Masha'Allah, Hujawahi kuimba Qaswida nzuri kushinda,hii😂😃kwanza hizi sauti ulizozitumia humu na miujiza hasaa,nakukubali Sana Maalim Juma.Allah akupe umri mrefu wenye kheir na ww😃😁
Aisee Mungu fundi wallah yani ukiamua kuhuzunisha had machoz ukiamua kufrai hadi tabassam linaonekana ww au bas acha tu mungu akulinde sana yani una kipaji cha pekee ktk znz hiii na hakuna wa kufanan nae ondoa wsws kbsaaaaa hakuna ....Nakpenda bure
Kiukweli hujawai kuteleza hata siku moja ktk usomaj wako wa qasda Alla azindi kukupa nguvu izid kufanikiwa akufungulie milango ya kheri Allah akupe umri mrefu usidi kuelimisha jamii kuitia Kaz zako Allah akunusuru na mabalaa akulinde na husda za walimwengu hongera Sana Kaka juma 🙏🙏
Usjl hakika ww kwetu huna baya endelea kutufrahisha ila ww fundi wa tasnia ya qaswida yani hii qaswida htr na nusu aisee allah akupe umri mrf aaammmiin
Juma Faki, your music and your serene spirit convey a sense of peace. May you live for many years and know old age so that you can reap all the blessings of your destiny.
Mkuu maashaallah uko vizur sana yaani ktk kumbukumbu zangu hajuwahi kufeli, hiyo ni siqa ikishirikana na Nah-wandi na kiitikio kimeishia na bayati. Pamoja sana maalim wangu
Aslm alykm Juma kunakaswida yenu ile ya udugu wetu na tuushike famili zetu tusizikate nimeitafuta RUclips sijaipata au sijui nimeandika sivo ndio maana haikuja😭😭😭
Masha'Allah, Hujawahi kuimba Qaswida nzuri kushinda,hii😂😃kwanza hizi sauti ulizozitumia humu na miujiza hasaa,nakukubali Sana Maalim Juma.Allah akupe umri mrefu wenye kheir na ww😃😁
Mashallah Walaah kaswida zako ni nzuri sana kaka angu Allah akujarie kila ufanyaro liwe lepesi kwako Inshaallah broo 🥰🥰🥰♥️♥️♥️♥️🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
❤❤❤ Mashallah Jazakallahu kheri sauti powa Sana From Kenya❤❤❤
Amin Amin Mashallah Jazakallahu kheri From Kenya
Mashallah hufananishwi na mtu wa nchii hii kwa uboraa wako mwalim juma hongeraa bwana weeeee
Kiukweli sijawahi kusikia mtu akisoma Siikaa kwa zanzibar hii lakin ndio kwanzaa nimekuskia ww na hii kazi khattar sanna wallah
Mashallah Sh.Juma kwa kweli Allah kakupa kipaji cha aina yake ktk hii fani hujawahi kutoa kazi yako ikawa haina ubora wa hali ya juu
Mwalim Juma Asante mzigo uko juu naupa 99% Ila Mawadah dah 20000% 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
😄😄😄😄😄😄😄
Mawadda iko juu
Bismillah mashaallah 🔥🔥🔥 Hadi mwili wasisimka kwa mashairi tulivu ndani yake dah Kaka unajua Tena unajua sana
mwalimu tutolee nyingine burudan inatufurahisha sana mungu akikuze kipaj chako uonekane dunia nzima 😎😎😎
Mashallah allah 🙏 akufanyie wepesi kila penye uzito
Ki kweli nakukubali sana ktk qasida zako zote. Na naipenda sana sauti yako dhahabu. ALLAH akuhifadhi na kila shari za dunia
Mwalim hujawahi kusoea Ni SIIKA flani ivi🔥🔥🔥🔥
Asante sana Hodari wangu Halawa
Hiyo sauti yako nzuri mara unalala usingizi mashaallah mashaallah ❤
Aisee Mungu fundi wallah yani ukiamua kuhuzunisha had machoz ukiamua kufrai hadi tabassam linaonekana ww au bas acha tu mungu akulinde sana yani una kipaji cha pekee ktk znz hiii na hakuna wa kufanan nae ondoa wsws kbsaaaaa hakuna ....Nakpenda bure
Mashaallah Ustadh juma fakk unanifanya nilie kabsaa😚😚😚😋
We juma mh!!!
