MKE WA ANKO ZUMO MUME WANGU HAKUNIAMBIA KAMA KUNA NDOA NILIONA PICHA ZA HARUSI MTANDAONI SIKUAMINI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 545

  • @milamila5594
    @milamila5594 3 года назад +1

    Vile nampenda mama mai wakiwa na baba mai haki hili jambo lisifanyike.Ancle zumo usimwache mama mai.Watching from Kenya be blessed my favorite fun Ancle zumo and mama mai

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 3 года назад +90

    Mama mai nakupenda bureee,SUPER WOMAN wa nguvu💪

    • @ashamwamba9088
      @ashamwamba9088 3 года назад +2

      Alafu.anachekaaa.mnafikiii.uyooooooo..mashogaaaaaa.jamaniii.mawifiiiiiiiioo.hao.hawaxhangiii.baba.nawaumezenu.kuweni.makiini

    • @midilastahans7188
      @midilastahans7188 3 года назад +1

      Wapuuzi nyie unajichuria sio nakupa mwaka.

    • @neemabakari7061
      @neemabakari7061 3 года назад

      Hatarii

    • @fatumadavd505
      @fatumadavd505 3 года назад

      Mama mai nikwambie kitu mdogo angu hayo mazungumzo ya mumeo kuna vifumbo sana kuwa makini sana na usimuamini hata kidogo hata tabasamu lao tu linaashiria kuna kitu utakuja juta baadae kuwa makin hamna kiki hapo wala nini wanakuchezea picha hao

    • @fatumadavd505
      @fatumadavd505 3 года назад

      Zumo unajichetua tu

  • @eufinonsare705
    @eufinonsare705 3 года назад +19

    Habiba mke mzuri kweli ankoo Zumo make sure you respect her nampenda sana from Kenya tulikua tumekasirishwa sana

  • @habibambwana5855
    @habibambwana5855 3 года назад +14

    Mi niliumia kweli jamani mwenyenz mungu awazidishie upendo

  • @nurahyusuph9771
    @nurahyusuph9771 3 года назад +41

    Duh mulitustua jaman but habiba take care one day itakua yes

    • @magrethmalingumuchristophe7731
      @magrethmalingumuchristophe7731 3 года назад

      Jaman niliogopa Sana maana hii ilikuwangumu nilimchukia Sana huyu dada salha duh anko zumo ucjekujaribu kumuoa mke wapil zaidi ya mama Mai utapotea jaman

    • @yusufmwangichannel6692
      @yusufmwangichannel6692 3 года назад

      Kwani ata akiolewa si dini inaruhusu kuwa na wake wawili, watatu, wanne na ukiwa utakua una uadilifu basi uoe mmoja

  • @nancymalemba8139
    @nancymalemba8139 3 года назад +3

    Interview nzuri sana wameendana sana hawa wanandoa mungu ailinde ndoa yao

  • @hawa-luumiwrty3144
    @hawa-luumiwrty3144 3 года назад +4

    Mashaallah MUNGU Alinde Ndoa Yenu. Napiya Urafiki Wenu, Napenda Kuwaona Mkiwa Wa3-

  • @3azxtv843
    @3azxtv843 3 года назад +17

    Khadija
    Habiba muangalie uyo utani utani utasikia kweli

  • @zuwena1zuwena114
    @zuwena1zuwena114 3 года назад +1

    Mnavojua tunavompenda habiba zumo msingetushtua

  • @thureyaseif7143
    @thureyaseif7143 3 года назад +98

    Naomba habiba utahadhari sana usimuamini huyo bwana na rafiki yako, utakuja juta sana, kutoka zamani inajulikana hakuna rafiki mzuri wrote niwanafiki

    • @ablamaryamsalehvg5eazhst3n52
      @ablamaryamsalehvg5eazhst3n52 3 года назад

      ruclips.net/video/0TtuuMjFvNo/видео.html

    • @emilyibraimo5032
      @emilyibraimo5032 3 года назад +3

      Usijenge cuki ndugi yangu hii ni ndowa tuacheni mambo ya kijinga ndowa ni muhimu

    • @thureyaseif7143
      @thureyaseif7143 3 года назад +3

      @@emilyibraimo5032 hiyo sio ndoa ya kuiba Mume wa rafiki yako nikuharibu ndoa ya rafiki yako.

