UTACHEKA JOTI,BAMBO,KINGWENDU WALIVYO VUNJA MBAVU MAKOMEDIANI WENZIO KWENYE TANZANIA COMEDY AWARD

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 55

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 2 дня назад +5

    Leo kingwendu kanyoa kapendez hatar saf sana 🎉🎉🎉🎉

  • @LawrenceRasta
    @LawrenceRasta День назад

    Omiy wapeleke mjini wana Comedy naume fanya kitu kikubwa sana homiy mwenyezi mungu hakuongoze kwenye Safali hiyo huliyo iyanza ufike salama mdogo wangu

  • @PendoMarco-x3u
    @PendoMarco-x3u 3 дня назад +5

    Mnaabudu sana mtu kuliko Mungu aliyewafanikisha, kila kitu mama Samia

  • @mu2themachine999
    @mu2themachine999 2 дня назад

    🔥🔥🔥🔥🔥 hongereni sana

  • @katabaroonlinetv9688
    @katabaroonlinetv9688 3 дня назад +9

    Joti kashashinda kabla ya shindano😅😅😅😅

  • @Twahamwela-ch5lz
    @Twahamwela-ch5lz 3 дня назад +1

    Maneno ya joti mazur sana kwel hangaika yako yote unaweza ukadondokea mahala ambapo mungu alipokadiria

  • @badendavid8456
    @badendavid8456 2 дня назад

    Kingwendu nyoa ndevu handsome

  • @tayk4745
    @tayk4745 3 дня назад +14

    Marekani kwenye OSCAR na GRAMMY au BET huwezi kusikia mambo ya we thanks mr president flani flanii hakuna kabsa huo upuuzi

    • @Mihayo21
      @Mihayo21 2 дня назад

      Sasa kwan lazima kila kitu wafanye marekan ndy na tz tufanye,,,kuna ubaya gan kama mama ametia mkono wake ktk hili,,,,mbona nchi zingine hakuna tuzo kama hizi na hauongei

    • @tayk4745
      @tayk4745 2 дня назад

      @ kwani akitia mkono ni hela zake hizo, katoa mfukoni mwake zote bado ni kodi zetu namshukuruje mtu kwenye hela yangu. Nisawa na kumsfia kajenga daraja mama hongera. Hakuna kitu kama hcho kodi ni zetu na daraja atajenga atake asitake wakamshukuru kwenye campaign huko

    • @DavidCurtis-e4c
      @DavidCurtis-e4c 2 дня назад

      Ni marekani na ndio maana kwao kuna moto na kwetu hakuna moto, sasa kwenye hizo za huko hawakumbuki tu hata uwepo wa Mungu baada ya moto ndio wemgine wanaanza kuimba nyimbo za msamaha, sisi tunaishi dunia yetu😂tuna raisi huyu wa sita toka tupate uhuru wao wameshakuwa na maraisi karibu hamsini je tunaweza kuwa sawa kweli.

    • @ziddyziddy2524
      @ziddyziddy2524 2 дня назад

      😅😅😅😅​@@DavidCurtis-e4c

    • @lihumbimaringo9116
      @lihumbimaringo9116 2 дня назад

      Ndiyo hatushangai kwani haha mungutu huwezi skia wamemtaja sasa wewe mmalekani usilazimishe sisi wabongo kuacha utamaduniwetu wa kushukuru kilamara kwasabu huenda ndiyo sababu topo salama au hujui kilicho wakuta ao unaolazmisha wawe mfanowetu sasa sisi hatutaki tuache na upuuziwetu. is that okay mmalekani?

  • @SaidiSheria
    @SaidiSheria 2 дня назад +1

    Acheni utumwa mama mama. Fanyeni kazi

  • @jullyhb4342
    @jullyhb4342 2 дня назад

    Yani hii nchi Mungu atuhurumie sn , Yani watu wamekuwa kama misukule inalienable pumba ila bado inamuabudu alieyaroga, sasa hapo samia wanini

  • @shanzuagencyshanzuagency3845
    @shanzuagencyshanzuagency3845 2 дня назад +2

    Hawa watanzania wanachekesha sana unaabudu mtu vipi sasa

  • @hassanaliamin1104
    @hassanaliamin1104 2 дня назад

    Mpaka hapo joti kashashinda tayari😅😅😅😅 wampe tu hela zake

  • @ramadhanmusa2878
    @ramadhanmusa2878 2 дня назад

    Jamani kuna SHIDO😂😂

  • @johnstambuli5275
    @johnstambuli5275 2 дня назад +4

    Ussnge sana sasa samia wa nini hapo kujipendekez ty ndio mungu wenu

  • @lihumbimaringo9116
    @lihumbimaringo9116 2 дня назад +1

    Yani watu wana taka kukataza kumtaja raisi wetu sasa 😂 sasa nyinyi ni kinanan tutataja yeyote popote wakati wowote. Waone mmejawa na chukitu mbona mtu akimtaja babake au mamake hamsemi nyinyi vp😳

