Juma Fakih-Ndoa si Ajabu official Audio

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 янв 2025

Комментарии • 129

  • @shehaabuubakar6485
    @shehaabuubakar6485 Год назад +1

    toka nianze kukufuatili hujawahi kuniangusha kwenye lazi zako Mashaallah vitaaa hiiiii mwambaa🔥🔥🔥🔥

  • @fadhilmawazo9009
    @fadhilmawazo9009 Год назад +13

    Kwa zanzibar juma fakih ndio pekee wa kusoma kasida za heshima, nakusihi usije kubadilisha usomaji ukawa unasoma kama nyimbo

    • @jumafaki1697
      @jumafaki1697  Год назад +2

      Shukran Alhabib

    • @bintqassimidarous1636
      @bintqassimidarous1636 Год назад +1

      Hawezi kubadilika mana yeye hasomi kwa tamaa wanoimba nyimbo za taarab kwa kivuli cha Qasda wao wanatamaa

    • @jumafaki1697
      @jumafaki1697  Год назад +1

      @@bintqassimidarous1636
      Shukran sana dada yetu tupo Pamoja nawewe

    • @rashidjuma2614
      @rashidjuma2614 Год назад

      Mashaallah mzur

    • @Armsdady
      @Armsdady Год назад

      Mashaallah 🎉

  • @zaitunimustapha9718
    @zaitunimustapha9718 Год назад +4

    Masha Allah hongera sana ust juma. yaan hujawai tuangusha hmmmm hatariiiii❤❤❤❤

  • @JanjaRoo
    @JanjaRoo Год назад +1

    Hizi ndo qaswida hongera fundi

  • @FatmaMuhsin-x6c
    @FatmaMuhsin-x6c 4 месяца назад

    Kwakwel sifa yako upewe hongera kwa kaz yko allah akupe kila la kheri katika kaz yko , napenda san kasda zko sheh jumaa

  • @mcmuba5015
    @mcmuba5015 Год назад +3

    hii albam itakua ya moto sana

  • @awahaabdallah9050
    @awahaabdallah9050 Год назад +4

    Mashalla king Juma Fakky sauti ya dhahabu kazi mzur sna hizi ndio qaswida za harusi sasa

  • @latifaabdallah3020
    @latifaabdallah3020 Год назад +1

    Mashallah Mashallah kaz ni mzr hainag kinyog Kwa kwl

  • @ukhtyriziki9461
    @ukhtyriziki9461 Год назад +4

    Mashallah mwambaaa....❤

  • @suleimansuleiman990
    @suleimansuleiman990 Год назад +2

    Mwalimu mimi sisemi kitu nanyamaza kimyaa

  • @AliOmarKombo
    @AliOmarKombo Год назад

    Kasida imetupa Hamasa keep going 💪 ❤

  • @IssaMkali-w8c
    @IssaMkali-w8c Год назад

    Mashallah ustadh juma huna bayaaaa mashallah ❤❤❤❤❤😂

  • @AliSaid-fi7jr
    @AliSaid-fi7jr Год назад +1

    (Viwafike wafiniiiiiiq) maalim juma hapo umefanya vittah vizitoo

  • @mwajumarashid3283
    @mwajumarashid3283 Год назад +3

    Kiongoz km kiongoz ktk ubora wke napenda qasda na njia zko ucje ukawacha km ulvosema wacha wao waimbe ss tuendlee kusoma

  • @OmarHamada-k2m
    @OmarHamada-k2m Год назад +1

    Juma faky n fantastic asaaaaaa tena sanaaa

  • @mohamedially7155
    @mohamedially7155 Год назад

    Mashaallah hujawai tuangushaa fakky

  • @shadhilmakame
    @shadhilmakame Год назад

    Umetisha kabisa kazi nzuri nduguuu......

