PART19:TAJIRI WA PESA ZA KICHAWI AELEZA ALIVYOZIPATA/KILA MWEZI NAUA WATU/NIMEMUOA MAMA YNGU/MSUKULE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 ноя 2024

Комментарии • 392

  • @elibarikielikana1824
    @elibarikielikana1824 3 года назад +11

    Dada zangu Mungu muwe nae karbu sana hii hali ya kipepo daaah so nzuri... Rizika na uliye nae af omba sana Mungu, the same kwetu wakaka

  • @lydiamokeira6062
    @lydiamokeira6062 3 года назад +4

    Jamani kwa Yesu Kuna Raha.... Sasa haya masharti meeengi na mwisho wake nikwangamia tu.. Waaah cha shetani akidumu kabisa

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 3 года назад +6

    Mzee wa bakora! Hatari sana

  • @sebiaondieki9738
    @sebiaondieki9738 3 года назад +3

    Wazazi tuombee watoto wetu jamani ....vile anaongea anashukuru mungu alichangia msiba anaogopesha sana

  • @tundakid1852
    @tundakid1852 3 года назад +16

    Bwana bakora A. K. A. Lwanda magere😜😂😂 🇰🇪 inafatilia. Daah simulizi nzuru nipe watsap naomba kitabu na io dawa ya bakora

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 года назад +1

      Dawa ya bakora usichukiwe utatesa watu

    • @credo7837
      @credo7837 3 года назад +2

      @@pilimusa7770 puli waogopa😂

    • @kelvinchacha5557
      @kelvinchacha5557 3 года назад +1

      @@pilimusa7770 Acha dogo atafute dawaa,,,,bakora muhimu 😂😂😂hujawai skia wengine wanaachwa sababu hawafanyi kazii vizuri

  • @kefasoneliakimumkeyembo1804
    @kefasoneliakimumkeyembo1804 3 года назад +2

    Ni kweli Davistar hii Elimu tunayoipata humu tungeipata kwa gharama kubwa sana ila kupitia kipindi chako tunapata kujua mambo mengi ambayo pengine tusinge dhani kama yapo👏👏👏👏

  • @aiyamhassan1321
    @aiyamhassan1321 3 года назад +15

    Hatimae leo mapema sanaaa tuko pamoja davista kauli mbiu ni ile ile ku subscribe jaman tufike on trend

  • @happyfihavango4151
    @happyfihavango4151 3 года назад +2

    Huyu anajua sana kupanga story kila alichosema ataeleza mbele anaeleza vizuri kabisa kwa mfano shemeji yake na wale alio wapa mimba yupo vizuri sana ila kwa ngono mmm kazidi na kula
    Asante kaka ubarikiwe sana kwa story yako nzuri ila usirudi nyuma tena

    • @credo7837
      @credo7837 3 года назад

      Alikuw na tamaa vibaya mmno

  • @vaghoghontweki9827
    @vaghoghontweki9827 3 года назад +4

    Shetani kiumbe mbaya sana,,,,jamaa anavosimulia hata haoneshi kujutia mambo aloyafanya,,,,hatari sana hebu ngoja tuendlee kunywa mchuzi nyama zipo chini😥😥😥😥,,,#PAMOJAMTUMAKINI

    • @khadijaomari9344
      @khadijaomari9344 3 года назад +1

      kweli ni majivuno tu ata ajutii

    • @vaghoghontweki9827
      @vaghoghontweki9827 3 года назад +1

      @@khadijaomari9344 Daa Nkweli mana utafkiri alivovfanya ni vzr et

    • @Laila-lz4ij
      @Laila-lz4ij 3 года назад

      @@vaghoghontweki9827 Sasa ndio it makes sense Maneno ya Ashura aliposema kabla hajapotea kama huyu kaka Ana kiherehere. Labda ndio alikuwa a nakusudia haya

    • @KhadijaMwenda
      @KhadijaMwenda 8 месяцев назад

      ​@@Laila-lz4ijlengo Ashura lilikuwa hili kumtumia huyu kaka alivyohajielewi hata mama yake kauwawa na Majin

  • @salumhamdu6633
    @salumhamdu6633 3 года назад +1

    Nakuatilia sana bro..ikitokaninayo kama sina haijatoka bro...big up maashaallaah mungu akutangulie sana

  • @pammymoraa3024
    @pammymoraa3024 3 года назад +2

    Babayake kauliwa na mashetani mama vile vile lakini anathani nikawaida ,majutu kweli ni hapa hapa ,roho mbaya kweli,tule jasho yetu mungu akikupa nichako milele

  • @KhalifaSaleh-x7n
    @KhalifaSaleh-x7n Год назад

    Brooo unatupa fundisho kubwa Sana mungu akusimamie katika kila hatua ya maisha yako!?

