Mashaallah, shekhe umeongea point mm nna mwenzangu nimemsaidia pesa ili tuende masomon pamoja baada ya kufika huku chuoni kanitenga anaongea na watu wengine kama hanijui, hatoki na mm kama safari za mjin, sokoni hadi nashangaa kweli tenda wema nenda zako
Jazaakallahu kheira sheikh maneno yako mazuri sana hawa watu unawapata vzr sana tena wabaya hawafai hata mm siwapendi wanawachafua watu kwl Allah akulipe kill lenye kheri insha Allah na ukubalikie kile ulicho nacho insha Allah
Mansha Allah sheikh Allah swt akuzidishie elmu na umri mazungumzo yenye faida kweli tunashukuru Sana Sana kuwafaham wacawi niwatu wa Aina gani mungu awalani wacawi fi Dunia walk akhera
Nakubali maneno yako yalishanikuta rafiki yangu, langu lake lake langu siku moja nipo kwenye matatizo, maneno aliyonitamkia nilimwambia mimi na wewe basi hadi leo siamini Ila nashukuru tangu tumetengana naishi vizuri nchi za watu.
ASsalaam Aalaykm Wa RahmatuLLAHI Wa Baarakatuh. AlHaamduliLLAHI Maa-Shaa-Allah Tabaaraka Wa Taala Azza Wa Jal ❤️ AkuZidishie Ilmu yenye manufaa kwa Dunia na Dini. Uweze kusaidia na kuelimisha jamii zaidi na zaidi. Aamiyn Yaa DhilJalaliWa'LIkraam ❤️ JazakyAllahuKhaiyr Wa BaarakatAllahuFiyykm. Kweli kabisa unayo nena. Mie mpaka leo bado napata tabu. Pamoja na wakuu katika kunifanyia sihri na fitina katika ukoo na watu wa karibu, wawili wamefariki, mwingine pamoja na binti na mjukuu wake na watoto wao wakhiyari, (wanavyowaita wao) bado wapo. AlHaamduliLLAHI.
Asalaam aleykum jamani Habari za yuko Zanzibar Mbona sio nzuri Sheikh mambo za ushoga sana Ndio maongezi, inatisha unatakiwa kuongelea Sanaa hii Mada kwa ajili ya watoto wa Kislam.
Allah akuifadhi sheikh unapatikana wap
Mashaallah, shekhe umeongea point mm nna mwenzangu nimemsaidia pesa ili tuende masomon pamoja baada ya kufika huku chuoni kanitenga anaongea na watu wengine kama hanijui, hatoki na mm kama safari za mjin, sokoni hadi nashangaa kweli tenda wema nenda zako
Jazaakallahu kheira sheikh maneno yako mazuri sana hawa watu unawapata vzr sana tena wabaya hawafai hata mm siwapendi wanawachafua watu kwl Allah akulipe kill lenye kheri insha Allah na ukubalikie kile ulicho nacho insha Allah
Mashallah baraki allah ishallah
Mansha Allah sheikh Allah swt akuzidishie elmu na umri mazungumzo yenye faida kweli tunashukuru Sana Sana kuwafaham wacawi niwatu wa Aina gani mungu awalani wacawi fi Dunia walk akhera
Nakubali maneno yako yalishanikuta rafiki yangu, langu lake lake langu siku moja nipo kwenye matatizo, maneno aliyonitamkia nilimwambia mimi na wewe basi hadi leo siamini
Ila nashukuru tangu tumetengana naishi vizuri nchi za watu.
JazakaAllah
Mashallah
Jazzakka Allah khyern 🤲❤💟❤
Mungu akupe cheikh wetu mie mtoto mdogo n'a uchawi nilisha okotwa n'a ndugu zangu n'a mie ni mdogo wao TN wa mwisho
Swadakta.asante
asante kwa kutuelimisha
Kweli kabisa yako hayo sheikh
Allah atulinde na hasad
Kwa kweliii hakika
ASsalaam Aalaykm Wa RahmatuLLAHI Wa Baarakatuh.
AlHaamduliLLAHI Maa-Shaa-Allah Tabaaraka Wa Taala Azza Wa Jal ❤️
AkuZidishie Ilmu yenye manufaa kwa Dunia na Dini.
Uweze kusaidia na kuelimisha jamii zaidi na zaidi. Aamiyn Yaa DhilJalaliWa'LIkraam ❤️
JazakyAllahuKhaiyr Wa BaarakatAllahuFiyykm.
Kweli kabisa unayo nena.
Mie mpaka leo bado napata tabu. Pamoja na wakuu katika kunifanyia sihri na fitina katika ukoo na watu wa karibu, wawili wamefariki, mwingine pamoja na binti na mjukuu wake na watoto wao wakhiyari, (wanavyowaita wao) bado wapo.
AlHaamduliLLAHI.
Asalaam aleykum jamani Habari za yuko Zanzibar Mbona sio nzuri Sheikh mambo za ushoga sana Ndio maongezi, inatisha unatakiwa kuongelea Sanaa hii Mada kwa ajili ya watoto wa Kislam.
Maashallah
Kweli kabisa
🙏🙏🙏
Uposahihi
Shehekwer mpakanariya
Sheikh mm nauliza ikiwa mtu hakusalimi mpaka siku maalum kama tarehe 20 ama 30 ama 10 jee Huyu mtu ni VP siku nyengine haniulizi
Ni hatari ya falaq hiyo
Nafanyaje anaponisalimia nimjibu ama laa
@@khauraasaad1947 mjibu vizuri tu kisha soma ayatul qursiyyu
Shukran jazilah
Asm
Sadakta umenigusa hpo kwa mume