Salama Na MARDHIYA SE6 EP47 | HIARI... PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 144

  • @naissabard2519
    @naissabard2519 2 года назад +12

    Hongera salama hijabu ndo vazi bora kwako Allah akulinde ameen

  • @نجمةموبيبي
    @نجمةموبيبي 2 года назад +4

    Mashaallah tunajifunza ,asante sana salama kwa kutuletea mtu wa kutupa masomo mazuri ya dini

  • @rasulihamadi9733
    @rasulihamadi9733 2 года назад +16

    Salama umependeza sana,nakuombea uvae ushungi salama

  • @user412
    @user412 2 года назад +10

    Yaani katika interview zote leo nakupa big up salama kwanza umependeza Alhamdulillah. Nakuombea kwa Allah uongofu zaidi uzidi kuvaa ushungi. Masha Allah.

  • @hajikhamis6544
    @hajikhamis6544 2 года назад +1

    Sh Mardhia Allah akujaalie kheri kwanza kabla ya kuanza mazungumzo ukamwambia Salama avae mtandio na yy pia Allah amuongoze akipende kivazi hicho Cha stara

  • @winniekisebela1686
    @winniekisebela1686 2 года назад +5

    Kweli umependeza sana na mjitandio MANSHALLAH 😍🤩

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 2 года назад +14

    Nampenda sana Shekhe Salum Maridhiya, Pia Salama umependeza sana leo❤❤❤

  • @jumabahasha8831
    @jumabahasha8831 2 года назад +4

    Ahasant san kwanza tuendelee kushukuru mungu kwa kutuwenzesha kuendeleya na harakat na wajibuwetu kufanikisha yalio wajibu kwelituu NA kwathat kabsa ni mpogeze shekh ila mi mpogeze zaid zaid kwa that kabsa yaan had moyoni kwa hakika SALAMA umependeza masha allh na tumuombe munguu atuendeleze hvoo kwasote kuthid kupendeza kwa ajili yake kwahikia ukipija utaji unapezaxsan masha allh

  • @asmaal-shkiriy9518
    @asmaal-shkiriy9518 2 года назад +5

    I love you salama nakuombea uendelee na hijabu umependeza sana shukran maridhiya kwani sasa malaika wanahudhuria ❤🙏

  • @ibinamour4763
    @ibinamour4763 2 года назад +8

    Dasalama umendeza uvae ckuzte inshallah

  • @balqisbalqis5830
    @balqisbalqis5830 2 года назад +1

    MaashaAllah salama tunaomba uwe unajistiri namna hiyo unapendeza sana Allah akuwafikishe

  • @أمطارقالبحرية
    @أمطارقالبحرية 2 года назад +1

    Allah akuhidi uongoze uislam insh
    Salama

  • @salimumbwali2607
    @salimumbwali2607 Год назад

    Ninamuomba sana allah dada salama akuongoze sana undelee kuvaaa ivo ivo ushungi

  • @fatmaahamadabass8080
    @fatmaahamadabass8080 2 года назад +8

    Tena salama anajua kujitanda mashallah

  • @KhadijaMasoud-m6u
    @KhadijaMasoud-m6u 5 месяцев назад

    Mashallah ❤❤❤Salama

  • @ibramrzebra1675
    @ibramrzebra1675 2 года назад +3

    Masha'Allah Tabaraka'Allah

  • @zuhurahamisi1639
    @zuhurahamisi1639 2 года назад +5

    ma shaa laah. Salama umependeza. sana.

  • @FatmaMohamed-cq2tn
    @FatmaMohamed-cq2tn 2 года назад +2

    MashaAllah barakallah

  • @mchaali7508
    @mchaali7508 2 года назад

    Masha Alla shekhe mardhiya tumenufaika mengi na salama uendelee kuvaa shungi inshallah

  • @abdallahamad4682
    @abdallahamad4682 2 года назад +2

    Mashaallah sheikh umeanzanza vizur umeongea vizur.

  • @maimunaiddy7858
    @maimunaiddy7858 2 года назад +3

    Allah amsamehe Sheikh wetu kakosea kidogoo kasema zaidi ya wanne ila najua alimaanisha zaidi ya mmoja

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 2 года назад +2

    Salama umependeza sana umependeza mungu na sisi

  • @attiyakhalfan8027
    @attiyakhalfan8027 2 года назад +3

    Mashaa Allah Salama umependeza sana. Ila sheikh fupisha maneno kaa!

