Mabusu ya Yuda yapo maishani mwangu mengi sana nimeusikiliza wimbo huu hadi chozi likanidodoka,ewe Mola niondole wanafiki wawe mbali na mimi kabisa nayakataa MABUSU YA YUDA
%sijajuta kabisa kutumia mb zangu kusikiliza hii nyimbo aisee bonge moja la nyimbo watu wengi hawajaijua tu lkn naamin kila atakae usikia hatojuta big up bro
Ochu unaweza sana” nyimbo kalii sana, Nice attitude kwenye video, simple video lakini imejitosheleza kuleta uzuri na maana ya nyimbo..nakuombea ufike mbali zaidi na juhudi hizii
Mabusu ya Yuda yapo maishani mwangu mengi sana nimeusikiliza wimbo huu hadi chozi likanidodoka,ewe Mola niondole wanafiki wawe mbali na mimi kabisa nayakataa MABUSU YA YUDA
Kaka
Naona umeamua
Kaza umo umo
Bonge la ngoma voko ujumbe
Balaaaaaaaaa
ochu iwe nimkai sana yani,wandughu timuwee g'hwenetu atiwakilisha vyedi washambaa
Huyu jamaa anajua muziki. Sio sauti tu na kujua muziki kama elimu
Daaah
Heshima ije kwako kaka Ochu Sheggy Utukufu uende kwake aliye juu na MUNGU akujaalie tuu.
Nimekubali sana . Unaimba kuliko kina naniii. Salute!,🏆🏆🏆
Thanks sana kwa nyimbo nzuri ochu
Let me help to push it .for sure its a nice song from ochu..touch full and a nice voice...Gonga like twende sawa kam umeifurahia
Ktk nymb zote uliwah imba hii kwng iz the best of all, ni kali sn,
Ila umenipondea jina maan Mwenyewe naitwa YUDA.
Ckuwai kujuwa iki kaka ukwel nimependa mpaka naumwa mabusu ya yuda atali sana👏👏👏
Ochuuuu umetishaaaaaaa@busu la yuda
Mabus ya Yuda kweli
Dah ochu kaliii
Umeimba mpaka keroo mkuu big up naiona mbali hii ngoma
Nyimbo nzuriiiii nakuona faith msuyaa
Sijutii kukubali wewe na Marehemu Mzee wako Sheggy (Mzee wa Super Rainbow) kweli mmezawadiwa Muziki katika Damu zenu. Ngoma kali mzee
shemeji umekill sana duh hatareee saaana men
%sijajuta kabisa kutumia mb zangu kusikiliza hii nyimbo aisee bonge moja la nyimbo watu wengi hawajaijua tu lkn naamin kila atakae usikia hatojuta big up bro
This is one of the best msg through the song. Thumbs up to the artist.
masambaaa mwenzang umenyoosha
Kaz nzur bro
Kali
nakukubali hataree yaaan
Mwanangu unajua sana.
Ochu unaweza sana” nyimbo kalii sana, Nice attitude kwenye video, simple video lakini imejitosheleza kuleta uzuri na maana ya nyimbo..nakuombea ufike mbali zaidi na juhudi hizii
Nikwel kabsa
daaaaaaaaaaaaaaH mwehu anaimba huyu daaaaaaah
Osieee inu ngoma yatama kwei kwei!
nyimboo nzur bro
Am your new fan..
Naipenda sana hi nyimbo jamani
Hatariiiiiiiiiiiiiii
Another classic piece of work from Ochu... big up bro!
Good song bro! Asante Bwana kwa pumzi nayo ivutaaaa.........nani mwingine ako on Replay!
nakuelewa sana bro toka wimbo wa Daresalam
Kaka kuna Ile nyimbo yako ya shalifa kwanini usiifanyie remix km shalifa kasha maliza shule na anamaendereo na ana kazi zuri itakuwa safi sana
Hahahaaaa nimecheka mm leo mm jaman
Big up bro
Brooh Ochu nyimbo iyedi xna mzeeh
uko vizuri ochu
Big up sana
Ngoma,kali sana keep it up
nailed it... 👌👌
Ochu ochu how many times a'v I clled u....yaani am giving u 100% ur so perfect keep it up...am in love with your eyes.
Nice one
Nice song
Asieeh idea zako wanapewa watu wachache
safiiii
Sauti nzuri
Tatizo la oche na witness hawataki kufanya music as a business.
Big up
Ngoma kali kaka
iko poa Sana
Ochu chapa kazi Upo vizuri sauti unajua kuititumia!! Usiachiee hapo !! Ni kwa Mara ya kwanza leo nimeusikia na kuoga clip yako !! Big Up 👍🏼👍🏼🔥🔥🔥👏🏻👏🏻
Kuona
Duuh ochu mbona hb Sana 🤔🤔🤔🤔
Hii kitu ni noma
Wow amazing work bro..
Uahe kuwapigahao wachumba
osie umkai sana
👊👊👍👍🎉
Bro uko vzr ila huna shida ndogo ndogo ndiomana hutoboi kwenye game. Mm napenda sana kazi zako bro.
❤❤
🥰🥰🥰🥰
2021🔥🔥🔥🔥🇹🇿
2023🎉🎉
shemeji umekill sana duh hatareee saaana men
Nice song
Nice song