Kimeumana!! WALIOIBA KURA NA KUFANYA VURUGU WATIWA MBARONI NA JESHI LA POLISI MWANZA,,/RPC AFUNGUKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 ноя 2024

Комментарии • 68

  • @luvanda-x6t
    @luvanda-x6t 2 дня назад +1

    Tumechoka na uwongo wenu

  • @lucimwica647
    @lucimwica647 День назад

    Kazi ya police ni ngumu sana kwa kweli! 😂😂😂

  • @MartineJoseph-u6i
    @MartineJoseph-u6i 3 дня назад +2

    Dhambi bwana ni noma

  • @agustinohizza1395
    @agustinohizza1395 2 дня назад +3

    Ndiyo maana polisi nimasikini kuanzia akilini.mpaka kwenye ngazi ya familia na akiwa na maendeleo sana anafuga kuku

    • @jamaliddiin9357
      @jamaliddiin9357 2 дня назад

      😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @lucimwica647
      @lucimwica647 День назад

      😂😂😂😂 unakaa line police nini!?

  • @AnthonyJoram-ll9qk
    @AnthonyJoram-ll9qk 3 дня назад +3

    Polisi. Waongo. Sanaaa

  • @ChristerKok
    @ChristerKok 2 дня назад

    Mungu awalinde polisi kama mioyo yenu mnaamini mnatenda haki.

  • @StephenMpallange
    @StephenMpallange 2 дня назад +1

    Kama zoezi la kupiga kura lilikuwa Bado halijaanza,kwanini karatasi ziwemo ndani ya sanduku la kupiga kura?Hizo ni kura feki za CCM,ambazo wamechakachua.

  • @bernadetamushi
    @bernadetamushi 3 дня назад +2

    Watoto wenu watateseka sana

  • @joanitamedard5105
    @joanitamedard5105 3 дня назад +3

    Kuiba kura ni wizi na ni dhambi

  • @RaphaelElikana
    @RaphaelElikana 2 дня назад

    Hamo!

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 2 дня назад

    Maaskari chama chenu ni c ipo wazi

  • @TomasMarwa
    @TomasMarwa 2 дня назад

    Kuwen wakweli

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 2 дня назад

    Mngewaacha tu maana tunajua ni uzushi tu mbona sehemu nyingine askari wenzio wamesaidia kuwafukuza mawakala

  • @bernadetamushi
    @bernadetamushi 3 дня назад +2

    Wezi nyie. Wote ni chawa tu

  • @RITHAMROSSO-t4w
    @RITHAMROSSO-t4w 2 дня назад

    😊bora ukweli lakini uongo ni dhambi

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 3 дня назад +1

    Polisi semen ukweli achana na uongo si mpango wa Mungu mtalaaniwa sana tena sana nawapa pole sana mbona waccm wao hawashikiliwi na ndio watenda madhambi wakubwa sana kuwatoa mawakala nje ni moja ya kuiba kura mapolisi laana ni kubwa sana kwenu.

  • @RaphaelElikana
    @RaphaelElikana 2 дня назад

    Amani ikitoweka mtawajibishwa

  • @Elisha-zr8ms
    @Elisha-zr8ms 2 дня назад

    Wewe we

  • @ValcoMangapie
    @ValcoMangapie 2 дня назад

    Mbona wanaosemwa ni chasema tyu. Ccm ni wasafi sana au je chadema wanapata wapi karatasi wakat zinapatikana tu kwa wacimamizi wa uchaguzi ambao wamewekwa na serikali?

  • @ErnestKasogela
    @ErnestKasogela 3 дня назад +2

    Achani uongo mtaleta vita siku moja

  • @Hemedmikole-r9e
    @Hemedmikole-r9e 2 дня назад

    Mbona wanayoyafanya ccm hamyasemi hayo mnayo yasema ndio wanayo yafanya ccm achen kutumika

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 3 дня назад +1

    Walioiba kura ni mafisiemu wenzenu na wao.mmewatia mdani

  • @SaimonMwashinga
    @SaimonMwashinga 3 дня назад +1

    Ni laana tu serikali ya ccm mungu atalipa tu

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 3 дня назад +2

    Mnatumika kama makopo ya kutawazia ya mafisiemu

  • @josephmantago2837
    @josephmantago2837 2 дня назад

    Hv siku zoote chadema ndo wanamakosa mbona ninyi police ccm sijawahi kuwasikia mnawakatà ccm kwa makosa yoyote ccm wanaiba kura lkn mnawageuzia chadema pumbavu ninyi

  • @husseinmtima6106
    @husseinmtima6106 2 дня назад

    Wa chama Cha CCM aaaaah samahami wa chama cha chadema🤔

  • @KhamisHabib
    @KhamisHabib 2 дня назад

    Hee hawa wanaotetea maneno ya Polisi ni watoto wapolice

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 2 дня назад

    Wapi wewe police mwongo sana yalitotokea hujayaona dah moto mbaka hadi mnaua

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 2 дня назад

    Ccm inajiuza wenyewe nyie chadema endeleeni kutukana tu😂😂😂😂😂

  • @RahimMallya-fh9zc
    @RahimMallya-fh9zc 2 дня назад

    Polisi mjue watanzania wamewachoka sana, mioyo yetu imejaa damu sana , kwanini mnawaonea wapinzani tu rohoni mwenu mnayo amani kabisa kweli

