UJENZI Nyumba ya KIKWETE, MAGUFULI Amvaa MKANDARASI - "HII Sio ya HISANI, ni SHERIA"...
HTML-код
- Опубликовано: 17 окт 2020
- UJENZI Nyumba ya KIKWETE, MAGUFULI Amvaa MKANDARASI - "HII Sio ya HISANI, ni SHERIA"...
RAIS Magufuli leo Oktoba 18, amekabidhi Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi, nyumba ambayo imejengwa na serikali kwa mujibu wa Sheria..
Aidha Rais Magufuli ametembelea Ujenzi wa nyumba ya Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete, ambapo amekiri kutoridhishwa na kasi ya ujenzi wa nyumba hiyo..
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline
Leo ndo nimeamini kuwa magufuri siyo mnafiki angekuwa mwingine angesubiri mwinyi na JK wafe ndo aanze kuwasifu na kujifanya kuwajengea nyumba Mungu akubariki JPM kWa huo moyo
Hiyo sio yeye bali ni kwa mujibu wa sheria na ni lazima ifanyike hvyo kwa baba wa taifa si alijengewa akiwa hai..
HV nyie watu MNA akili kweli HV mwinyi na Kikwete ni maskin kias cha kujengewa nyumba, Rais wetu si rais Wa wanyonge HV inakuaje watu waliopatwa na maafa Kagera hawana hata kwa kulala tena watu walichanga wanalala kwenye mahema halafu useme marais wastaafu ambao asilimia 100 wana uwezo
Mmmmh
@@lirastanley390 mhuu kwa nin mkapa hakumjengea mwinyi na kikwete hakuwajengea mwinyi,mkapa kwani wakati huo sheria haikuwepo si na yeye JPM angekausha tu akajifanya haoni kumbe anaona bas tuseme tu ya kwamba JPM ni mzee wa sheria hapindishi pindishi mambo
@@christinamalime2175kwa mujibu wa sheria
Ni sahihi sana kuwajengea Marais wastaafu nyumba nzuri. Lazima kurudisha shukrani. Hongera!
Si wajenge wenyewe mishahara si wanapewa
Kawajengea kwa hela zake au hela za Serikali ?
Kwani wanafanya kazi ya uraisi bure? Si tunawalipa? Basi wajengee hela za mishahara yao
HE magufuri Arifanya kazi muzuri mijyi sana kumucaguwa nimuzuru sana kwa TZ nakwa Duniya yote muzima mumucaguwe kwawejyi sana iko mutu yawatu amen amen
Mimi nakuunga mkono msh raisi, viongozi wetu kwa ngazi ya maraisi ni muhimu kupewa makazi Kama shukrani kwa sababu wamevumilia mengi kazi ya uraisi ni ngumu saaana, msipowajengea watakuwa wanafikiria njia nyingine hata mm ningeifikiria.Nakupongeza jpm.
Angelikua Hana pa kukaa ange kaa wap
Si mpaka ningelimpeleka chato akaishi huko.
Salut kwako Dr magufuli
Waaaau, President Magufuli knows in-out what's is happening underground, that's great supervision , keep it up Sir....from Kenya.
What happened here , I love Tanzania but dont speak swahili from Drcongo living in Usa
Xxx
Xxx
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I discovered and appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. Magufuli will forever remain a political example of integrity for all. I agree about Magulification of Africa!
🎉
Fact
Ni vyema kumtetea mfalme vizuri kuongoza inchi sio mchezo hawa watu wanafanya kazi ngumu ya uongozi.msiongee vibaya sarpoti Raise kwa hilo. namuombea hata miaka ishirini uongose Tanzania .huko vizuri Raise wetu unatengeneza TZ Ijayo yenya nguvu .Mungu fungue Wa Tz macho waone Maisha mazuri ya mbeleni unaye watengenezea..
Mzee wetu yuko vizuri maana naona anawatambua waliomtangulia Mwenye Mungu akupe hekima na maarifa.
Tunaomba hiyo sheria ifanyike kwa sekta zote please, watu wengi wakistaafu wanatumia pesa za kiinua mgongo kujenga nyumba wanakosa hata hela ya kula, jengeni nyumba nyingi kabidhini wafanyakazi za bure, najua utawezekana huko mbeleni Tanzania tunapesaaa hongera Rais wetu John Pombe Magufuli mitano tena
INAUMA SANAAA MIMI BABAYANGU AMESTAAFU TOKA MWAKA JANA MWEZI WA SABA HAJAPATA PENSHENI YAKE HADI LEO, KILA AKIENDA ANAAMBIWA LETA HIKI MARA LETA KADI YAKO MARA MICHANGO MINGINE HAIONEKANI KWASABABU YA KUUNGANISHWA MIFUKO, KWAKELI NCHI HII INATESA WAZEE SANAA ILA WAKUBWA WANAISHI PEPONI, MINGU ANAWAONA.