  • @kingwamaratz6062
    @kingwamaratz6062 3 года назад +7

    Davista jaman mbn unachelewaga sana

  • @navokisembo
    @navokisembo 3 года назад +2

    Duh kaka kweli aliua watu wengi, shetani kweli ni baba wa uongo. Kweli tumshike na kumtegemea Mungu na utatu mtakatifu. Vinginevyo tutachezewa

    • @neemanyasary7104
      @neemanyasary7104 3 года назад

      Hiyo ajali ya J4 na Mwamza Coach ilitokea trh 5 Sep 2014, ilikuwa ajali mbaya sana, tilipoteza wapendwa wetu, dah, Mungu amsamehe

  • @ahyatibenn8319
    @ahyatibenn8319 3 года назад +4

    mm nnastory ya maisha yangu, ila ngumu kukupata, niko nje ya nchi....

  • @deofred1517
    @deofred1517 3 года назад +4

    Pamoja sana

  • @lasandrasandra7453
    @lasandrasandra7453 3 года назад

    Daah inabidi umliliye mungu vyakutosha siwazii kama atakusame kiurahisi ivi ivi awo watoto wameniuma kama wangu vile

    • @hamidibrahim5369
      @hamidibrahim5369 3 года назад

      Mchawi kutubu ni like impossible, ndo maana hukmu yao akishikwa ni kuuliwa kwajili Hua wamefanya ubaya zisizosemeka... ukidhulumu mtu lazima umuombe msamaha kwanza ndo Allah akusamehe... sasa hapa umefarakisha ndoa ya watu, ukamuua na watoto wake, utasameheka vipi????

  • @salmakiyabosiriyamachoziha8756
    @salmakiyabosiriyamachoziha8756 3 года назад

    Kwa kweli Mungu wewe ni mkuu Yelekea hwa matajir wengi kaz yao kuyoa kafara za dam za watu wao nananufaik na utajiri du tamaa mbata iz MUNGU TUREHEM

  • @alifadhili6056
    @alifadhili6056 3 года назад +2

    Safi davistar .. vtu na mapema ausio

    • @nurudale9180
      @nurudale9180 3 года назад

      Ulikuwa mkatili sana wewe kuuwa watoto na baba na mke umemchukulia zambi sana 😭😭😭😭

  • @teddysisty320
    @teddysisty320 3 года назад +6

    Nimeitafakari hii story nimeamini Mungu hafananishwi na chochote kama kweli anamsamehe mtu kwa mauaji yote haya tumwamini Mungu,huyu kaumiza watu wengi Sana😭😭😭😭😭

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu5697 3 года назад +2

    Tuwe maakini sisi sote,🙏💪🇹🇿

  • @mariamukingazi3668
    @mariamukingazi3668 3 года назад +4

    Hii story imenifunza sana kumjua MUNGU na kusali yan saiv nasali balaa!!!

    • @mosesjohnswilla9926
      @mosesjohnswilla9926 3 года назад +2

      Mimi imenitamanisha kutafuta pesa za majini

    • @christianremnantsda5304
      @christianremnantsda5304 2 года назад

      @@mosesjohnswilla9926 😭😭😭😭😭😭😭😢😥

    • @highzacknnko9685
      @highzacknnko9685 2 года назад

      Bado unasali mpaka sasa!!!!

    • @highzacknnko9685
      @highzacknnko9685 2 года назад

      @@mosesjohnswilla9926 katafute tuu kwani kuzimu imefungwa katafute tuu uwezo unao na nguvu unazo nenda

    • @KhadijaMwenda
      @KhadijaMwenda 8 месяцев назад

      ​@@highzacknnko9685😂😂😂ili siku alete ushuhuda

  • @iadeclementine5604
    @iadeclementine5604 3 года назад +6

    Wa 55 watching from Rwanda asante Dav twajifunza

  • @salumhamdu6633
    @salumhamdu6633 3 года назад

    Hongereni kaka.......Naomba hio miti ya kazi.kazi kwa wamama broo

  • @browskymuba6923
    @browskymuba6923 2 года назад

    mzee wa bakora ya mkakati

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 3 года назад

    Mr Everything salimia Mr bakora

  • @mickeytv3691
    @mickeytv3691 3 года назад

    Amina davista

  • @mwajumachao9151
    @mwajumachao9151 3 года назад +8

    8 second 😳 tungekua tunafuatilia masomo kama tunavyofuatilia haya matokeo .situngekua mbali sana🤣

    • @aishaally8811
      @aishaally8811 3 года назад +3

      Unazingua etty

    • @athumanmakale8221
      @athumanmakale8221 3 года назад +3

      😀😀😀 Kazi na dawa...

