HIZI NDIO TEZO ZA KICHAWI, SHEIKH SALUM MARDHIYA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • fair use is a use permitted by copyright statute that might otherwise be infirnging non - profit education, or personal use tips the balance in favor of fair use all credit for copyright material used in video goes to the respected owner, #ZinjibarTV# Sheikh Salum Mardhiya

Комментарии • 96

  • @MustaphaMuhamadi
    @MustaphaMuhamadi 8 месяцев назад +1

    Mashaallah ❤❤

  • @hadiyamohamed594
    @hadiyamohamed594 3 года назад +1

    Slm alykm . Naomba hii dua mtu anisndikie hapa ya Rizq. Shukran

  • @ablaalnaamani7670
    @ablaalnaamani7670 3 года назад +1

    Shukran sheikh Salim Allah swt akuzidishie elim

  • @zuzhabsia3852
    @zuzhabsia3852 4 года назад +4

    Mungu awalaani wachawi watutesa sana hatuna raha shukran shekhe kwa elimu yako

  • @salmasalim4090
    @salmasalim4090 4 года назад +6

    Mbona kijana watamaman hutaji kenya mombasa pia twafatiliya vipindi venues shukran sheikh mardhiya

  • @rukiamatano7764
    @rukiamatano7764 4 года назад +4

    ""Subhanallah,Allah atustiri yarabbiy na hawa watu wabaya...Ewe mola wetu, wape ilmu zaidi mashekh wetu watusaidie na uwalinde kwa nguvu zako Allah.

  • @judymwangi9027
    @judymwangi9027 4 года назад +2

    Masha Allah sheikh, naomba hilo day ya mtume sws ya kufungua rizki shukran.

  • @ruthnimi2165
    @ruthnimi2165 4 года назад +6

    Asante Sana Sheikh Swaleh and Sheikh Salum maombo haya ya kwanza I met in gum za ni Yale ninayo tap it i fungi saba, kufutwa kazi Vila sababu, kutenganishwa kwa ndoa na kutozaa alafu aliyenisaidia anapigwa vita na binadamu wants hasidi wenye USDA na jicho liloharibika kama evil eye akitumia 7 planets, 7 seas au rivers (ziwa na bahari) kwa astrology nisaidie kuniombea Sheikh Salum nirudi kazi na ndoa yangu. Asante sana Mungu awabariki😇😇😇

  • @aishaabdullah233
    @aishaabdullah233 4 года назад +8

    Masha Allah sheikh wetu kipindi kizuri sana . Pole sana sheikh kazi mzito lkn ww endelea kututibu na ww malipo yako ni yy Allah ndie ayakayekukulipa na akulipe pepo ya juu janatul firdaus

  • @laylaslimevideo8083
    @laylaslimevideo8083 4 года назад +4

    Mashaallha, mashaallha this is really helpful my Allah help you guys people struggling in this world.

  • @zussicutie
    @zussicutie 4 года назад +3

    Asalam aleykum warahamatul lwahi wabarakatuh Ma'Shaa'Allah Jazakahlaulkhairàan sheikh... Mola awabariki wote crew nzima ya zinjibaritv na Mola awaangamize wote wachawi,na mashekhe feki wanaowaibia watu bahati zao na kuwazidishia uzito na maradhi zaidi katika miili Yao. IN'SHAA'ALLAH ALLAH AHUKUMU HAPA HAPA DUNIANI...AMEEN🙏🙏🙏

  • @farhatybeauty2248
    @farhatybeauty2248 3 года назад

    Shukrani.sana.shehe Allah akulipe inshalah

  • @jamilanassor639
    @jamilanassor639 4 года назад +4

    Sheikh Allah akulipe kheri kwa elimu unayotupa kwa kweli tunahangaika lkn tunashkuru kwa duwa zako

  • @geerleebmuhamed8301
    @geerleebmuhamed8301 3 года назад

    Salam alyikum subhana shekhe mungu awangamize wanga Hao unavo Sema ni swahihii

  • @زينببنتسعيد-د9ح
    @زينببنتسعيد-د9ح 4 года назад +3

    Wa alleykum salaam warahmatulah wabaraqatuu....
    Amiin ya Rabbil Allamin....
    Maasha Allah nyinyi ni kati ya masheikh wetu vipenzi @salummaridhia na Mwenyezi Mgu akupe nguvu na umri uweze kuwasaidia waja wake maanake ni mitihani mingi twapitia i wish ningekua karibu nihakikishe nimefika kituoni kwako...
    Na @swalehwatamaman shukraan jazzakah Allahu kheir kwa kututupia kipindi hewani na ma crew wako wote