Na waalim pia
Magufuli ni kiboko, amemaliza kiporo alichokiacha Kikwete(Nyumba ya mstaafu Mwinyi). Sasa anashughulika na ya Kikwete. Magufuli is a serious performer.
Mungu iweke roho ya JPM mahali pema peponi. Wenye husda na wale walilomtakia mabaya Mungu huyo huyo akabiliane nao Amen.
Hongera kwa kazi nzuri Mkuu🙋👍
Hongera sana JPM kwa kuonesha upendo wa dhati kwa Rais mstaafu Kikwete.
Sawa mkuuu tunakukubali
Uh haingii akiliniii nishidaaa
Mnao kosoa eleweni JPM anatimiza wajibu wa sheria. Usiangalie wastaafu walifanya nii. kuwa rais haina maana kuwa utaenda kwa kila nyumba ya maskini na kuwajengea Au kumaliza ufukara nchini. Hata hapa USA maskini wako wengi uwezi amini!! Muunge mkono rais wko he is trying his best bana!! 🇺🇸🙌🏽🇹🇿😍
Duuuuu,,,, acha wanyonge tuendeleee kusota na maisha yetu magumu
Nchi zote zinafanya hivyo rais anastaafu lakini bado anaendelea kutumikia nchi, marekani pia wanamjengea rais
Kula Kwa urefu wa kamba yako usitamani vitu vilivyo nje ya uwezo wako sasa wewe ulitaka rais aishi kama wewe kama jinsi mungu alivyotuumba hatufanani na maisha hivyohivyo
@@eischerschwederm7876 hakuna hiyo acheni uongo
We acha tu , ttzo nilichogundua kinachotukwamisha africa ni ubinafsi yaan mtu anataka amiliki kila kitu
@@prettyh7509 you are right, amiliki kwa anacholipiwa mshahara na mitkas zake siyo hivyo. wanasema eti sheria iliwekwa na mkapa mwaka 1999, ushenzi tu. Kwa taarifa yake ndugu hapo juu, hakuna raisi marekani uunigereza ufaransa, na nchi nyingi tu africa anayejengewa nyumba baada ya kustaafu hakuna, tunatumia hizo ncchi kama vigezo ndio maana nimetoa huo mfano, hakuna, obama alinunua clinton, the bushes matajiri tu, wanajinunulia nyumba wenyewe wakitaka siyo and never serikali, halafu nyuumba zenyewe sasa, hata wakizigawa size mara tatu basi wapewe mawaziri wakuu na mamakamu wa kwanza wa raisi. uroho mtupu
Mwenyezi Mungu anawaona eti uyu ndiye rais wa wawanyonge wanyonge wanakosa hata ela ya kula wao wanagawana km nchi yao
Kweli uzembe kweli wafanye kazi
Mungu akubariki Mh. Rais
Dah mwenye nacho atazidi kuongezewa
kwani leo ndio unajua
Ama kweli watu wanaumwa mpak wanaomba michango Kwa wananchi wa kawaida lakin wao wanasamili kujijengea nyumba kuliko kujali utu duuh dunia mapito
@@catherinejumanne9378 hiyo ipo kisheria wewe
Hata niongozwe kwa mtindo wa mtutu kini kiukweli siwezi kuruhusu nchi hii iongozwe na muunga mkono ishu za ushost..👌👌 Mm ni kidume ntaendelea kula burudani tuliyoachiwa specifically na Mungu tu(wanawake). SO ITS JPM 5 AGAIN.
Mashalllah magufuli nampenda sana
Kabla ya kuwa raisi alikuwa anakaa wapi?
Mbona mzee Mkapa amejengewa mwazo kuliko Mwinyi?
Huyo Kikwete lile hekalu chalinze halimtoshi?
