Summary kuhusu Saikolojia ya Mwanamke: Vitu vya msingi (basic) alivyonavyo mwanamke; Anatumia hisia (hisia zake ziko karibu) zaidi kuliko logic (kufikiri kwa mpangilio). Anaweza kufanya mambo matatu, manne au zaidi kwa wakati mmoja tofauti na mwanaume. Matarajii ya ndoa kwa wanawake: 1. Utulivu. 2. Mapenzi (kwa maana pana) na huruma. 3. Kuthaminiwa na kushukuriwa. 4. Kujenga familia bora. Mambo 4 ni katika furaha ya ndoa: 1. Mke mwema. 2. Makazi mapana (Nyumba ya kujitosheleza). 3. Jirani mwema. 4. Kipando (Usafiri).
Asalaam aleykum Shekhe Allah akujaalie kila la kheri Ustadhi nimekusiikilza sana Wallah wabillah. Mimi ni mhanga kwa hayo unayozungumza. Yamenigusa sana mpaka dakikka hii nimeacha niko kwenye Eda kwa kifupi niliolewa mim mwaka 1981 mikaishi naye mika 29 nimezaa naye wayoto wanna. Akowa mke wa pili. Akapote miaka miwili matumizi haleti kweebda kulalamika kazini kwake kanitwaga talaka nimeish hapo miaka miwili niko hapo. Nikishindwa nikaondoka miaja 12 niko mwenyewe huto mwanamke katapeli wa. Watoto wakanobeleza nikaru kaniowa tena . Nineishi naye miska miwili. Matokeo yake abatembea na House Girl kulalami nimetwaga talaka ustadh huu ni msiba . Namshukuru Mungu wa kila jambo. Kilichobakia kujiandaa tu na. Safari ya mwisho ndicho kilichobakia nimeacha mara mbili. Hii safari ya pili Baadhi ya bit vyangu amenidhulumu nikikumbuka tu chozi hili hapa.
Sasa ulikuwa wapi myaka yote hii, kwanini nilikuwa sijakufaham? Mbona mafunzo mazuri hivi ? Nimefatilia kipengele kile cha saikolojia ya mwanaume na hiki cha mwanamke alhamdulillah nimefaidika zaidi. Allah akulipe kila la kheri sheikh wetu ❤
Tena hii maada ingekuwa ndefu sana. Ndio maana baadhi ya nchi za kiislam kama Uturuki, wameanza kuwafundisha Waalimu wa madrasa elimu ya saikolojia kiislam. Kwa sababu hii elimu ilianzishwa na sisi Waislam and ili zungumzwa kwa kirefu sana miaka hiyo ya mwanzo wa ustaarabu. I hope ataendelea kutoa series ili kuwaelimisha waislam kwa kutumia hadithi na Quran.
Wallah umezungumza vitu vidogo kwetu sisi wanawake lkn kiuhalisia umegusa ukwel ndan ya mioyo yetu na ni vitu vikubwa sn sn wanaume wakivizingatia sidhan km kuna mwanamke ataacha kumpenda na kumuheshimu mume daima Allah atuongoze wote wanaume na wanawake ktk ndoa zetu ziwe zenye furaha daima !!! Allah akupe kiti cha pekee ktk pepo ya juu kwa darasa zako nzuri sn
Umeongea vizuri sana Sheikh, asante sana, Allah akubariki na akuongezee busara na maarifa
Kipindi hichi nikizuri sana viendelee vipindi kama hivi..na uyu shehe mashalah anajua Sana kufundisha mungu amjalie Kila her
MashaAllaah tabaraAllaah yaani Sheikh wetu naona umetosoma vizuri kabisa na Allaah akujaze khery na baraka zake uzidi kuelimisha jaami
Mashallah shekhe umetupa ukweli tutajifunza
Summary kuhusu Saikolojia ya Mwanamke:
Vitu vya msingi (basic) alivyonavyo mwanamke;
Anatumia hisia (hisia zake ziko karibu) zaidi kuliko logic (kufikiri kwa mpangilio).
Anaweza kufanya mambo matatu, manne au zaidi kwa wakati mmoja tofauti na mwanaume.
Matarajii ya ndoa kwa wanawake:
1. Utulivu.
2. Mapenzi (kwa maana pana) na huruma.
3. Kuthaminiwa na kushukuriwa.
4. Kujenga familia bora.
Mambo 4 ni katika furaha ya ndoa:
1. Mke mwema.
2. Makazi mapana (Nyumba ya kujitosheleza).
3. Jirani mwema.
4. Kipando (Usafiri).
hujaweka vizuri kalima zako
Ulitaka niwekeje?@@nuurul-anwar1901
Ulitaka niwekeje? em weka na zako tuone. Unataka unipangie jinsi ya kucomment? unafikiri sawa kweli??