  • @khadijakheir9323
    @khadijakheir9323 2 года назад +2

    Masha Allah

  • @maryamsalim3233
    @maryamsalim3233 2 года назад +1

    Sasa umependeza sana mashah

  • @zabubamudy126
    @zabubamudy126 2 года назад +3

    ilove u salama please mlete kaka yake kishki anasaidia sana

  • @maabadmmanga2896
    @maabadmmanga2896 2 года назад +9

    Salama Umependeza Kwa Ushungi Mashaallah👌

  • @universitylink
    @universitylink 2 года назад +1

    Mashaallah mko vizuri

  • @salimbazmul5806
    @salimbazmul5806 2 года назад +1

    Mashaa Allah Hii Kali Kuliko show zote Big Up Siz Salama Allah zaidi🙏🙏🙏👌👌👌👌

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 2 года назад +3

    Maa Shaa Allah Salama
    Pendeza

  • @aishaakida885
    @aishaakida885 2 года назад +1

    Salama umependeza sana na shungi

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 2 года назад +1

    Ahsante shekhe ahsante salama Mungu awabariki

  • @lastbornsaadah7632
    @lastbornsaadah7632 2 года назад +9

    Oman 🇴🇲 we love u salama

  • @nemestesha7784
    @nemestesha7784 2 года назад +4

    asee nafikiria kubadili dini niwe muislam....yani katika uislam kila amri ina faida katika maisha

    • @ummuwawili
      @ummuwawili 11 месяцев назад +1

      karibu sana Ni dini ya Haki

    • @Pili-n3l
      @Pili-n3l 11 месяцев назад +1

      Karibu ktk dini ya haki

    • @KhadijaMasoud-m6u
      @KhadijaMasoud-m6u 5 месяцев назад +1

      Mashallah Alhamdulilah mungu atakujaaliya

  • @amemohammed7493
    @amemohammed7493 Год назад

    Umependeza sana leyo salama

  • @rehemaothman2475
    @rehemaothman2475 2 года назад +4

    Ma sha Allah nimependa hii ya leo

  • @saidahmed9688
    @saidahmed9688 11 месяцев назад

    nzuri inamafunzo

  • @fatmaahamadabass8080
    @fatmaahamadabass8080 2 года назад +5

    Nilichukia sana sheh kipoozeo hajakwambia ujifunike siku ile

    • @barakatabdul3212
      @barakatabdul3212 2 года назад +2

      Hata mm sijui unjuajee

    • @missladybirdlibellule3236
      @missladybirdlibellule3236 2 года назад +1

      Mnajuaje kama alimwambie « off camera », acheni kuchukia msiyoyajua. Muombeeni dua Salama ni vzr zaidi

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 2 года назад +1

      Leo amejiandaa na mtandio ujue Kuna kitu inawezekana akakumbuka kupitia comment au kushauriwa na huyo aliepita Leo amejiandaa nao mtandio

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 2 года назад +1

      Ndo masheikh wetu tena tuwasameh

    • @fatmaahamadabass8080
      @fatmaahamadabass8080 2 года назад +1

      @@missladybirdlibellule3236 angemwambia angejifunika hakumwambia salama muelew tu

