BILA WOGA, MBUNGE MPINA AMJIBU WAZIRI SIMBACHAWENE - "ANGEKUJA KUCHANGIA AKAONGEA HAYO MANENO"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 сен 2022
  • BILA WOGA, MBUNGE MPINA AMJIBU WAZIRI SIMBACHAWENE - "ANGEKUJA KUCHANGIA AKAONGEA HAYO MANENO"
    NI mkutano wa 8, kikao cha pili cha bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania umeendelea tena leo Septemba 14, 2022 jijini Dodoma.
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Комментарии • 70

  • @willymnyaga8131
    @willymnyaga8131 Год назад +6

    Simbachawene analazimisha kutenga mahabusu kwakujua kabisa kuwa wahusika wakuu wa Madawa ya kulevya ni Vigogo na na watoto wa vigogo wenyewe, hivyo kufanya sehemu special.
    BIG UP SANA mheshimiwa Luhaga Mpina.

  • @kisinza6077
    @kisinza6077 Год назад +5

    Daah, Kwa mara ya kwanza sikio langu limeenda sawa na uelewa wangu juu ya hoja Yako!!! So Big up brother Mpina.👍

  • @nestor384
    @nestor384 Год назад +5

    Disciple(s) of the late Dr JPM, few defenders of truth and patriotism

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 Год назад +3

    Luhaga mpina your hero ,Mungu akulinde

  • @DaudiSimon-yc9rg
    @DaudiSimon-yc9rg Месяц назад

    Hawa ndo wabunge tuowataka siyo kila mbunge wa ccm ni kuisvia tu serekali hata kama haifanyi vizur❤❤❤❤❤

  • @sarahkelvin4845
    @sarahkelvin4845 Год назад +6

    Kanda ya ziwa 2naakili ze2 za kipekeee ahsante mpina

  • @lawijosephezekieli1078
    @lawijosephezekieli1078 Год назад +2

    Ktk nchi hiii wazarendo wanawazalau ila tambuweni watanzani wanawafatilia kumbukeni kauli ya mwalimu Nyerere maoni ya wananch ni yamuimu kuliko mawazo yenu mkiyapuzia mtakuja kuyajutia fateni watu wenu wanapendekeza Nini mtaenjoy Asante

  • @kinigarm8239
    @kinigarm8239 Год назад

    You shouldn't underestimate Mpina's suggestions. Acheni ukabila Tanzania. This man says the truth.

  • @lilykarim8968
    @lilykarim8968 Год назад

    Asante mpina tunateseka na matozo harafu hela zikajenge mahabusu ndiyo kumaliza tatizo kamjengee mwanao anayegonga watu nakujiita mtoto wa waziri waambie mpina hoyeeèe👏👏👏

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 Год назад +3

    Mpina gombea tu urais,kura yang unayoooo 🔥🔥🔥

  • @jacksonchaula6010
    @jacksonchaula6010 Год назад +2

    Mpina jembe big up brother

  • @raphaelatel3485
    @raphaelatel3485 Год назад +1

    Safi sana mpina

  • @hk_ballers
    @hk_ballers Год назад

    Mpina Real G👊🏽

  • @lispamagu5810
    @lispamagu5810 Год назад

    Mpina Mungu akulinde

  • @ngelelapeter9984
    @ngelelapeter9984 Год назад +3

    Speaker kwayo unaona bora tupitishe sheria mbovu kwa sababu amechelewa kuleta marekebisho aliyopendekeza, kweli Mungu anawaona.

  • @ngelelapeter9984
    @ngelelapeter9984 Год назад +4

    Hela zako wapi Wabunge watu wanalia maisha magumu mnataka mnataka kujenga V.I.P ya mahabusu kweli mnatupeleka wapi naomba mtuhurumie basi

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 Год назад +1

    Mpina safi sana

  • @hamismberwa5672
    @hamismberwa5672 Год назад +3

    mh Mpina umeongea ukweli mtani wangu

  • @pauloalfayo1868
    @pauloalfayo1868 Год назад +1

    Watu wanalia sana maisha magumu lakini badala kupata unafuu wanafanyiwa vituko na wabunge tuliowachagua wakatutee kweli wameona kulinda masllai Yao Bora watetee masllai Yao ya kwetu waache,Ila wapo wenye unafuu kama Hawa wa Kanda ya ziwa