    • @fidodido9578
      @fidodido9578 3 года назад +2

      Tatizo masomo yalikuwa hayavutii kama hivi😁

    • @nasrasway7143
      @nasrasway7143 3 года назад

      Matokeo siumeona shost tumekua raisi inchi iko mikononi mwetu

    • @hajiabdalla5772
      @hajiabdalla5772 3 года назад

      Katika masomo mazuri ni haya kuliko ya skuli. Mana ni masomo ya maisha yako

  • @mariamukingazi3668
    @mariamukingazi3668 3 года назад +1

    Jaman msisafir bila kusali kwanza!!!

  • @marietaswedi984
    @marietaswedi984 3 года назад

    Kaka yupo vizuri

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 3 года назад +1

    Shukran guys imepanda leo numbar ya subscribes 🥰

  • @anthonkephasglobalmedia7406
    @anthonkephasglobalmedia7406 3 года назад +7

    Nafunga top ten 🕙🕙🕙🕙🕙

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 3 года назад

      Hii sura kama ngeni vile 😋😋😋😋, Mie napokea wageni jmn.

    • @anthonkephasglobalmedia7406
      @anthonkephasglobalmedia7406 3 года назад +1

      @@dorcaskidoti249 huyu n muasisi brother d anajua

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 года назад

      @@anthonkephasglobalmedia7406 kabsa

    • @credo7837
      @credo7837 3 года назад

      @@dorcaskidoti249 umeanzaa tamaa zako🙄🙄

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 3 года назад

      @@credo7837 zinakuhusu nini ww? 🙄🙄🙄🙄🙄

  • @Chrishenryson-beats
    @Chrishenryson-beats 3 года назад

    Davista unafeli hapo kwenye kukumbuka ni kweli hua unasahau mambo mengi sana kama kwa musa chesa mliacha sana vingi.... Nakushauri tu uwe na kanote book kwa ajili ya kuandika japo line moja ili uje umkumbushe badae icho anachotaka kukizungumzia mbeleni kama atakisahau.

  • @yusterlucas3654
    @yusterlucas3654 3 года назад

    Davster unaniksha pia pole nakazi

  • @stanfordchimola6913
    @stanfordchimola6913 Год назад

    Stori nzur

  • @djmtengwatz1099
    @djmtengwatz1099 3 года назад +1

    Unaona....Eeh
    Unaona
    Unaonaa

  • @rasjamal9854
    @rasjamal9854 3 года назад +1

    Davistar Mata tupo pmj sana tunajifunza kila siku km wigo unatanuka kila siku

  • @festokiraryo.6107
    @festokiraryo.6107 3 года назад

    Davista ni motoooo

  • @ceciliagilbert973
    @ceciliagilbert973 Год назад

    Hiyo ni sitore au ukweli?

  • @mahmoudmussa8
    @mahmoudmussa8 3 года назад +1

    Namba 5

  • @shepherd1x84
    @shepherd1x84 3 года назад +1

    Kama dawa ya bakora haina ushirikina kwanini usiuze aisee ..hio ni golden opportunity boss!

  • @sharonwalubengo7628
    @sharonwalubengo7628 3 года назад

    Hizi parts hauna mafunzo hataa kama vile mwanzo mwanzo

  • @habibafeithal4014
    @habibafeithal4014 3 года назад +2

    Story ya mzee wa bakora ,inamfanya mister everything anacheka tu muda wote uku anasapot sehemu za shemeji tu😂😂😂

  • @nasrasway7143
    @nasrasway7143 3 года назад

    Davista nenda kwa chifu kingalu moro yule magufuli alimtaja na morogoro soko akaliita chifu kingalu pls kuna mtu kamuoji lkn ajui kuiji ila nitamu balaa

  • @isayamichael4085
    @isayamichael4085 11 месяцев назад

    Sijaskia shepu la kibantu mda mrefuu asee 😂😂

  • @aishaally8811
    @aishaally8811 3 года назад +9

    Nyie watu wa humu ndani mmenixhinda tabia txt ndo inaingia nakuta watu washacomment kama wote uwiiiiii

    • @credo7837
      @credo7837 3 года назад

      😂😂😂pole

    • @aishaally8811
      @aishaally8811 3 года назад

      @@credo7837 🤣🤣🤣 ila mie nimekuwah

  • @benomwazembe4765
    @benomwazembe4765 3 года назад +1

    Dhambi Sana'a, hadi watoto !!!!!!!!!!!!!????

