Mm niulize, Simba alitakiwa ajue wap kuwa kagoma amesain precontact na Yanga?.. je wakati Simba anamuendea kagoma aliambiwa?.... Je, kama aliambiwa ilikuwaje uongozi wa timu umsainishe Simba?..... Siamin kama Simba ana kosa naamini kuwa amelibuniwa kupewa mchezaji aliyesain timu nyingine, asa anaingiaje kwany kesi?... Kwa mawazo yangu Yanga wanatakiwa kushitak fountain gate wamalizane juu ya walichokubaliana ktk mkataba wao wa awali
MORISON BM 3 ANAHITAJIKA YANGA ARUDI HARAKA SANA, NA JERADI JONAS MKUDE IALIINGIA YANGA KIMAKOSA YANGA WARUDISHE KOMBE LA LIGI NA WATARUDI KICHEZA SHIRIKISHO NA MECHI YA J MOSI IMEFUTWA.
Leseni ya mchezaji inatolewa na club aliyotoka sasa Yanga ni ushamba wao,Kagoma kauzwa na SINGIDA kwenda Simba.Yanga walifanya biashara na Kagoma si SINGIDA Simba,,Biashara
MWANASHERIA HAPA KWA WANASHERIA KUSOMEA MICHEZO ILI WATAALAMU WAONGEZEKE NIMEPENDA LAKINI NAOMBA MIKATABA YA AWALI TFF WAITENGENEZEE KANUNI ZINAZOMLINDA MCHEZAJI, TIMU INAYOMILIKI MCHEZAJI, TIMU ITAKAYOMHITAJI
Jamani acha maswali ya kikuda mchezaji kama ana lesseni na release letter Wewe mtangazaji maswali ya nini hapo una akili ya kufikiri Wewe Ally Kamwe shauri Yanga waende FIFA uone utakachopata
Yanga tunafikiri precontact ni Kati yetu sis na mchezaji tu, kwann hatukuhusisha timu?... Make Simba walienda kwenye timu hawakuambiwa chochot kuhusu kagoma na Yanga, na hapa ndo unaona tunabaha kuishtak Simba badara ya timu fountain gait. Timu haikujua usajir wa kagoma na Yanga. Ndo maana hatuizungumzii. Tuliyakanyaga tujifunze kujua sheria
Mm niulize, Simba alitakiwa ajue wap kuwa kagoma amesain precontact na Yanga?.. je wakati Simba anamuendea kagoma aliambiwa?.... Je, kama aliambiwa ilikuwaje uongozi wa timu umsainishe Simba?..... Siamin kama Simba ana kosa naamini kuwa amelibuniwa kupewa mchezaji aliyesain timu nyingine, asa anaingiaje kwany kesi?... Kwa mawazo yangu Yanga wanatakiwa kushitak fountain gate wamalizane juu ya walichokubaliana ktk mkataba wao wa awali
MORISON BM 3 ANAHITAJIKA YANGA ARUDI HARAKA SANA, NA JERADI JONAS MKUDE IALIINGIA YANGA KIMAKOSA YANGA WARUDISHE KOMBE LA LIGI NA WATARUDI KICHEZA SHIRIKISHO NA MECHI YA J MOSI IMEFUTWA.
Kwan kanuni zinasemaje wadau
Leseni ya mchezaji inatolewa na club aliyotoka sasa Yanga ni ushamba wao,Kagoma kauzwa na SINGIDA kwenda Simba.Yanga walifanya biashara na Kagoma si SINGIDA Simba,,Biashara
Wanajaribu kuwapa simba presha ikigundulika kuna mchezo wahusika washitakiwe fifa
Simba hakatwi point hata moj ,kwenden huko utopol
MWANASHERIA HAPA KWA WANASHERIA KUSOMEA MICHEZO ILI WATAALAMU WAONGEZEKE NIMEPENDA LAKINI NAOMBA MIKATABA YA AWALI TFF WAITENGENEZEE KANUNI ZINAZOMLINDA MCHEZAJI, TIMU INAYOMILIKI MCHEZAJI, TIMU ITAKAYOMHITAJI
Hawa waandishi wengi ni uto wanajitahid kuwaharibia simba ila mtaumbuka
Wataumbuka tu mchezaji huyo ni mali ya Simba kamili
Yanga jifunzeni Shelia ili muwe makini kuanza moja si ujinga Ila ujinga nipale utakapo ona ni mwelevu na wakati ujui kitu
We mwenyewe jifunze kuandika vizuri..
