RICARDO MOMO AJITOA KWA MKE WAKE | ESMA " MKE WA RICARDO AMETEMBEA NA MUME WANGU"

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 96

  • @mohammedjuma6736
    @mohammedjuma6736 3 года назад +8

    Hii familiar inatumalizia bando jamani dah!!😂😂😂😂

  • @chema5961
    @chema5961 3 года назад +12

    Family ya mm ndangote munashida sana mungekuwa masikini mungekuwa wacawi

  • @janepherkhisa1801
    @janepherkhisa1801 3 года назад +16

    Esma amemalizana na wake za Mondi sasa ameanzana na mke wa Ricado

    • @nurujuma5346
      @nurujuma5346 3 года назад +1

      Kuna kinawadhuru yeye na mama yke hii cyo familia wallah

    • @Ryoof-qo7if
      @Ryoof-qo7if 3 года назад

      @@nurujuma5346 🤣🤣🤣🤣

  • @tunsumeakimu7184
    @tunsumeakimu7184 3 года назад +10

    Ricado mpende mkeo Kaka,ukimsikiliza huyo yuda utaharibu ndoa yako bureee,huyo yuda furaha yake kuharibu ndoa za watu,tulia na mkeo kaka,achana na huo upuuzi wao,

  • @benardmapuga8370
    @benardmapuga8370 3 года назад +12

    Wanawake hoyeeeeeeeeee ukiona mawifi wanaelewana ujue Kuna kitu wanajuana hasa siri zao alichosema Esma hajaropoka tu Kuna ukweli hapo

    • @Ryoof-qo7if
      @Ryoof-qo7if 3 года назад

      Ndo mm sipatani na wifi yangu salamu 2

    • @samshelembi9528
      @samshelembi9528 3 года назад

      Awap unamjua Esma vzur ww, mpaka mondi kukaa bila mke unaleta masihara

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 3 года назад

      Hata kama kweli huwezi vunja ndo yawatu sio vizur

    • @janethkilonzi4260
      @janethkilonzi4260 3 года назад

      Mi namwamin esma asilimia,..95.

  • @judithrobert9817
    @judithrobert9817 3 года назад +2

    Hongera Kaka ww ni mwanaume

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 3 года назад +4

    Damn!!!eti akiamua kumla ao kuliwa?

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 3 года назад +5

    Nimekukubali momo wwe ni mwanaume wakuigwa 💪💪💪💪

  • @mussamc641
    @mussamc641 3 года назад +1

    Hahahah kumla au kuliwa ww hapa hapa..

  • @bertineddyne610
    @bertineddyne610 3 года назад +14

    Hii familia ya diamond niya mashetani

  • @shubebunyesi542
    @shubebunyesi542 3 года назад +1

    Familia imechafukwa Mambo
    🔥

  • @ericklibaba1198
    @ericklibaba1198 3 года назад +2

    Kagongwa Huyu demu... Afu Recado Momo nae zuzu tu kwa mkewe ndio maana Anashindwa Hata kumtuliza kwenye interview... Loooh Loooh 🤔

  • @kenybenjiz7850
    @kenybenjiz7850 3 года назад +1

    Aliyesikia one two si four😂😂😂

  • @thakibuiddi1857
    @thakibuiddi1857 3 года назад +7

    Hii family itakua imeshushwa maana niyakishatani sn hii

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 3 года назад +7

    Hii family imelaaniwa.

  • @stevenshayo8801
    @stevenshayo8801 3 года назад +3

    Uyu dem Izo jazba tu inaelekea msizwa kapiga kwel ,wanawake nikuwapa tu %40 kati ya 💯

  • @lusuvilonzowa9716
    @lusuvilonzowa9716 3 года назад +2

    Duh!!!dogo dunia ni ndogo sana umarufu una mwisho angalieni Sana

  • @OmanOman-iu7jf
    @OmanOman-iu7jf 3 года назад +3

    Families ya mama.daimondi inalanaaaaa

  • @shikuassi4876
    @shikuassi4876 3 года назад

    Ni shidaaa hii familia majanga sana.

