SALAMBA: SIMBA HAWANA WACHEZAJI,TIMU YAO MBOVU/YANGA BINGWA MSIMU HUU/BORA SINGIDA KULIKO SIMBA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 ноя 2024

Комментарии • 10

  • @MuhammedAbdallah-h2t
    @MuhammedAbdallah-h2t День назад

    We we we Laana ya ALLAH iwe juu yako

  • @AbdullahKilindo
    @AbdullahKilindo 10 часов назад

    Wewe muongo kabla ya kadi nyekundu yangaalishambuliwa sana

  • @PiusKimaro
    @PiusKimaro День назад

    We mbòvu kama walivyo simba.we kerehere mfuata mfungo

  • @SadickDibundile
    @SadickDibundile День назад +1

    Mchambuzi mnazi wa utopolo

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt День назад +1

    Unaongea kweli Salamba sisi mashabiki hatutaki kuusikia ukweli ndiyo mana tunaropokaropoka ovyo balaa 😂😂

  • @abdallahshariff6555
    @abdallahshariff6555 17 часов назад

    Wewe uliumia yanga kufungwa,Simba iliwafunga na wachezaji pungufu au unajisahaulisha,ubora wa young uko wapi mwaka huu,Kayoko fc,Ambungili tutakuja kukusuta na timu ya wazee walio choka na wewe unaendelea kuwapamba

  • @janefadhili8384
    @janefadhili8384 День назад

    Hahahaha, huyu salamba anatatizo gani na timu ya simba??anaisema vibaya sana na nimuda mrefu nimekuwa na mfwatilia sana sana katika mazungumzo yake kila simba ikifanya vizuri yeye anaisema vibaya hata wachambuzi wenzie wakiisema vizuri yeye hakubali nini shida yake???

  • @johnmsagga5327
    @johnmsagga5327 День назад

    Wewe mpumbavu nn nani alitengenezewa red card? Acha uchawa wewe, Kwa hiyo wakicheza rau refa aangalie tu!!!! Mmezoea kubeba na marefari

    • @abdallahshariff6555
      @abdallahshariff6555 День назад

      Huyu hata siku moja hawezi kuwa mchambuzi,Wala si mtu wa mpira,amebahatika yupo kwenye media amebaki kuropoka,wanatarajia kila wanavyo cheza vibaya wabebwe,watu wanyinwe penalty red card Kwa sababu ni young,wamngoje Kayoko atawabeba