidie kwakweri

  • @habibamustafa2943
    @habibamustafa2943 3 года назад +1

    Pole nmelia bda yakusikia simulizi hii

  • @morineakinyiowino4161
    @morineakinyiowino4161 3 года назад +2

    Very interesting

  • @festodaudi2211
    @festodaudi2211 3 года назад +2

    Simliz tam🔥🔥🥰🥰

  • @HafashimanaDorine
    @HafashimanaDorine 8 месяцев назад

    Eee pole sana kijana

  • @satwanthoogan6746
    @satwanthoogan6746 3 года назад +4

    Tobaa! Story inatisha kweli... 😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱

  • @pelagiasamamba8085
    @pelagiasamamba8085 10 месяцев назад +1

    Ngoma inogile 😂 sumbawanga hiii

  • @brianmusyoka2509
    @brianmusyoka2509 2 года назад

    Mungu awe pamoja nawe💥

  • @lissahdequeen6681
    @lissahdequeen6681 2 года назад

    Mungu akubaliki na ufike Mbali kabisa kaka yangu unaweza

  • @mabulamasunga7378
    @mabulamasunga7378 3 года назад +1

    Jamaa Twalib hatari kupambana na majitu mwanzo hadi mwisho.

  • @abdul-fatahyussuf7439
    @abdul-fatahyussuf7439 3 года назад +3

    Stor nzr sana ila kun vipengel ilikiw vimaliziwe kw ushaur mfano aliporud kwke alipokolew vp kw ghafla ile wkt miad n kurud baad y mwez na la pili ofis ilimp hatua gan baad y kujichukulia maamuz y kurud na Tutu aliemtafutia nyumb waliishiana vp pmj n yule mganga aliemp tiba lkn haijafany kazi vyem iv tu. Lkn kw ujuml hongeren

  • @ayshumray1412
    @ayshumray1412 3 года назад +1

    Mmmh inatisha but nzur

  • @jansamwankanda2368
    @jansamwankanda2368 3 года назад +2

    Ahsant sanaa kwenda good Voice.

  • @johnkuma6867
    @johnkuma6867 3 года назад +1

    Wachawi ni wengi sana Tanzania hata.mimi naogopa kuenda huko🇰🇪

  • @irenecherotich4975
    @irenecherotich4975 3 года назад +2

    Nice story mr relax

  • @peninahkariuki4679
    @peninahkariuki4679 3 года назад +9

    Very interesting story,na yaogopesha pia😅😅Thenk's alot Mr.🇰🇪👍

  • @BerylSeer1
    @BerylSeer1 3 года назад +1

    Mimi aki sijui ningepoteza tu fahamu usiku kucha

  • @zuhurajumapore2243
    @zuhurajumapore2243 3 года назад +1

    Duuuh hatar next

  • @sarahwilliam212
    @sarahwilliam212 3 года назад +2

    dhu!!!!! hyo misukosuko ingekuwa mim ningeshakuwa nimekufa tayar

  • @joycepeter7714
    @joycepeter7714 3 года назад +1

    Mungu awe pamoja nawe,

  • @SuzanWilliam-h5f
    @SuzanWilliam-h5f Год назад

    Ncy story

  • @MuhamedHassan-hh3vy
    @MuhamedHassan-hh3vy 2 месяца назад

    Ooraaaah ❤mmmmmmmh

  • @socialluzibila6868
    @socialluzibila6868 3 года назад +2

    Sumbawanga tam naitaman

  • @slellahpaul2399
    @slellahpaul2399 4 года назад +4

    Itakuwa inatshaaa

  • @amimukajanja5304
    @amimukajanja5304 3 года назад +2

    Duuuu hii simulizi ni hatali

  • @hamedamahamd1222
    @hamedamahamd1222 3 года назад +6

    kaka ferex mwenda mbona hamtuwekei mwenderezo wa KIAPO CHA FUKARA JAMANI SEHEMU YA 19

  • @janethdaudi1453
    @janethdaudi1453 3 года назад +1

    Unasauti nzuri sana❤️❤️❤️💋💋💋

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 4 года назад +2

    Okay "1"

  • @rahabululeka3873
    @rahabululeka3873 4 года назад +3

    Pamoja

  • @wizomdanandatz9130
    @wizomdanandatz9130 3 года назад +1

    Kwan ipo mmoja

  • @BellaOmari
    @BellaOmari 6 месяцев назад

    🔥🔥🔥

  • @mabulamasunga7378
    @mabulamasunga7378 3 года назад +3

    Hakika kama hii ni simulizi ya kweli jamaa huyu hatari na yuko vizuri.

