Dizasta Vina - Money

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 июн 2023
  • Official Music Audio of the record Money
    Written and Performed by Dizasta Vina
    Music by Ringle Beatz
    Produced by Ringle Beatz
    Stream and Download Money
    Audiomack - audiomack.com/dizastavina/son...
    Boomplay - www.boomplay.com/songs/635549...
    Mdundo - mdundo.com/song/2081296
    Spotify - open.spotify.com/track/6gRbvj...
    Other contents
    Audiomack - audiomack.com/dizastavina
    Boom play - www.boomplay.com/artists/3288611
    Mdundo - mdundo.com/a/2263
    Spotify - open.spotify.com/artist/1IC2b...
    Apple music - / dizasta-vina
    Connect with Dizasta Vina on social medias
    Instagram - / dizastavina
    Twitter - / dizastavina
    Facebook - / dizastavina07
    sw.wikipedia.org/wiki/Dizasta...
    Business: Pan.authentik@yahoo.com
    Website - bio.link/dizastavina
    Lyrics
    Money makes the world go round x2
    I say money makes the world go round
    Money makes the world go round
    I heard makes the world go round x3
    Money makes th...
    Ikasikika sauti wananchi tuna msoto na mashaka
    Pesa imefichwa na kigogo mwenye madaraka
    Mjira hamna maisha hovyo tumechoka kusafa
    na kuanzia sasa tunaingia chocho kwenda kukaba
    Akapita kibopa mwenye afya
    Akiwa ana suti kali ni dhahiri ametoka kwenye Hafla
    Hakusalimia kwakuwa ana kiburi
    ila ghafla akajikuta kwenye kona la kibaka
    Kona la kibaka asiyezubaa hasira imemjaa
    Amechakaa life imemchapa
    Kamvaa kibopa kampiga roba matata
    Pochi ikadondoka muhuni akaokota akachapa raba
    Masaa kama nane kibaka hajala hata
    tumbo linadai na isitoshe jana alilala kapa
    Akaenda kwa mama Muuza akapiga Nguna
    Alafu kabla hajasepa akauliza "nikilala huduma nitapata?"
    Muuza ni dada fulani mwenye bodi tata
    Kipato hakimtoshi anahitaji kodi ya alipopanga
    Mwenye nyumba ni mgomvi anahoji anataka mkwanja
    Anasomesha mtoto Boarding ana boarding wanataka ada
    Mtoto anayelipiwa ada ye hayuko shule
    Shule amechoka anatoroka anauza ngada
    Tatizo lake mzembe alipewa mzigo akaupoteza
    Na anadaiwa na bosi mtata
    Sasa ameshahamaki yuko njiapanda
    Mkono mmoja kwenye kichwa mwingine ameshika ada
    Anataka kumpa Mtasha anawaza hela haitoshi anaahirisha
    Anaenda kwa Pusha kuvuta ganja
    Money makes the world go round x2
    I say money makes the world go round
    Money makes the world go round
    I heard makes the world go round x3
    Money makes th...
    Anafika kwa Pusha anapewa
    Kipuli anavuta mastimu anapata
    Anatoa mpunga ili amlipe pusha
    Pusha hajainuka mzuka umepanda
    Pusha kaona Polisi wakuda kama saba
    Pusha hajaficha Puya anakuta mbwa wametanda
    Dogo kaangusha mpunga kasepa Pusha kasanda
    Hawezi furukuta kuruka ukuta kote wamesanda
    Riziki mafungu saba wanasema
    Pusha kafunua yote mafungu saba hajapata hata moja
    Polisi wanaona Pusha hana ujanja
    Ni aidha waelewane au aende Central akanyee makasha
    Pusha akaokota mpunga ule mpunga dogo kauacha
    Akihesabu ni nyingi na bado anatoka kapa
    Akawaza akimbie labda akaogopa maana
    Mmoja ameshika Maga kubwa SMG chata
    Akampa mkuu chake na wale wenzake akawapa
    Kila mmoja akala zake akaenda zake kudampa
    Mmoja gambe mwingine anajua kwamba
    Anahitaji dawa kwa maana mkewe anaugua Kansa
    Mwingine ni kamali amekubuhu hawezi acha
    Kufika kwa Sadali kazungukwa na Mashanta
    Na habari wote tayari wanaijua namba
    Yaani hata ucheze kwa shari mali hauwezi pata
    Kila akicheza hola anaokota garasa
    Akicheki mkwanja unatoka anaanza kuogopa karata
    Chombo kinaenda mrama, mchuzi umekosa radha
    Pesa sabuni jamani Polisi akaanza kudata, Coz
    Money makes the world go round
    Money makes the world go round
    I approve that Money makes the world go round
    Money makes the world go round x2
    Ikasikika toba tena kwa sauti ya kwanza
    Wajanja Mkwanja wamekomba na mjinga nauli imekata
    Maniga wamekomba dola wamezama machaka
    na Wasaa wa kugawana chapaa ndio ikawa utata
    Akasikika dogo " Nawaheshimu sana mabradha "
    Mnafanya mgao gani ambao siuhafiki hasa
    Vile mimi ni mdogo mnanifanyia undava
    Hamuwezi mkagawa kote alafu mimi Mkaniacha
    Mshata akajibu akasema dogo kausha kwanza
    Hauwezi ukapaza sauti mahala ambapo hauna chata
    Hauna ubavu hauna title kauli hauna Kaka
    Hauna mo.....
    Dogo akakunja ndita hasira kushinda Mdada
    Aliyepima akajikuta na Mimba baada ya kubakwa
    Gadhabu ya kwanza ishu kuwaza
    Akakata shauri akachukua kisu akaanza kumfata yule kaka
    Sauti ya uchungu ikasikika dogo aking'aka
    Nipeni haki yangu la si hivyo moto utawaka
    Mkononi zana kali akamfata braza
    Uku braza anatamba kama ubavu anza kunikata
    Tumekulea sisi hapa mjini kabla
    Haujaanza kujua jiji kipindi kaka yako kafa
    Alileta ujuaji mwingi kama ufanyavyo wewe
    Tukamchinja mwili Kibiti kichwa Msata
    Aliishia hapo hakumaliza hata
    alichotaka kuongea alitoa macho kama kakabwa
    Maneno hayatoki tena hali ime-change ghafla
    Kisu tumboni kauli imekata ndio maana wanasema kuwa..
    Money makes the world go round x2
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 284

