LUKAMBA AELEZEA ALIVYOZUIWA HADI DIAMOND AKAGOMA KUENDELEA NA SHOW IVORY COAST

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 май 2022
  • LUKAMBA AELEZEA ALIVYOZUIWA HADI DIAMOND AKATAKA KUGOMA KUFANYA SHOW IVORY COAST
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    LUKAMBA AELEZEA ALIVYOZUIWA 'KUM-SHOOT' DIAMOND HADI AKUGOMA KUFANYA SHOW IVORY COAST
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #DiamondPlatnumz
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 110

  • @009biafra8
    @009biafra8 2 года назад +21

    Diamond anajtambua na anapenda kuona kila mtu akiwa anapewa heshima. Mungu amuweke sana.

    • @msalabanireko1518
      @msalabanireko1518 2 года назад +1

      Ww skpingi

    • @009biafra8
      @009biafra8 2 года назад +1

      @@msalabanireko1518 Tunakubaliana sana. Ss ndo mashabiki pekee tuliopigania msanii wetu dhidi ya vyombo vitatu vikubwa vya habari vikiwa vinamchafua na kutaka kumpoteza na tukavishinda na msanii wetu akaendelea kuwa juu hadi leo🦁. What the die hard Fans ..

    • @hdmsasa3355
      @hdmsasa3355 2 года назад +1

      Hd msasa oficial KITANZI gusa maandish ya blue ukasikie nilivyomfunika MBOSO KHAN ruclips.net/video/Cdyxj5ymOR4/видео.html

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 2 года назад

      Ameeen

    • @009biafra8
      @009biafra8 2 года назад

      @@rosemahenge9071 appreciated 👍

  • @wishjrtz
    @wishjrtz 2 года назад +8

    Diamond 💎 did a very nice job that day for lukamba you need to respect your co partners who help you to get money

  • @ramasonkalujefa4620
    @ramasonkalujefa4620 2 года назад +30

    Mwambieni boss amutegenezee kitambulisho chake,WCB wasafi Diamond fotografie ili wakienda kwa show akivae,hatosumbuliwa tena nimawazo yangu kwa boss

    • @jamesobedy3940
      @jamesobedy3940 2 года назад +1

      Kweli asee 💪

    • @maryamnassor9482
      @maryamnassor9482 2 года назад +1

      Unaakili ww kuliko boss wa lukamba

    • @HannahDevidRichad
      @HannahDevidRichad 2 года назад

      @@maryamnassor9482 😀😀😀 you made my day

    • @mariamfaki1498
      @mariamfaki1498 2 года назад

      @@maryamnassor9482 😂😂😂😂😂😂😅😅

    • @hdmsasa3355
      @hdmsasa3355 2 года назад

      Hd msasa oficial KITANZI gusa maandish ya blue ukasikie nilivyomfunika MBOSO KHAN ruclips.net/video/Cdyxj5ymOR4/видео.html

  • @salumulongwa9461
    @salumulongwa9461 2 года назад +2

    Changamoto zakazi mzee perfect lukamba👏

  • @kanunimc4318
    @kanunimc4318 2 года назад +6

    Uyu nae kila siku mambo ayo ayo tu

  • @sarakibo8868
    @sarakibo8868 2 года назад +1

    Love you likamba

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 2 года назад +6

    Broh mshana umeongea
    For sure mzee nilazma wawapange
    Mapema kabisa tupo na Grapher video

  • @fatimamowa8166
    @fatimamowa8166 2 года назад +6

    Dimond amtengezee some thing Lukamba anapokwenda pahala cha kumjulisha kama huyu photo grafa wake

  • @jcrackcrack1669
    @jcrackcrack1669 2 года назад +10

    Watengeze badge zao zakuonyesha wao n team,bila hivyo watateseka Sana

  • @goodluckywilium9309
    @goodluckywilium9309 2 года назад +5

    Kweli kabisa

  • @willyjulius3304
    @willyjulius3304 2 года назад +4

    Good

  • @sofiemwita1836
    @sofiemwita1836 2 года назад

    Jamani nitasema ukweli mimi nisha oza kwa lukaba huyu boy napenda sana l love you so much lukaba natamani uwe mme wangu 💋 jamani 😭😭

  • @boniemaps5624
    @boniemaps5624 2 года назад +20

    Maybe they were trying by all means to tighten up their Security to protect Simba. The crew must always have a identification or accreditation.