Mungu bariki wanyonge
INAUMA SANAAA MIMI BABAYANGU AMESTAAFU TOKA MWAKA JANA MWEZI WA SABA HAJAPATA PENSHENI YAKE HADI LEO, KILA AKIENDA ANAAMBIWA LETA HIKI MARA LETA KADI YAKO MARA MICHANGO MINGINE HAIONEKANI KWASABABU YA KUUNGANISHWA MIFUKO, KWAKELI NCHI HII INATESA WAZEE SANAA ILA WAKUBWA WANAISHI PEPONI
Mungu, akulinde, jpm, kwakaziunayofanya
Jamani muogopeni mungu kuna vikongwe na mayatima huku jini njaa tupu tunakula mlo mmoja ukipata wa pili unashukuru mungu
INAUMA SANAAA MIMI BABAYANGU AMESTAAFU TOKA MWAKA JANA MWEZI WA SABA HAJAPATA PENSHENI YAKE HADI LEO, KILA AKIENDA ANAAMBIWA LETA HIKI MARA LETA KADI YAKO MARA MICHANGO MINGINE HAIONEKANI KWASABABU YA KUUNGANISHWA MIFUKO, KWAKELI NCHI HII INATESA WAZEE SANAA ILA WAKUBWA WANAISHI PEPONI, MINGU ANAWAONA.
Kikwete rahasana. Roho nzuri mpaka azeeki. Safi
Dah! Mzee kwenye kipindi hiki Cha kampeni amekuwa mpole sana aise zingekuwa siku za nyuma wangekunya hapo.
Eeeeeeeeh mbavu zangu jamani
😂
😂😂😂
😄😄😄😃😃😃😅😅😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Baada ya dhiki faraja alishamalizana na mafisadi acha ale pozz
JPM apew PONGEZI qkwel anajitoa na kupamban xan👏👏👏
Hii sheria ya kuwajengea Rais wastahafu nyumba, inabidi iangaliwe vizuri; kuna mahali itafika isitekelezeke.
Ushauri ingekuwa kuwapa mikopo ya ujenzi wakati wakiwa madarakani, hiyo ingetekelezeka zaidi kuliko ilivyo sasa.
Nyumba ya Baba wa Taifa ilikuwa zawadi hapakuwa na sheria.
Kwa hiyo iangaliwe upya isije ikawa mzigo mkubwa kwa Taifa.
Good job
Much love
Love Tanzania!
Jamani leo ndionimejua mm nimchawi wanapewatena majumba roho imeniuma kweli watu wanakufa natetemeko mafuriko nyie mnapeana mungu afanye kitu kwakweli😥😥😪
Hahahaha!!
Baba yetu hivi kweli umetuachaa ninalia sana Mimi mnyonge kabisaaa
Unajiita mnyonge wakat unamiliki smartphone na unauwezo wa kuweka bando pumbav
@@sanimoclassic1917 pumbavu mama mwenyewe huna adab kwani kumiliki smart phone inakuhusu nini kwenda zako limbukeni wew
safi sana JPM,wakumbukeni na wanajeshi waliostaafu chini ya miaka ya 90,japo walipigna vita wana maisha magumu sana
Daah kuna watu hapa roho zinatuuuma 😁😁😁 ,pw haina noma mwenye nacho anaongezewa yaan hilo jengo lote daah inauma mjue 😁😁watu tunapigika mnaongezeana majengo
Mkuu,kweli unawajali watangulizi wako.Naamini nawe hakuna atakaye kutupa kwa moyo wako.Hakika nakuombea mema salama mhe Rais wetu John Pombe Joseph Magufuli. Ww Rais wa kweli hapa Tanzania yetu papaa
Big love ❤️
Waouuh Tanzania. Sheria nzuri sana hiyo ya kuwajengea ma raisi waastafu. Pia Magufuli alikuwa mtu mwema sana. Mema haya ozi .
Duh mzee magu uko vizuri mpaka bei yatofali inajua
Chezeaa magufuli wew mpk bay ya tofali ya kitaa
Daaaa kweli mwenye nacho uongezewe asie kuwa nacho unyanganywa hata kile kidogo alicho okoteza raisi wawa nyonge😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤮🤮 wanyonge mpooooooo
Tukimbilie wapi sasa tupo tuu
tokea awamu hii wanyonge sote tumekua matajiri tunaishi kama raisi wetu na group yake .hii ndio tanzania hii ndio africa
Jpm je wewe huna mtoto wa kurisi vyeo .maana watoto wa wakala hoi hawawezi na hatapewa nafasi
Mzee Jk is very honest and fair .
Jembe mzeee piga kazi
INAUMA SANAAA MIMI BABAYANGU AMESTAAFU TOKA MWAKA JANA MWEZI WA SABA HAJAPATA PENSHENI YAKE HADI LEO, KILA AKIENDA ANAAMBIWA LETA HIKI MARA LETA KADI YAKO MARA MICHANGO MINGINE HAIONEKANI KWASABABU YA KUUNGANISHWA MIFUKO, KWAKELI NCHI HII INATESA WAZEE SANAA ILA WAKUBWA WANAISHI PEPONI, MINGU ANAWAONA.
