Jux, Marioo and Pabi Cooper - Nice (Kiss) [ft. Tony Duardo] (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 ноя 2022
  • Jux, Marioo & Pabi Cooper - Nice (Kiss)
    Out now: africori.to/nicekiss
    Jux, @MariooOfficialMusic and @cooper_pabi present the official video for amapiano sensation and #1 hit record 'Nice (Kiss)', featuring Tony Duardo, directed by Justin Campos and shot between Johannesburg and Dar es Salaam.
    Director & colourist Justin Campos @_justin_campos_
    Production and art: Candice Campos @icandicam
    Dancers by Warren Wood @brothawazza
    Makeup Noni Malembe @nonifemi_make up
    Crew: Nathi Mabindisa
    Oscar Mpofu @ndoe084
    Cherrypicked locations @cherrypickedlocations
    Location Photo Factory - special thanks to Warren @photo_factory_venue
    Models: @tiegomaboa Tiego Maboa
    Grip: Law Mmatli @lawrencemmatli
    Other models: @glamtrix_beautystudio
    Executive production: Swaggdaddy YoungRay @swaggdaddyyoungray / Adam Tiran @adamtiran
    Powered by @Africori
    © 2022 @africanboyJUX REC.
    LYRICS
    Intro:
    Mmmh
    Ayiii Baddie
    Sheeesh
    Mmmmh
    Mmmmmh
    Zombie
    Mmmmmh
    Oooh woooh
    Oooh woooh
    Verse : Jux
    Ka namna
    Kuna ka namna, kame nyooka
    All I wanna do, me and you lavida loca
    Kanamna
    Kuna ka namna, kame nyooka
    All I wanna do, me and you lavida loca
    Nionjeshe onjeshe onjeshe kidogo suna
    Aya waonyeshe onyeshe onyeshe unavyokuna
    Girl dutty wine dutty wine dutty wine we baya huna
    Girl dutty wine dutty wine dutty wine we
    Chorus : Jux
    Kiss (Mwa) (Haibo)
    Babe (Mwa)
    Kijiti (Mwa)
    Kitu (Mwa)
    Aya (Mwa) (Mwa) (Mwa) (Mwa)
    Aya (Mwa) (Mwa) (Mwa) (Mwa) Eeeh
    Sooooooooooo niceeeee
    Peleka rudisha nice
    Sooooooooooo niceeeee
    Funika funua nice (Sheeesh) [Marioo]
    Kiss (Mwa)
    Babe (Mwa)
    Kijiti (Mwa)
    Kitu (Mwa)
    Aya (Mwa) (Mwa) (Mwa) (Mwa)
    Aya (Mwa) (Mwa) (Mwa) (Mwa)
    Verse: Marioo
    Ka unanipa nipe
    Ka hutaki baki nayo (Aah)
    Criminal Shegkhe
    Mi siwezi fata nyayo
    Ka unanipa nipe
    Ka hutaki kufa nayo
    Moyo wangu mteke
    Siwezi we utakayo
    Halooooo
    Zero distance
    Give me cha cha cha cha cha cha cha
    Halooooooo (Sheesh)
    Zero, zero distance
    Emii cha cha cha cha cha cha cha
    Zero distance
    Chorus
    Kiss (Mwa) (Haibo)
    Babe (Mwa)
    Kijiti (Mwa)
    Kitu (Mwa)
    Aya (Mwa) (Mwa) (Mwa) (Mwa)
    Aya (Mwa) (Mwa) (Mwa) (Mwa)
    Sooooooooooo niceeeee
    Peleka rudisha nice
    Sooooooooooo niceeeee
    Funika funua nice (Sheeesh) [Marioo]
    Kiss (Mwa)
    Babe (Mwa)
    Kijiti (Mwa)
    Kitu (Mwa) (Aaaaaaaaahh)
    Aya (Mwa) (Mwa) (Mwa) (Mwa)
    Aya (Mwa) (Mwa) (Mwa) (Mwa)
    Swagg Daddy Ray
    Swagg
    Verse (Pabi Cooper)
    Unanitaka wena
    Unanipenda wena
    Unanisikia wewe
    Show me what you made of
    Nipe shuga
    Ngifuna wena
    Nataka neyu
    Nataka mwah (Hmm!)
    Wena wedwa
    Nipe water
    Holy water
    I need me your love
    So nice
    Fungua
    Fungua vibe
    So nice
    Fungula
    Fungula vibe
    Chorus
    Kiss (Mwa) (Haibo)
    Babe (Mwa)
    Kijiti (Mwa)
    Kitu (Mwa)
    Aya (Mwa) (Mwa) (Mwa) (Mwa)
    Aya (Mwa) (Mwa) (Mwa) (Mwa)
    Sooooooooooo niceeeee
    Peleka rudisha nice
    Sooooooooooo niceeeee
    Funika funua nice (Sheeesh) [Marioo]
    Kiss (Mwa)
    Babe (Mwa)
    Kijiti (Mwa)
    Kitu (Mwa)
    Aya (Mwa) (Mwa) (Mwa) (Mwa)
    Aya (Mwa) (Mwa) (Mwa) (Mwa)
    Swagg
    #NiceKiss #Jux #KingOfHearts
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 724

