Hans punguza unafiki umezidi wewe ulisema Simba awezi kushinda kwa tripoli na akashinda alafu Sasa hivi yanga ni Bora kumzidi Simba Yani wewe ni mnafiki sanaaaaa 😅😅
Hans Raphael sio mchambuzi ila ni mshabiki wa Yanga aliyejificha kwenye kivuli cha uchambuzi. Ameanza kwa kusema anaangalia rekodi za Simba na Yanga za ndani ndio alichokifanya kwa rekodi za Simba LAKINI alipokuwa anatoa rekodi za Yanga katoa zote za ndani na nje ili aipe Yanga uzito. Katika msimu wa 2017/2018 Simba pointi 69, Yanga 52 tofauti pointi 17 na Yanga alimaliza wa tatu. Goal difference Simba 47 na Yanga 21. Simba alishinda michezo 20 Yanga 14 Simba alipoteza mchezo 1 Yanga 6. Msimu wa 2018/2019 Simba alimaliza pointi 93 Yanga 75 tofauti pointi 18.Goal difference Simba 62 na Yanga 29. Simba alishinda michezo 29 na Yanga 27 Simba alipoteza 3 na Yanga 6. Msimu wa 2019/20 Simba pointi 88 na Yanga pointi 72 tofauti pointi 16. Goal difference Simba 57 na Yanga 17. Simba alishinda 27 Yanga 19 wote walipoteza michezo 4. Msimu wa 2020/21 Simba pointi 83 Yanga 74 tofauti point 9. Goal difference Simba 64 Yanga 31. Simba alishinda 26 na Yanga 21 Simba alipoteza 3 na Yanga 2. Hii inaitwa total dominance in 4 seasons. Ukija kimataifa Simba wameshiriki makundi mara 5, Champions League robo fainali 4 na 1 Confederation Cup wakati Yanga Champions league wameshiriki makundi mara 1 robo fainali 1 na Confederation final moja. Wakati Yanga ameshinda nyumbani mara 3 mfululizo kimataifa kafeli, kushiriki makundi mara moja, Simba mara tatu mfululizo na robo fainali 3 (CL na Confederation Cup) . Yanga hajawahi kuingia makundi kwa miaka 25,hii inaonekana ni umri wa Hans Raphael. Simba amekuwa top 10 kwenye CAF ranking misimu kadhaa mfululizo sasa Yanga mpaka sasa hajawahi. Hans Raphael usitoe takwimu zinazofurahisha nafsi yako. Unapenda kutengeneza unnecessary headlines.
Kwa kuongezea tu anadai Yanga alishinda mechi nyingi zaidi away. Ngoja tuhesabu Yanga 1- Club Africain 0,Yanga 2- Marumo Gallants 0,Yanga 2- Rivers United 0,Yanga 1- TP Mazembe 0,Yanga 2- El Mereikh 0,Yanga 1-CBE 0 jumla 6 Nyingi ni CAF CC. Simba 1- ASV 0,Simba 2- Jwaneng Galaxy 0,Simba 3- Primairo de Agosto 1,Simba 2-Big Bullets 0,Simba 1- Plateau Utd 0, Simba 1-Vipers 0 Jumla 6 hizo zote ni CAF CL. Hakuna mchambuzi hapo😅
@@Joe-tr2vk Huyu jamaa hajui kuchambua mpira na hana data. Angalia akiwa anachambua ni mtu ambaye amekariri sikiliza terminology anazotumia halafu ni muongo sana inabidi uchuje anachoongea
@@pinomjata678 😁😁😁Yeye anachambua mafanikio yake mwenyewe maana ukiangalia Simba Africa IPO wazi yupo juu ya Yanga hakuna wakupinga hata yanga wanajua kuwa walienda shirikisho baada ya kutolewa club bingwa INGEKUWA ni Sasa wasingepata hata hiyo nafasi ya shirikisho.
😁Du hans Fal kweli anavyo yalizimisha hayo mafanikio ya Yanga sasa. Mwishowe atasema hata kwenda na Bus south Africa ni mafanikio😁. Ila kwasababu nimtazamo sawa maana hata mwenye baiskeli akipata boda pia ni mafanikio ila mwenye gari akirudi kwenye baskeli siyo mafanikio.✔️
Hans yuko vizuri sana ili tatizo la mashabiki wa simba mnataka msifiwe wakati takwimu zipo chini mbona jeff ana usimba mwingi na ana angaika hapo kujielezea
Kuna mafala hawasikuliz wao wana fanya ku comment utumbo wakati vitu vipo waz mi ni shabiki wa simba kindakindaki namuelewa hans kwa fact acheni ushabiki
Mechi zenyewe rivers united ,galaant kashuka daraja ,al marrekh ana vita ,assas mechi zote dar ,vitalo mechi zote dar mc alger wakat kashachukuwa kombe simba haipaingiwiii wabovu haaaao tunapangiwaa vigogo kwel nashangaaa simba kacheza na tim kwel
Hans punguza unafiki umezidi wewe ulisema Simba awezi kushinda kwa tripoli na akashinda alafu Sasa hivi yanga ni Bora kumzidi Simba Yani wewe ni mnafiki sanaaaaa 😅😅
Tena ni mnafiki haswa huyu fala shida ni ushabiki umemjaa
Kwahiyo kwa akili zako hujui kwa sasa yanga ni bora kuliko simba
@@ErastoChilanzaakili zako zimekutuma ivo sio😂
@@HasnatMustafa-n1qsimpendi huyu ni mnafki wa utopolo
Uyu fala tu Kama mafala wengine
Hans Raphael sio mchambuzi ila ni mshabiki wa Yanga aliyejificha kwenye kivuli cha uchambuzi.
