MWABUKUSI -SITANYAMAZA LICHA YA KUONYWA!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 май 2024
  • Kamati ya Maadili ya Mawakili Tanzania TLS kimemuonya mwanasheria binafsi na mwanaharakati Boniface Mwabukusi.
    Kamati hiyo imesema onyo hilo kwa Mwabukusi ni kutokana na maelezo yaliyowasilishwa kwa kamati hiyo na mwanasheria huyo mkuu wa serikali ya kutaka jina lake liondolewe kwenye orodha ya mawakili wa Tanzania, kwa utovu wa nidhamu na kwa kuzingatia maadili ya taaluma ya sheria.
    Hata hivyo, Mwabukusi amekiri kupokea onyo hilo lakini hilo halitamzuia kufanya shughuli zake.

Комментарии • 2