- Видео 895
- Просмотров 1 319 906
INJILI YA FURAHA
Танзания
Добавлен 1 дек 2017
UTAPENDA: Balaa la FR. THOMAS MAMBO alivyohubiri I Dominika ya 4 ya Majilio 2024 I Kanisa kuu Tabora
Neno La Mungu
Просмотров: 250
Видео
TAZAMA BARUA YA KARDINALI RUGAMBWA ilivyosomwa Kanisani na Fr. Rwechungura I Jimbo Kuu Tabora
Просмотров 5705 часов назад
Neno La Mungu
Historia ya Mt. Fransiska Cabrini, Mtawa na Mwanzilishi wa shirika | Disemba 22, 2024
Просмотров 3019 часов назад
Neno La Mungu
Tofauti kati ya UPENDO NA MAPENZI | Fr. John Kulwa | NOVENA YA NOELI 2024 I SIKU YA SITA
Просмотров 55323 часа назад
Neno La Mungu
Tafakari ya Jumapili ya Nne ya MAJILIO | Mwaka C. Disemba 22, 2024
Просмотров 2,4 тыс.2 часа назад
Neno La Mungu
Historia ya MT. PETRO KANISIO, Padre na mtawa | Disemba 21, 2024
Просмотров 712 часа назад
Neno La Mungu
DAKIKA SABA ZA FR. ANTONY BUJIKU I NOVENA YA NOELI 2024 I SIKU YA TANO
Просмотров 1874 часа назад
Neno La Mungu
NONDO ZA FR. JOHN KULWA | Wekeni mikakati ya kupambana na dhambi | NOVENA YA NOELI 2024 I SIKU YA 4
Просмотров 7994 часа назад
Neno La Mungu
Historia ya MT. AMONI NA WENZAKE, Wafiadini | Disemba 20, 2024
Просмотров 617 часов назад
Neno La Mungu
Historia ya MWENYEHERI URBANO WA TANO, Papa | Disemba 19, 2024
Просмотров 687 часов назад
Neno La Mungu
UTII KWA MUNGU NI BORA KULIKO SADAKA I FR. JOHN KULWA | NOVENA YA NOELI 2024 I SIKU YA TATU
Просмотров 8087 часов назад
Neno La Mungu
KARIBU BABA RUGAMBWA | Kwaya ya Utoto Mtakatifu I Jimbo Kuu Tabora
Просмотров 37012 часов назад
Neno La Mungu
LIBARIKI KANISA LA IFUCHA | KWAYA YA UTOTO MTAKATIFU I DEKANIA YA TABORA MJINI | 2024
Просмотров 44912 часов назад
Neno La Mungu
TUTAFAKARI NAFASI YA YESU KATIKA FAMILIA ZETU I FR. ANTONY BUJIKU I NOVENA YA NOELI I SIKU YA PILI
Просмотров 32012 часов назад
Neno La Mungu
Laana isiyo na sababu kamwe haiwezi kumpata mtu I Fr. John Kulwa | NOVENA YA NOELI 2024
Просмотров 2 тыс.12 часов назад
Laana isiyo na sababu kamwe haiwezi kumpata mtu I Fr. John Kulwa | NOVENA YA NOELI 2024
Historia ya Mtakatifu LAZARO | Disemba 17, 2024
Просмотров 11914 часов назад
Historia ya Mtakatifu LAZARO | Disemba 17, 2024
Historia ya Mt. ADELAIDA WA BURGUNDI | Disemba 16, 2024
Просмотров 11914 часов назад
Historia ya Mt. ADELAIDA WA BURGUNDI | Disemba 16, 2024
'Mnisamehe nilipowakosea' I SR SERAPHIA LOHI I aaga parokia ya Mt Theresia wa Mtoto Yesu Tabora 2024
Просмотров 1,2 тыс.16 часов назад
'Mnisamehe nilipowakosea' I SR SERAPHIA LOHI I aaga parokia ya Mt Theresia wa Mtoto Yesu Tabora 2024
MAFUNDISHO MAALUM YA KIPINDI CHA MAJILIO | Pd. Faustin Rwechugura I Jimbo Kuu Tabora | 15/12/2024
Просмотров 1,2 тыс.16 часов назад
MAFUNDISHO MAALUM YA KIPINDI CHA MAJILIO | Pd. Faustin Rwechugura I Jimbo Kuu Tabora | 15/12/2024
Historia ya MWENYEHERI ANTONI GRASSI, Padre | Disemba 15, 2024
Просмотров 6716 часов назад
Historia ya MWENYEHERI ANTONI GRASSI, Padre | Disemba 15, 2024
Tafakari ya Jumapili ya Tatu ya Majilio | Disemba 15, 2024
Просмотров 3 тыс.19 часов назад
Tafakari ya Jumapili ya Tatu ya Majilio | Disemba 15, 2024
Uzinduzi wa Jubilei ya miaka 100 Seminari kuu Kipalapala I Kardinali Rugambwa anena haya
Просмотров 36619 часов назад
Uzinduzi wa Jubilei ya miaka 100 Seminari kuu Kipalapala I Kardinali Rugambwa anena haya
Padre JOHN KULWA afichua mazito kuhusu SAYANSI YA KIFO | 'Wana Sayansi wanatudanganya'
Просмотров 6 тыс.21 час назад
Padre JOHN KULWA afichua mazito kuhusu SAYANSI YA KIFO | 'Wana Sayansi wanatudanganya'
Historia ya MTAKATIFU LUCIA, Mfiadini | Disemba 13, 2024
Просмотров 513День назад
Historia ya MTAKATIFU LUCIA, Mfiadini | Disemba 13, 2024
Historia ya Mt. JANE FRANSISKA WA SHANTAL, Mfiadini | Disemba 12, 2024
Просмотров 99День назад
Historia ya Mt. JANE FRANSISKA WA SHANTAL, Mfiadini | Disemba 12, 2024
JIONEE MWENYEWE Uzuri wa kanisa la Mt. Karoli na Wenzake I Bukene Tabora
Просмотров 233День назад
JIONEE MWENYEWE Uzuri wa kanisa la Mt. Karoli na Wenzake I Bukene Tabora
POKEA BARAKA kutoka kwa Padre Paul Kagolo na wenzake | Bukene Tabora 2024
Просмотров 196День назад
POKEA BARAKA kutoka kwa Padre Paul Kagolo na wenzake | Bukene Tabora 2024
Tazama kwa ufupi | Highlights | Misa ya Shukrani kwa upadrisho wa Pd. PAULO KAGOLO I Bukene Tabora
Просмотров 325День назад
Tazama kwa ufupi | Highlights | Misa ya Shukrani kwa upadrisho wa Pd. PAULO KAGOLO I Bukene Tabora
UTACHEKA UVUNJE MBAVU: Nondo za Fr. Lameck Laurent kwa Padre mpya kutoka Bukene Tabora | Pd. Kagolo
Просмотров 3 тыс.День назад
UTACHEKA UVUNJE MBAVU: Nondo za Fr. Lameck Laurent kwa Padre mpya kutoka Bukene Tabora | Pd. Kagolo
😂Asante baba kwakutupa ujumbe mzuri hasa ambao hatukomniki
Mungu akubariki sana Fr.