  • @abdulrazack9577
    @abdulrazack9577 11 месяцев назад +6

    GOAT

  • @dillungajrgasper9178
    @dillungajrgasper9178 Год назад +46

    Wakwanza naomben like zangu Kam unamkubali black maradona

  • @asukilekipamila72
    @asukilekipamila72 Год назад +6

    top 3 song in the verteller.
    the way pesa inachange hands from kibopa, kibaka, dada muuza, landlord, mwanafunzi kwaajili ya ada... ah! this man's a genius.
    NO ONE COMES CLOSE

  • @allykaizar1011
    @allykaizar1011 Год назад +7

    Tukamchinja kichwa kibiti mwili msata noma xna

  • @allykaizar1011
    @allykaizar1011 Год назад +5

    Ujawai kukoxea kuanzia kanisa mpaka money Viva dizasta sarute kwako boe

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious Год назад +3

    Mkuu Sijawahi Kukupinga 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼

  • @rodrickmataba8999
    @rodrickmataba8999 Год назад +7

    Wananchi tuna msoto na mashaka... Pesa imefichwa na kigogo mwenye madaraka...

  • @jabirprivatus1655
    @jabirprivatus1655 Год назад +6

    This is next level.. bro unapaswa sasa uwasaidie bongo movie kuaandaaa story kama hizi

  • @rich.kizza10
    @rich.kizza10 Год назад +4

    Goma kali hili kaka, naona umelileta tena

  • @KSACTV
    @KSACTV Год назад +8

    This kid is goated a beast on the mic 🎤 tz hope you guys ain’t sleeping 🛌 on him

  • @dladchalle9179
    @dladchalle9179 Год назад +3

    Money makes the world go round........Tunakubaliana kwamba pesa ndo kila kitu @dizasta sio😅😅😅😂

  • @sheby_art_tz5339
    @sheby_art_tz5339 Год назад +4

    Wakwanza mimi nipewe maua yanguuu

  • @silasgerrychannel225
    @silasgerrychannel225 Год назад +5

    Ngoma zake ni Kali,, ukisikia intro tuu huhitaji kusikia Hadi mwisho kujua ni nouma ile mbaya,,
    Dizasta Vina you killin it again and again
    Money makes the world go around
    Money makes the world go around
    What a chorus,,, very simple but meaningful and very tasteful
    Badman in hip hop Dizasta Vina,,, hats off to you ma man

  • @luckyone2437
    @luckyone2437 Год назад +3

    Mimi ulinikwaza tu kushusha brand yako kumjibu kaka yake Paula/ Levels zako ni unreachable🙌🙌🙌✌✌