    • @jumafaki1697
      @jumafaki1697  Год назад

      Asante Sana Ndugu

    • @hassanmakame4016
      @hassanmakame4016 Год назад

      Ustadh jum natak qaswida ya ndoa zisizofaa... Please... RUclips siion

  • @chausikumuhim7062
    @chausikumuhim7062 Год назад +3

    Hay madam Chau mkuu mpendae tunataka video kwa usalama WA roho zetu

  • @MuhidinBakar-wn2vu
    @MuhidinBakar-wn2vu Год назад

    Mashaallah allah akufanyie wepes sanna katika kutufikishiaa ujumbe kwa njia ya mashairi. Hongera sanna kaka👏👏👏👏

  • @UKHTYAISHA-r6t
    @UKHTYAISHA-r6t Год назад +2

    Mashaallah 🎉 kelele kwa mwamba wetu weweeeeeeeeee 😊

  • @khadigahkk9815
    @khadigahkk9815 Год назад

    Mashaallah safarihi hujataja majina yawatu nimeipenda mashaallah 🌹

  • @ismailburhan8622
    @ismailburhan8622 Год назад +1

    Barawa ya baraka sana hii

  • @fatma-ft3jt
    @fatma-ft3jt Год назад

    Mashallah unakubalika kasida nzuri yenye kupendeza

  • @KhadijaAli-t4x
    @KhadijaAli-t4x 4 месяца назад

    Asante kwa kasida zako nzur

  • @Jumasaidi-iv8cj
    @Jumasaidi-iv8cj 8 месяцев назад

    majina ya juma hayajawahi kuwa ya hovyo hongera san somo allah akusimamie kwenye kila jambo la kwery

  • @hafidhabassi5415
    @hafidhabassi5415 Год назад +1

    Maalim hujawahi kuniangusha katika kazi hii maashaallah maashaallah mashaallah برك فيه tena الف مبروك

  • @hemednassor2362
    @hemednassor2362 Год назад

    Hongera kiongozi kwa kazi nzur wenye ldha ya kipeee tunaomba usikae sana kuleta vitu vipya tunavimiss sana na havipatikani zaid yako we fanya mpango uje uku Siginda

  • @zuwenamohd4372
    @zuwenamohd4372 11 месяцев назад

    Naskia mahadhi kama ya Sudan MashaAllah.. nakupenda Juma

  • @mussamhina7190
    @mussamhina7190 Год назад

    Kazi nzur ust fakh ❤

  • @hashirmohdy8980
    @hashirmohdy8980 Год назад +2

    Khatr na nanusu mwalim

  • @saraabdulhamid2963
    @saraabdulhamid2963 Год назад

    Maashallaah kaka juma, babangu mwenyewe hunaga baya kwa kweli mfano wa kuigwa,,,, ila na kutafuta whatssp hupktn au umebadili no sheikh

  • @saidialii-do5oj
    @saidialii-do5oj Год назад

    Duh duh unjua juma fakih unjua ila hongera kw producer Suma unjua

  • @kimwanachangani3922
    @kimwanachangani3922 Год назад +2

    Good job my brother in Islam .. taabaraka llahu..am from Kenya..

  • @abdullaseifkhamis4277
    @abdullaseifkhamis4277 Год назад

    Nakubali kaz Tumbawe, nikiwa Pemba Nakukaribisha Katika Madrasa Yetu Inayopatikana Jimbo la Gando Itakayozindua Albam yake mpya Mfungosita

  • @AliSaid-fi7jr
    @AliSaid-fi7jr Год назад +1

    MashaAllah maalim juma hapa umetisha sana

  • @ismailburhan8622
    @ismailburhan8622 Год назад +1

    MASHALLAH 😍 mwalim wangu

  • @safiasuliman5136
    @safiasuliman5136 Год назад

    Kukupenda to mm jamn wana mwita saut ya zege❤❤❤❤❤

  • @abdillahsalum1457
    @abdillahsalum1457 Год назад

    Suma kinanda una pepo yko peke yko una hatar 😢

  • @dogohgamba1921
    @dogohgamba1921 Год назад

    Qaswida ipo vzri ila mnanda ipo juu kulkon qaswida

  • @Coutinho_112
    @Coutinho_112 Год назад +1

    Mwalimu 🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @AliZainab-z5p
    @AliZainab-z5p Год назад +4

