ALIE ROGWA HASA ANAKUWA HIVI / SHEIKH MARDIYAH

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 78

  • @HusseinAli-y1o
    @HusseinAli-y1o Год назад +1

    Twayib sheik.. Allah Aliniokoa mtihani huo ulinipata, nikiwa kazini nafsi haitaki naomba ruhusu natoka, ikafika mpaka nilikuwa sifiki kazini naenda kukaa seemu tu au narudi nyumbani kulala chaajabu nikiwa nyumbani nahisi vizuri nikiweka nia ya kwenda kazini balaa... Nilifanyiwa tiba ya ruqya. Alhamdulillah...... Wanga wabaya.. Humu kazini watu wanarogana.. Wivu na chuki.. Ukionekana wachapa kazi vizuri basi. Watu hawapendi.

    • @Shakila0000
      @Shakila0000 6 месяцев назад

      Nitampaje na mm na shda naye pls nisaidie hapokei sm

  • @زينببنتسعيد-د9ح
    @زينببنتسعيد-د9ح 3 года назад +4

    REHMA na Amani za MWENYEZI MUNGU zimshukie Mtume wetu kipenzi Mohammad Swalallahu ALLEYHI Wasallam AHLI ZAKE na MASWAHABA ZAKE wote

  • @anitacizaa413
    @anitacizaa413 3 года назад +6

    Allah akulipe kheri fi dunia wali akhera Shekhe wetu 🙏

  • @trainermaganga3795
    @trainermaganga3795 3 года назад +3

    Great work my brother in Islam and i love you for the sake of Allah both of you all .nimeweza kupata elimu sana kwa hii program.

  • @زينببنتسعيد-د9ح
    @زينببنتسعيد-د9ح 3 года назад +2

    Shukraan na SIFA zote ZIMUENDEE MUUMBA MBINGU,ARDHI na VOTE VILIVOMO ndani yake ALLAH SUBHANAHU WA TA'ALA

  • @suheilahsuheilah4968
    @suheilahsuheilah4968 3 года назад +3

    Mashaallah tabarakallah sheikh wetu Allah akulipe kheri fidunia wal-akhera nawapenda sana kwa ajili ya Allah shukran sana

  • @ruthnimi2165
    @ruthnimi2165 3 года назад +2

    Thank you for this teaching, Sheikh Salum na Sheikh Watamamun nilitembea juzi Mombasa, Ukunda niliomba kila Usubuhi Bahari la Indian Ocean asubuhi mapema, Wanga na Wachawi wenye Uzda na Hasidi Maulana awahukumu Kwa kuwachoma Kwa Jina Lake Yesu Kristo,Amen. asante kutuelimisha God bless you, niombee nisafiri Qatar kazi ya hoteli, naipenda Sana kutizama Zanibar TV

  • @ablaalnaamani7670
    @ablaalnaamani7670 8 месяцев назад

    Shukran sheikh Salim Allah akuzidishie elmu tunaomba saa unatowa mihadhara wasitie music ilitupate kusikiya vizuri

  • @salamabakari8384
    @salamabakari8384 8 месяцев назад

    Kila la kheri shekhe maneno yako ni kweli ❤❤

  • @DeograstiasRUTAKAZA
    @DeograstiasRUTAKAZA 3 месяца назад

    Namuomba ALLAH akupe Heri

  • @nasirshekhi6070
    @nasirshekhi6070 3 года назад +2

    Jazzakka Allahu khyern 🤲❣️🌹❣️

  • @mohammedalaraby0073
    @mohammedalaraby0073 3 года назад +1

    Shukrn Al hbb sheikh salum mardhiyya .........
    Kwa elimu

  • @ZainabuMwambashi
    @ZainabuMwambashi Год назад

    0:18 mashaallha shehe wetu

  • @hamisamaundi5661
    @hamisamaundi5661 3 года назад +2

    MashaALLAH,shukrani sheikh

  • @nuujaimaabdallah8931
    @nuujaimaabdallah8931 3 года назад +2

    Masha Allah, njazakallahu kheyr

  • @khalidhaji8570
    @khalidhaji8570 3 года назад +3

    MASHA ALLAH , list ya VIPINDI nnavyovipenda ZINJIBAR TV AL HAMDULLILLAH 1) TWIBUL QULUB 2) ZUNGUMZA NA AL HABIB SHEIKH MARDHIYYA 3) VIPINDI VYA AL HABIB SHEIKH SUL TAN AL MENDHIR 4)AL HABIB SHEIKH SHARIFU YUSSUF 5) VIPINDI VYA AL HABIB SHEIKH KARAMA 6) VIPINDI VYA SIKU MOJA MOJA VYA AL HABIB ABDUL RAHMAN (Sheikh TUNAOMBA nawe ufanye VIPINDI vya mfululizo maana kuna vitu MASHA ALLAH tunaviona kwako na TUNAVIHITAJI INSHA ALLAH" YA ALLAH WAPE AFYA NA KILA LA KHEIR INSHA ALLAH MASHEIKH WETU AMIN 🤲🏽😍 AL HAMDULLILLAH.

