USIYO YA FAHAMU KUHUSU ILI GALI LA ( CYBER TRACK )..
HTML-код
- Опубликовано: 10 фев 2025
- Cybertruck ni gari la umeme lililotengenezwa na kampuni ya Tesla, maarufu kwa teknolojia za magari yanayotumia betri. Ingawa Elon Musk ndiye anayejulikana sana kama uso wa kampuni hiyo, Tesla ilianzishwa na wajasiriamali wawili, Martin Eberhard na Marc Tarpenning, mwaka 2003. Hapo awali, kampuni hiyo ilikuwa inalenga uzalishaji wa paneli za sola na betri.
Umetidanganya bei ya cyber track ni m 200