    • @mariamsuma3003
      @mariamsuma3003 3 года назад +1

      @@emilyibraimo5032 kabsa

    • @khadijasulleyman3804
      @khadijasulleyman3804 3 года назад +1

      Kweli kabisa hakuna rafiki

  • @rosehaule220
    @rosehaule220 3 года назад +3

    Mmekosea ssna washabiki wenu tuneongea mengii..kiujumla hii aijakaa sawa mnaweza kutupoteza mashabiki serious.

  • @hamidsoud2436
    @hamidsoud2436 3 года назад +2

    Alhamdulilah nimefurahi saaana kusikia hivyoo km sio kweli

  • @asiaghadija8333
    @asiaghadija8333 3 года назад +33

    Habiba mrembo MashaAllah

  • @youngdopest6219
    @youngdopest6219 3 года назад +33

    Alosema hatoangalia tena vichekesho vya zumo kama mm agonge like😂😂😂😂

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 3 года назад +5

    Ao wana. Kwichi kwichi ao habiba kua Makini uyo sio shoga uyo ipo siku utajuta ujue na akuna ushoga Dunia hii

  • @tatukhamis6349
    @tatukhamis6349 3 года назад +26

    Nilikuwa nimemchukia sana Zumo kwakumsaliti habiba.

    • @barutiabuu9492
      @barutiabuu9492 3 года назад

      We nae ndo wale wasio kuwa namafunzo kwa wazazi wako muislam gani wewe ungekuwa unamjuwa mungu bas usingesema kamsaliti kuowa nikusaliti

    • @ndrwdotts4347
      @ndrwdotts4347 3 года назад

      hawa wamediscuss wakaona kazi itafanya vibaya watapoteza umaarufu wameona bora siku ziende wakubaliane tu

  • @alisaid3251
    @alisaid3251 3 года назад +1

    Kuoa mmoja hujakosea mungu mwisho amesema kama hutaweza kufanya uadilifu basi mmoja.

  • @musitemusite4316
    @musitemusite4316 3 года назад +1

    Maashaallah nampenda dada angu ibiba

  • @angelakudenya2353
    @angelakudenya2353 3 года назад +25

    Uncle Zumo sahihisha hiyo ishu ya mtu akitaka kuoa kuridhiwa na mkewe wa kwanza...

  • @swafiyyasuleyman3924
    @swafiyyasuleyman3924 3 года назад +2

    Masha allah allah awajalie masikilizno daima mumtunze mume wenu

  • @aniphalookmoneylookmoney8881
    @aniphalookmoneylookmoney8881 3 года назад +25

    Yaani anko umepona ningekuja na nyundo kuvunja hyo ndoa 😂😂😂😂😂

    • @angeljolie666
      @angeljolie666 3 года назад +1

      😀😀😀😀😀

    • @fatumampumbo6186
      @fatumampumbo6186 3 года назад

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @hawatognola4022
      @hawatognola4022 3 года назад

      🤣🤣🤣🤣🤣yani engekuja na nyundo yani lookmoney umenichekesha 🤣🤣🥂

    • @ahmedzahor2975
      @ahmedzahor2975 3 года назад

      Kwani kuongeza mke wa pili kwa muislam ni Dhambi?

    • @munafathma9923
      @munafathma9923 3 года назад

      😂😂😂🤣🤣🤣

  • @mmnn7366
    @mmnn7366 3 года назад +7

    MA SHA ALLAH...mapenzi Matam jmni mungu awape masklzano daima

  • @nshonabdll9363
    @nshonabdll9363 3 года назад +3

    Kwaiyo kumbe so ndowa ya kweli ianabiba usi muamini uyo dada ndo watanza Hao kujimegea Shauri yk

  • @mwanakombojuma9029
    @mwanakombojuma9029 3 года назад

    Kusema kweli habiba nakupenda we mrebo bwana🥰🥰🥰🥰mashallah👌

  • @toma634
    @toma634 3 года назад +22

    Ww dada nakupenda mm jaman Habiba Zumo nakupenda mno mama angu anko please usimtese huyo dada tafadhal kama ukimchoka mludishe tu kwao nimwanamke bola kuliko neno lenyewe

  • @kingrasdee445
    @kingrasdee445 3 года назад +1

    Ila mke wa zumo mzur ban kaa na uyo ukioa ile lenye bes wala sio zur mi namkunyanganya wallah.

