Hata mpate mafuta nchi nzima bado nchi itakuwa maskini kutokana na viongozi wa ccm walivyokuwa mahasidi na nchi yao wanaroho mbaya hawapendi wananchi wake waishi kwa furaha nyie hata muwe na nchi nzima mchanga wa dhahabu bado mtakula mashelisheli mpaka kiyama kutokana na mafisadi wa ccm wote wezi.
Kabsa corruption hawezi kuwa kama dubai mafuta watu wao wmenemeka na mafuta na wanaishi maisha poa utasikia akuna ata meananchi atakayegengewa nyumba yni😢
Hayo mafuta wala yasiwape kusema hii Tanganyika Mungu katuruzuku kwa mengi tu, mafuta yako mengi tu nyie chimbeni na mengine muungie mboga hatuyahitaji huku.
Mkesha yachimba muwanufaishe vibaraka wenu wa Tanganyika wazawa watakua hawana taaluma ya kufanya kazi jambo ambalo sio kweli Zanzibar wasomi wetu wapo kazi shida 😢 mpaka JKU wabongo wanapata ajira 😂😂😂😂😂
Acheni usenge mbona huku Tanganyika wakuu wa wilaya mikoa wamejaa kibao kutoka Zanzibar mbona sisi hatusemi maneno ya kijinga kama ya kwenu ndio maana nyinyi hamuwezi kuendelea kwa sababu ya rohooo mbaya yenu ya kijinga mbona nyinyi huku bara mmejaa kibao sana
Hivi hamjaanza kutoa hata ndio moja mshaanza jeuri mmesongana bara na hasa Tanga Kwanini hamkai mkatulizana kwenu wki kadhaa zilizo pita imekamatwa Dhahabu mmetiibia inavushwa kilo 15 mnataka kupeleka Kwa mashoga zenu Oman wezi wakubwa yalisha tokea tena akadakwa Naushad huko cha kuona kuleta bara nini mashoki shoki??? Maana kurafuu Huku tunayo, Ila endeleeni na jeuri iko siku Mawe yataongea.
PONGEZI SANA KWA WANAZANZIBARI..MKO MAKINI SANA. ILA NASIKITIKA SANA,KWA NCHI YA "TANGANYIKA"....SIJUI WAPO WAPI....NA UONGOZI WAKE UPO WAPI..?? -TUNA RASILIMALI CHUNGU NZIMA..LAKINI, MMMHH,SIJUI
Shida ni mifumo ya uongozi,kama mnakumbuka mwanzo wa sekeseke hili Tanganyika walitaka iwe ni mali ya muungano. Baada ya mivutano ndio ikatolewa sasa kwa ukubwa wa Zanzibar laiti ingekua inajiamualia mambo yake yenyewe basi tungekua tupo mbali sana na hili ndio jambo gumu,tusione tumepata bahati ya Mtende tu mara hii kua viongozi wanapigia kumoja ila kauli zingepishana.
Hata mpate mafuta nchi nzima bado nchi itakuwa maskini kutokana na viongozi wa ccm walivyokuwa mahasidi na nchi yao wanaroho mbaya hawapendi wananchi wake waishi kwa furaha nyie hata muwe na nchi nzima mchanga wa dhahabu bado mtakula mashelisheli mpaka kiyama kutokana na mafisadi wa ccm wote wezi.
Kabsa corruption hawezi kuwa kama dubai mafuta watu wao wmenemeka na mafuta na wanaishi maisha poa utasikia akuna ata meananchi atakayegengewa nyumba yni😢
Bei bado itakua juu adi leo jaman kununua chombo cha moto adi tuangalie cc
Uchaguziii kila kitu mtasema 😂😂😂😂😂😂
Tanzania inachimba gesi tokea 2008 mpaka leo hamna kitu mtwara masikini vilevile watu wake wamepuuzwa wanyongeeee.
Viva Tanzania 🇹🇿 ila mmmmh sehemu zinazochimbwa mafuta Hali so shwari
Zanzibar mngekuwa mbali sana kimaendeleo kama mngetengana Na vichogo Tanganyika
Hebu muulize dada Yako na mama yako vp tuwatenge hao vichogo!?
@@philipombwambo1980Vichogo wa Tanganyika wanamega Asilimia kubwa ya mapato ya Zanzibar kwa kisingizio cha Muungano
@@OmerSuley-gl7gomna kitu gani cha ajabu mbaka Tanganyika imege kwenye inamega kalafuuu au😂
Mapato ya Z'bar unayodai Yana megwa yana tokana na nini?