M
Sheikh wangu umenifurahisha sana yaani Allah akuzidishie kheri sheikh wangu wafundishe vema wanaume
Asante shekh
Allah akupe afiya njema inshallah
Asalaam aleykum Shekhe Allah akujaalie kila la kheri Ustadhi nimekusiikilza sana Wallah wabillah. Mimi ni mhanga kwa hayo unayozungumza. Yamenigusa sana mpaka dakikka hii nimeacha niko kwenye Eda kwa kifupi niliolewa mim mwaka 1981 mikaishi naye mika 29 nimezaa naye wayoto wanna. Akowa mke wa pili. Akapote miaka miwili matumizi haleti kweebda kulalamika kazini kwake kanitwaga talaka nimeish hapo miaka miwili niko hapo. Nikishindwa nikaondoka miaja 12 niko mwenyewe huto mwanamke katapeli wa. Watoto wakanobeleza nikaru kaniowa tena . Nineishi naye miska miwili. Matokeo yake abatembea na House Girl kulalami nimetwaga talaka ustadh huu ni msiba . Namshukuru Mungu wa kila jambo. Kilichobakia kujiandaa tu na. Safari ya mwisho ndicho kilichobakia nimeacha mara mbili. Hii safari ya pili Baadhi ya bit vyangu amenidhulumu nikikumbuka tu chozi hili hapa.
Mashaallah tabarakaah
Shukran Sheikh wetu mawaiza mazuri
😂😂😂mungu akupe afya njema Naumri mrefu inshaallah
Sasa ulikuwa wapi myaka yote hii, kwanini nilikuwa sijakufaham? Mbona mafunzo mazuri hivi ? Nimefatilia kipengele kile cha saikolojia ya mwanaume na hiki cha mwanamke alhamdulillah nimefaidika zaidi. Allah akulipe kila la kheri sheikh wetu ❤
Tena hii maada ingekuwa ndefu sana. Ndio maana baadhi ya nchi za kiislam kama Uturuki, wameanza kuwafundisha Waalimu wa madrasa elimu ya saikolojia kiislam. Kwa sababu hii elimu ilianzishwa na sisi Waislam and ili zungumzwa kwa kirefu sana miaka hiyo ya mwanzo wa ustaarabu.
I hope ataendelea kutoa series ili kuwaelimisha waislam kwa kutumia hadithi na Quran.
Allahmaamini
Iyo ya wanaume naioataje nimeitafuta sijaipata
Inaitwa Ivo ivo ingia hapo kweny akaunt yake utaona IPO juu ya hii ya mwanamke@@Aidhjuma
Hakika huyu shehe anamaidha mazuri sana
Maa shaa Allahu.. shekh wetu Asante sana. Jazakallahu khayran kwa elimu hii
Wallah umezungumza vitu vidogo kwetu sisi wanawake lkn kiuhalisia umegusa ukwel ndan ya mioyo yetu na ni vitu vikubwa sn sn wanaume wakivizingatia sidhan km kuna mwanamke ataacha kumpenda na kumuheshimu mume daima Allah atuongoze wote wanaume na wanawake ktk ndoa zetu ziwe zenye furaha daima !!! Allah akupe kiti cha pekee ktk pepo ya juu kwa darasa zako nzuri sn
@@MwanaidiTwaha-my6mz Aamin.
Tabarakallah
Yani shekhe utasema umeigiy ndan kwetu ukaona mapenz tunayakosa kwawamezetu Allah ukuzidishiy kila lakherii insha allah
Jazaka'Allah Kher
Ruqaia suluta :mashaallah allah akulipe kher
Mashallah..Allah ibaric
MashaAllah Tabarakallah❤
Hakika swadakta 💯
Mashallah Allah akuzidishie,
Ni jambo zuri hili mashaallah tabarakallah
mashaallah
Asalam alaikum Sheikh nimeshukuru Kwa mawaidha mazuri lkn utie mkazo kwenye mawasiliano na waume wawe na mda na wake zao In Shaa Allah
Nakuunga mkono
Mafunzo mazuli kabisa jazakallah haira
Mashalla
Asante sana
Jazakaa Allahu kheri
Kweli kabisaa
Shekh namba yako ya simu huweki kwa darsa kuku pataje?
ukweli kabisa
Shekh shamsi Acha kudanganya watu hakuna bidaah nzury na bidaah mbaya bidaah ni bidaah tu😢
Heshima ni kitu cha bure...
Ushafeli ktk maisha yako punguza makasiriko basi 😂
Khusnulkhuq inaonekana ktk mazungumzo ...kuwa na heshima kidogo😢
Mzee WA bidaa hhhhhh