    The vocals💯
    ماشاء الله 🤩

  • @binsaidkar-zai8762
    @binsaidkar-zai8762 Год назад

    Hemu niambie niandike nini
    🎉❤

  • @SulhiyaHannah-ej3bm
    @SulhiyaHannah-ej3bm Год назад

    Mashallah nice

  • @RajabuMsumariMsumari
    @RajabuMsumariMsumari 6 дней назад

    Maaashaa allah

  • @jamilahjuma9273
    @jamilahjuma9273 Год назад

    Mashaallah mashaallah, Allah akupe maisha marefu tuzid kufurahia vitu vizuli km hivi,❤

  • @DirectorOne.t
    @DirectorOne.t Год назад

    ما شآء اللّٰه .. wew mwenetu sn zaid ya sn WACHA TUKUPONGEZE TU

  • @binabasssmarta8258
    @binabasssmarta8258 Год назад

    Ma Sha Allah kiongoz Kaz njema 🙏

  • @hapsamakame7133
    @hapsamakame7133 Год назад

    Mashaallah Yan mm nikiskiliz kaswida za juma faki Hadi nalla hongera sana kaka 💖💖💖

  • @ghulammaabad1659
    @ghulammaabad1659 Год назад

    Ust juma faki mashallah wallaah unajuw kutupa ladha adhimu na tamu kam hiz Allah akujalie kila la kher na akuepushie na kil shar

  • @mzonline23
    @mzonline23 Год назад +1

    Kula chuma icho ❤❤❤❤❤

  • @bindauud6596
    @bindauud6596 Год назад

    Mashallah hatari kubwa hii

  • @ishaqmohd7880
    @ishaqmohd7880 Год назад +1

    😂😂 raha

  • @Mukhlis-w8k
    @Mukhlis-w8k Год назад +1

    Duh hii Barawa Imechanganywa na Ajem ya mwambao 😅😅

    • @Adui_pro
      @Adui_pro Год назад

      Yaan burdani kabisa

  • @omarmaba6882
    @omarmaba6882 Год назад

    Mashaallah fund sauty mumtaaz

  • @AishaIbrahm
    @AishaIbrahm 4 месяца назад

    Mashallaa

  • @alkheyfilmohd2561
    @alkheyfilmohd2561 Год назад

    Barawaaaaaa khtr fundi khtr 🔥🔥🔥

  • @zakomone7672
    @zakomone7672 Год назад +1

    Mashalllah ❤❤❤

  • @hamidyakoub6865
    @hamidyakoub6865 Год назад

    Mashaallah maalim juma hakika ww ndio fakhar yet

  • @Official_Shaqiiq
    @Official_Shaqiiq Год назад

    Maa Shaa Allah Mjaa Huna Baya Kwangu Hiyo Mipito Ya Barawa Humo Ndani Nikodishe Alooo