Mungu akuweke mahali pema peponi JPM
Katiba ya Tanzania inatoa mamlaka ya kipuuzi sana,, kunahitajika mabadiliko makubwa ya kisheria aisee dah hii mijitu mijiizi mitupu.. Huyu bishoo kapiga Richmond magufool kapiga kwenye vitambulisho na mirad isiyopitishwa bungeni yaani ni ujinga ujinga tu..✌️✌️
Hatutaki tena kuendelea kuwa wanyonge kiasi hiki Kama mtu Kama huyu anauhakika wamaisha nabado anafanyiwa haya wewe unawaza nini, KUNA WATANZANIA WANAFANYA KAZI WANAKATWA KODI, WANAKATWA NSSF ILA WAKIACHA KAZI HAWALIPWI NSSF ZAO KWAWAKATI, KWAKWELI NAHISI KITEFUTEFU
Watu wana roho mbaya sana wanaumia na nyumba ya Kikwete kule msoga ni kwa baba yake sio kwake hapo ndio kwake sasa kwa mujibu wa sheria.
Roho mbaya sana hawana jema oh kikwete tumekumiss leo kuona nyumba roho zinawatoka
@@ibel4lfumeonaeee roho za watu weusi hizo tunachukiana wenyewe kwa wenyewe kwani nyumba kitu gani wanaona kapata
Xheria ya kixenge hii
@@mwanajumaomahundumla6504 wabongo tuna roho nyeusi km ngozi zetu zilivyo,mzee magu yupo sahihi kabisaa wala hajakosea
Ni kweli watz ndiyo tulivo
A president who knows his country and how his people play games
Wewe mzee wangu MAGUFULI ni zaidi ya RAIS
💯👏
Nahisi 10 haitoshi kwahuyu shujaa
Mungu atamlipa naimani nay.
Daa pamoja na kuiba hela za watanzania bado tu mnajengeana nyumba here emungu saidia
Hahahahaha umenichekesha sana
Masikini hatuna letu duniani
Unafikiri za wizi zinabaraka hazina kabisa.@Luhende Paulo
We baki na vumbi lako we namba yako ya mwisho...labda mwanao ana weza nae kuja kuwa mwizi uta nufaika..
@@maryr4033 ingekuwa hazina baraka Mungu ange waletea mafuriko ili zi zame hizo nyumba ama ziungue lakin nyumba zetu maskini ndo kila siku zina jikuta kwenye mitihani
Safi sana JPM JPM
RAISI MAGUFULI ASANTE SANA...UMEMJENGEA WAKATI WAKO RAISI MSTAAFU MWINYI,RAISI MSTAAFU KIKWETE,,,ASANTE KWA UTENDAJI WAKO
Kwani hawana nyumba wao??
Kikwete na mwinyi kweli ni wa kujengewa nyumba na UTAJIRI WOTE WALIOUCHOTA MIAKA KENDA RUDI WAKIWA KTK SIASA??
HII NI KASHIFA KUBWA KWA NCHI...na waTz hawana makazi, ccm wanaitafuna nchi, kweupe eee! Sawa yanamwisho!
George Maji sheria ilipitishwa na bunge yy anaitekeleza waliopitisha waliona inafaa
Hiyo ni shukurani kwa kutuletea jpm maana bila wewe tusinge mpata jpm. Japo ni utaratibu wa kukengewa maraisi
Hata hivyo ni logic kuwapa nyumba itapunguza tamaa ya kuiba mali za umma, Rais anaweza kuiba trillions..so nyumba ni kitu kidogo
Magufuli umefanya wajibu wako kwa mujibu wa sheria watangulizi wako walifanya hivyo pia watu wataongea sana tena na kampeni hizi loh!! ukweli utakuweka huru umetimiza wajibu wako ukifuata sheria kama walivyofanya Kikwete serikali yake kumjengea Mkapa na serikali ya Mkapa kumjengea Nyerere wastaafu wetu wanastahili hii heshima
Daaaaaah tutaishia kuzunguka na vyeti mkononi wengine huku wanaongezewa hifadhi.