    • @kawtharyunus1026
      @kawtharyunus1026 3 года назад +1

      Asalam alaikum ustadh naomba namba nakuhitaji kitiba

  • @saeedsaeed7381
    @saeedsaeed7381 4 года назад +8

    Masha Allah Sheikh Salum, this topic was much needed in our community in large, honesty this lecture was eye opener for a lot people, May Allah grant our sheikh sakeena , peace & blessings in this DUNYA and hereafter Ameen yarab 🙏as well Watamaman, crews members, fans & viewers

  • @furahamossi3199
    @furahamossi3199 4 года назад +7

    Waleikussalam warahmatullah wabarakat, mansha Allah sheikh Allah akulipe kheir na afya njema, Allah atukinge na nitiani hiyo Allah awaumbuwe

    • @mwanatumuslim8996
      @mwanatumuslim8996 3 года назад

      Asalam aleykum masha allah nimeguswa n maneno y ustadhi mana mamangu anamatatizo yalio tajwa tumeangaika tumechoka

  • @king-am
    @king-am 4 года назад +4

    Mashallah sheikh Allah akuhifadhi

  • @suheilahsuheilah4968
    @suheilahsuheilah4968 3 года назад

    Mashaallah Allah akulinde na waovu

  • @noraevers8868
    @noraevers8868 4 года назад +4

    ManshaAllah Shekhe Allah akulipe kheri fidunia wali akhera. kwakazi nzito munayoyifanya wachawi Allah awalani.

    • @urieldrake6974
      @urieldrake6974 3 года назад

      i guess Im pretty randomly asking but does anyone know of a good website to stream newly released tv shows online ?

    • @setharchie3433
      @setharchie3433 3 года назад

      @Uriel Drake lately I have been using Flixzone. Just search on google for it =)

    • @kamerondesmond942
      @kamerondesmond942 3 года назад

      @Seth Archie definitely, been using flixzone for years myself =)

    • @urieldrake6974
      @urieldrake6974 3 года назад

      @Seth Archie thanks, I went there and it seems like a nice service :) I appreciate it!!

    • @setharchie3433
      @setharchie3433 3 года назад

      @Uriel Drake Happy to help =)

  • @haseanatnsanya2079
    @haseanatnsanya2079 3 года назад

    Allhamdullaah mungu akulinde na kheri zao na akuongoze akuepusbie nahasad na ushilikina

  • @FloresBly
    @FloresBly 3 месяца назад

    Mungu awalani kabisa hawa wachawi mm mtoto wangu amekata school hivi tu ss ni wa class eight nami miguu imeganda yafaa ganzi nipeni ujuzi jamani nipone na mwanangu 😢😢

  • @abubaker3844
    @abubaker3844 4 года назад +2

    shukran jazeela

  • @bintsalimalbimany5340
    @bintsalimalbimany5340 4 года назад +2

    MASHALLAH Sheikh Salim Allah akujaze kher zadunia nakesh akhera we lup u Wallah soomuch😙😍😗

  • @rahmaoman5122
    @rahmaoman5122 4 года назад +1

    Alaykum salaam warahmatulullah wabarakatuh Jazzakallahu khayra sheikhe salim Mardhiya Allaah akupe afya njema ili uzidi kupambana nao hao wachawi

  • @ashura.sarige6
    @ashura.sarige6 Год назад

    Mungu akuepushe na mabaya

  • @bintsalimalbimany5340
    @bintsalimalbimany5340 4 года назад +2

    Allahumma Ammin Rabbi azitakabal dua zako👐👐👐

  • @shaakirahmussa9291
    @shaakirahmussa9291 3 года назад +1

    Jazzakallahu kheri sheikh

  • @Sweetie-im2jd
    @Sweetie-im2jd 4 года назад +2

    Sheikh Allah akuzidishie akupe umri na familiar yako walai SoMo lako limenifunza Mimi Sana Sana walai sheikh may Allah be with you always 🙏🙏🙏🌹🌹🌹💐💐💐

    • @Sweetie-im2jd
      @Sweetie-im2jd 4 года назад

      Sheikh una patakana wapi in Mombasa please.