  • @suzansimon5296
    @suzansimon5296 3 года назад +1

    Wanawake wenzang tusipende kukimbilia wanaume wenye pesa wengi wao Mambo yao ndo haya kikubwa tutafute wakuanza nao maisha ambayo hata sisi tutakua tunayajua kulko kukuta mwanaume anakila kitu

    • @fatmamucha4419
      @fatmamucha4419 3 года назад +1

      Mm binafs nimejifunza mengi Sana kwa vipind vya davistar tuache tamaa wanawake na wanaume turidhike na tulicho nacho na wanaume waache tabia ya kucha pia wanawake hatar sana

    • @awadhially3753
      @awadhially3753 3 года назад

      Dada tamaa kwa wanawake ni sawa na uji kwa mgonjwa

  • @marthamaligo458
    @marthamaligo458 3 года назад +3

    🔥🔥🔥👂

  • @beatricekweka6683
    @beatricekweka6683 3 года назад +1

    Mmh Ila si ulimchukulia mke ndio sababuu...loh 🤨🤨🤨

  • @michaelbengesi9838
    @michaelbengesi9838 3 года назад

    Namkubali sana mzee wa bakora za kimkakati 😂😂😆
    Bakora za kimkakati ziendelee 🔥🔥🔥

    • @somoeawadh7774
      @somoeawadh7774 3 года назад +1

      Za kimataifa 😂

    • @michaelbengesi9838
      @michaelbengesi9838 3 года назад

      @@somoeawadh7774 bro mtoto mzur yani Kiwango cha kimataifa.
      Ni bakora tu 😂😆😆

    • @somoeawadh7774
      @somoeawadh7774 3 года назад +1

      @@michaelbengesi9838 sawa darling 😂

  • @vicentsandess1115
    @vicentsandess1115 3 года назад +2

    Ila mm nachelewa san

  • @kisurangusa554
    @kisurangusa554 3 года назад +1

    Mzee wa bakora yani anapiga bakora kama hana akili nzuri, yani msimliaji una mambo,

    • @Laila-lz4ij
      @Laila-lz4ij 3 года назад

      Si akili zake hizo za yale mapepo ya baharini

  • @florencerose859
    @florencerose859 3 года назад

    Nimeipenda story hii

  • @athumanmakale8221
    @athumanmakale8221 3 года назад +1

    Davista Mata..
    Jana na Leo ...

  • @zahirrajabumgonza1174
    @zahirrajabumgonza1174 3 года назад +1

    Uyu ni mbwaaaaaaa mwituu kweli shetaniii afai ata Kama kaokoka hafaiiii ata kidigooooooo wewe ndioo ummwibia mtu mke wake alafu tena wamuuua na wanae wamekukosea nini Sasa mshenz uyuuuuu afai kusamehewaaaaa

  • @margaretwangoi6814
    @margaretwangoi6814 3 года назад +1

    Nakwambia vya shetani hakupi zote bado ni zake na unavyofanyishwa kazi ya kuua jamani 🙆‍♂️🇰🇪

  • @brianbrighton2019
    @brianbrighton2019 3 года назад +2

    Tuendlee kusubscribe jaman

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 3 года назад +2

    Mm wa Kwanza Sasa leo namm nipe hivo mnavowapaga

  • @nolascochaule9342
    @nolascochaule9342 3 года назад

    Nitachangia davister mata

  • @karrolleschon3986
    @karrolleschon3986 3 года назад

    Mr Bakora

  • @rosemarry2020
    @rosemarry2020 3 года назад

    Davistar mulize mzee wa bakora,zile m15 alizo mkopa yule mwanamke wake ambae ni mwalimu maenzie alimrudishia?

  • @benadethafrancis5223
    @benadethafrancis5223 3 года назад +5

    Wewe ulikuwa na roho mbaya Sana, ni hivyo tu Mungu si mwanadamu. Angekuwa mwanadamu asingesamehe watu km ninyi.

    • @Laila-lz4ij
      @Laila-lz4ij 3 года назад

      Umejuaje kama kasamehewa na mungu?! Navo ona aliacha vile kavunja masharti tu🤔. Kila akitaja anajuta hajutii wote aliowaua bila sababu.