  • @MussaJulius-ko4wl
    @MussaJulius-ko4wl 11 часов назад

    Kujipendekeza ni kama utumwa tuu

  • @franciscojohn5751
    @franciscojohn5751 2 дня назад

    Watanzania weng ni wanafikiwanasifu mtu hata kama hana sifa kisa cheo tu dah

  • @RobertChacha-si1js
    @RobertChacha-si1js 2 дня назад +1

    Njaa zenu mziweke Kama takwa la kitaifa, mitano tena ya Bibi yako

  • @Williamstozzo
    @Williamstozzo 2 дня назад

    Kama kila kitu samia ndo anafanya basi viongozii wengine hawana kazi,,,na aongezewee mshahara mana kila kitu samia...

  • @shaybu-nj2pe
    @shaybu-nj2pe 2 дня назад

    Jmn kwn hakitajwa samia nyie wengne mnaumia nn hama nchi ya TANZANIA nenda CONGO 🇨🇩 bas msituchangane kenge nyinyi.

  • @HarithNkussa-v5c
    @HarithNkussa-v5c 2 дня назад

    Toa maoni yako na sio kubeza maoni ya mwenzio, kila mtu na itikadi yake kivyama usimuone mwenzio ni mjinga kwa sababu sio wa itikadi yako.
    Kila mtu ana haki ya kufuata chama anachokipenda na sio unachokipenda wewe

  • @Yana_queen1
    @Yana_queen1 3 дня назад +1

    Sio Tunzo jmn ni Tuzo

    • @elesianakabuje5832
      @elesianakabuje5832 2 дня назад +1

      😂😂😂😂😂😂😂sijui kabila gani hao wanasema tunzo

    • @shukuranikibona5893
      @shukuranikibona5893 2 дня назад

      Kumzawadia mtu ni kumhifadhi ama kumtunza kwa kile anachostahili kulingana na kazi zake kwa jamii!!
      Matunzo ni Ntunzo,yaani ni zawadi inayotokana na matunzo/Tunza,ungenielewa zaidi tungeenda darasani kwenye aina 7 za maneno,yaani nomino,kitenzi,kivumishi,kiwakilishi,kiunganishi,kihusishi na kadhalika!!!

    • @Yana_queen1
      @Yana_queen1 2 дня назад

      @@shukuranikibona5893ni TUZO ndugu…tn inatokana na kitenzi Kutuza kwa kingereza inamaanisha AWARD..darasani tumeenda tena si kidogooo

  • @FaustineBukongolo-wp2fe
    @FaustineBukongolo-wp2fe 3 дня назад

    Sku ilikuwa nzuri Ila sasa kumbe kinachonikeraga sio Mimi Tu kila Tu Samia ujinga tu

    • @Williamstozzo
      @Williamstozzo 2 дня назад

      Watuu hawaamini kuwa wanaweza kuishi bila kuwatukuza watawala ,,watuu hawaamini kutumia akili kuishi ila Kila mtu anategemea huruma ya mtawala

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 3 дня назад +1

    Comment zimenifanya nisiendelee kutizama hii video

  • @kamalbashir5127
    @kamalbashir5127 3 дня назад

    Hilo NI gumbo kweli au maigizo?

  • @yonawilliam9419
    @yonawilliam9419 2 дня назад

    Wasanii wetu mnatakiwa kutembea na beat ila sio kila beat yakucheza. Mtapoteza mashabiki wenu wengi kwa kujihusianisha na viongozi wa siasa. Kunawatu watakuchukia wewe kwasababu unaonekana chawa wa mtu asiyempenda. Ni vizuri uwapo jukwaani kutofungamana na mtu yeyote hasa kipindi hiki cha siasa za uchaguzi. USIWE UPINZANI WALA CHAMA TAWALA KUJIPA UWANJA MPANA WA MASHABIKI.

  • @chamimdesa148
    @chamimdesa148 3 дня назад +3

    Sasa Samia hapo anahusikaje hapo? Ujinga ujinga tu

    • @andrewlkashusha135
      @andrewlkashusha135 3 дня назад +1

      Nakwambia ni hii ndio tz bwana

    • @Williamstozzo
      @Williamstozzo 2 дня назад

      ​@andrewlkashusha13kila mtu anataka aishii kwa huruma za watawala

    • @chamimdesa148
      @chamimdesa148 2 дня назад

      @@andrewlkashusha135 yaani mtu anaona akimtaja Samia basi Kuna possibility ya kupata hela za abure, utadhani nchi imejaa matahila

  • @daudimasawa
    @daudimasawa 3 дня назад

    Hilo jinga mwijaku lafanya nini hapo?

  • @efrahjeremiah2518
    @efrahjeremiah2518 3 дня назад +1

    Huuujinga utaisha Lin Kila kitu Samia ipo sik mtu atapata ajali utasikia Samia hoyeee