  • @alhajrahassan89
    @alhajrahassan89 3 года назад +1

    Mashallah jazakallahu kheir mada ya leo ni nzuri sana 😍

  • @Sameena-x9c
    @Sameena-x9c Год назад

    Shukran Jazza ka Allah kher

  • @fatmaabdilahi1007
    @fatmaabdilahi1007 3 года назад +1

    MashaAllah shukran sana sheikh wetu

  • @maryamsoud9750
    @maryamsoud9750 2 года назад +1

    A.Alykum mi mume wangu mambo yke ameharibika ghafla sasa miaka mitatu Hana kazi ya kueleweka akipata safari ikiwa karibu kusimama mara yavunjika naomba unisaidie amerogwa ama ni mitihani yke Allah

  • @mohammedboss6142
    @mohammedboss6142 2 года назад

    Assalam alykom asanthe sana ndugiyangu allah akujaze inshallah mohammed kutoka mombasa

  • @aminaSuleyman-d6y
    @aminaSuleyman-d6y Год назад

    Jazzallahu ghaira

  • @AbdallaAli-s4m
    @AbdallaAli-s4m Год назад

    Mashaallah 🤲🤲

  • @fauziafauziaalikassim7045
    @fauziafauziaalikassim7045 2 года назад

    Asanti sheikh Mungu akuweke

  • @kulthummohamed4013
    @kulthummohamed4013 3 месяца назад

    Nahitaji usaodizi wko sheikh dharura sana

  • @balkissMuhammad-sk1ic
    @balkissMuhammad-sk1ic 6 месяцев назад

    Bismillah

  • @jasminjuma6390
    @jasminjuma6390 3 года назад

    Waalaykum Salam warahmatuLLAH wabarakatuh mashaa Allah tabarakallah 🔥♥️ nawapenda sana kwa akili ya ALLAH ♥️ Allah awajaalie umri mrefu

  • @aminaswaleh7542
    @aminaswaleh7542 3 года назад

    Mashallah. Shukran

  • @mrsliverpool4235
    @mrsliverpool4235 3 года назад +1

    mashaAllah..Allah awahifadhi inshaAllah

  • @zeinababdulla8137
    @zeinababdulla8137 3 года назад

    Mashallah shukran sheikh

  • @halimasaid8992
    @halimasaid8992 3 года назад

    Ma shaa Allah Allah akuhifadhi Sheikh

  • @zeinababdulla8137
    @zeinababdulla8137 3 года назад

    Subhannallah Allah atuhifadhi

  • @mariammuscat4300
    @mariammuscat4300 3 года назад

    Kesho kwa aalllah watawazibiwa mungu atawalani wachawi

  • @saeedsaeed7381
    @saeedsaeed7381 3 года назад +2

    Masha Allah Sheikh fire 🔥 🔥 lecture, well explained and well detailed... BarakAllah is feek Sheikh, Watamamann, staffs & viewers

  • @shadyaloaf8694
    @shadyaloaf8694 2 года назад

    Assalam A, mungu akuweke umri mrefu akulinde na kila jambo

  • @salwasuleiman3525
    @salwasuleiman3525 3 года назад +2

    Mtihan

  • @aminaabu1599
    @aminaabu1599 3 года назад

    Mashallah tabaraka Allah

  • @BvvvGh-g5t
    @BvvvGh-g5t 3 месяца назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @mariammuscat4300
    @mariammuscat4300 3 года назад

    Alllawhukbar subhanallllah

  • @mariammuscat4300
    @mariammuscat4300 3 года назад

    Subhannnallllah

  • @nasirshekhi6070
    @nasirshekhi6070 3 года назад +2

    💯💯💯👌

    • @hadijawara1403
      @hadijawara1403 2 года назад

      nakama hujui kusoma hizo dua nitafanya nini

    • @hadijawara1403
      @hadijawara1403 2 года назад

      nita kujui kama sijui kusoma hizo dui nitafanya nini

  • @giftally3790
    @giftally3790 2 года назад

    No za simu mnazopatikana

  • @evelynengilah523
    @evelynengilah523 Год назад

    Karama yangu imevurugiwa urabuni Saudia ,sasa Utanisaidiaje Sheikh salim maridhia.