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 2 года назад +2

      point

    • @hdmsasa3355
      @hdmsasa3355 2 года назад +1

      Hd msasa oficial KITANZI gusa maandish ya blue ukasikie nilivyomfunika MBOSO KHAN ruclips.net/video/Cdyxj5ymOR4/видео.html

  • @floramkala2375
    @floramkala2375 2 года назад +7

    Lukamba is right... Ammy girl wewe ndio kizungu kimekuchenga

    • @julietisrael4711
      @julietisrael4711 2 года назад

      Kwani yeye ni lugha yake msiwe watumwa wa lugha

  • @KATABEI
    @KATABEI 2 года назад +4

    🙌🙌🙌🙌

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 2 года назад +1

    Muwe na vitambulisho basiii😢😢😢 pole luk

  • @OMANOman-qc1lm
    @OMANOman-qc1lm 2 года назад +5

    sio lazima uzungumzie camera mibei sana unazijua camera zenye bei lakini alafu pia kama nyie mnapo kwenda kwenye show namnakwenda kufanya show nawewe mpiga Pic wake na video kwanini msifanyiwe kitamhulisho cha kuingia Katika show amjui sheria za kimataifa punguzeni usha sio kila kitu mtajua nyie ulizeni watu wengine

  • @gucci_dancer2212
    @gucci_dancer2212 2 года назад +2

    Nakubali

  • @SlsProductionTz
    @SlsProductionTz 2 года назад +1

    Noma

  • @lekxasflavour5443
    @lekxasflavour5443 2 года назад

    Nice

  • @abelimembe6990
    @abelimembe6990 2 года назад +3

    🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @alexjos7625
    @alexjos7625 2 года назад +8

    I think uwe unavaa black clothes na badge ili iwe rahisi pia wakutambulishe on security before the show

  • @Sean1877
    @Sean1877 2 года назад +5

    Mvae badge's za kuwatambulisha kama sehemu ya team.

  • @veenpoul900
    @veenpoul900 2 года назад +5

    Simba forever

  • @ernestofrerelembus3316
    @ernestofrerelembus3316 2 года назад +2

    Lukamba jifundishe lugha cha kinge una banwa banwa Sana sababu hujui kijitetea!!

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 2 года назад +5

    duh umesuka nywele na herini.masikioni.kijana wa kiislam , Allah atuongoze

    • @barikilangoy4737
      @barikilangoy4737 2 года назад

      Acha zako kwani ww mkamilivu tetea moyo wako kijana

    • @fahadtourszanzibar8244
      @fahadtourszanzibar8244 2 года назад +2

      Huyu ni kuma sana lukamba

    • @vincentmushi1247
      @vincentmushi1247 2 года назад

      Sasa wewe inakuhusu nn...vitu vyote kaumbiwa mwanadamu,kasome vitabu
      Mtandaoni waachie wenyewe

    • @yahyahamad1802
      @yahyahamad1802 2 года назад

      @@vincentmushi1247 wewe ni kafiri huwezi kuelewa ndio mana utasema inanihusu nini , sisi waislam sote ni ndugu tunatakiwa tukumbushane

    • @vincentmushi1247
      @vincentmushi1247 2 года назад

      @@yahyahamad1802 ona sasa ulivyo mpumbavu kwa kuwaita wenzio makafiri
      Je haujasoma maandiko yanayosema usihukumu utahukumiwa?huu ndio udhaifu wako,kuhusu kumkumbusha wazazi wake wanatosha...unamkumbushia mtandaoni atakusoma saa ngapi...

  • @rammyg1260
    @rammyg1260 2 года назад +2

    Safi

  • @jennifermchungaredi2641
    @jennifermchungaredi2641 2 года назад +5

    Mbona lukamba anasauti kma ya diamond jamn au masikio yangu

  • @kassimmakametatizoweemwiny8090
    @kassimmakametatizoweemwiny8090 2 года назад +2

    Lukamba saut y simb umeichkuwa kinom yn

  • @emiryfaida2437
    @emiryfaida2437 2 года назад +5

    Mwamba hua namkubalisana lukamba

  • @veenpoul900
    @veenpoul900 2 года назад +4

    Am the first one to view dis one

  • @happygeniusdrc6321
    @happygeniusdrc6321 2 года назад

  • @chiefndatu1895
    @chiefndatu1895 2 года назад +2

    Content ×89

  • @twofivefive906
    @twofivefive906 2 года назад +3

    wasafi huyu jamaa ana maneno sana asha waikusema yeye ni namba one Afrika leo vipitena ana lolote Diamondi Platnumz pingia chini huyu vijana wapo wingi sana nawa shida alisha sema kua yeye ana ela pinga chini huyu kamukubwa atakufelisha huyu jamaa kipi ambacho anala mika

  • @rapshinekenya1996
    @rapshinekenya1996 2 года назад +3

    🤣🤣🤣🤣🤣kizungu na Tz jamani

  • @msalabanireko1518
    @msalabanireko1518 2 года назад +2

    Diamond ni msanii anaejielewa san

  • @wardw3022
    @wardw3022 2 года назад +2

    Diamond huyu photography wake amnunulie unform hiyo itamzaidia

  • @annajoseph9955
    @annajoseph9955 2 года назад +2

    Hzo Heleni za mkewe

  • @jumakalamata8228
    @jumakalamata8228 2 года назад +2

    😬😬

  • @rehemaothman2200
    @rehemaothman2200 2 года назад +1

    Ati watu waona hujui kengereza😅😅😅😅😅😅

  • @yusufluhunga5400
    @yusufluhunga5400 2 года назад +2

    Wasaf chama langu

  • @lucylucy3678
    @lucylucy3678 2 года назад +3

    Hizo hereni bora ungechora daimond tu ijulikane kuwa wew ni photography wake.