  • @jeyshillyjack4470
    @jeyshillyjack4470 3 года назад +7

    Mmmmmm,ni mgani sasa tutaskia yaEsma ama ya diamond na babake

  • @phannyshiggs5472
    @phannyshiggs5472 3 года назад +1

    Familia ya laana

  • @joshuamweta5550
    @joshuamweta5550 3 года назад +2

    Yaani wasafi mnataka tuwasikilize nyie 2 juz esma leo rekado haya ista now ni diamond 2 hongereni kwa kaz maana tz tunapenda umbea

  • @Kagehaijanira9473
    @Kagehaijanira9473 3 года назад

    Sisikendo ni kweli kabisaaaa

  • @tanjaniyoman3160
    @tanjaniyoman3160 3 года назад +3

    Esma ni kibiritingoma...angalia hatmayko nini..acha kugombanisha wanzio..kama ndoayako ilikushinda basi sema na moyowako

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 3 года назад

      Ndio sio vizur kumgombanisha mtu namumewe hata kama umemuona huyo yuda nisheytwan jaman

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 3 года назад +1

    Skendo la ushemeji?baba Diamond

  • @peterm7969
    @peterm7969 3 года назад +1

    Hii familia inamatatizo aki ya mungu

  • @maloomaalmnsj5111
    @maloomaalmnsj5111 3 года назад +2

    Familia ya kitajili duniani kote inayumba

  • @tresiakaovela9109
    @tresiakaovela9109 3 года назад +1

    Ricaludo nimstarabu

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 3 года назад +3

    Esma imekuuma wewe msizwa alikua na wake zake we ukawapora

  • @glorynguma3593
    @glorynguma3593 3 года назад +1

    Pamoja na hayo yote huyo mwanamke anaonekana hajatulia kwa nn aseme mume wake aseme amemvumilia mengi

  • @bmbnndailylife2096
    @bmbnndailylife2096 3 года назад +6

    Usimchonganishe hesma na jacklini worpra

    • @hamisa3447
      @hamisa3447 3 года назад +4

      Ila yeye esma amchonganishe mwenzie na mume wake

    • @safiyamohamudadan6526
      @safiyamohamudadan6526 3 года назад

      Anasema ukweli

    • @shuumamy7530
      @shuumamy7530 3 года назад +1

      Mbona yeye pia kamchonganisha mwenzio kwa mumewe

  • @OmarOmar-ri9eg
    @OmarOmar-ri9eg 3 года назад +1

    Sema hajielewi yuwaona yeye hana ndoa sasa ataka na mwenzake aachwe

  • @kalssambaboo9932
    @kalssambaboo9932 3 года назад

    Kweli sheikh usimuache mkeo kwa maneno yaaloshindwa ndoa yake anataka avunje ndoa yamwenzio namashahidi wawepo sio kiapo tuuh

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 3 года назад

    Daaah,familia hii?

  • @leonidamatungwa5328
    @leonidamatungwa5328 3 года назад +1

    We dada acha kuvunja ndoa za watu ya kwako imekushinda.

  • @d.a.t3383
    @d.a.t3383 3 года назад

    Hamna haja ya kuapishana msilaanine IMEANDIKWA VUMILIANENI SAMEHEANENI ILI.KILA MTU AsHIKE SITINI ZAKE.mwacheni mwenye wivu apate fundisho

  • @tamaraseff.9707
    @tamaraseff.9707 3 года назад +2

    Msizwa msizwa kwan yy do boro tuuu.mmmh usimuache mkeo kisa esma.fatilia kivyako babaa

    • @dinahshirima6356
      @dinahshirima6356 3 года назад

      Amevunja ndoa yake sasa anavunja ndoa za WiFi zake

  • @procensiaprosper799
    @procensiaprosper799 3 года назад +1

    ila momo anaongea kama chibu kaaah😳

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 3 года назад

    Inaonekana msizwa kala mzigo

  • @hawwahawwa8533
    @hawwahawwa8533 3 года назад

    Safi sana momo fuata dini

  • @xjennxashxrbx6167
    @xjennxashxrbx6167 3 года назад +1

    Esma ndo anaharibu ndoa za kaka zake hana busara kabisa

  • @saidalsalmi9313
    @saidalsalmi9313 3 года назад

    Esma vipi acha uchonganishi.