    • @khadijaomari9344
      @khadijaomari9344 3 года назад +1

      yani anatia hasira uyu

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 3 года назад

      Yaani sina hata cha kusema

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 года назад

      Kabisaa

    • @benadethafrancis5223
      @benadethafrancis5223 3 года назад +1

      @@Laila-lz4ij umeona shoga eeh, huyu atakuwa alikosea mashart. Alafu anatuhubiri wkt sisi hatujamfikia dhambi. Yeye mpaka kamsujudia shetani khaa. Shoga tubaki tu na umaskini wetu. Bora ugali Maharage tunapata, daladala zipo nauli Mia nne..utajiri km huo upite kushoto. Tena anasimulia kwa majigambo Mana angejuta Angelia si kwa kuua huko, khaa.

  • @mariamripiti2137
    @mariamripiti2137 3 года назад +1

    Innalilah wainairah rajuun wanawake watu wazuri na wakiamua kuwa mashetani wanawazidi mashetani wenyewe una unalizika vipi mumeo uliye zaa nae na kukuoa nisawa kufa😳😳😳😳😢

    • @Teacher_01
      @Teacher_01 3 года назад +1

      Mwenyez mungu atupe nusra mamy.. 😓😓😓

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 года назад

      @@Teacher_01 kabsa yan🤗🤗

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 года назад

      Hatari kwakweli

  • @ashelizakaria6306
    @ashelizakaria6306 3 года назад +1

    pamoj sana

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 3 года назад

    🤣🤣🤣 akusaidie halafu usiku akuje kukunyonya.damu

  • @catherinewanjiru7136
    @catherinewanjiru7136 3 года назад +1

    👊

  • @shenjamamzingi7950
    @shenjamamzingi7950 3 года назад +1

    😲👂

  • @logicmind3500
    @logicmind3500 3 года назад +2

    Nataka namba ya huyo mzee chibalonda jamani niipate utajiri nautaka kwa gharama yeyote

    • @rajabhussein7794
      @rajabhussein7794 3 года назад +1

      Pitia sumbawanga Hadi moba kongo ukiwa moba Hadi kirungu ni jirani Sana

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 года назад

      Duh. 🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃👺

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 года назад

      @@rajabhussein7794 usimfahamishe huyo atakwenda kweli🏃🏃🏃🏃🏃😂😂😂

    • @rajabhussein7794
      @rajabhussein7794 3 года назад

      @@pilimusa7770 mwache akachemke

  • @elizanzula8375
    @elizanzula8375 3 года назад +1

    Niko makini kishenzi.... Duuh binadamu tunaelekea Wapii?

  • @Laila-lz4ij
    @Laila-lz4ij 3 года назад +3

    Na yule mwarabu aliishia wapi?!!

  • @pilimusa7770
    @pilimusa7770 3 года назад +4

    Aysha. Jirani. Khulood. Kawthar. Kalssam. Blessed. Somoe. Amina. Fatma. Zuu. Sapna. Shiza. Credo. Hamadi. Njoooni. Davista uwanjaniii🎈🎈🎈🎉🎉🎉🎊🎈🎈🎈🎈🎈🎉🎊🎊🎊🎈🎈🎉🎊🎊🎊🎈🎈🎈

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 года назад

      @@sweetie6934 karibu kipenzi changu😍😍😍😘😘😘😘😘❤❤❤❤❤❤❤

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 3 года назад +1

      Waaaaah

    • @Teacher_01
      @Teacher_01 3 года назад +2

      @@pilimusa7770 uwiii pil unavurugu mamy.. 😂😂😂😂

    • @Teacher_01
      @Teacher_01 3 года назад +1

      @@pilimusa7770 au bakora zimekukoleaa.. 🙈🙈🙈😂😂

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 года назад

      @@Teacher_01 hapalaliki hapa 🤣🤣🤣🤣 chezea mzee wa bakora wee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤❤❤❤

  • @alexjos7625
    @alexjos7625 3 года назад

    bakora za kimkakati

  • @rosellaabraham13
    @rosellaabraham13 3 года назад

    Kaka davistar ushauri wangu uwe unaweka namba hapo chini ya screen kuepusha usumbufu wa kutajataja mara kwa mara.