  • @AgnesPaul-x5j
    @AgnesPaul-x5j 13 дней назад

    Pole

  • @aminakhalid308
    @aminakhalid308 4 года назад +3

    Love u kaka ake Felix big up

  • @salhatmohamedy788
    @salhatmohamedy788 2 года назад

    Nice story

  • @saumumazera7161
    @saumumazera7161 3 года назад +3

    Mbona huyu twalib anaubishi sana tangu saa saba mchana ameona vituko bado anabaki kuona nini tena

  • @salhakristina9434
    @salhakristina9434 4 года назад +3

    Nilimimiss sana amani kigoye

  • @zuhurajumapore2243
    @zuhurajumapore2243 3 года назад +1

    Duh yasisimua ajabu

  • @HopeGoodluck-p4n
    @HopeGoodluck-p4n 4 месяца назад

    Uchawi upo me yamenikuta siku yakizidi nitayasema😢

  • @mwagotimwanamvua5883
    @mwagotimwanamvua5883 4 года назад +2

    Kaka Felix nakupenda hadi naumwa 🤣🤣💃💃💃💃💃

  • @jacintahsulubu5602
    @jacintahsulubu5602 Год назад

    Mmmh maajab

  • @bintimrope
    @bintimrope 4 года назад +5

    Karibu sumbawanga😂😂😂👌✌✌oyooooo

    • @khadijashabaninimba7890
      @khadijashabaninimba7890 4 года назад +1

      🤣🤣🤣💃

    • @bintimrope
      @bintimrope 4 года назад

      @@khadijashabaninimba7890 😃😃nimeishangalia mwenyewe kumbe marudio😂😂

  • @vagashappnecy4850
    @vagashappnecy4850 3 года назад +2

    ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @esperancesudi2842
    @esperancesudi2842 2 года назад +1

    To be continued

  • @sarahsarah4919
    @sarahsarah4919 4 года назад +2

    Asateni Sana simlizi mix fellix mweda

  • @sofiamamaa5145
    @sofiamamaa5145 3 года назад +1

    Wow so sweet ❤❤though scared too

  • @chocolatebby68
    @chocolatebby68 4 года назад +2

    simuliz km hiz nazipnd ila hii c tayar jamni

  • @halimaramadhan6159
    @halimaramadhan6159 3 года назад +1

    Nzuli sana

  • @rehmaaally5020
    @rehmaaally5020 3 года назад +1

    Alitakiw kuham since the day he saw the red flag

  • @HappyMbaga
    @HappyMbaga 6 месяцев назад

    Kisanga nanusu😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮

  • @wizomdanandatz9130
    @wizomdanandatz9130 3 года назад +1

    Jamn nimesoma Comments hata kabra sijaiskrza mnanitisha wapendwa jamn

  • @zammaulidi7507
    @zammaulidi7507 3 года назад +1

    Linahusu nini geti kulifunga ngeacha tu

  • @vedastuswilfred4269
    @vedastuswilfred4269 4 года назад +3

    Mbona simulizi hii si ngeni hapa simulizi mix ?

    • @zuu99lfaa57
      @zuu99lfaa57 4 года назад

      Vedastus wilfred hii wameweka full kwa pamoja mwanzo walitoa kwa namba sio mpya

  • @josepkaembi3365
    @josepkaembi3365 3 года назад +1

    Nitumie mamba yamajini

  • @bintimrope
    @bintimrope 4 года назад +3

    Kumbe marudio🙄🙄

  • @beatricebarbara3712
    @beatricebarbara3712 2 года назад

    Duuh jaman maajabu haya uwiii duuh

  • @azizamini3226
    @azizamini3226 3 года назад +1

    Mmmhh....Duniani munamambo

  • @KhadijaKhadija-uc2uw
    @KhadijaKhadija-uc2uw 4 года назад +3

    Kitu konk

  • @berthapius8407
    @berthapius8407 4 года назад +4

    Isije kuwa mambo ya nyumba ya wafu yapo humu,hii ya kusikiliza mchana.

  • @edmundrusseta7408
    @edmundrusseta7408 3 года назад +1

    🤯🤯🤯
    🇹🇿

  • @saumumazera7161
    @saumumazera7161 3 года назад +1

    Wewe bado anabaki unatetemeka na kuogopa lakini bado uko hapo watetemeka

  • @mwagotimwanamvua5883
    @mwagotimwanamvua5883 4 года назад +3

    Naikumbuka, ila hainiishi hamu

  • @kcscampan596
    @kcscampan596 3 года назад +1

    Hiyo saut ya mzik hua inanpa hisia kal sn yn navuta pic namna mtu anavo pitiavmagumu🙄🙄🙄

  • @ingabireshakira9631
    @ingabireshakira9631 4 года назад +2

    Wakwanza