LISSU BALAA, AWAPA ZA USO WANAOMSEMA VIBAYA MITANDAONI KUGOMBEA UENYEKITI, AMVAA VIKALI RAIS SAMIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 дек 2024

Комментарии • 32

  • @mohamedysekoo4604
    @mohamedysekoo4604 5 часов назад +3

    Kwa kweli bila tume hakuna uchaguzi

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 4 часа назад +2

    Point kubwa sana leo bwana Lissu umechambua viizuri mno kabisa.
    Sasa swali.... kama mnaelewa mapungufu yote haya kwanini mnaingia kwenye uchaguzi? Hii ni kusumbua wanachama tu.

  • @aganomuma
    @aganomuma 6 часов назад +2

    Hapo ni sawa msiiende kwenye uchaguzi bila mabadiliko ndani ya tume

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 4 часа назад +1

    Huuni misimamo sahihi kabisa na wa kidemokradia na kupenda nchi. Ila huko badaye msije mkatugeuka na maridhiamo ya nyuma ya pazia. Wekeni misimamo na kuushikilia hadi kieleweke. Keep it up

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 4 часа назад +1

    No reform no election hiyo imeeleweka kabisa. Lakini badaye msije kubadilika maana hamchelewi.

  • @akramissa3393
    @akramissa3393 5 часов назад +1

    Hii ndo kauli wanachi wamekua wakisubiri kwa hamu, muanze kupreach kwa wananchi kuanzia sasa ikifika wakati tunda limeiva

  • @prospermalala6636
    @prospermalala6636 4 часа назад

    IQ kubwa ulizonazo kichwani mwako Mungu akuongoze ktk kipindi hiki kigumu MH Lisu

  • @Momackkomba
    @Momackkomba 15 часов назад +8

    CDM...ni Chama ambacho kinaishi kwenye misingi ya Mfumo wa vyama vingi.
    Ni Chama ambacho hakiogopi wala kuhofia mapito ya kisiasa kwa ajili ya Demokrasia.
    Ni Chama pekee kinaweza tajwa kama mfano wa Chama Bora Cha upinzani tangu ardhi ya Tanganyika ipate uhuru wake zaidi ya miaka 60 iliyopita.
    Pengine ni ngumu kupata wanachokitaka lakini ni rahisi wao KUELEWEKA kwa majority.
    CCM ni Chama tawala
    Chadema ni Chama Bora Cha upinzani.

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 6 часов назад

      Alokwambia nani wafuasi wake hawapo tayari kwa mapambano

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 4 часа назад

      @@KassimAlly-xp4dz mapambano yepi? Hata kutokushiriki ni kupambana. Siyo lazima vurugu barabarani jamani

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 2 часа назад

    Tatizo ni baadhi ya vyama kuendekeza unafiki,wanaisaidia ccm kwa kupewa pesa tu wameamua kuwa wasaliti

  • @AloyceMahundi
    @AloyceMahundi 13 часов назад +1

    Kweli kabisa 🤝

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 2 часа назад

    Ndio maana walitaka kumuua huyu,maana wanajua huyu ni akili kubwa na mpenda haki,mzalendo halisi,ccm inataka watu sampuli ya msigwa,na wapuuzi wengine,

  • @piuschacha4359
    @piuschacha4359 29 минут назад

    tume huru ndio dawa t

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 3 часа назад +1

    Tunajiuliza kwanini alikuchagua wewe na kwaninj alchagua kukuita hilo jina la mhaini? Ulifanya nini kwani? Lazima kuna sababu, si bure.
    Mbona hakumwita tu mtu yeyote?
    Mie naona ungeachana tu habari ya kupigana na mzimu. It doesn't suit you kabisa kakangu.
    Nilitaka kushangaa umalizie hatuba bila kumtaja Magufuli? Ingekuwa maajabu.
    Huo mzimu unakusumbua sana kwenye kichwa. Sijui usiku kama unalala vizuri. Nashauri usali kwa bidii usamehe kabisa uutue huo mzigo wa chuki ndani yako uuponye moyo kwa faida yako. Yeye hayupo lakini wewe unateseka. Haiko vizuri.
    Kakangu mpendwa you need to pray and forgive then utaona hata mambo mazuri pia, maana inachoona kwake ni wingu la giza tu. Mazuri yooooote huyaoni. It's not healthy bother.

    • @michaelkwatlema2124
      @michaelkwatlema2124 48 минут назад

      Unawezaje kuyaona mazuri ndani ya mauaji ya kikatili Kama yale unachukulia kiuepesi tu ungekuwa wewe umepigwa risasi Kama zile usingeongea hayo

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 11 часов назад +2

    Tunasubiria mikutano kama hii na waandishi wa habari yoka vyama vifuatavyo :- CUF TADEA ADC AFP UMD UPDP NCCR M. NRA. DP TLP . CCK. PPT Maana vyote vina usajili..!!

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 4 часа назад

      Hata ACT

    • @nakalikyumile3234
      @nakalikyumile3234 2 часа назад

      Hivyo vyama vingine ulivyovitaja wala havieleweki,vipo kwaajili ya ruzuku tu,na sio kuisaidia nchi ,vingine hata ofisi havina!!vipo jina tu😅😅😅😅 kwahio ndugu hilo sahau vingi ni "VYAMA VIBARAKA"

  • @MaulidHimidi
    @MaulidHimidi 4 часа назад

    Chadema ni chama Cha mitandaoni kwenye kura hawaonekani hukimbilia mitataoni kulalamika

  • @KassimAlly-xp4dz
    @KassimAlly-xp4dz 6 часов назад

    Uchaguzi utafanywa na vyama vengine

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 4 часа назад +1

      Yeah Hilo linaeleweka. Wasaliti huwa hawakosekani....Hata ndani ya vyama watajuwepo

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 3 часа назад

      Kweli

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 3 часа назад

      Ile unafafanua vizuri sana.

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 3 часа назад

      Usawa wa wabunge na.majimbo kweli unahitaji mabafiliko haraka sana.