Milele iAAmina,Baba naoshukuru kwa kutulisha neno la Mungu.Naomba unieleweshe kuhusu: Bikira Maria alipokwenda kumtembelea Elizabeth, wote walikuwa Wajawazito. Sasa Yohane Mbatizaji alipozaliwa mbona naona kama ni mda mfupi na yeye alihibiri kwamba watu wamayarishie mapito Masiha njia, kiuharisia kama wazazi owte walikuwa na mimba kwa wakati mmoja si watoto yaani Yohane Mbatizaji na Yesu watakuwa wanapisha a kidogo kwa umri?
Amina baba padre kwa kutufundisha neno la mungu
❤❤❤❤❤merci beaucoup
Milele Amina