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 3 года назад

    mme wa dadako anaishije kwa nyumba ya mama????? taboo

  • @ayoubsanga7405
    @ayoubsanga7405 3 года назад +3

    bonge la story

  • @kalssambaboo9932
    @kalssambaboo9932 3 года назад +1

    Mambo zakisheytwan pesa yakisheytwan zinaendeshwa kisheytwan bado hujajiona mtumwa tuuh mana huna maendeleo yoyote zaidi ya kufanya zinaa tuuh umenawili kwa dam zawatu

  • @shaby988
    @shaby988 3 года назад +1

    🙆‍♀️

  • @shamilakalinga437
    @shamilakalinga437 3 года назад +2

    Davister nikirudi Tz nitakutafuta maaana sipo Tz

  • @ليلىفاكي
    @ليلىفاكي 3 года назад

    Sijawah kupata namba moja heey jaman 😂😂😂😂

  • @nasrasway7143
    @nasrasway7143 3 года назад +1

    Nomaa

  • @mohammedothuman1989
    @mohammedothuman1989 3 года назад

    Duh mm wa mwisho

  • @mohammedothuman1989
    @mohammedothuman1989 3 года назад

    Kauwa watu huyu mwamba nouma

  • @mkukistore2816
    @mkukistore2816 3 года назад

    🔥🔥🔥

  • @beautyshine935
    @beautyshine935 3 года назад

    Wamwisho watching from 🇰🇪

  • @kisurangusa554
    @kisurangusa554 3 года назад

    Davistar kwakweli wewe ni mwana harakati tupo pamoja,

  • @kingwamaratz6062
    @kingwamaratz6062 3 года назад +2

    Wakwanza leooo😁😁😁

  • @videozaaj1069
    @videozaaj1069 3 года назад

    Huyu jamaa kila demu ni mkali dah

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 3 года назад +1

    Davistar lini uko free nije unichape bakora za mkakatii, zikizidi kukolea nitakaa hata wiki nzima pamoja na ww😋😋😋😋😋🙅‍♀️🙅‍♀️

    • @Teacher_01
      @Teacher_01 3 года назад +2

      Uwiiii mamy unataka tenaa jaman juz c ulikuwa naee..... 🙈😂😂😂

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 3 года назад

      @@Teacher_01 Sijatosheka ile ya juziii wang 😋😋🥰🥰🥰🥰

    • @somoeawadh7774
      @somoeawadh7774 3 года назад

      Kojoa ulale 😂😂😂 hataki kuchapa bakora

    • @Teacher_01
      @Teacher_01 3 года назад

      @@dorcaskidoti249 uwiiii bhas wew konki na DAWA zote alizokunywa ili akukomoee hukutoshekaa... 🙈🙈🤔😂😂😂😂

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 года назад

      htr 😂😂😂😂😂

  • @baravuga622
    @baravuga622 3 года назад

    Shetani Pumbavu Sana..Anakupa hela ya Kuhonga na kula Bata tu..No maendeleo😀😁😂🤣🤣

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 3 года назад

    Sasa mzee baba c utupe izo dawa na cc tuone namna gani tutapiga bakora za kimkakati

  • @noshadmadini5768
    @noshadmadini5768 3 года назад +1

    Bakora za kimkakati kina Khulood sijui mwazijua

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 3 года назад

      😄😄😄😄😂😂😂😂 nasubiri Davistar anichape one day. 😋😋😋😋😋

    • @Laila-lz4ij
      @Laila-lz4ij 3 года назад

      @@dorcaskidoti249 shoga 😁🤣🤣🤣

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 3 года назад

      @@Laila-lz4ij ndio wangu

    • @Teacher_01
      @Teacher_01 3 года назад

      @@dorcaskidoti249 😂😂

  • @mariamnuru9939
    @mariamnuru9939 3 года назад +1

    jamani nnachelewa na nlivo ingojea 😌😌

  • @bisunmwamini6993
    @bisunmwamini6993 3 года назад

    Bakora za mkakati!daah jamaa noma!!

  • @philipoluzege3200
    @philipoluzege3200 3 года назад

    Mzee wa bakora

  • @hadijashabani890
    @hadijashabani890 3 года назад

    Ila uyu anadhambi sana ameuwa watu sana atubu kwa mola wake tena sana

  • @msalimsali6989
    @msalimsali6989 3 года назад

    Mzee wa bakora za kimkakatiii.

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 3 года назад

    Ikulu sio mjomba da vista

  • @logicmind3500
    @logicmind3500 3 года назад +1

    Jamani mwenye namba ya mzee chibalonda😏😏

  • @lizzybeth6344
    @lizzybeth6344 3 года назад +1

    Asubuhi asubuhi leo