  • @keifatuke99
    @keifatuke99 2 года назад +1

    Ulimi umeteleza,zaidi ya mke mmoja

  • @shaanaseeb9423
    @shaanaseeb9423 Год назад

    Shekhe katish🥰

  • @rubbie_all_natural
    @rubbie_all_natural 2 года назад +2

    Shukran sana Sheikh… Hakika tumeletwa hapa duniani ili TUENJOY🔥🔥🔥🔥🔥

  • @eyabdimaha3698
    @eyabdimaha3698 2 года назад +1

    Hongera sana salama wewe umtwii masha Allah

  • @KSJ6569
    @KSJ6569 2 года назад +2

    Mansh Allah 🥰

  • @abuumohamed7090
    @abuumohamed7090 2 года назад +1

    Smart woman

  • @franklinassey6600
    @franklinassey6600 2 года назад +1

    Ila salama asee mungu amuweke

  • @fatmaismail7909
    @fatmaismail7909 2 года назад +2

    Masha'Allah huyu angekua mnasara angeitwa nabii anatenda miujiza

  • @PudensianaSilayo-dw4ch
    @PudensianaSilayo-dw4ch Год назад

    Dada salaam ungejua unavaa hvo hvo kila siku.aiseee

  • @fatmaahamadabass8080
    @fatmaahamadabass8080 2 года назад +4

    Salama leo anacheka na anaishiwa maswali

  • @ashooraashoora1180
    @ashooraashoora1180 2 года назад +1

    Jaman Salama umependeza Mashaa'Allah Mashaa'Allah Mashaa'Allah

  • @familylove5417
    @familylove5417 2 года назад +1

    Umetisha salama

  • @aishaahmed9102
    @aishaahmed9102 2 года назад +4

    Umependeza mammy 👌🏻

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 2 года назад

    Mashallah nimepata dawaaaa kubwa sna

  • @khatizakhatiza1595
    @khatizakhatiza1595 2 года назад +1

    Mansha Allah shukran

  • @kaizilejackson862
    @kaizilejackson862 Год назад

    Tuna muomba adili chapakazi ... Kwenye salama na plz mamdogo

  • @edgardevis8152
    @edgardevis8152 2 года назад +2

    Aunt salama respect

  • @mpokiwilson4984
    @mpokiwilson4984 2 года назад +1

    Salama wewe ni mke mwema

  • @emedisaidi8155
    @emedisaidi8155 2 года назад +2

    Salam kiukwel uko vizuli san endelea kuvaa jabu umependeza san

  • @CSWafrica
    @CSWafrica 2 года назад +1

    Umeona ametokea unguja ndio maana umevaa shunngi..... ubaguzi huo, maana kipozeo alikuja hapo na hukuvaa. Fanya kwa ajili ya ALLAH

    • @aminatatu5692
      @aminatatu5692 2 года назад +2

      Apana tuzaniyane heri mana watuwengi wamemwambiya Nahisi ameskiya

  • @pastoraile7195
    @pastoraile7195 2 года назад +1

    Leo choach kakutana na na Boss mwenye team yake nikujifunga na nguo nzuli

  • @shadyahamad3724
    @shadyahamad3724 2 года назад +3

    Umepe dezaje dada hadi rahaa🙏🙏🙏

  • @aishaomarry6996
    @aishaomarry6996 2 года назад +1

    Subhanallah

  • @ruwaidaal-ismaily9099
    @ruwaidaal-ismaily9099 2 года назад +3

    Jamen nampenda sheykh mardhiya

  • @khamiskusaga263
    @khamiskusaga263 2 года назад

    Hahah Salama wewe Msela I wish one time nikutane na wewe , Maana huwa na cheka sana kwa kituko vyako vya ucheshi

  • @saidhamad9723
    @saidhamad9723 2 года назад

    Buibui linakupendezaaa bibie lkn ukikaa kichwa wazi ni tafran

  • @abuabdallahmohammed9048
    @abuabdallahmohammed9048 2 года назад +4

    Mashallah my dear sister unapendeza na hijabu big from North Eastern Kenya

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 2 года назад

    Salama tafadhali tuleteeni SHEIKH MUHIDDIN MAALIM SIASA NA SABRA MACHANO WA ZANZIBAR🙏

  • @africanlife5065
    @africanlife5065 2 года назад +5

    Tunaomb pia umlete ostadh maalim

    • @zeanasalem8678
      @zeanasalem8678 2 года назад +2

      Mashalla Tabarak Allah. Salama umekupendeza ushungi usiuvue tena taim imefika little sis yakuva♥

  • @aminmohammed4249
    @aminmohammed4249 2 года назад +2

    Salama❤ umenoga

  • @jumasaria2517
    @jumasaria2517 2 года назад +1

    Salama nakupenda c unitafute dear

  • @amisjabubakari7734
    @amisjabubakari7734 2 года назад +2

    Okay ❤❤❤❤❤❤

  • @salumally663
    @salumally663 2 года назад +1

    Dakika nyingi umeongea kweli ustaz una hasira bila ya kuulizwa

    • @maryamsimai6263
      @maryamsimai6263 2 года назад

      mashaaallah umependezeza kweli Leo salama

  • @peteralex973
    @peteralex973 2 года назад +2

    ningependa kujua kwanin kweny hichi kipindi salama huvaa nguo nyeusi

  • @akidashomali4822
    @akidashomali4822 2 года назад +1

    Salama hapo perfect

  • @sassboy9360
    @sassboy9360 2 года назад

    Mashallah kipindi kilikuwa hot sheikh katoa dawa kwa kugusia gusia tu ila jumbe zake zilikuwa kubwa tusome jamani tusifate mikumbo maana starehe tunafanya zahir ila tobaa mtu anafanya peke yake sasa ww endelea kufata watu

  • @fatmaamissi7251
    @fatmaamissi7251 2 года назад +2

    Assalamwaleikum vip hali da salam naitaji nikija Tanzania naomb unikaribishe mwahich kipid nakipenda saan

