@@MadamLeilaAbubakar Asante ddangu,mmi swali langu Niko na mke tumejaaliwa watto 2 mke na mume lakini sote Yuko ugenenini kutafuta maisha yye Yuko Qatar mmi niko baharain ,,nimejenga nyumba room 6 mmi nimetoa mchango mkumbwa Sana Kama mume ili tuishi vizuri lakini baada ya nyumba kuisha,,Amelia mkali haniskizi zaidi yuaskiza familia yake ,,akiongea na mmi Yuko juu Sana ,,kuna siku kulitokea MTU akisema YYe NI bbiyake wamejenga na yye kwahio nitafute nni mwengine ,,na hii namba yangu ya simu alipewa na ndugu yake mke ambae NI shemeji yangu wakiume nayye ndie alie simamia hio nyumba hadi kuisha ,,huyo shemeji,,mdogo wa mke wangu ali fariki wakakosa pahali pakusitiri mmi nikajitolea sehemu nilio Jenga kulibaki kipande cha ardhi nikatuma MMA yangu mzazi aende aongee kwa niaba yangu ili wastiri mwili,,amini usiamini katika hutuba yao ya mazishi walisema kila kitu nimke wangu ndo amejenga kwahio mmi sikutajwa wala kutambulishwa Kama mume,nilipo uliza bbi huyomtu anae sema wwe ni bbiyake wamjua alikasirika Sana hakutaka mmangu ajue wala watu wa kwetu aliskia hasira kumuuliza mbona kwa hutuba ya mazishi sikutajwa hivi mmi sio chochote kwako vibaya kumtuma mmangu ,,alicho nijibu alini tukania mmangu mzazi mmi mwenyewe na familia yangu yote,,zaidi akiniambia mmi ni mbeya nili lishwa tupu ya kku sote familia yangu akiitusi makalio yenu nimeficha hapo lakini umeelewa bila Shaka,,matusi yote mpaka sasa sina furaha nayye yuasameheka mtu kama huyo nimemwambia nyumba hio mmi nitaongezea kandarasi yangu nijipange upya tena lakini inaniuma pressure yanisumbua Sana....
Madam lela mwazo cjakujuwa umevua miwan🥰🥰🥰
Barak, Allahu fiig
❤
Somo zuri Allah awajaze kheri .ila no za madam Leila .
Jazakallah khayran
MashaAllah
Somo Zuri
Shukran JazakaLlahu Kheir nimejifunza kitu apa
Kwei
Shukran sana kwa somo zuri 🙏🙏
Ma sha Allah,jazaka Allah kheri ,Da leila
Ni kweli kabisa mke haachwi kwa kukosa kujua kupika muhimu heshima iwepo kwa mume na family
MashaIIah shukran ❤
Mashallah kipindi kizuri snaaa
madam laila uko swa kwa unacho kiongea
Allah Akbar wallah umenigusa kunako
Ukweli humuweka mtu huru❤
Hii
❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤝
Mimi nilivyoenda usukumani nilisema nitafanya kazi nyingine zote lakini kusonga ugali wenu siwezi walinielewa
Assalam alaykm,mmi naomba namba ya WhatsApp vipi naeza uliza swali mmi ndugu zangu kwenu..
Waalaykum salaam, karibu