Ameanza kwa kusema anaangalia rekodi za Simba na Yanga za ndani ndio alichokifanya kwa rekodi za Simba LAKINI alipokuwa anatoa rekodi za Yanga katoa zote za ndani na nje ili aipe Yanga uzito.
Katika msimu wa 2017/2018 Simba pointi 69, Yanga 52 tofauti pointi 17 na Yanga alimaliza wa tatu. Goal difference Simba 47 na Yanga 21. Simba alishinda michezo 20 Yanga 14 Simba alipoteza mchezo 1 Yanga 6.
Msimu wa 2018/2019 Simba alimaliza pointi 93 Yanga 75 tofauti pointi 18.Goal difference Simba 62 na Yanga 29. Simba alishinda michezo 29 na Yanga 27 Simba alipoteza 3 na Yanga 6.
Msimu wa 2019/20 Simba pointi 88 na Yanga pointi 72 tofauti pointi 16. Goal difference Simba 57 na Yanga 17. Simba alishinda 27 Yanga 19 wote walipoteza michezo 4.
Msimu wa 2020/21 Simba pointi 83 Yanga 74 tofauti point 9. Goal difference Simba 64 Yanga 31. Simba alishinda 26 na Yanga 21 Simba alipoteza 3 na Yanga 2.
Hii inaitwa total dominance in 4 seasons.
Ukija kimataifa Simba wameshiriki makundi mara 5, Champions League robo fainali 4 na 1 Confederation Cup wakati Yanga Champions league wameshiriki makundi mara 1 robo fainali 1 na Confederation final moja.
Wakati Yanga ameshinda nyumbani mara 3 mfululizo kimataifa kafeli, kushiriki makundi mara moja, Simba mara tatu mfululizo na robo fainali 3 (CL na Confederation Cup) . Yanga hajawahi kuingia makundi kwa miaka 25,hii inaonekana ni umri wa Hans Raphael.
Simba amekuwa top 10 kwenye CAF ranking misimu kadhaa mfululizo sasa Yanga mpaka sasa hajawahi.
Hans Raphael usitoe takwimu zinazofurahisha nafsi yako. Unapenda kutengeneza unnecessary headlines.
Hii imfikie Gen Z anayejiita Hans😀
Hawa ni wachambuzi mbwa mbwa ata data awana
Kwa kuongezea tu anadai Yanga alishinda mechi nyingi zaidi away. Ngoja tuhesabu Yanga 1- Club Africain 0,Yanga 2- Marumo Gallants 0,Yanga 2- Rivers United 0,Yanga 1- TP Mazembe 0,Yanga 2- El Mereikh 0,Yanga 1-CBE 0 jumla 6 Nyingi ni CAF CC. Simba 1- ASV 0,Simba 2- Jwaneng Galaxy 0,Simba 3- Primairo de Agosto 1,Simba 2-Big Bullets 0,Simba 1- Plateau Utd 0, Simba 1-Vipers 0 Jumla 6 hizo zote ni CAF CL. Hakuna mchambuzi hapo😅
@@Joe-tr2vk Huyu jamaa hajui kuchambua mpira na hana data. Angalia akiwa anachambua ni mtu ambaye amekariri sikiliza terminology anazotumia halafu ni muongo sana inabidi uchuje anachoongea
@@pinomjata678 😁😁😁Yeye anachambua mafanikio yake mwenyewe maana ukiangalia Simba Africa IPO wazi yupo juu ya Yanga hakuna wakupinga hata yanga wanajua kuwa walienda shirikisho baada ya kutolewa club bingwa INGEKUWA ni Sasa wasingepata hata hiyo nafasi ya shirikisho.
😁Du hans Fal kweli anavyo yalizimisha hayo mafanikio ya Yanga sasa. Mwishowe atasema hata kwenda na Bus south Africa ni mafanikio😁. Ila kwasababu nimtazamo sawa maana hata mwenye baiskeli akipata boda pia ni mafanikio ila mwenye gari akirudi kwenye baskeli siyo mafanikio.✔️
Unala kupinga hapo
@shwaibukhatibu2838 😁😁Sina
Hans yuko vizuri sana ili tatizo la mashabiki wa simba mnataka msifiwe wakati takwimu zipo chini mbona jeff ana usimba mwingi na ana angaika hapo kujielezea
Ukoo wa Kolo inawauma sana hii na hawataki hata kusikiliza 😂😂😂
Hamuwez yajua mafanikio ya yanga na hatutaki muyajue
Haja ndo mdudu gan? 😂😂😂
Saaaf
Yanga timu kubwa sababu kwa.kila timu inajilinganisha na yanga,huyo jaf siyo.mchambuzi huyo.ni mshabiki kama .mashabiki
Kuna mafala hawasikuliz wao wana fanya ku comment utumbo wakati vitu vipo waz mi ni shabiki wa simba kindakindaki namuelewa hans kwa fact acheni ushabiki
Hapo ni takwimu ndio zinamaliza ubishi
Muache kuwakatisha watu tamaa muache mpira uchezwe hayo mazungumzo yenu hayana maanatuwape moyo mnajadili yaliyopita ndivyo hovyo so what?
Mechi zenyewe rivers united ,galaant kashuka daraja ,al marrekh ana vita ,assas mechi zote dar ,vitalo mechi zote dar mc alger wakat kashachukuwa kombe simba haipaingiwiii wabovu haaaao tunapangiwaa vigogo kwel nashangaaa simba kacheza na tim kwel
Huyu pumba sijawahi mwelewa kabisa ni shabiki wa machura utopolo
Hans binge lamchambuzi
HANS UTOPWINYOOO
Huyu Hans ana uyanga mwingi sana, hafai kuwa mchambuzi
Ww una usimba mwingi sana hufai kua mchambuzi
@@muammaraliy5030😂😂😂😂 umemuweza