Kwa kesi yako hii Kila kimoja kitolee Zaka kama kimefika viwango Ngombe wako kama wamefika 40 basi Toa Zaka mbuzi mmoja (Ndani ya mwaka) Kama mazao yako yamefika Gunia 7 Kwa msimu basi toka Kilo 33 Kwa mwaka na Kwa kesi ya Biashara yako basi Toa kama unavyoelekezwa katika hii video yetu. Ahsante
Hii gunia saba mtu atoe kilo 33.. JE gunia hili la kilo ngapi?? Pili mfano mpunga kwa gunia la mpunga nikiwa nimekoboa au likiwa bado ni mpunga??? @@kalamuMedia
MashaAllah
Aka bachuchu Mombasa 001
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
ALLAH atujalie tuwe wenye uwezo wakutoa zaka sote na awajalie wenye uwezo wa kipato Zaidi na Zaidi ili waendelee kutoa. 🤲🏿❣️📿
Allah atuongoze katika hili lnshaAllah
Mash Allah tabarak Allah kheri, Jazzak Allah kheri shekhe
Jazakallah khayran
We mwandishi hufai kuwa mtangazaji sauti inavutia sanna
Kamanungekuwa mke wangu
Nisingekuruhusu
Hii dini tamu sana❤
Jee wenye bishara za mahoteli
Na wamechanganya na pombe jee katika biashara jee inafaa kutoa zaka
Kwahyo hio zaka tunatoa kias gan katika Mali yangu?
Shekh,Nina biashara,Nina Lima mazao na ninamifugo,nitatoa kipi katika hizo?
Kwa kesi yako hii
Kila kimoja kitolee Zaka kama kimefika viwango
Ngombe wako kama wamefika 40 basi Toa Zaka mbuzi mmoja (Ndani ya mwaka)
Kama mazao yako yamefika Gunia 7 Kwa msimu basi toka Kilo 33 Kwa mwaka
na Kwa kesi ya Biashara yako basi Toa kama unavyoelekezwa katika hii video yetu.
Ahsante
Hii gunia saba mtu atoe kilo 33.. JE gunia hili la kilo ngapi?? Pili mfano mpunga kwa gunia la mpunga nikiwa nimekoboa au likiwa bado ni mpunga??? @@kalamuMedia
Muandishi umeudhi hujauliza maswali ya msingi niliyokuwa nataraji
Yapi Abdullah tuulize in sha Allah