Nimesoma Comments Nnimegundua Ni Chuki na Umasikini ndio unafanya watu wachache wawe na negative comments… sasa si bora hata aliyekumbuka kuweka chumba cha ibada kwake kuliko wewe hata msikitini tu hupajui 😂😂😂 Tuache kujudge One another and be positive. Hata mara moja moja bhanahh
Nimekuelewa sana sema comment yako kwa mtu ambae hajuwi dini ya uislamu ina misingi gan anakuona kama una wivu na maisha yake ila endelea kuwa hivyo hivyo ni moja imani na kumtakia mema mwenzako

Kabisaaaa mnyama Kabisa mnyamwezi
Nyumba ina bar ya pombe mtoto wa KIISLAAM na sehemu ya kusalia... Zombiiii sikutaji hivyoooo Astakhafirulah Astakhafirulah Astakhafirulah
Daah yaani inasikitisha
Wewe sema hauna pesa tu
Je wewe na uislam wako hauna zambi
Maisha ya ujana haya mengine ni baina yake na mola wake tumuachei
Nimekuelewa sana sema comment yako kwa mtu ambae hajuwi dini ya uislamu ina misingi gan anakuona kama una wivu na maisha yake ila endelea kuwa hivyo hivyo ni moja imani na kumtakia mema mwenzako
Zombie to the world watch the interview till the end huyu Mtu kapambana sana sana
Keep on inspiring young generations
S2 kizzy ni balaa
Good 🔥🔥
We zombi bar usingeionesha 😢
We zombiiee🔥🤟
Kizzy baby 🤭
Mbk hp unawez kupotea ulipotokea
Zombie anaishi aisee
Mziki wa bongo unalipaaaah sana kitu kizur
KENYA MAZINGAUMBWE
we zombii
Waganga wapo ukitaka kuwa kama yeye Nicheki
UMEFAULU KWANZA MWENYEWE🤣🤣🤣🤣
@@ambubiwillis867haaaaa mamae😢😢
@@ambubiwillis867kama ungekuwa umefaulu si zani kama ungetakabwenzio pia wafanikiwe...so wacha chobo
Acha njaaa mwanangu hizo ni hustle za m2 so shut de f*****pit 👇
Zombie
Unaswali na tattoo na rasta
🤣🤣🤣🤣🤣KALI SANAA
Katisha Sana mwanetu uyoapo ni nzuri kumkumbuka mwenyez Mungu onetime japo atupo RUclips kufundishana dini uku tunasngalia interview ya zombie
Roja vua viatu
Is 2 bad mtoto wa kiislam tuweka bar kwa nyumba
We zombi bar usingeionesha 😢