Amina sana fr Mungu akubaliki sana
Barikiwa sana sana baba
Asante kwa tafakari nzuri ya upende, ukarimu na huruma ya Mungu. Ni mafundisho mubashara ya kumjua Mungu na jinsi ya kuishi na mwenza wako
Mungu atusaidie tuwe safi, tuenende katika kweli yake na tuweze kumtangaza Kristo kwa maisha yetu yote. Barikiwa sana baba kwa mafundisho ya kina... yenye kututafakarisha juu ya kuisikia sauti ya Mungu.
Milele Amina
Amina baba padre kwa kutufundisha neno la mungu
Milele iAAmina,Baba naoshukuru kwa kutulisha neno la Mungu.Naomba unieleweshe kuhusu: Bikira Maria alipokwenda kumtembelea Elizabeth, wote walikuwa Wajawazito. Sasa Yohane Mbatizaji alipozaliwa mbona naona kama ni mda mfupi na yeye alihibiri kwamba watu wamayarishie mapito Masiha njia, kiuharisia kama wazazi owte walikuwa na mimba kwa wakati mmoja si watoto yaani Yohane Mbatizaji na Yesu watakuwa wanapisha a kidogo kwa umri?
Wanapishana miez sita
Ninapenda sana mahubiri yako. Pia napenda vile huwa unapitisha ujumbe. Kwa kweli wewe ni mtumishi WA Mungu.
Maneno yako yaleo nikichomi kweli tunayaishi.Mungu atuongoze tubadirike
Amina baba
❤❤❤❤❤merci beaucoup
Asante Fr
Nabarikiwa mnoo kwa mafundisho yako baba, kweli ROHO MTAKATIFU anakuongoza, aksante mno baba Padre John Kulwa.
Hii iko vizuri. Changamoto kwa ss ni kurithisha imani
Hongela sana Baba padre,Kwa mafundisho mazuri yako na wakatoriki wenge wanatakiwa kujifunza Kwa namna hii Ili wapate kujua kua wanacho kiamini ni Cha kweli kupita dini zote🙏🙏
Asante Baba kwa neno hili. Umefafanua vzr. Barikiwa sana.
Hongera sana Baba Padre John Kulwa,,mafundisho mazuri sana
Asante sana Fr. Nimependa sana mafundisho yako. Niko Kenya.
Nakuona Martha Igenge wa Sengerema.
Safi sana watoto wa Taboraa🎉🎉🎉❤❤
Woooooooooooooow 🎉🎉🎉 Tabora oueeeeee😂🎉😅
Looooooh utoto mtakatifu mmeosha hongeren sanaa🎉🎉❤❤
Hongera sana Dr.Merikisedick kwa mziki mtakatifu
Safi sana Mbarikiwe
Mafundisho mazuri sana lakini sauti haisikiki vizuri natumaini mtarekebisha vizuri wakati mwingine 🙏🏾
😂😂haki tena tunafrhaia mkombozi kazaliwa hatukomniki
Good teachings ,mafundisho mazuri sana Hongera sana Fr John Kulwa
Asante baba Wana wa buyuni tunayakumbuka mafunndisho Yako mazurii
Asante baba kwa mafundisho haya.Ufupisho unatugusa sana🙏
Ameen
Hongera shangazi Mungu akutangulie
Mnaandika kichwa cha habari kimipasho mipasho, Siri nzuri yafichuka’ does not even make sense, andikeni kawaida tu mtaeleweka
Asante,babakwatafakali,nzuri
Amina sister
Asante,baba
Asante baba
Be blessed baba nimeokota vitu vingi nilivyokuwa sivifahamu .
Baba ahsante Kwa mafundisho mazuri!!!
Amina
Ni kweli Baba unachosema,tuombeeni sisi waamini walei tupate uelewa wa kupambanua yaliyo matakatifu
Asante baba
Milele Amina
Amen kwa tafakari nzuri
Karibu Veronica...washirikishe wengine ujumbe huu
Asante sana kwa tafakari nzuri sana ya leo Baba
Barikiwa sana baba
Asante kwa neno lenye matumaini
Neno hili nimelipata kutoka nyanda za juu kusini !!! Ahsante sana Fr.
Asante FR mafindisho mazuri .
Tunashukuru sana kWa mafundisho mazuri sana