  • @shamimabarkat6963
    @shamimabarkat6963 4 года назад +2

    Salaam sheikh

  • @jasminjuma6390
    @jasminjuma6390 4 года назад +3

    Masha allah tabarakallah shekhe sikuhizi ijumaa hakuna kipindi cha live?

  • @salimsalim8421
    @salimsalim8421 4 года назад +3

    Waalekum msalam warah matuAllah wabaraqat

  • @bahatihadijabahati7456
    @bahatihadijabahati7456 4 года назад +3

    Ma Sha Allah

  • @jasminjuma6390
    @jasminjuma6390 4 года назад +3

    Waalaykum salam warahmatullah wabarakatuh

  • @AbdulAli-te3jz
    @AbdulAli-te3jz 2 года назад

    Assalaimu warammatu mimi nmezaliwasawa nimefikiya kusoma mwaka 2006 mpakasasa

  • @doyohuqa9467
    @doyohuqa9467 4 года назад +4

    Salamalekum sheikh Salim mathiya,Hakika we miss you alot...

  • @umfarid247
    @umfarid247 4 года назад +1

    Asalaam aleykum maneno yote nikweli asante shekh shukraan

  • @faizasaleh9783
    @faizasaleh9783 4 года назад +2

    masha allha. nampenda. huyu. shekhe. uko. wapi. nitakuja.

  • @yazimohammed9727
    @yazimohammed9727 3 года назад +1

    Mashaallah

  • @nooor1120
    @nooor1120 4 года назад +3

    Aamiin yaarabb al aalamiin

  • @popoali6641
    @popoali6641 4 года назад

    Namuomba Allah amjaalie salama ntajipanga nmtafute insha'Allah

  • @haseanatnsanya2079
    @haseanatnsanya2079 3 года назад

    Pole sana sana

  • @huseynmaitaya9002
    @huseynmaitaya9002 3 года назад +2

    Huyu mwenyewe shaykh mwenyewe mushkilah , ushahidi wa hili ni pale alipo sema eti kuna makhuddaam wanao muonyesha ni makhudaam wapi hao kama si majini, halafu una singizia eti Allaah anamwenyesha

    • @rastafare878
      @rastafare878 3 года назад

      Hukulazimishwa kuamini ,kama humuamini ni Basi hakuna atakaekuja kukuforce , uko huru

    • @ukhutyfiillah2857
      @ukhutyfiillah2857 3 года назад +1

      Mashallah hesein umeongea kama watu mia. Ata mm nashuku huyu shekhe nimganga wamajini lakin ajifanya yeye niwalii wamungu alochaguliwa kuonyeshwa mambo

  • @yassirhalimamohammedmohamm5913
    @yassirhalimamohammedmohamm5913 4 года назад +7

    Wachawi washenzi sana wamenitaabisha sana mpaka sina raha ya dunia

    • @jamilanassor639
      @jamilanassor639 4 года назад +2

      Pole sana ndugu yangu wanakutia umaskini Allah awashinde awaadhirishe

  • @Yusufu-zb1xr
    @Yusufu-zb1xr Год назад

    Asalaam Aleykum Warahamatullah Wabarakatu

  • @lilaomar1990
    @lilaomar1990 2 года назад +1

    Assalam alaykum naoma namba ya sheikh salum mardhiya

  • @aishamaulidi4679
    @aishamaulidi4679 4 года назад +4

    Walahi mimi ndio mana natamani dua za kila siku kuwaombea hawa watu wafe wote

  • @aishafarah2456
    @aishafarah2456 4 года назад +2

    AMEEN YARABY

  • @ashuashu3843
    @ashuashu3843 4 года назад +3

    Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh

  • @saidamran4271
    @saidamran4271 3 года назад

    Subhanallah🙏

  • @munaomar5326
    @munaomar5326 4 года назад +3

    Asalaam alaykum vipi hali zenu hapo studio? Nilikua nawaomba mufike KENYA Mombasa tumechoka kuumizwa na wachawi waliomo ndani ya familia

    • @popoali6641
      @popoali6641 4 года назад +1

      Mm pia natamani waje kenya

  • @stahilimohamed9127
    @stahilimohamed9127 3 года назад

    We she mm nakupenda

    • @huseynmaitaya9002
      @huseynmaitaya9002 3 года назад

      Acha ujjinga we huyu mganga tu wakienyeji atangaza tu biashara yake

  • @biumbemohamed7945
    @biumbemohamed7945 3 года назад

    Munhu awabariki

  • @mwawekomiuda5777
    @mwawekomiuda5777 4 года назад +1

    M"M'MUNGU atawadhalilisha na kuwapa adhabu kali tangu hapa juu ya mgongi wa Ardhi mpaka ktk tumbo la Ardhi na siku ya kiana watafungwa minyororo na lami ishaAllah na wakae Jahannam khalid na fiha.