Ama kweli mzee Bilali wa Tabora enzi ya kupigania uhuru na hayati mzee Nyerere nyumba yake mbovu kwanini serikali isimsaidie mzee Bilali
Mzee halfan kikwete baba wa jakaya pia alipigania Uhuru na nyerere alimpa ukatibu mkuu wa wizara baada tu ya uhuru
Kaka mwenye macho ndie anaemurikiwa .......au hujui hilo✍️✍️✍️
Wanagawana keki ya taifa dada acha wagawane ila siku tukianza kuwagawana wao sijui kama watatutosha ila wakati ni sasa kapige kura linda kura yako😡😡
Huyo ni rais msitaafu ng'ombe wewe??
@@giitidaniel3471 sasa wakistaafu mpaka wajengewe? Mapesa mangapi wameiba? Wana majumba kila corner . Basi tu
Mashahara wake alikuwa anafanyia nn hii magufuli haijanifurahisha kwa kweli masikini kibao hawana sehemu za kulala vizuri
INAUMA SANAAA MIMI BABAYANGU AMESTAAFU TOKA MWAKA JANA MWEZI WA SABA HAJAPATA PENSHENI YAKE HADI LEO, KILA AKIENDA ANAAMBIWA LETA HIKI MARA LETA KADI YAKO MARA MICHANGO MINGINE HAIONEKANI KWASABABU YA KUUNGANISHWA MIFUKO, KWAKELI NCHI HII INATESA WAZEE SANAA ILA WAKUBWA WANAISHI PEPONI, MINGU ANAWAONA.
Yan huyu mzee ana chezea pesa zetu sana ina maana hawa marais hawana uwezo wa kujenga nyumba kwa pesa zao mbona munatuchezea sana
Unachangia pesa gani kwenye nchi wewe? Uongozi wa nchi ni kazi ngumu kwa hiyo sheria iliweka hilo kuthamini mchango wake kwa Taifa
G nyamsenda dunia ndivyo ilivyo anasema hela zake bill hata aibu
INAUMA SANAAA MIMI BABAYANGU AMESTAAFU TOKA MWAKA JANA MWEZI WA SABA HAJAPATA PENSHENI YAKE HADI LEO, KILA AKIENDA ANAAMBIWA LETA HIKI MARA LETA KADI YAKO MARA MICHANGO MINGINE HAIONEKANI KWASABABU YA KUUNGANISHWA MIFUKO, KWAKELI NCHI HII INATESA WAZEE SANAA ILA WAKUBWA WANAISHI PEPONI, MINGU ANAWAONA.
@@isaachayes9783 kwel kaka wastaafu wanateseka sana hawamu hii ili mtu mjinga asie jielewa hawez elewa
@@georgenyamsenda217 haha kwan wwe huchangii kodi yyte kwenye hii nchi???
Msije mkasahau kumujengea mwalimu nyerere tafadharini sana
Jamani ss wanyonge hatuna pakukaa jaribuni kuwafikiria na maskini hawana maisha nyinyi mna tumia vzri haya ahsanteni
Mwenye nacho uongezewa
INAUMA SANAAA MIMI BABAYANGU AMESTAAFU TOKA MWAKA JANA MWEZI WA SABA HAJAPATA PENSHENI YAKE HADI LEO, KILA AKIENDA ANAAMBIWA LETA HIKI MARA LETA KADI YAKO MARA MICHANGO MINGINE HAIONEKANI KWASABABU YA KUUNGANISHWA MIFUKO, KWAKELI NCHI HII INATESA WAZEE SANAA ILA WAKUBWA WANAISHI PEPONI, MINGU ANAWAONA.
Kweli nyongeza huja juu ya fungu
hahahah nimeipenda hii
Hata maandiko yamesema
Swadakta
Mungu humuongezea mwenye nacho . Na humnyima asie nacho .
Ila mzee jakaya yuko humble sana...
Hapo baba umemwaga maji bahari ni haadi zetu za milioni hamsini ziko wapi
Kwani magu babayako
Hayo yanafanyika kwa mjibu wa katiba hata wewe siku ukiwa raisi utajengewa hahaaaa
Tunataka mil 50
@@mkiryamadebe7678 tafuta za kwako km nirahisi
@@neemamwangosi2043 🤣🤣🤣🤣🤣 hatare Sana anataka za kupewa huyo dadaangu
Ww baba nakupenda basi tu
Sasa kwani mngefanya kwa siri, kwanini mnaweka hadharani, kumbuka wengine nyumba zetu zimeenda namaji, kumbepesa zipo eheee, alafu muheshimiwa ungesubiri uchaguzi upite kwanza
Duhh
2020 lisu
Kikwete anasema "utatusaidia sana "
Very humble Man
Safi
Ndio maana watu wana lilia ikuru😂😂😂😂😂ikuru oyeeee
Hii ni kufanya marias wasiwe wezi pia, tais anaweza kuuza nchi..hii inapunguza tamaa yabkuiba hela
iyo ni ritaya meti au sawadi wacha kiburi wewe
La-la salama BABA MUNGU akupe pumuziko laamani
Nimekupenda magufuri.kuwajengea wastafu .
