Onyo la Rais Magufuli kwa watakaoanzisha maandamano kinyume cha sheria

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025

Комментарии • 10

  • @robssonpeter
    @robssonpeter 8 лет назад

    Dah Bwana Magufuli ananifurahisha sana

  • @abduladhimually3542
    @abduladhimually3542 8 лет назад

    Magu nakukubali saana.........itengamaze nchi yetu nengine baadae wanaotafuta democracy waendeleee kuktaftia na Mm ntawasaidia tochi

  • @vicenttheonas8339
    @vicenttheonas8339 8 лет назад +1

    mimi kwa maoni yangu vyama vya upinzani tanzania vinatakiwa kujitafakari,uchaguzi ulishapita wakati huu ni kutatua kero za wananchi,serikali iliyoko madarakani iachwe ifanye kazi ikishwidwa wakat utahukumu na sio kuwatoa matamko watu waandamane kwa. faida ya nani?watanzania tutafakari sana

  • @peterligasiwa9259
    @peterligasiwa9259 8 лет назад

    washaanza kupanic,this is democratic state Mr

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 8 лет назад

    Jishughulikie wewe Bila Mwanzilishi Mkuu wa Vurugu! Tutatangulia tukutane na Polisi wako

  • @benpaul6697
    @benpaul6697 8 лет назад

    I can't wait umalize uongozi for real.. hukuchaguliwa ufanye hivyo.. you were elected to lead not to rule

  • @serenawilliam6514
    @serenawilliam6514 6 лет назад

    Punguza preshaa

  • @peterphilips270
    @peterphilips270 8 лет назад

    where is democracy?

  • @kfastak
    @kfastak 8 лет назад

    madaraka yanachanganya sana, ni zaid ya kilevi