  • @Yusufu-zb1xr
    @Yusufu-zb1xr Год назад

    Mbona haupokei simu Shekhe wangu?

  • @marcntwari4012
    @marcntwari4012 4 года назад +1

    Ushindwe kwajina ya yesu

  • @jasminjuma6390
    @jasminjuma6390 4 года назад +2

    Au kipindi kimebadilika siku ya Saturday

  • @mwanaishasaidi4682
    @mwanaishasaidi4682 2 года назад

    ASALAM ALEIYKUM
    NAOMBA KUJUA MBONA SMS ATUJIBIWI WHTSP

  • @salmaramadhan4859
    @salmaramadhan4859 2 года назад

    Asalamu alaykumu sheh mmi nikipata mwanamme ananiahidi ataniowa lla ahadi hazitimiii kisha nikimlilia shida hanisaidii ananiahidi kesho baadae hapi chchote je hii nini ttzo

  • @teddyoscar6876
    @teddyoscar6876 4 года назад +2

    😭😭😭

  • @AbdulAli-te3jz
    @AbdulAli-te3jz 2 года назад

    Asalaaiku wara tuwa mimi nna potaka kuwowa niki taffuta wachumba hawasimami

  • @zainabtumba1186
    @zainabtumba1186 Год назад

    Lol
    Allah Awategeee Matego Gunduuu wakituchwaiaa Inshaallah Wakagandee Uchiii Wasigandukeee!
    Km tupo Pamojaa na Shekh kupinga Uchawii na Wanga Kuwapa Laaanaa Tul-allah! SAY..AMEEN YARABIII AMEEN.
    TUMUOMBEE ALLAH SANAAAAAA MAFUNDO NA TEGO ZAO IWADATIEE KM BISIIII KWA DUA TUKUFU ZA ALLAH! AMEEN.

  • @AbdulAli-te3jz
    @AbdulAli-te3jz 2 года назад

    Asalaaikumu warammatu owani kuna aina ngapi za husuda kwasababu ninapo taka ki lakini hasimami kwanini

  • @huseynmaitaya9002
    @huseynmaitaya9002 3 года назад +1

    Hata hajui kiarabu eti بِمَا رَهُبَّ haisomwe hivi بِمَا رَحُبَتْ lakina haina shida yeye mwenyewe kasema hajasomea na hili jambo la ruqya ni jambo la kusomea halafu angalia ushauri wake badala kuwahusia wati kusoma na kulazimiana na adh kaari eti nendeni kwa watu wenye kutibu kisuna suna gani ambayo haujaisomea muongo halafu eti kuna sura yake ya siri kama si uongo nini leo qur-aan ime kua ni siri yamtu kadhaabu dajjaal

    • @khaalidcheo5383
      @khaalidcheo5383 3 года назад +1

      Yeye mwenyewe mganga anawatumia majini zaili kabisa yani hapa wajinga ndio waliwao

  • @stahilimohamed9127
    @stahilimohamed9127 3 года назад

    She mm nimekuowa

  • @stahilimohamed9127
    @stahilimohamed9127 3 года назад

    Nifanye bi mdogo

  • @hafidhatkhamis3232
    @hafidhatkhamis3232 4 года назад +1

    Mbna hiioo nmba muloweka haioatikan akipigiwa shekh na wengn tunashida atutalie shida zt lbd anaptkna wpi kwa zanzbr

  • @mwanatumuslim8996
    @mwanatumuslim8996 3 года назад +1

    Mi naitaji msada mkubwa san

  • @geerleebmuhamed8301
    @geerleebmuhamed8301 3 года назад +1

    Salam alyikum subhana shekhe mungu awangamize wanga Hao unavo Sema ni swahihii

  • @salalimcultureonlinetv4252
    @salalimcultureonlinetv4252 3 года назад

    Mashaallah

  • @AbdulmajidHyder
    @AbdulmajidHyder 4 года назад +3

    Ma sha Allah