  • @HansMellody
    @HansMellody Год назад +5

    Dizasta ndo jina la ushindi,we jamaa unajua sana ,ila mistali yako inatesa sana akili😢

  • @marleysumaty2942
    @marleysumaty2942 Год назад +4

    This jamaa is so dope amepanda sana juu ktk list yangu ya hip hop artist bora bongo

  • @mdkkomba5403
    @mdkkomba5403 Год назад +3

    Daah sijui unawazaga Nini kaka tungo zinaatali Ani ndomaana fidQ ata acha kuku sikiliza wewe ni 🔥🔥

  • @valencepaul4604
    @valencepaul4604 Год назад +6

    Acha nibaki underground huku ndo mitutu inapofichwa💣

  • @ramadhansalum6800
    @ramadhansalum6800 Год назад +3

    Dogo kausha kwanza Hauwezi ukapaza sauti mahala ambapo hauna.............Dizasta🙌🙌🙌

  • @snaidertv1857
    @snaidertv1857 Год назад +3

    Mzeee bongobongo so rahis nmeiskiliza hii ngoma inaujumbe miubwa sana umetumia sanaa kubwa be blessed

  • @mosesdavid-vm5hk
    @mosesdavid-vm5hk Год назад +4

    Bonge Moja la ngoma kudadadadadekiii

  • @ibrahimkambunga3081
    @ibrahimkambunga3081 Год назад +3

    Cjawahi kukupinga Kaka dizasta 🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥

  • @nickyvanich6214
    @nickyvanich6214 Год назад +3

    Uh ngoja ni hatari lakini huyu jamaa ni kiboko yao❤❤

  • @uswegehamza5968
    @uswegehamza5968 Год назад +3

    ukweli usemwe dizasta vina n mtu hatar sana 🔥🔥🔥🙌💯🌹

  • @boscochilongola6507
    @boscochilongola6507 Год назад +5

    A best story teller I ever heard prof vina

  • @allyviva8328
    @allyviva8328 Год назад +2

    Noma sana dizasta vina lete ya mwanaume wa afrika moja ndefu kali

  • @kungwe3792
    @kungwe3792 Год назад +3

    Daaah oya utengwe Kaka ujua kuandika

  • @karimshabani771
    @karimshabani771 Год назад +3

    another hit song from black maradon hii ngom yakuwek replay

  • @mzeebaba6045
    @mzeebaba6045 Год назад +4

    black maradona, black genius, black mtanzania🙌🙌🙌

  • @muliecoco6224
    @muliecoco6224 Год назад +5

    Kuna mtoto aligusa Busha wazee, nilicheka😂😂

  • @shaddyqualityfurniture3595
    @shaddyqualityfurniture3595 Год назад +2

    Yeeeees 🔥🔥🔥🔥 my favorite story telling song... the VERTELLER

  • @user-oz8dt5of5j
    @user-oz8dt5of5j Год назад +5

    We ni rol mod wangu ! Narap kama ww na me naamini kukucopy sio Dhambi

  • @paulfrancis8160
    @paulfrancis8160 Год назад +3

    speaking of the The Realest G, @dizasta Vina ur one of the best that will always be in this Rap Game, This is not Yooh yooh flow.I swear if Rapcha will write a storytelling track like this bhas the 1st verse itamchukua 2 years kukamilisha only that single Verse..but my brother u make this rap Game look easy the way u do it.U are lyrical minded Watanzania wengi wanashindwa kuona na kuelewa hii becoz they do like easy come easy go staffs. If u have that brain to listen and analyse lyrics then u are in a rght place....aaaaaayeeee......

  • @hipolitemarcus8240
    @hipolitemarcus8240 Год назад +2

    Tema mwanetu, tunakuelewa

  • @ashuramuhammed3257
    @ashuramuhammed3257 Год назад +3

    Dizasta vina vina ww ni zaidi ya msani ww teacher wa fasihi#

  • @davidichaly7483
    @davidichaly7483 Год назад +3

    Mwamba diza unajua sana

  • @massytv9601
    @massytv9601 Год назад +2

    Noma mkuu we niwa sayari ingine

  • @Yo_tune-tb5sn
    @Yo_tune-tb5sn Год назад +4

    Last story imenikosha sana kaka yadogo ila we nomaaaaa🔥🔥🔥🔥

  • @rojasmwakalinga2241
    @rojasmwakalinga2241 Год назад +3

    shout-out brother.. your on fire 🔥

  • @jollityjorgan5920
    @jollityjorgan5920 Год назад +2

    Money makes the world go round 🙌🙌🙌🙌

  • @JaymaderMakaveli-tv3sc
    @JaymaderMakaveli-tv3sc Год назад +3

    👑 vina natamani sanaaaa kujua kama ww

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 Год назад +3

    They say money makes the world go round I make it stop. Good track reminds of immortal Technics .. dancing with..

