Ugomvi wa Diamond na Zuchu shida Zuchu Hataki kua chini ya Diamond tatizo Nyota Sir Binladen afichua

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 май 2024
  • Unaweza kututembelea instagram @bingoonlinetz
    #bingoonlinetz
    #sisisiowepesi #TunakupaKwaWakati
    Ahsante kwa Kuiamini na ku SUBSCRIBE BINGO ONLINE TZ Na kuifanya ifikishe Subscribers Milioni 1
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 8

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman8963 Месяц назад +1

    Uongo huu sijui mtaacha lini mtihani wallahi Allah awajalie hidya

  • @sabihasalim942
    @sabihasalim942 Месяц назад

    Sasa huyu ustadhi anazungumzia kuhusu zinaa SubhanaAllah

  • @pengefeza2563
    @pengefeza2563 Месяц назад

    Kuna watu wanajua kuichafua dini ya Uislam kabisa huu hapa mmoja wao.
    Toa uongo na ushirikiba hapa

  • @MJ-rr6dy
    @MJ-rr6dy Месяц назад

    asitake kuwekwa chini? uongo wa hali ya juu, si angeanzisha lebo yake ili asiwe chini ya mtu

  • @yusternyirenda7231
    @yusternyirenda7231 Месяц назад

    Ustaz ameona atembelee upepo 😂😂😂 huo ni uongo wenye kiwango cha phd

    • @constancenzakaha1375
      @constancenzakaha1375 Месяц назад

      Uyo uwongo mtupu. Usikubari ucawi wengi wanaogopa ukaribu wako na Zucu . Ndiyo mana wana create ma swali . Acana na mshenzi uyo. Zucu kwako ni lizki kubwa.

    • @yusternyirenda7231
      @yusternyirenda7231 Месяц назад

      @@constancenzakaha1375 Kabisa

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman8963 Месяц назад

    Astaghafrullah