  • @mohamedhaji2200
    @mohamedhaji2200 2 года назад

    Ila anko Zumo na Habiba mnapendana sana

  • @isamony58
    @isamony58 3 года назад +18

    yani bora daaa tulichukiya sana habiba na akoz mmetoka mbaki sana na ww mm mai kuwa makini na uyoo anayokuita wifi jiangalie

  • @halyatmohamed9047
    @halyatmohamed9047 3 года назад +2

    Habiba kuwa makini sana hakunaga lafiki mbele ya mumeo kwamaana wanapokuwa karibu watu wawili wenye jinsia tofaut kunakitu kinaendelea

  • @tanjaniyoman3160
    @tanjaniyoman3160 3 года назад +1

    Wewe habiba...nyimbo mbaya hachombezewi mtoto mjue..

  • @safinaally5581
    @safinaally5581 3 года назад +1

    Saw

  • @awezayesu1779
    @awezayesu1779 3 года назад +33

    Kumbe kk jaman unajua who nimelia mim😪🙄 bas think again usije ukajitabilia mama mai wangu😥💕💕

    • @emmamombo7149
      @emmamombo7149 3 года назад +2

      Wasimama pole pole tumelia wote jamani

  • @frdausmwawughanga9047
    @frdausmwawughanga9047 3 года назад +4

    Hakuna ruhusa yoyote Kwa mke kuoa hakuna mahali panasema ATI amwangukie hakuna bwana ndoa nikher kuoa mke Zaid hakuna tatizo mhim uadilifu basi

  • @kulthumsaif2856
    @kulthumsaif2856 3 года назад +5

    Habiba kua makini saaana Na Huyo Dada Na rudia tena kua makini Na huyo Dada zumo tulia Habiba yuko vizuri usimlize

  • @aminakilahama2032
    @aminakilahama2032 3 года назад +1

    Mmh wifi wifi wifi😏😏😏😏😏😏

  • @prosperkullaya6721
    @prosperkullaya6721 2 года назад +1

    Sadani hio I real like that part lol!

  • @uwimanacitegetse9926
    @uwimanacitegetse9926 3 года назад +6

    Afazali mwoyowangu umepumuwa du ukewenza haaaa 💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻

    • @awezayesu1779
      @awezayesu1779 3 года назад

      Jaman i see 😂eb nisonge ugali nile

    • @mariamuramadhani1548
      @mariamuramadhani1548 3 года назад

      😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄

    • @happypa2027
      @happypa2027 3 года назад +1

      @@awezayesu1779 😂🤣😂🍼nyonye usile ugali🤣😂

    • @awezayesu1779
      @awezayesu1779 3 года назад

      @@happypa2027 ni nyone ten nahuu uzee wangu jaman🙄 mbona kama unanitus du😰

    • @happypa2027
      @happypa2027 3 года назад

      @@awezayesu1779 🤣😂🤣kama umezeheka kula mihogo upate ngufu zaid

  • @janetmbwana553
    @janetmbwana553 3 года назад

    Anko zumo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
    Nakupenda habiba

  • @renildevenerand9473
    @renildevenerand9473 3 года назад +42

    Mashabiki zenu tulishtuka maana couple yenu tunaipenda sana .

  • @sifasanga7866
    @sifasanga7866 3 года назад +16

    Huyo dada achana nae Mama Mai, Wacha Masihara na ndoa yako.
    Take care

  • @sithysithy3740
    @sithysithy3740 3 года назад +4

    Mashallah mwenye zimungu awazidishie upendo daima

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 3 года назад +12

    Ila.mkwe wangu Habiba nakwambia Tahadhari kabla ya khatari usimkabizi Simba bucha au mbuzi huwezi kumuekea majni ili ayalinde jogoo kasema mashara mashara mwisho huwa kweli maana inaweza kuleta msukumo mama.