  • @lokole22tv
    @lokole22tv 2 года назад +3

    Shekh leo kakunja mpaka umevaa ijabu kipozeo alikupozea.Ila Shekh kachachuka utadhani Fei toto.😀😃😄

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 2 года назад +1

      Inawezekana na comment anapitia huyu akajua hisia za watu zinavyotamani anavyoongea na mashekhe,binadamu anatakiwa ajifunze kila siku hapa tumshukuru Allah inawezekana ni hatua Moja mbele maana hatujui kesho yetu Allah anakuamshaje

  • @seifbattawy9455
    @seifbattawy9455 2 года назад +4

    Naomba kuuliza hivi kimaadili inasihi kutumia neno "Malaya" hadharani? pili hongera sana Salama hakika kipindi unakinogesha kwa hayo maneno yako unayochomekea eti "uwanja wa fisi"

    • @nairaboti3181
      @nairaboti3181 Год назад

      Dunia ya sasa mpaka uwaambie watu peupe ama hawaelewi.

  • @maryammdoe5801
    @maryammdoe5801 2 года назад +1

    Ila Mardhyya🤭🤭🤣🤣🤣

  • @naimanimo4925
    @naimanimo4925 2 года назад +4

    Masha Allah sweetheart salama your very smart on vail do it always in'sha Allah 🇺🇬 🇺🇬 loves you we appreciate your work last time shk kipozeo now shk maridhia in one way or another your bringing dawah

  • @yousramutwale2463
    @yousramutwale2463 Год назад

    Mwaka 1994 ndo nimezaliwa Mimi kumbe umetoka mbqli

  • @feliudmasimba625
    @feliudmasimba625 2 года назад +2

    MASHALLAH

  • @abdulazizi2475
    @abdulazizi2475 2 года назад +3

    Ni zahiri sisi viumbe tunaheshimu binaadamu wenzetu na wala hatumuheshimu muumba mbingu na ardhi kustiri kichwa kwa muislamu wa kike ni wajibu wake wakati wowote anapokuwepo na watu wengine leo hii stara ya kuchwa tunaifanyia maonyesho na kuzihirisha kuwa ni jambo la tabaka fulani
    Ni msiba mkubwa

  • @shukurmbwera2022
    @shukurmbwera2022 2 года назад +2

    Mashallah umependeza ukhty
    Tunaomba umkaribishe in Yahstone Town Sheikh Muharram Mziwanda tutafrahi sana.

  • @amisjabubakari7734
    @amisjabubakari7734 2 года назад +1

    Good bless

  • @siasia5469
    @siasia5469 2 года назад +1

    ماشاء الله

  • @comics3437
    @comics3437 2 года назад

    Umenenepa

  • @allymohd7698
    @allymohd7698 2 года назад +1

    Siwezi kuelezea husia zangu ila natamani kkuona dadaangu salama

  • @amisjabubakari7734
    @amisjabubakari7734 2 года назад +1

    Mashaallah

  • @samuramdani1090
    @samuramdani1090 Месяц назад

    Huyu mtu ni tapeli

  • @saidadam2165
    @saidadam2165 2 года назад +2

    Sjategemea ila mardhia naam shekh maneno 💯

  • @ruwaidaal-ismaily9099
    @ruwaidaal-ismaily9099 2 года назад +2

    Salama leo umependeza

  • @mwanamkeshujaabongoflavama7180
    @mwanamkeshujaabongoflavama7180 2 года назад +1

    Tuna ngoja part 2

  • @songweairport7602
    @songweairport7602 2 года назад +2

    am christian,but jamaa ana madini

  • @abuaminmadi9839
    @abuaminmadi9839 2 года назад +2

    respect the riligion

  • @omarkombo3474
    @omarkombo3474 2 года назад

    Pamoja na kwamba mimi binabsi nakukubali ila sio lazima shekh Salim Kila mtu akukubali wewe sio nabii ishi humo kaka.

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 2 года назад +1

    Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️

  • @redmioman4371
    @redmioman4371 2 года назад +1

    MashaAllah dada Salama nikupe sifa zako umendeza❤️❤️

  • @maymunamakungu6265
    @maymunamakungu6265 2 года назад

    Zaidi ya wanne????

  • @CSWafrica
    @CSWafrica 2 года назад

    Ni kinolewacho hupata si hukata

  • @khadijanurdin3163
    @khadijanurdin3163 2 года назад +3

    Salama bwn!!
    Kwa hyo ulkuwa unsubir kuambiwa ujitande?