Htr hii💥🔥
Unajuwa kutuburudisha kijan ishi tu kadri mungu alivyo kupangia
Bismillah Ma Sha Allah sichoki kuiskiliza Allah akuzidishie kipaji uzidi kutupa burdani ya Qaswida
Masha Allah tabaraka Allah naomba no ya Muimbaji nahitaji kaswida kutungiwa Shukran
Mashallah sheikh juma wajua sana Allah akubariki sana kwenye kazi zako amiin
Kiukweli hujawai kuteleza hata siku moja ktk usomaj wako wa qasda Alla azindi kukupa nguvu izid kufanikiwa akufungulie milango ya kheri Allah akupe umri mrefu usidi kuelimisha jamii kuitia Kaz zako Allah akunusuru na mabalaa akulinde na husda za walimwengu hongera Sana Kaka juma 🙏🙏
Mashaallah...Allah aendelee kukikuza vyema kipaji chako kaka faki
Allah akujaalie kila la kheri
Nakoment kwa hasira mashaaallh unjuwa mpk unajuwa tna hujawahi kukosea allh mpe afya njema kiongozi wetu tunkupnda sanaaaaaaaa
Ahsante punguza Hasira 😄😄 shukran sana sana
Allah akupe kila la kheir kwa kweli unatuburudisha ust jumaa💗💗
Innshaallah naww kaka Angeza mke wa2
Mwamba namkubali mpk namkubali na tena wallah.. maa shaa Allah ❣️❣️❣️
Kun FAYAKUUN, hakuna wa kuzuia kilichotolewa na Allah 💯
Waaallah nime simama na kucheza mwenyewe maaan safiiiiîi sn tuuuu
Wallah mashaallah hii qaswida nzuri sauti na mnanda ipo poa sn naiskiliza mara 5 kwa siku Mungu akizidishie kipaji
Unajua nn fundi Wang....unajua half unajua tena half unajua sanaaaaaaaaa mashaallah 😍 pamja kindaki ndakiii
Mashaaallah upo juu wangu hakika wewe ni mwamba mungu akuweke ishaallaha
Masha Allah kaswida nzuri sana
Allah akubarik katika kazi yako
Mashallah juma faki ...Naona unendelea kuibembeleza tasnia ya qaswida znz hongera
Asant Sana kwa kutusapoti tuko pa1
Usjl hakika ww kwetu huna baya endelea kutufrahisha ila ww fundi wa tasnia ya qaswida yani hii qaswida htr na nusu aisee allah akupe umri mrf aaammmiin
Maashallah hapaaa napataaaa burdani wenyeweeeee hasaaaaa naghmaaa zimepitaaaaa pengeweeee zikapenyaaaa kwenye Siqqa hasaaaaa kwakweliiii hapaaa salute nakupaaaaa Baba Muayyad 👌
Duh 😃😃 Bado hujazisahau wewe kweli nizaidi ya dada
Mashaallah kitu ro inapenda Allah akuzidishie kipaji chako
Kaz kakee hiyo
Asant kake 😄😄
Masha allah QASDA Tamuuuuuuuuuuu👋👍👍 then imebeba ujumbe mzito.....Big-Up
Mwalim juma weeeeeee bac bac bac wewe nifundi wamengi
Dah wewe ni fundi zaidi
Yan nazid kutoa lang neno kwa hii qaswida mashaallah
Mashaallah jamn nakupenda san jumaa big up
Allah Allah Allah maasha Allah hongera Sana qaswida nzur
Mashaallah
Hongera juma fiki Allah akuzidishie ishaallah 🙏 🙏
Hakika hii ni qaswida khaswa naomba utuletee km hizi tu hatariii sana sana
hongera brother faki qasida nzuri👍👍👍👍👍💞💞🌹🌹❣️🙏
Mashaallah yan ustadh mungu akupe umr mrefu mpk kufika kwenye ndoa yang ili ujekupg show,,,
Namukubali Sana bro💓💓
ماشاءاللہ جزاك اللهُ لخیر
Mashallaaaaaaaaaaaaaaaaah da yani www huna mpizanu tznia hiiii
Maalim juma hii ndinga kali sana mashallah hadi rahaaa
Mashaallah Allah akuzidishie kipaji
Ata sichoki kuisikiliza hii qaswida wallah😍
MashaAllah Allah akuzidishie naipenda sanaaa hii kaswida
Juma Faki, your music and your serene spirit convey a sense of peace. May you live for many years and know old age so that you can reap all the blessings of your destiny.