  • @bibiemohamed6044
    @bibiemohamed6044 3 года назад +3

    Namuona kwambaliiiii kuna siku ataoa huyu jamaa tu

  • @zulfahussein6784
    @zulfahussein6784 3 года назад +4

    Kwakweli Mie naombea khery na baraka za Allaah ziwe nanyie namuowe kuo cha jaami msiwi kama Queedarling na mwezake

  • @ameniameni617
    @ameniameni617 3 года назад +10

    Mpaka mimi nilikuwa nimechukia mwanaume kumbe sikweli lakini Habiba kuwa makini

  • @fatmasimai6839
    @fatmasimai6839 3 года назад +2

    Nakupenda sana da abiba

  • @mohamedraahid1456
    @mohamedraahid1456 3 года назад +7

    Jaman anko umeroga wapi eti Kiki dada umerogwa pole hiyo sio kiki mim ndio nakwambia watu wameshaowana we kaa useme kiki

  • @estherponda790
    @estherponda790 3 года назад +4

    Hao wanatombana babiba uwe maskini hakuna wifi hapo,Mana hao wanatombana tokea kitambo

  • @priscakomba2786
    @priscakomba2786 3 года назад +1

    Me mwenyewe sikupenda nilijua kweli yaaani

  • @bostonnyatu3269
    @bostonnyatu3269 3 года назад

    Wanangu nimewapenda kwa mnavyopendana Mungu awabariki mkae kwa amani ktk ndoa yenu.ila mke wa pili iwe mwiko anatosha huyo

  • @johnbuluma8861
    @johnbuluma8861 3 года назад

    Habiba we ni mwanamke hongera, naomba kuuliza hauna au dada yako au mdogo wako nioe.na Mimi ila awe nzuri kama wewe

  • @lucianambalamwezi1864
    @lucianambalamwezi1864 3 года назад +3

    Bora maaana nilikereka mnooo kumbe uongo bora

  • @suzanemwangingo6932
    @suzanemwangingo6932 3 года назад

    Usipate na tamaa yoyote mkeo ni mzuri Sana Sana kwana huyo hamfikii

  • @tinkudey5928
    @tinkudey5928 3 года назад +7

    Kaka zumo usimuache uyo mwanamke mama mai na usimsaliti mwenzio kuumbuka mlipo toka Leo mungu amekujalia kidogo chako usimgeuke mama mai uyo ndio nyota yako na tu nawapenda a sana na kazi zenu nzuri😍

    • @asiahamza7812
      @asiahamza7812 3 года назад

      Hao ni waislam kuoa sio kwamba kaacha mke hapana dini inaruhusu

    • @stelllakapaya9517
      @stelllakapaya9517 3 года назад +1

      Mmmh wewe mama mai wewe utajuta usimwamini mtu wewe jiongeleshe tu utakoma

    • @tinkudey5928
      @tinkudey5928 3 года назад

      @@asiahamza7812 dah ila asimfanyie kwa mashoga zake inauma

  • @mariamsharia2062
    @mariamsharia2062 3 года назад +12

    Mhhhhh me nahisi kuna kamzunguko sarah naomba usimchukulie khabiba mumewe take care utakosa msaada mamie muheshim Sana habiba usithubutu kuharibu ushogawako kisa mapenz mamie nakuonya

  • @minnahloveiove1074
    @minnahloveiove1074 3 года назад +14

    Ila hawa watu nawapenda sana yaan wanapendana sana mungu azidi kuwasimamia natamani sana na mme wangu mtarajiwa tuwe tunapendana na habiba na zumo wake

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 3 года назад +16

    Anko Zuma wewe Habiba mmetoka mbali Wacha maneno HALI ya sasa utizame watoto wenu

  • @ashatimo4666
    @ashatimo4666 3 года назад

    Mashalla zumo na habiba mnapendana

  • @salimanguramo2557
    @salimanguramo2557 3 года назад +1

    Nilikua nime kasirikia anko zumo hakii. Ungemsaliti maman mai hakii heeeee

  • @rukiazani1883
    @rukiazani1883 3 года назад

    Mmmmhh haya Dada habiba huyo mwanamke muangalie vzuri coz inaonekana inaeza kuwa ya kweli baadae

  • @mamunote3507
    @mamunote3507 3 года назад +2

    Usjijifanye Jabar kuna wema zungumza kwa Hikma usijikere ni bora sana hata kama utaoa uwe mwema ukumbuke wema mlioishi uko ubinaadam