  • @albarw2011
    @albarw2011 3 года назад

    Maashallah Lakini itakuwa vizuri kuzima hiyo sauti ya nyuma

  • @omanamenmct1600
    @omanamenmct1600 2 года назад

    Nikweli kabisa shekhe

  • @salimsalim8421
    @salimsalim8421 3 года назад +1

    Assalam aleykum warah matuAllah wabaraqat kweli 👌 👌 👌 kabisa

  • @omanamenmct1600
    @omanamenmct1600 2 года назад

    Mm nimewangundua kwa njia ya hizo ndoto asubuhu nikawa nawahadithia hao ninao waona maana niko kwenye kaz oman niko nyumba moja nao saiv ndo wananikomesha ,nikiamka nimechanjwa,ucku kuna vitu vinaniingia kwenye miguu vinatembea mpk milin mpk kwenye utosi,nahasira mara kwa mara zisizokuwa na msingi ,kichukiwa nachukiwa mm mpk nashangaa imekuwaje,mwanzo haikuwa ivi nilikiwa napendwa sana na familia hii

  • @sukariyao6537
    @sukariyao6537 2 года назад

    😳😳🤔 Mie siipendi sana dini ya kiislam ila nawapata wanaume hao hao ndio wanataka kunioa so kubadili dini kisa mwanaume hiii si ni ujinga 🤦‍♀️ Eeeh Mungu saidia Mie Mja wako yarrab 🙏🤲

    • @aminahamisi2837
      @aminahamisi2837 Год назад +1

      Km unaona ni ujinga ci utafute mume huko kw dini yako

    • @radhiakipara-zd8qq
      @radhiakipara-zd8qq Год назад

      Mpka hapo unaelekwa kuwa muislam usingemtaja ya rabbi

  • @Namanda425
    @Namanda425 3 года назад

    Hilo la mwanga kuja ndotoni ni kweli.

  • @fadhilarashidi5184
    @fadhilarashidi5184 3 года назад

    Kama roho ya shanngazi yangu mwanga aliyekubuhu kazi kuhalibu maisha ya watu

  • @najma-c7w
    @najma-c7w Год назад

    Sheikh naomb namba yako na adress yako

  • @bahatimfungo9813
    @bahatimfungo9813 3 года назад +3

    Tweebe

  • @mogelasaileni4685
    @mogelasaileni4685 Год назад

    Shehe mimindivyo nilivyo kabisa nitakupataji upate kunitibu

  • @chinaboyzanzibar5328
    @chinaboyzanzibar5328 Год назад

    ASSALAAMU ALEYKUM MY BROTHER SHEIKH SALUM MARDHIYA HOW ARE U AND HOW IS UR FAMILY IN 🇿🇦 ZANZIBAR UR BROTHER SIDIK FROM LONDON 🇬🇧 WS. U FORGOT ME I DIDN'T FORGOT U WHAT'S HAPPEN ABOUT MY KAZI U TELL ME U WILL DO IT NO ANY ANSWER NO CALL IT CAN U EXPLAIN ME WHAT'S HAPPEN UR BROTHER SIDIK FROM LONDON 🇬🇧 WS 😢😢😢😢😢😢

  • @saidseif7469
    @saidseif7469 3 года назад +1

    Background nasheed bora mungeitoa au kupunguza.

  • @ameame6711
    @ameame6711 3 года назад

    Assalam alaku. Mimi kunasiku nilikuwa nimelala kabla ya kupata usingizi nikaona vinga viwili vinawaka moto nahuku nahuku vinapishana chanyuma na chambele kubaki nyuma na baada ya hapo nikawa siwezi kunyanyuka na niliponyanyuka kichwa kama vile sichangu .je hiipia nimerogwa?

  • @RajabQassm
    @RajabQassm Год назад

    Nahitaji kuonana na shekhe wapi naweza kumpata, kutoka mwera apa

  • @faridahalil4456
    @faridahalil4456 2 года назад

    Unajua wakati tunamsikiliza Salim inabidi huo muziki uzimwe inaleta distruction. Maoni tu natoa

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 2 года назад

    Naomba namba yako shekhe yaani wachawi nishida sana kwetu handeni tanga wapo yaani asikuone unakauwezo kidogo umekwisha watiwa hata kichaa kabisa

  • @fatimaf5284
    @fatimaf5284 2 года назад

    Asalamau alaikum mm Nina matatizo

  • @aishaomarry6996
    @aishaomarry6996 3 года назад +1

    Kipindi kizuri ila soud tracks punguzeni zinakera ni ombi tu

  • @aminahamisi2837
    @aminahamisi2837 3 года назад +1

    Ubani dhakari ni upi

    • @alrahbialrahbi277
      @alrahbialrahbi277 3 года назад

      Ni Ubani mweupe

    • @lilianrichard9065
      @lilianrichard9065 Год назад

      Majani ya mkunanz yakoje kiswail jaman kigum

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 Год назад

      @@lilianrichard9065Kuna tunda zinaitwa kunazi sijui upo wapo lkn ukienda Unguja ni maarufu sana hzo tunda. Ssa majani yake ndio yanaitwa majani ya mkunazi. Tunda ndogo za round mfano wa cherry km upo nje.

    • @lilianrichard9065
      @lilianrichard9065 Год назад

      @@Fear_Allah394 nipo mwanza mpendwa

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 Год назад

      @@lilianrichard9065. Ukipata mda in shaa Allah nenda Znz ukiuliza utaoneshwa ipo tele. Na inaezekana hata baadhi ya mikoa/sehemu bara ipo.