Hapo Hakuna mwanashelia kabisa
Feisali nitofauti na hili , hebu liangaliwe , fei ni inshu ya maslai sio usajir
MTANGAZAJI KWA NINI USIULIZE VIGEZO GANI VINATAKIWA NA TFF ILI MCHEZAJI APEWE LESENI YA KUCHEZA KATIKA CLUB HUSIKA??? AU WEWE UTOPOLO???
Kesi gani au nyinyi waandishi mnalikuza
Sasa hayo makubaliano yalivunjikaje wakati kila stahiki zililipwa ?
Hersi engineer na wala si mwanasheria, hela ya kuomba kwa Gharib haiko juu ya sheria. Jambo la msingi sana kulielewa
Mtangazaji PUNGUZA malingo hii aaah ooh ndo nini Fanya kazi
Hawa Yanga ndiyo maana hata Morrison aliwashinda bila mwanasheria mwanasheria wa Yanga anawaangusha amemwachia Ally Kamwe aongelee masuala ya sheria
Yanga fukuzeni mwanasheria.Hana "fun"(proffetion) hiyo
Viongozi na washabiki wa Yanga washamba tu .Kama mlimpa pesa Kagoma mmeliwa ninyi.washamba kabisa
Jamani acha maswali ya kikuda mchezaji kama ana lesseni na release letter
Wewe mtangazaji maswali ya nini hapo una akili ya kufikiri
Wewe Ally Kamwe shauri Yanga waende FIFA uone utakachopata
Wewe unadanganywa na Jemedari
@@sweetbertrwiza5982BASI NENDA UKASHITAKI MKIONE CHA MTEMA KUNI 😂😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO 😂😂 KURUJUWANI OYEEEEEE
Yanga tunafikiri precontact ni Kati yetu sis na mchezaji tu, kwann hatukuhusisha timu?... Make Simba walienda kwenye timu hawakuambiwa chochot kuhusu kagoma na Yanga, na hapa ndo unaona tunabaha kuishtak Simba badara ya timu fountain gait. Timu haikujua usajir wa kagoma na Yanga. Ndo maana hatuizungumzii. Tuliyakanyaga tujifunze kujua sheria
Yanga hajamshitaki simba
Miwan mikubwa kama dokta kumbe pumba
Pre contract agreements ni kawaida sana kwenye football. Kagoma alibakisha muda gani kwenye mkataba wake?
Ivi nyie waandishi wa habar mna content za kuongelea kila cku ni kagoma kagoma tafuteni habar zingine
Huyo mchezaji ambaye si wao anachezea timu ya mama yako
Sikiliza vizuri
Huyo mwanasheria amebobea ktk Sheria zipi? Kuna tofauti Sheria za makosa ya jinai na hizo zinazoongoza mpira( FIFA)
Sheria ni Sheria tu kwani mtu akifa Kwa maji marefu na mwingine Kwa risasi ni tofauti si wote hao ni marehem???? 😂😂😂?
Ukisikiliza maelezo yake utagundua ni mbobezi wa sheria za michezo
Huyu hajui tofauti ya kesi ya lawi na kagoma kuna utafati
Simba haikufanya pre contract kwa lawi kama unavyosema ilikuwa ni mkataba kamili
Anaongea kwa mapozi point haizionekan, fact za kesi hazijui anaenda na hisia zake
Mbona Singida walishawaambia kuwa wameshachukua fedha za Yanga? Huyo mwanasheria kilaza!
Pov ruksa 🐸🐸🐸👀
Sasa yanga walifeli wapi kupewa lesen?
Nadhani anayekupa taarifa anakudanganya maana Founten gate walishasema waliongea na Simba na kutoa Release Letter mchezaji aende Simba.
Kwa Shelia Gani asikatwe point kachezesha mchezaji siwake weni kolo nn ?
Ila na ww nizerobrain hakika point zinakatwaje kwa utopolo ulofanyika
Weny akili wawili tu 🐸🐸🤣
We boya sikiliza vzr ndo mana umefeli shule
@@SaidKasembe-s8l😂😂😂😂😂😂Umemaliza kila kitu
Topolo tulia wewe
Huyu mwnasheria ni mburula aka O brain.
Unamjua huyi