  • @zuberihamisi460
    @zuberihamisi460 2 дня назад

    Huyo police mpumbafu na muongo sana tetea ugali wako tu ila kuna siku mtajutia panga zikilia

  • @joanitamedard5105
    @joanitamedard5105 3 дня назад

    Kamanda upo sawa some woh

  • @KarutaHamza-rb1bn
    @KarutaHamza-rb1bn 3 дня назад +1

    Afande semakweli uchaguzi umebakwa mnajuwa kilakitu hakunauchaguzi yani bola wangeacha twende kazini

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 2 дня назад

    Hatuna police nchi hii vibaka watupu

  • @JohnMtundu-f4z
    @JohnMtundu-f4z 2 дня назад

    Porice unaongea uwongo hujui chochote au umesomea uwongo

  • @RhodaKibona-w9j
    @RhodaKibona-w9j 2 дня назад

    Wrote chadema????

  • @AzstainMedia-s8w
    @AzstainMedia-s8w 3 дня назад

    Kwanzia mapolice mpaka wagombea wote wezi ni bora mkazane kutenda mema ili mkagombanie vyeo mbinguni kuliko kuiba kura na kupata uongozi feki na malipo ni hapa hapa duniani ahera ni hukumu tu wapumbavu nyieee.......rest in peace mjomba mgufuri tutakukumbuka daima😢😢

  • @CharlesNoah-v2z
    @CharlesNoah-v2z 3 дня назад +1

    Mapolice mtauwa Sasa lakini damu itanena na nyie wote mtachomwa motoni kila akifa motoni

    • @SakinaValy
      @SakinaValy 3 дня назад

      Iv wanakuwa kisa anaiba kura hio ni balaa😊

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 3 дня назад

    Zambiiiiiiooo

  • @ismailchibonda5005
    @ismailchibonda5005 2 дня назад

    Acha uongo pumbavu

  • @EmmanuellMunishi
    @EmmanuellMunishi 3 дня назад

    Kama wameiba wafute wabaki wapinzani

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 2 дня назад

    Wahuni sana chadema ,alafu wao ndio wa kwanza kulalamika wakati wao wanaamzisha fujo za kijinga

  • @JofreySanga-lu8pn
    @JofreySanga-lu8pn 3 дня назад

    Watu wanafwatilia nyendo zote nakutafakari kinacho enderea

  • @HamisiNguche
    @HamisiNguche 3 дня назад

    Vua mewani Usione aibu kuongea uongo.

  • @heavenkimambo1318
    @heavenkimambo1318 3 дня назад

    Msidanganye moyoni mnajua yote

  • @HamisiNguche
    @HamisiNguche 3 дня назад

    Matokeo ya dhambi huja mbeleni. Chezeni tu hayo maigizo yatakuja kuwagharimu wenyewe mbeleni. Msidhani mtakuwa madarakani milele. Mtakuja kulia na kusaga meno.

  • @ChristerKok
    @ChristerKok 2 дня назад

    Simba Rajabu,unaipenda nchi yako? Mimi sio Chadema,ila naipenda haki itamalaki kwa kila chama ili nchi yeti izidi kuwa ya umoja furaha heshima na mshikamano.Mjue mungu anayaona yote yaliyo siri mwetu.Tuache kuutetea ujinga.Nawapongeza makada wa CCM baadhi yao wamebaki majumbani hawakupiga kura baada ya washindani wait kuunguliwa hutoamini lakini imetokea.

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 3 дня назад

    Hiii huyu baba kumbe jambazi situnaona kura za wizi

  • @RahimMallya-fh9zc
    @RahimMallya-fh9zc 2 дня назад

    Kamanda ivyo wewe unataka kutuaminisha chadema nchi nzima ndio wanao kamatwa tu, basi icho chama cha magaidi? Mkifute kbs, chama kikuu cha upinzani alafu kila siku polisi inafanya drama 2

  • @OnesmoEphrata
    @OnesmoEphrata 2 дня назад

    Sipigi kura susimami wapigapo kura wala time na uchaguzi sina kabisaaaa alinisieitizma mzazi akisema tangu vyama vingi vianze 1995 hajawah kupata tija yeyote ktk upigaji kura hivyo nafuata nyendo za wazazi AFRICA NI AFRICA TUU BORA KUZALIWA 🐕 ULAYA KULIKO KUZALIWA MUAFRICA

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f 3 дня назад +1

    From 🇧🇮 mambo ni mazito 😂😂 majirani zetu uko ccm awataki kutoka 😂😂

  • @joanitamedard5105
    @joanitamedard5105 3 дня назад

    Mbona hamu comment? Jamani

  • @EnockDundo
    @EnockDundo 3 дня назад +1

    Wapewe adhabu ili wajifunze

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 2 дня назад

    Wajinga sana chadema ndio mana wakajifanya watashinda kwa kishindo kumbe walishapanga wizi wa kijinga

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 3 дня назад

    😂😂😂😂😂

  • @HafidhMwinyi-fp2po
    @HafidhMwinyi-fp2po 2 дня назад

    Chadema ni venge la wahuni

  • @rashidyshemkande8099
    @rashidyshemkande8099 3 дня назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 3 дня назад

    Nia ya chadema si kushriki uchaguzi!!nia yao ni KUVURUGA na luleta vujo kwenye chaguzi!!
    Siasa za kistaraabu zimewashinda!!