  • @AliOmarKombo
    @AliOmarKombo Год назад

    Tuseme tu wewe ni mwamba Wapenzani wakae mbali 😂😂

  • @allyidd8316
    @allyidd8316 Год назад

    Woooow qaswida mzuri sana

  • @kanaliomar7413
    @kanaliomar7413 Год назад

    😂😂 mashaallah, yaani sijaona mwamba kukosea kwenye kazi hizi

  • @ibrahimammar7800
    @ibrahimammar7800 Год назад

    Mashallah mashallah mwalim kazi nzuri

  • @director_one.t
    @director_one.t Год назад

    wew ni mwambaaaaaaaa hongera sn

  • @maumpemba1088
    @maumpemba1088 Год назад

    Exlent kiongozi

  • @mudathirmkubwamselem5650
    @mudathirmkubwamselem5650 Год назад

    Hongera kiongozi❤

  • @mohdhashim1686
    @mohdhashim1686 Год назад

    Hatarii sana nkiamaaaaaaaa

  • @ahmadsaid1228
    @ahmadsaid1228 Год назад

    Unauchapa mwing bro

  • @almashaaribububu1214
    @almashaaribububu1214 Год назад

    Kazi nzuri kiongozi maashaallah

  • @shafisaggaf1889
    @shafisaggaf1889 Год назад

    MashaAllah habib maqaam ajamy imetulia.

  • @Rauhiyaqueen
    @Rauhiyaqueen Год назад

    Mashalllah huna mbaya kiongz

  • @Adui_pro
    @Adui_pro Год назад

    Mashaallah hii qasida ni nzuri sana

  • @AbduliHalimu
    @AbduliHalimu Год назад

    Mashaallah fundi wa kasda Tanzania

  • @hajrahussein3713
    @hajrahussein3713 Год назад

    Mashallah Allah azidishe kipaji chako🙏

  • @saumtengeza7323
    @saumtengeza7323 Год назад

    Mashallah mashallah 😍 ustadh allah akubariki inshallah

  • @mizaally3846
    @mizaally3846 Год назад +1

    Mashaallah ❤️swahiba

  • @issakarim4413
    @issakarim4413 Год назад

    Hongera kiongoz

  • @ThuwaibaHaji-vr9sz
    @ThuwaibaHaji-vr9sz Год назад

    Qaswid pambe juma fakih

  • @ahmedmohammed9394
    @ahmedmohammed9394 Год назад +1

    Safiiii 👍👍

  • @amina-i9o2t
    @amina-i9o2t Год назад

    good job brother may allah bless you inshallah

  • @hassanjuma869
    @hassanjuma869 Год назад

    🔥🔥💯💯

  • @MADRASATISWADAQALLAHUNYARUGUSU

    Tuwe pamoja Wana madrasa

  • @rajabbinjumah9026
    @rajabbinjumah9026 Год назад

    Masha Allah❤

  • @PanduallyCorrea
    @PanduallyCorrea Год назад

    ❤❤🎉

  • @edenhazard3199
    @edenhazard3199 Год назад

    Mashlhhh kaka

  • @fadhilmawazo9009
    @fadhilmawazo9009 Год назад +1

    I'm the first viewer ❤

  • @HsHd-l9c
    @HsHd-l9c Год назад

    Mashallh

  • @omarali-ut4do
    @omarali-ut4do Год назад

    Mashallah

  • @ashahussen5241
    @ashahussen5241 Год назад

    MashaAllah 🌺🌹

  • @manjutinoh5572
    @manjutinoh5572 Год назад

    MashaAllah 💞🥰

  • @amourmussa8358
    @amourmussa8358 Год назад

    Yasalaaaam

  • @abdulqadirofficial9295
    @abdulqadirofficial9295 Год назад

    Doh bhass

  • @Boomfle
    @Boomfle Год назад

    perfect

  • @Mmmmmmmehdh1248sh
    @Mmmmmmmehdh1248sh Год назад

    𝐆𝐨𝐨𝐝 𝐣𝐨𝐛 𝐛𝐫𝐨𝐭𝐡𝐞𝐫

  • @akhsamvanpersie2070
    @akhsamvanpersie2070 Год назад

  • @saadaliy3979
    @saadaliy3979 Год назад

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @omarysaidy2287
    @omarysaidy2287 Год назад

    ❤❤❤❤

  • @allyismail3927
    @allyismail3927 Год назад

    🎉🎉🎉

  • @ismailsaydi7295
    @ismailsaydi7295 Год назад +1

    ❤❤❤

    • @ismailsaydi7295
      @ismailsaydi7295 Год назад +1

      Huna mpizan kaka allah akufanyie wepec penye uzito