  • @kenybenjiz7850
    @kenybenjiz7850 3 года назад

    Pale wa kutoka uswaz wanapo pata nafasi
    😂😂

  • @shamimhassanzimzimahuyokij4521
    @shamimhassanzimzimahuyokij4521 3 года назад

    Mwakubwa

  • @bmbnndailylife2096
    @bmbnndailylife2096 3 года назад +1

    Likado acha umama

  • @a2comedy36
    @a2comedy36 3 года назад

    Tivi hiyo huwa ikiwaza mapenzi kila siku ni mapenzi tuu

  • @chibbamaroo6812
    @chibbamaroo6812 3 года назад

    Uyo jamaa mke wake kamkalia kichwani..wallah eti ataki.kufikia kwa mtu ku-make money ninavyo wajua wanawake kwa ku-make eti akapange Apartment ...anajua kilakitu... sasa usiku alikuwa nananiii..!!?? Dont Trust a woman like this ...gadem alafu dem anasema angeamua anaweza kutembea na uyo msizwa ata bongo ,,sio lazima south

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 3 года назад

    Tunataka msizwa atoe ushahidi na yy

  • @aminamohammed5288
    @aminamohammed5288 3 года назад

    Esma mnafiki mkubwa.hii famili ya diamond ina matatizo.dini hakyna

  • @minaaomar3935
    @minaaomar3935 3 года назад

    Uyo mwanamke anaongea sana

  • @babuubarotti8418
    @babuubarotti8418 3 года назад

    Sasa esma hekima anaipata wapi

  • @happynicholaus6474
    @happynicholaus6474 3 года назад

    Hii familia wanatumia pesa kunyanyasa watu

  • @samshelembi9528
    @samshelembi9528 3 года назад

    Hii familia vp lkn mbona vurugu tu

  • @bellarose3978
    @bellarose3978 3 года назад

    Hii familia ni lahana tu mungu Hawa saindie

  • @catherinewanjiru7136
    @catherinewanjiru7136 3 года назад

    Uyu momo anaejua bb ya diamond tbb yake analalishwa na shemeji ana machini yakutosha ajue yakwake aibu mbea

  • @novatlimo8632
    @novatlimo8632 3 года назад

    HARUSI ZAO ZA KIBISHOW TU WATAKA ARUSI YA HELA KIBAO KUMBE WW MWENYEWE BADO MALAYA TU

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 3 года назад

    Ukioa vijanajike vinojifanya vya mjini havikosi skendo

  • @amanimanase5794
    @amanimanase5794 3 года назад

    Familia za kisenge kama hii hapana ulimbukeni wa pesa usenge tu

    • @kenybenjiz7850
      @kenybenjiz7850 3 года назад

      Wametokea uswaz sana wamepata line
      Basi dah

  • @l.m.a.7570
    @l.m.a.7570 3 года назад

    Ana wivu kama kaka haaks mtu mwingine aparte rizki

  • @suzanlsack538
    @suzanlsack538 3 года назад

    Mbona kapanki uyo dem

  • @babuubarotti8418
    @babuubarotti8418 3 года назад +1

    Nahuyo msizwa nae simwanaume bora Kati ya wanaume

  • @hassanhassan1184
    @hassanhassan1184 3 года назад +1

    Nyie watangazaji pia hamna issue hayoo mambo yaa kijingaaa mnashabikia

  • @dintazdintaz7311
    @dintazdintaz7311 3 года назад

    Qumamaqwe

  • @kijahnikwelinyalinga1740
    @kijahnikwelinyalinga1740 3 года назад

    Usi pende kuacha nishandoa zawe nzako mbwa wwe

  • @bmbnndailylife2096
    @bmbnndailylife2096 3 года назад

    Hesma uko sawa mke wa likado ni malaya

    • @hamisa3447
      @hamisa3447 3 года назад

      Lete ushahidi msipende tu kuwachafua watu ili kufurahisha nafsi zao.