  • @mabulasasi1205
    @mabulasasi1205 Год назад +2

    Simbachawene nimzigo wa chawa

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 Год назад +1

    SIMBA CHAWENE BULEEE KABISA

  • @georgemassebu2083
    @georgemassebu2083 Год назад +8

    Kanda ya ziwa Haina watu wapuuzi, ni wazalendo wa kweli.
    Swala la kukaa na mahabusu wa madawa kwa nini lisiwe Police na wao ndiyo watu wa usalama wa raiya na mali zao? Simbachawene ni bure. Watu wanaowashauri kwa hekima na kujua mnawapa taarifa tu za ajabu ajabu

  • @gasperswai6963
    @gasperswai6963 Год назад +2

    Mhe Waziri kujenga jengo siyo suluwisho tufanye capacity building kwa Vyombo vyeti na mhe Mbunge siyo anatetea wahalifu wa madawa!!!!!!!

  • @justinebaragamba9601
    @justinebaragamba9601 Год назад +1

    Umebaki peke yako Mh Mpina. Nakufahamu msimamo wako.

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 Год назад

    Mpina nakuelewa mnooooo

  • @gasperswai6963
    @gasperswai6963 Год назад +2

    Hao viongozi tulio nao sasa wanashangaza saana wananchi wanalalamika Maisha magumu purchasing power imepungua kwa kiasi kikubwa leo kuna Waziri anakuja na hijab eti kila mamlaka iwe na mahubusu nyingine ni kwa ajili ya nini??? Hizo issue za madawa kuna vyombo vya ulinzi na Usalama kwenye kila ponit of entry kwanini serikali wa strength hivyo Vyombo kwa kuboresha kwenye hizo points,?? Airport zetu kwanini wasiweke vifaa vzr na baadhi ya hao wa Vyombo wawe ni uwezo wa ku identifying hao watu!!!! Jamani ebu Mhe Rais angalia baadhi ya wasaidizi wako wawe na uwezo kuangalia nje ya box siyo kufikiria matumizi yasiyo lazima!!! Bado nchi ina mambo Mengi’s ya msingi na muhimu kuwatoa wanachi kwenye matatizo makubwa

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 Год назад +1

    Mpina yuko vizuri wengi humo ndani wanafuata upepo

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 Год назад

    Yaani speaker unamcrush juu kwa juu?

  • @Expedito2512
    @Expedito2512 Год назад

    Kweli kabisa Mpina! Kamati ni kamati na bunge ni bunge. Kwa hiyo huyo mbunge ana maana wananchi tuingie kwenye kamati tupate hayo maelezo?

  • @sarahkelvin4845
    @sarahkelvin4845 Год назад +1

    Huy simba chawene kwanz yul mwanae alichukuliw ha2a gan?

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo2852 Год назад +1

    Kamateni mapapa siyo vidagaa

  • @alphoncehanura3255
    @alphoncehanura3255 Год назад +1

    Mpina yupo sahihi ....kuweka watu kizuizini ni watu wengi watapotelea huko na watu wasiojulikana.....
    Wasomi wetu jamani.....Dr Tulia kaizima hoja kwa kuwa eti hajapeleka mapendekezo...... karne ya 21 .munaenda Ujimani...!!!!!

  • @mussamabawa2973
    @mussamabawa2973 Год назад +1

    Kongole mheshimiwa mpina

  • @ayoubngwema233
    @ayoubngwema233 Год назад

    Mhina kaongea vizur lakn kwa sababu ya kanuni spika anapitisha makosa

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 Год назад +1

    Sgr treni inaanza lini? Mwezi wa tisa huu?

  • @amalikakiva4937
    @amalikakiva4937 Год назад

    Huyu jamaa anajichanganya sana.polisi awezi kushughulika Na madawa ya kulevya.

  • @williamsenkoro2210
    @williamsenkoro2210 Год назад +1

    Naona kila wizara inalazimisha miradi Ili pesa zipelekwe wakapige. Naunga hoja ya Mpina. Leo hii tunawekewa matozo Kwa madai ya kujenga shule. Sasa shule bado zinajengwa watu fulani wanatafuta deal ya pesa zipelekwe wakapige. We are not Afghanistan ambapo society ime be affect na drugs mpaka kusema kujenga mahabusu special. Huu ni wizi unakuja...

  • @kainibachungege3430
    @kainibachungege3430 Год назад

    Hakika Mpina Ni Miongoni mwa Wabunge Mahiri na Bora Nchini Tanzania.

