Unafanyiwa Husda | Hii ndio Sababu na jinsi ya Kujilinda | Sheikh Salum Mardhiya

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • fair use is a use permitted by copyright statute that might otherwise be infirnging non - profit education, or personal use tips the balance in favor of fair use all credit for copyright material used in video goes to the respected owner, #ongeanamardhiyya
    Unafanyiwa Husda | Hii ndio Sababu na jinsi ya Kujilinda | Sheikh Salum Mardhiya

Комментарии •

  • @aminaSuleyman-d6y
    @aminaSuleyman-d6y Год назад

    Jazzallahu ghaira kwa ukumbusho sheikh wetu Allah(s. w) akujaalie kila lenye kher aaaamin

  • @saeedsaeed7381
    @saeedsaeed7381 2 года назад +4

    Masha Allah lecture BarakAllah feek

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 Год назад

    Bass haya nasikiliza tu mm sauti nzur mashaalah

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb 2 года назад +3

    Shukran shekhe maridhiyya Allah akulipe kheri inshallah 🙏

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 2 года назад +2

    Alhamdullillah kwa elimu nzuri

  • @nasserabdallah5750
    @nasserabdallah5750 2 года назад +2

    Jazzakka Allah khyern 🤲❣❤❣

  • @jacquelinewanjohi6405
    @jacquelinewanjohi6405 2 года назад +1

    Salam ndugu zetu , kisomo kizuri,shukruni

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 2 года назад

    Nafurahia sana kipindi chenu
    Allah akupeni afya
    Tuendelee kuelimika

  • @ruthnimi2165
    @ruthnimi2165 2 года назад +1

    Thanks for this wonderful teaching Sheikh Salum na Sheikh Watamaman I have learnt a lot 🙏🙏🙏😇😇

  • @ramlabakari7750
    @ramlabakari7750 2 года назад

    برك الله فيك ياشيخ 🌹

  • @munawwarkhamis7518
    @munawwarkhamis7518 2 года назад

    Marshall ah she Salum

  • @mariamirankunda
    @mariamirankunda 2 года назад

    Shukan sheh Allah akulipe kila lakheri

  • @hadhaminfadhwil-rab287
    @hadhaminfadhwil-rab287 2 года назад

    mashallah Shekh Salum, good Job 👏 Allah akupe uwezo minkuli hali uzidi kuizindua jamii kutokana na hao madhwalim.

    • @munajuma5497
      @munajuma5497 Год назад

      A/alaykum,shekh nilikuwa nakuuliza, mm Nina dada angu Ana ujauzito lkn damun yke inapanda na kushuk na vyakula vya damu anajitahid kula lkn bado ,na pia akalazwa hospital akawengezewa damu chup moja alaf akafanyiwa vipo akapt damu 7.3 akaaa km siku mbili akawengezewa Tena damu baada ya siku mbili akafanyiwa vipim akapata damu 6.2 ss mm nilikuwa nakuuliza tatiz nn hap maan naona vyakula vya dam anajitahid kula

  • @maryammohammed1991
    @maryammohammed1991 2 года назад

    hasid wakaribu mbaya sana

  • @sabihaidris9659
    @sabihaidris9659 2 года назад

    Shukran

  • @aishaabdi2059
    @aishaabdi2059 2 года назад

    Asalm aleykum warahmatulahi alafu shida nyengine upata ndoto zakupigana na mtu pendine anivuta anipeleke sehemu anayo itaka ila mimi upandisha nakutaja jina la Allah kisha uona mimi ndiyo umshinda uyo mtu nakupoteya lkn mtu mwenyewe simuoni uhisi kivuli tu 😭😭😭

  • @Qatar-vh5ff
    @Qatar-vh5ff 2 года назад +2

    Asalam alaikum wedzangu .nashukuru kwa mawaidha haya .jamani naomba msaada wenu shelk salimu na wedzako. Mimi na mume wangu tuko katika vita na mama wa mume .hili ni kwa ajili ya kaka wa mumewangu ndo amesababisha vita hivi. Je tufanyeje jamani mumewangu alikasirikiwa na mamake kisa ni fitina na masenginyo ya huyu.

    • @lexygeisar8303
      @lexygeisar8303 2 года назад

      Mimi sina uzoefu ila mama ni mama muende tu kumuomba msamaha. Siku zote hasidi hatoki mbali. Mwenyezi Mungu ndiye ajua ae. Poleni sana. Natumai sheikh ata kujibu but hapa sio mahali pake mtumie message kwa number za WhatsApp

    • @rukiaiddyyahaya9506
      @rukiaiddyyahaya9506 2 года назад

      Pole sana

    • @fatmamansour676
      @fatmamansour676 2 года назад

      Mtafute private hivo vita hata mie ninavo tena vangu mpk ushirikina kwa kutaka kulazwa kitandani mie

    • @lexygeisar8303
      @lexygeisar8303 2 года назад

      @@fatmamansour676 ndugu ni wabaya sana. Mwenyezi Mungu atustiri

    • @Qatar-vh5ff
      @Qatar-vh5ff 2 года назад

      Shukrani daa Fatuma.

  • @asa121aminahta.nakshfrombu5
    @asa121aminahta.nakshfrombu5 2 года назад

    kabisa unacho kinena nisahihi

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz 2 года назад +3

    Hasidi anaumiza hasa awe ndugu yako mmetoka tumbo moja ukamuamini na ukiambiwa huamini

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz 2 года назад +2

    Hujakosea hata kidogo

  • @ramlabakari7750
    @ramlabakari7750 2 года назад

    برك الله فيك ياشيخ 🌹