  • @peterminja8097
    @peterminja8097 Год назад +2

    Yo deserve tuzo broh🙌🔥🔥🔥

  • @emmanuelodunga5021
    @emmanuelodunga5021 Год назад +2

    Dizastar Atari sana💪💪💪💪💪💪tokea kenya

  • @imanisiame6070
    @imanisiame6070 Год назад +1

    let us keep on praying masikio ya viziwi wanaosikia na vipofu wanaoona yafunguke waziache kelele warudi kupata elimu kutoka kwa our lone man army, brother "DIZASTA"

  • @blackblue9729
    @blackblue9729 Год назад +2

    Money makes the world go around 🔥🔥🔥🔥

  • @kyternjunie2835
    @kyternjunie2835 Год назад +3

    Dizata hata kwenye biti la rhumba anajua kufikisha ujumbe kwa mashabiki zake 🔥🔥🔥.....

  • @hipolitemarcus8240
    @hipolitemarcus8240 Год назад +2

    Dah unakichwa gani wewe, ni zaidi ya kipaji Cha kawaida

  • @alfredsoso9070
    @alfredsoso9070 Год назад +4

    profesa tungo

  • @LBproducerGosp-Music
    @LBproducerGosp-Music Год назад +3

    This is dizasta vina a.k.a THE BEAST SLAYER

  • @suleymanmakiwa1651
    @suleymanmakiwa1651 Год назад +2

    Aisee

  • @kandegewa7-gg7dh
    @kandegewa7-gg7dh Год назад +4

    ❤❤❤

  • @barakamangula
    @barakamangula Год назад +3

    You kill it bro

  • @vevewalker4784
    @vevewalker4784 Год назад +4

    💰 ajira amnaaaa

  • @iraisolomon5990
    @iraisolomon5990 Год назад +2

    Protect this guy at all cost!!

  • @yuzhoshaban5367
    @yuzhoshaban5367 Год назад +2

    You think differently sana mzee, the best rapper ( storyteller) ever in tz

  • @nyotamy3678
    @nyotamy3678 Год назад +4

    💪🏽

  • @BabuGga-td3mg
    @BabuGga-td3mg Год назад +4

    Mwanzoni nikazan ni Kendrick Lamar,huu ni uandishi wa viwango kwenye masikio yetu wasikilizaji, Appreciate ✊🏿✌️👍👏

  • @Bamwenga_Mural_Brother
    @Bamwenga_Mural_Brother Год назад +4

    Duuuhh.....
    Kweli Money makes the world g.....

  • @tariqkhassim4059
    @tariqkhassim4059 Год назад +4

    DISASTER VINA KWA KINA NAINAMISHA SKIO .NSKIE TUNGO TATA TOKA KWA MTU MATATA ASIE NA UTATA AKIIMBA KWENYE BEAT ILIYO SLOW UTAMTAKA🙌🙌🙌🙌

  • @JaymaderMakaveli-tv3sc
    @JaymaderMakaveli-tv3sc Год назад +3

    👑 vina

  • @shebbybrain9346
    @shebbybrain9346 Год назад +2

    Nakubali💯

  • @rizickkalamata257
    @rizickkalamata257 Год назад +2

    money makes the world go round
    Daaah 😊

  • @gaddibullahtzg5635
    @gaddibullahtzg5635 Год назад +3

    Dizasta Vinaaaaaaa

  • @calvinsbk
    @calvinsbk 11 месяцев назад +4

    Unajua sana😂

  • @clichytraveller6897
    @clichytraveller6897 Год назад +2

    Dizasta fundi Sana yani hatumii nguvu

  • @BantuMtabwa
    @BantuMtabwa 29 дней назад

    Hyuuuuu jmaaa wanasubr afe ndo waanz kusema mazr yke daaaah dunia hiii tz hiii haj kuptkn muandish km hyuuuu