  • @ms123ru
    @ms123ru Год назад

    @ikulu

  • @lilykarim8968
    @lilykarim8968 Год назад +1

    Wewe tulia nifanye tukakuchukia muda umeisha vipi hata watanzania tunapinga kiondoeni kifungu hicho mnatujazia matumizi tuu

  • @ramadhankhatwib8561
    @ramadhankhatwib8561 Год назад

    Hivi hawa wa bunge wetu mbona kila mtoa hoja anapigiwa makofi

  • @efraimjohn4956
    @efraimjohn4956 Год назад

    Huyu jamaa anafaa kuwa Rais

  • @williammalangas7651
    @williammalangas7651 Год назад

    HONGERA Mbunge mpina huyo.mgogo chawene HANA CHOCHOTE amekuwaakipewa nafasi.ili kuwasaliti wagogo

  • @mikemutabuzi3665
    @mikemutabuzi3665 Год назад

    Kwa hiyo spika anamaanisha kama hajaleta hayo marekebisho hapo na hoja ina maslahi ya taifa ina maana haina maana tena, Mbona mbunge anatetea kitu muhimu sana? Hapo wanataka hela waaze kupiga tu, kwa nini magereza Yasirekebishwe kuliko kwenda kujenga mengine?

  • @amalikakiva4937
    @amalikakiva4937 Год назад

    Hawa wasukuma wanizingua.kuanzia magu atawale imekuwa kero ata vitu vya maana wanapinga 2

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 Год назад

    Hivi serikali haiwajui wauzaji mbona enzi ya JPM madawa yaliisha?????

  • @gasperswai6963
    @gasperswai6963 Год назад

    Kwanini msifanya capacity building kwa hao wanaosimamia mahubusu wengine kwani polisi hawafundishi??? Mhe yupo outof phase, Mhe Rais lazima aweze kuangalia wanaomsaidia hao wengine wanaongeza gharama kwenye uendesheji wa baadhi ya wizara

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 Год назад

    Namuona makamba anavyopiga makofi,

  • @amalikakiva4937
    @amalikakiva4937 Год назад

    Amjamuelewa pina anapinga kujengwa mahubusu ya madawa ya Kulevya.sijengwe ata elfu madawa ya kulevya ni kero

  • @jacksonsilaa415
    @jacksonsilaa415 Год назад

    Lakini huko Duniani pote watuhumiwa wa hayo madawa wana special remand mbona marchelewa sana kufikiri ,wizi mtupu.

  • @stevenlugojeremia2323
    @stevenlugojeremia2323 Год назад +1

    Badala ya Kutafuta wahusika wakuu wanao uza madawa ya kulevya nyie mnatafuta machawa wanao uza kete na kuwasumbuwa huku wahusika wakuu wakila good time

  • @nyikaaron3324
    @nyikaaron3324 Год назад

    Nyie mnapoteza muda mtu pekee anayeweza hiyo kazi ni makonda nyie hspo ni kelele

  • @mohamedrashid9035
    @mohamedrashid9035 Год назад +2

    Mpina wewe unapinga bule hata huku Ulaya kama wanagundua unamadawa ya kulevya tumboni kuna selo marumu za kukaa kunakuwa na choo na kunachujio na kutaka na utakunya tu mimi nauga mkono hizo selo ziwekwe kila mkoa

    • @mussamabawa2973
      @mussamabawa2973 Год назад

      Kwan polisi hakuwwez kujengwa hicho choo kwa ajili ya watu wa madawa ya kulevya,??

    • @mohamedrashid9035
      @mohamedrashid9035 Год назад

      @@mussamabawa2973 jibu hapana kuna polisi wanao husika na madawa ya kulevya kwa sababu Tanzania walikuwa bado wapo nyuma kwa selo kama hizo hata uku Ulaya polisi kuna selo za kawaida rakila kawa wamekukamata na madawa ya kulevya umemeza hakuweki kwenye selo za kawaida wakupeleka polisi wanao husika na madawa ya kulevya ndio ukwakuta selo hizo marumu

    • @yohanasport5929
      @yohanasport5929 Год назад

      Hizo pesa zinatoka wPi mana wananchi wanateseka

    • @florencemeza6540
      @florencemeza6540 Год назад

      Kwa hiyo wanachofanya ulaya nawe ufanye??

    • @mahembajulius7036
      @mahembajulius7036 Год назад

      Hivi we umeelewa hoja yaje? Kwani Ni kujenga selo? Hii ndo shida ya uelewa

  • @seifsungura6936
    @seifsungura6936 Год назад

    Bunge bungoma