Tatizo lenu munaleta siasa kwenye maendeleo ya watu, hiyo barabara na daraja sasa ni miaka mingapi tangu kusaini mkataba na hiyo kampuni ya ujenzi, munasubiri 2025 hiyo barabara muombee kura, acheni ujinga nyinyi munawachezea watu akili, kilometre 50 miaka 5 kama munajenga kilometre 500
siku hizi ajira za miradi za vibarua zinatolewa kwa wenyeji wa eneo husika tu wakiwa bado wanahitajika ndio wanaitwa watu wa maeneo mengine, pia, kazi za kutegemea elimu tu ndio kila mtu kutoka kokote anaweza kuomba
Toeni pesa
👍👍👍👍👍👍
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Barabara ya tanga pangani hakuna wakandarasi toka wameweka lami kl 15 ndio kimoja miezi kibao hawapo
Tatizo lenu munaleta siasa kwenye maendeleo ya watu, hiyo barabara na daraja sasa ni miaka mingapi tangu kusaini mkataba na hiyo kampuni ya ujenzi, munasubiri 2025 hiyo barabara muombee kura, acheni ujinga nyinyi munawachezea watu akili, kilometre 50 miaka 5 kama munajenga kilometre 500
Kaka na mm naomba ajila kwenye ilo dalaja ety
siku hizi ajira za miradi za vibarua zinatolewa kwa wenyeji wa eneo husika tu wakiwa bado wanahitajika ndio wanaitwa watu wa maeneo mengine, pia, kazi za kutegemea elimu tu ndio kila mtu kutoka kokote anaweza kuomba
Kusifia tu ndo kilichobakia
KWA HIYO ULITAKA WAKUSIFU WEWE?!