  • @michaelkimaro
    @michaelkimaro Год назад +3

    Daah mwanang unajua mpk unakera sas 🔥

  • @4nil04
    @4nil04 Год назад +2

    Hili chuma dah🔥🔥🔥🔥🔥

  • @macberryofficial
    @macberryofficial Год назад +2

    You always kill man😊💪 Dizasta mwenyewe! Love from 🇧🇮

  • @youngzubelyzubely2288
    @youngzubelyzubely2288 Год назад +2

    Kitu kizito.. jamaa D VINA unamaterial had unajisahau unaingia dakika ya 5 na uchafu mzee baba.. daah kunawasanii ila huyu ni fuvu la wasanii❤❤❤

  • @mafioso26411
    @mafioso26411 Год назад +34

    Best rapper of all the time

    • @abuumansoural-amrik6317
      @abuumansoural-amrik6317 Год назад

      No man he is just the best of his generation,Hasheem dogo still undisputed but this man will be up there too

    • @LANDLORD_TV
      @LANDLORD_TV Год назад

      Yo bruh am not jux ur fan now, Am ur disciple

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 11 месяцев назад +2

    Namuona Talibkweli na Mos Def ndani ya huyu jamaa heshima sana

  • @THEO_CULTURE
    @THEO_CULTURE Год назад +3

    Panaroma ndio taifa letu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @abdallahomary5930
    @abdallahomary5930 Год назад +2

    Chuma kipo Safi Sana🔥🔥🔥💪💪

  • @dullahmedia8267
    @dullahmedia8267 Год назад +2

    Nakuanzia sasa tunaingia chocho kwenda kukaba

  • @cleopamushi2478
    @cleopamushi2478 Год назад +3

    GOAT 🐐

  • @nyikaummary814
    @nyikaummary814 11 месяцев назад +3

    Aikili mingi🏧

  • @vinchystyles1675
    @vinchystyles1675 Год назад +3

    This is real hiphop!

  • @RickChazy
    @RickChazy Год назад +2

    Umeme❤▶️🎶✍️✍️💥💥🥰

  • @salehssaidategirddb2994
    @salehssaidategirddb2994 Год назад +2

    Black Maradona 🙌🙌

  • @meshackkangwe3414
    @meshackkangwe3414 Год назад +2

    Dizastavina 🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @khadrukajishabani1068
    @khadrukajishabani1068 Год назад +3

    Dizast alien ..the smg chatter

  • @godwillmawere5533
    @godwillmawere5533 Год назад +3

    Hizo hasira ni kama binti aliyepima na kujigundua ana mimba baada ya kubakwa,,
    Hahahaah

  • @paulpius5711
    @paulpius5711 Год назад +2

    Talent boy 🙌

  • @millanmanture4376
    @millanmanture4376 Год назад +6

    level five sorcerer

  • @almanalitoyngmula8079
    @almanalitoyngmula8079 11 месяцев назад +3

    GOAT .. u will always be the best .. your footprints will stay 4ever ..

  • @alimkumba9459
    @alimkumba9459 Год назад +2

    Tusiopenda kuboeka lazima tumsikilize dizastar vina 💪💪💪

  • @user-uo9ri2bc3w
    @user-uo9ri2bc3w Год назад +4

    🔥🔥

  • @meshack2559
    @meshack2559 Год назад +1

    Vina!!! Saw broo

  • @AminiNgoko-bw2no
    @AminiNgoko-bw2no Год назад +2

    Vina dizasta real hippope skills za moto

  • @kibumjohmfugale3310
    @kibumjohmfugale3310 Год назад +2

    One love...

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 10 месяцев назад +2

    Fidi q.dizasta. niki mbishi. Young killer.

  • @user-cb9us5oi6d
    @user-cb9us5oi6d Год назад +3

    Profesa tungo

  • @gbbuku4714
    @gbbuku4714 Год назад +2

    I real appriciate u all the time this is one of my favorite song all the time keep pushing manigga 👊

  • @vevewalker4784
    @vevewalker4784 Год назад +3

    Ikasikika toba tena kwa sauti ya kwanzaa

  • @sbkide8624
    @sbkide8624 Год назад +1

    Black maradona keep it up bro, kazi nzuri Sana kaka

  • @lameckbuya7569
    @lameckbuya7569 Год назад +3

    Black in this

  • @retechytgaming
    @retechytgaming 7 месяцев назад +2

    Rapcha ni mshamba sana alooo😂😂

  • @vevewalker4784
    @vevewalker4784 Год назад +2

    Mwanangu sacwizzy ndo alifanya nikaijuaa hilii sound sabu ndo lilikua ringtone 😊