NONDO ZA FR. JOHN KULWA | Wekeni mikakati ya kupambana na dhambi | NOVENA YA NOELI 2024 I SIKU YA 4

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 5

  • @consolatamushi7735
    @consolatamushi7735 2 дня назад

    Nabarikiwa mnoo kwa mafundisho yako baba, kweli ROHO MTAKATIFU anakuongoza, aksante mno baba Padre John Kulwa.

  • @steventilubuza9247
    @steventilubuza9247 2 дня назад

    Asante Baba kwa neno hili. Umefafanua vzr. Barikiwa sana.

  • @rosemaryassenga3594
    @rosemaryassenga3594 10 часов назад

    Mungu atusaidie tuwe safi, tuenende katika kweli yake na tuweze kumtangaza Kristo kwa maisha yetu yote. Barikiwa sana baba kwa mafundisho ya kina... yenye kututafakarisha juu ya kuisikia sauti ya Mungu.

  • @kulwaedgar2683
    @kulwaedgar2683 3 дня назад

    Hongera sana Baba Padre John Kulwa,,mafundisho mazuri sana

  • @eliasnganira7661
    @eliasnganira7661 2 дня назад

    Hii iko vizuri. Changamoto kwa ss ni kurithisha imani