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 3 года назад +4

    Mbona me auku nishusha nitake radhi habiba sio kwa povu nililo mpa anko zumo

  • @channellechacha4177
    @channellechacha4177 3 года назад +7

    Alhamdulillah nauku Burundi tulikasirika ila afazhari ni uongo

  • @mohammedomar7280
    @mohammedomar7280 3 года назад +1

    Chakula kimechacha unanikumbusha zamani sana wazee walikwenda kupika ugenini ila kilichotokea waliapa hawatokwenda tena kupika ile sehemu,

  • @minnahloveiove1074
    @minnahloveiove1074 3 года назад +4

    Uyo Salah mbona walimuhoji akathibitisha tena mpk na rafiki yake Salah akathibitisha kweli kaolewa na anko

  • @mikelinagomezi1766
    @mikelinagomezi1766 3 года назад +2

    Uma aarufu kazi Sana

  • @mamunote3507
    @mamunote3507 3 года назад +9

    Jitahadhari nae huyo Dada

  • @lilianalphonce4413
    @lilianalphonce4413 3 года назад +6

    Mi nilivyoona kaoa mke wa pili nilijiuliza atamuweza mtoto wa kambo Mai kwa kichambo

  • @zurfambogo6519
    @zurfambogo6519 3 года назад +1

    Nawapenda saana

  • @mishikikoti2948
    @mishikikoti2948 3 года назад

    Hapo jambo lipo bhana msituzugee..na atakama habiba we hujui bas hao wawili.wanalo jambo maana so kuangalia huko ya kwa maneno yaliosemwa bas habiba kaa tayari mda wowote yanaweza kuku kuta wanaume wakiislamu si twawajua🙄 wakiona tu watu wame sema.wanaamua wafanye kweli .me kiikweli siwez kucheza mchezo wa namna hiyo na mume wangu😎

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 3 года назад +2

    Kuweni makin unachojiombea kukifanya kutoka kwenye mdomo wako kinatokea kweli sana ukiwa kwenye ndoa usijinenee mabaya

  • @mamunote3507
    @mamunote3507 3 года назад +4

    Tumekusamehe
    Lakini us if any tena mambo hayo hatutawaamini tena cc twawapenda

  • @dianamulengeki7772
    @dianamulengeki7772 3 года назад

    Wanakuchiti hao, shauri yako

  • @mamunote3507
    @mamunote3507 3 года назад +7

    Au mtaa cha tuwachukie kuwa na maneno mazuri Uislam umetufundisha maneno mema ya kuwambia wenzako kuwa na Hikma Anco Zumo wapendane pendeka cc wanaadam hatuna ukamilifu

  • @shirondungu4412
    @shirondungu4412 3 года назад

    Aki yamungu nilikuwa nimeboeka hadi nikasema sitawai watch nko zumo tena..poleni sama

  • @adrianasylvester2847
    @adrianasylvester2847 3 года назад +4

    Nakunywa maji jaman Duh.

  • @hassanparamana2215
    @hassanparamana2215 3 года назад +1

    habiba una mpenda mumeo mpaka unashindwa kujizuia yaani macho,mdomo mpaka moyo una tabasamu...ila anko zumo unazingua jue eti kwao saadani wachawi waliloga chakula kimepikwa saa nne mpaka saa saba kimechacha chote hiii kiboko 😂😂😂

  • @Gift-cx1uo
    @Gift-cx1uo 3 года назад +3

    Umekosea anko zumo amesema oeni 2,3,4 kma mnauadilifu ukishindwa oa 1 sasa apo wanaume wasikuiz mnaoa kwatamaa uadilifu hamna na ukioa ukakosa uadilif kwa wake zako unadhambi uandae yakujibu kwa mung

  • @issaissah8832
    @issaissah8832 3 года назад +8

    One day itakua kweri na usitulilie ohoo

  • @joycekasakisya7755
    @joycekasakisya7755 3 года назад +1

    Mungu awabariki tunawapenda Habiba na anko

  • @humairamajengo6616
    @humairamajengo6616 3 года назад +1

    Sara umekosea hakuna mke mkubwa kuridhia hiyo ni amri ya mungu soma dini vzr utailewa ki binanadamu sawa anaweza kumwambia