  • @peteryukunda9239
    @peteryukunda9239 2 года назад +1

    Lukama janaume! Namkubali alivyopambana na Mange,haogopi panya.Mwanaumeee heee!

  • @farajambigo7702
    @farajambigo7702 2 года назад +2

    Mahelen ya nn mtto wa kiume!!!??.....

  • @elishaelisha6755
    @elishaelisha6755 2 года назад +2

    Lukawise,,,,

  • @casmoneyafricabranch2356
    @casmoneyafricabranch2356 2 года назад +2

    *️⃣5️⃣

  • @nordinebaraca4635
    @nordinebaraca4635 2 года назад +2

    Kabla bado sijassikiliza, huyu ni fala, kwani kila siku kukimbizwa yeye, kwanini?
    Anaingiyaga na sura ya zombie!

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting7180 2 года назад +2

    Ata wewe pia uwa unaangaika Sana stejini

  • @salumkurwa6303
    @salumkurwa6303 2 года назад +2

    Kwann Sasa msiwe mnavaa vitambulisho vinavyowatambulisha kua nyie ni video grafa

  • @hellenmwendamseke1478
    @hellenmwendamseke1478 9 месяцев назад

    Jamani ammy amesema talk to my boss nawe ammy unaongea vitu mtu ajasema

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 2 года назад +2

    duh mitihani kwani kijana wa kiume mpaka usuke nywele?

    • @penny__amyleon6150
      @penny__amyleon6150 2 года назад

      Sio kusuka tyu nywele mpaka kuvaa heleni za kuning'inia🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @mohamedhaji2200
      @mohamedhaji2200 2 года назад

      Itakua dada huyo au

    • @mohamedhaji2200
      @mohamedhaji2200 2 года назад

      @@penny__amyleon6150 itakua dada huyo au

    • @yahyahamad1802
      @yahyahamad1802 2 года назад

      @@mohamedhaji2200 ah ndio.ivo.tunaiga.tu.mpaka.tunajisahau.

    • @mohamedhaji2200
      @mohamedhaji2200 2 года назад

      @@yahyahamad1802 kwa kweli. Hivi kwani ukiimba bila kusuka hupendwi

  • @coolzeddy_official9216
    @coolzeddy_official9216 2 года назад +1

    Huyo girl huwa ana harbu intavyuuuu

  • @khamsoleen
    @khamsoleen 2 года назад

    Lukamba😂

  • @dinyoabeli9028
    @dinyoabeli9028 5 дней назад

    😂😂😂😂

  • @mtotowaray1726
    @mtotowaray1726 2 года назад +3

    Show inaboa hawana story

  • @fatmafaki6163
    @fatmafaki6163 2 года назад +2

    Hao ni kiki tu hawana lolote

    • @salim02tv24
      @salim02tv24 2 года назад

      Duuuuuh umeliona tukio lenyewe au

    • @owenmutale6691
      @owenmutale6691 2 года назад

      Acha makasiriko panya

    • @fatmafaki6163
      @fatmafaki6163 2 года назад

      @@salim02tv24 Nimeiona vizuri labda uangalie wewe kwa makini

    • @fatmafaki6163
      @fatmafaki6163 2 года назад

      @@owenmutale6691 Kwa nini mbwa weee

  • @smartnyengo725
    @smartnyengo725 2 года назад +2

    You are not professional simple

  • @suntzu8959
    @suntzu8959 2 года назад

    Hawajui kiingereza, wa naongea French, wanakutana maswahili hajui kiingereza, hajui French, disaster 😠😠

    • @julietisrael4711
      @julietisrael4711 2 года назад

      Msiwe watumwa wa luhga Kila mtu afe na lugha yake mbona wenyewe hawajifunzi kiswahili

    • @suntzu8959
      @suntzu8959 2 года назад

      @@julietisrael4711 Kiki, kitu kimoja ambacho wabongo wengi hawajui ni kwamba "Tanzania kiingereza ni moja ya official languages. Official languages Tanzania ni Kiswahili na kiingereza.

  • @naija6679
    @naija6679 2 года назад +2

    DAWA ZA KUTIBU MAGONJWA YA MOYO YA AINA ZOTE*#
    m.ruclips.net/video/RsM9NvFhdoM/видео.html

  • @rafikingango
    @rafikingango 2 года назад

    Hii ni Baraka sana 🔥🔥🔥🔥🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻👉🏼👉🏼👉🏼👉🏼
    ruclips.net/video/CTKEv7VUpRc/видео.html

  • @naija6679
    @naija6679 2 года назад +1

    DAWA ZA KUTIBU MAGONJWA YA MOYO YA AINA ZOTE*#
    m.ruclips.net/video/RsM9NvFhdoM/видео.html