Duuuh maisha yanabadilika leo jk mpole kama hakuwaga boss wa magu .......duuuuuuh
Madaraka
Hamna anamtii kwa vile Rais...madaraka ni kupokezana
Eee alijisihau acha Magu amuonyeshe anachojua
jaman
Hhhhhh kazi kweli kweli huyu mtu kiumbe weee acha tu, Magu ww noma.
Duh nimeamini anapewa alichonacho ,sisi wananchi kz yetu kupiga kura baada ya hapo tafuta jembe ulime siku ziende
Innaa lillaahi wainnaa ilayhi raajiuun (hapa ndipo ninapoamini kuwa lolote lenye kumpata mtu halikuwa ni lenye kumkosa na lenye kumkosa halikuwa ni lenye kumpata
Hapa kazi tu
Business as usually ndugu zangu, tuchape kazi :))
Asante magufuliii
Tanzania forward
Safi sana our Presidents 🙏🏽
Good
sasa kumbe kikwete nae kapanga ... sasa mbona wengine mnapata presure et hamjajenga.....
Doo hela ya serkali huwa inachezewa sana sasa kwan tudanganyane mnakuta mna majumba,bado meng nch nzima bado mjengewe,,
Kwann hela isionekane na iingie kurahisisha maisha kwa wananchi kwa ugum wa haya maisha.
Tatizo sio raisi gani anafanya kazi nzuri eti kisa ni sheria walizojitungia wenyewe . Wezi tu kama kweli wanataka kufuata sheria wagharamike kwa wananchi wanyonge na sio kutajirishana wao kwa wao .
Safimkuu
Hii ni
Wanyonge wakijengewa NYUMBA
MATAJIRI WAPO WANAOMBA OMBA KARIAKOO
LIFE
LIVE
LOVE
hahaha magu kwa utani,et angekuwa hana kwa kukaa tungempeleka chato hahahaha
Anaaga vizurii mzee wanguu,wakqbidhii na wew lisu atakuaja kukukabidhi ya kwako kama ni sheria.
Lisu hawezi kuruhusu udisasi huu
@@colinmhema530 huu ujinga lisu hawez kuusapoti
Hivi nyie wananchi mnadhani mtu mwenye level ya Rais anakaa sehemu za hovyohovyo?
Hamuoni haya wananchi kusikia raisi wenu amepangisha hadi saahii hayuko kwenye mamlaka inamaana hapo alipopangisha mwenye hiyo nyumba maisha yake mazuuri kushinda huyu raisi
We sio mwananchi?
Aibu sana kwasababuakili yake ilikua imelala kizembe hadi Tingatinga limeamua toa msaada 😁😁😁😁😁
Yaani mie hata siwaelewi ni haki yao sio level zetu hiyo angalia hata kwenye vitabu vya dini wafalme
Mhhh!
Ninachukia xana mtu Ana pesa watt wake wako vizur kifedha mke wake yupo vizuri lakin mnampa nyumba na sisi maskin tutapewa na Nani Rais wetu magufuli iyangalie haki nasi pia niwatanzania mtupe nyumba
Ok vzr
Uko wapi
Kumbe kikwete ndo mkubwa kwa magufuli kiumri
Inamaana miaka kumi ya uwazir na miaka kumi ya urais alikua hajajenga mpaka ajengewe? Jamani kama raisi alishindwa kujenga nyumba yake ya kuishi vipi mwananchi wa kawaida?
Nawee unAmin hiloo ndugu
@@stewardjacob1945 mm siamini huyo jamaa ni bilionea anauwezo wa kujijengea mwenyewe
Kama ni sheria bas sipati picha LISU atavo mjengea magufuli 😄😄😄😂😂😂 cjui itakua gorofa au nyumba ilio na vyumba kama shule
Haipo hyo lissu hafik ikulu
Mpe urais nyumbani kwako
Hahaha
😂😂😂
🤣🤣🤣🤣😂
Magufuli ndiye rais mwenye Hekima na Busara na ndio chaguo la Tanzania