Hakuna uchimbaji mafuta hapo kasshindwa sheien 😂😂😂
Dudia ina hamia kwenye renewable energy sources sisi ndo tunawaza mafuta kuanza kuchimba
Koloni la Tanganyika tu nyie msituzonge.
Hahhhahaa Mchele tuu Bei upo Juuuuu
Hayo mafuta wala yasiwape kusema hii Tanganyika Mungu katuruzuku kwa mengi tu, mafuta yako mengi tu nyie chimbeni na mengine muungie mboga hatuyahitaji huku.
Mkesha yachimba muwanufaishe vibaraka wenu wa Tanganyika wazawa watakua hawana taaluma ya kufanya kazi jambo ambalo sio kweli Zanzibar wasomi wetu wapo kazi shida 😢 mpaka JKU wabongo wanapata ajira 😂😂😂😂😂
😂😂😂 Tena wanyamwezi wamasai waha 😂😂😂
Wallah huu upumbavu unakera sana Watanganyika wabaki kwao ila ni ving'ang'anizi hatari
Acheni usenge mbona huku Tanganyika wakuu wa wilaya mikoa wamejaa kibao kutoka Zanzibar mbona sisi hatusemi maneno ya kijinga kama ya kwenu ndio maana nyinyi hamuwezi kuendelea kwa sababu ya rohooo mbaya yenu ya kijinga mbona nyinyi huku bara mmejaa kibao sana
@@ProsperUlungi-p3t wew ni mpumbavu kabisa kuna mambo ya muungano na kuna mengine sio ya muungano na hashuo zako
Hivi hamjaanza kutoa hata ndio moja mshaanza jeuri mmesongana bara na hasa Tanga Kwanini hamkai mkatulizana kwenu wki kadhaa zilizo pita imekamatwa Dhahabu mmetiibia inavushwa kilo 15 mnataka kupeleka Kwa mashoga zenu Oman wezi wakubwa yalisha tokea tena akadakwa Naushad huko cha kuona kuleta bara nini mashoki shoki??? Maana kurafuu Huku tunayo, Ila endeleeni na jeuri iko siku Mawe yataongea.
Shida sio mafuta kupatikana shida ni mikataba mibovu mtakayoingia, na kuweka percent zenu
Mafuta yako Zanzibar sheria za udhibiti mwenyewe ni Tanganyika hiyo ni danganya toto,
Mafuta ya Tanzania msituzingue Tanzania ipate 93.4 Zanzibar ipate 7.6 si ukichaaa uo na upuuzi.
Tunataka zanzibar yenye mamlaka kamili tupate kutumia rasilimali zetu
Na uku bara mafuta yapo hasa ktk mwambao huu wa pwani ktk mikoa ya Mtwara, Lindi, Pwani, dar-es-salaam na Tanga
Mapata yatakuja na bara au yataishia huko huko..?
Madini ya tanzanite na mengi neyoo mapato yake si yanakuja znz kutoka uko tanganyika
Yachimbwe tu ,ila Diddy hatumtaki
Tushazichoka izi story😂
Mafuta yangechimbwa kipindi cha mzee magufuli ningeamini kidogo kuwa huenda tutanufaika long kwa itawaka wa sasa hakuna kitu kabisa
Mnamaneno mengi vitendo hakuna
Action basi maneno we very tired
PONGEZI SANA KWA WANAZANZIBARI..MKO MAKINI SANA.
ILA NASIKITIKA SANA,KWA NCHI YA "TANGANYIKA"....SIJUI WAPO WAPI....NA UONGOZI WAKE UPO WAPI..??
-TUNA RASILIMALI CHUNGU NZIMA..LAKINI, MMMHH,SIJUI
TATIZO MNA UBARA NA UPWANI
Shida ni mifumo ya uongozi,kama mnakumbuka mwanzo wa sekeseke hili Tanganyika walitaka iwe ni mali ya muungano.
Baada ya mivutano ndio ikatolewa sasa kwa ukubwa wa Zanzibar laiti ingekua inajiamualia mambo yake yenyewe basi tungekua tupo mbali sana na hili ndio jambo gumu,tusione tumepata bahati ya Mtende tu mara hii kua viongozi wanapigia kumoja ila kauli zingepishana.
Wap wanasubiri yachimbwe Zanzibar nawa wapate
Watanganyika wanaipinga Tanganyika yao Sasa huu ndio ujinga asa
Tatzo mnaongea san vitendo hakuna
Watanganyika waje wachukuwe
Acheni usenge hatuchimbi mafuta kwa kwa wasenge nyieee weziii wakubwa
Reja😂😂😂
Waangalie tu wasifaidike wachina tu
Kilomita 6000 za mraba hiyo znz haifiki kilomita hizo wacha kutudanganya wewe