Mkuu maashaallah uko vizur sana yaani ktk kumbukumbu zangu hajuwahi kufeli, hiyo ni siqa ikishirikana na Nah-wandi na kiitikio kimeishia na bayati. Pamoja sana maalim wangu
Shukran sana Alhabib
Wallah tunakuombea kwa m/mungu akuongoze na akuzidishie. Hii qaswida na kitu cha kufungia mwaka
Shukran sana Mwalimu wangu
@@jumafaki1697 nahitaji kutungiwa sijui inakuaje gharama
Maalim hii siikaa hatari sanna wallah mashaallah
Safi babu una tisha
Huna mpinzan jivunie maalim Juma 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
My favorite❤ singer
Mashallah juma faky 😍❤
Mwamba shekhe juma upo vizury
Mashaallah Mashaallah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mashallah naipenda sn hii qaswida
Masha'ALLAH 🔥🔥🔥♥️ kaz matataaaaaaaaaaaaaaa HONGERA boss wa wengi TZ kwa ladha madhbuuuuuut
Asant Sana boss wangu One T wewe unabalaa
Maa shaa Allah kaka juma🥀 yusra wa duce hap tup pamoja🤗
Asant dada tupo pa1 😃
Syka khatariiiii...hongera kiongoz
Mashaallah mna qasweda nzuri
Na mimi nataka unitungie kaswida ila iwe Audi inshallah inawezkana wezekana nipe muongozo tena sio moja
0777081815 tuma msg kupitia namba hii
Inshallah
Cjawahi jutia kukusikiliza cose unajuwa fundi wa mafundi Allah akubariki.
Shukran Alhabib
صوتك خلوة مشاري 📚🖊
MashAllah Kila la kheri ustadh jms
Mashaallah hongera kiongozi ww ni fundi wa AQz
Shukran Alhabib usisahau kusubscribe
Ustaz juma fakih omar mm ww nakuita fundiiiiii
Maashaallah sauti yako huwa inanikosha
Hongera kwa Qaswidah wewe huna mbaya
Mashaaallah hongera kwa Kasda Nzuri sana Allah Awazidishie
Narud tena kusema wewe unajuwa sana Mashallah
Maa shaa allah pacha 😘Mola akuhifadhi
Masha allah ajjab sanaaa wllhy
Baraq uwahu fiq.....
Mashallah ustadh
Mashaaallah hua sichoki kusikiliza
mashaallah allah azid kukup kheri inshaallah
🙏🙏🙏
Mashallah kipaji hichi nakubali kaka
Mashallah fakih uko vema🎉
Hii qaswida nimeikubali (bayat ya kibabe mno)
Ww ni fundi
Asante sana kiongozi Wang
MaashaAllah
Wallah kaka Juma ww ni fundi tenaa wajua kutuelimisha na kutuburudisha Allah azid kukupa umri mrefu Inshaallah
Mashallh ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Huwa unakula nini kiongoz mbona sauti sio ya kawaida hii 🎵🎵 wewe fuundi bhaana
💥kunfayakun💥💥
Mashaallah 🥰 kazi nzuri sana
Mashaallah Allah azid kukitunza kipaji chako
Maalim Juma Qaswida yako tangu asubuh mpaka sasa nishaisikiliza zaidi ya 15, wee si wakawaida, you're the most talented one😂
Boss wangu unanifurahisha Asant kwaiyo cjawahi kusoma nzuri Kama hiyo 😄
Haijashinda mayatima
Aslm alykm Juma kunakaswida yenu ile ya udugu wetu na tuushike famili zetu tusizikate nimeitafuta RUclips sijaipata au sijui nimeandika sivo ndio maana haikuja😭😭😭
Mashaalaah nzuur cn
Mashallah Allah azid kkuza kipaji chako
Masha Allah Tabaraak Allah ❤️💖💗
Maashaanlaah 💗💗
Nakukubal Sana ustadh juma