  • @ukhtyrayyan7884
    @ukhtyrayyan7884 3 года назад +3

    Haawa wanaziba watumdomo lakini ili jambo wanalo huenda habiba kasemesha.katulia mbona juzi salha kakubali dagea kamuliza

  • @yasintamichel7249
    @yasintamichel7249 3 года назад +1

    Kweli tunawapenda jaman sasa mambo yakuoana apo apo haikukaa swaa

  • @tresiakaovela9109
    @tresiakaovela9109 3 года назад +1

    Mamai nampenda anko zumo tulia namkeo

  • @asifiwekitunga4655
    @asifiwekitunga4655 3 года назад +3

    pamoja na hayo kuwa makini habiba loh

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 3 года назад

      Hata ikitokea ni kweli Kwani kuna ubaya kuongeza mke?
      Mbona mnataka kuharamisha alichohalalisha Mungu!

  • @azzasalim2087
    @azzasalim2087 3 года назад +1

    Bora iwe ivo.🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @happyelias9465
    @happyelias9465 3 года назад +1

    Tuombee msamaha mwenyewe kwa sababu umetuwazisha vibaya

  • @sarhkimboi9085
    @sarhkimboi9085 3 года назад +5

    Jamany hyo salha c alisema yuko kwenye Saba za ndoa au ndo kick

  • @roseshayo9022
    @roseshayo9022 3 года назад

    Uliniumiza sana wewe Habiba, me nikajua ni kweli mpaka nililia

  • @fatmasalima3847
    @fatmasalima3847 3 года назад +4

    Mash Allah ❤

  • @misslokuran4828
    @misslokuran4828 3 года назад

    Heri si kweli naipenda couple yenu

  • @frdmedia6235
    @frdmedia6235 3 года назад +3

    Jaman kamoyo kanendambiyo habiba wangu heee jaman

  • @aishahernandez4201
    @aishahernandez4201 3 года назад +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣anko zumu ww noma yani nimekua nimekasirika wewe japo din inaruhus afu nawapenda jamon

  • @sofiaswalehes.s3936
    @sofiaswalehes.s3936 3 года назад +7

    Mmmmh mbona kama sielewi.zumo na Salah ...macho t yanajulisha kama.kunakitu fulani

  • @salamakaliasi9358
    @salamakaliasi9358 3 года назад +1

    Halafu naomba kuuliza hivyo huyo Sara Ana mume kwel?? Kama Hana mume huyooo Habibaa take care

  • @theresiamushi8006
    @theresiamushi8006 3 года назад +24

    Kiukwel nilimchukia anko zumo niliapa stakaa kuangalia kaz zenu dah afadhal syo kwel🤦🏽‍♀️🤦🏽‍♀️🤦🏽‍♀️

    • @mamiewana7224
      @mamiewana7224 3 года назад +2

      Uuuuuuw pili pili ya shamba yakuwashia nin 😂😂😂

    • @rosecruiz4348
      @rosecruiz4348 3 года назад

      @@mamiewana7224 eee ilituma sana mana habuba mpole sana

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 3 года назад

      Najikuta kucheka jinsi munavyoumia

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 года назад

      wana hatariiiiiiiiiiii sana

  • @theceefamily7764
    @theceefamily7764 3 года назад +9

    Nawapenda sana na job zenu zote kifamilia,hongereni👏👏👏💕💪🌞🙏🇰🇪@Kenya.

  • @mussaandrew2083
    @mussaandrew2083 3 года назад +2

    Big up Zumo hakika mmefanya kitu kikubwa 😂😂

  • @zainababdullsadik1247
    @zainababdullsadik1247 3 года назад +2

    Hata mieee nilimchukiaa kweli

  • @Matiherbalist
    @Matiherbalist 3 года назад +10

    Habiba mwenzangu kuwa makini huyo nyoka Sana , sijui mbona hawa watu huwa wanatuonea sababu ya upole wetu. Ila mimi sina mashoga wa rafiki

    • @julihanjosephyjs6361
      @julihanjosephyjs6361 3 года назад +1

      Utakuwa Mimi shoga yako maana Mimi sina shoga wala rafiki .