  • @africanboyJUX
    @africanboyJUX  Год назад +425

    KISS, let's go! 😘

  • @wanjantwiga4663
    @wanjantwiga4663 Год назад +83

    Heee... I think Jumuiya ya Afrika Mashariki should license Tz to be the only ones singing for us🤣. Wakenya tumekubali. Kazi safi sana!

  • @basonken6679
    @basonken6679 Год назад +169

    If you are from Kenya gather here to show justice for this song 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @sultan_official875
    @sultan_official875 Год назад +92

    Kenyans confirmed that this is a hit song🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @anthonykamaukuria
    @anthonykamaukuria Год назад +8

    Kenya mwaah!! Jamani like toka🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @dullacityboy232
    @dullacityboy232 Год назад +6

    KISS let's go!! wapi likes za kiss kutoka kenya🇰🇪

  • @cbegram6161
    @cbegram6161 Год назад

    Yani kipindi hiki ukimshirikisha tu marioo hta kma hujui kuimba ni hit song hilo tayari😅😅😅

  • @fatushanne5917
    @fatushanne5917 Год назад +1

    Nani mwingine ameona huyo Dem cooper amefanana na Victoria kimani wa Kenya gonga like hapa twende sawa...

  • @pincholakadawa
    @pincholakadawa Год назад +50

    Tanzania 🇹🇿 don't know how Kenya's 🇰🇪 love them

    • @sashoright8213
      @sashoright8213 Год назад +1

      No wengi wanajua waxhxhe ndo shida na wengi wanaikubali Kenya kwnye maigizo askwambie mtu Amna mtanzania ajatizama tamthilia za Kenya kina mwara au south Africa Isidingo🤣🤣🤣🤣🤣ni balaaa 🇰🇪🇹🇿🇿🇦

    • @pincholakadawa
      @pincholakadawa Год назад +1

      @@sashoright8213 sawa sawa

    • @patrickjeremiah8905
      @patrickjeremiah8905 Год назад +1

      Tunajua we love you ❤️ too

    • @pincholakadawa
      @pincholakadawa Год назад

      @@patrickjeremiah8905 hivo ndio inapaswa kuwaaa

  • @eddahmakena9711
    @eddahmakena9711 3 месяца назад +1

    Nimeutaguta Huu wimbo Kwa wiki Sasa Ila Leo nimeupata wee

  • @namuujulian8492
    @namuujulian8492 Год назад +39

    Tanzanians 🇹🇿 gather here for our boy jux🔥

    • @heavenlightfrank6203
      @heavenlightfrank6203 Год назад

      🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪💪

  • @Nyotaafrikamusic
    @Nyotaafrikamusic Год назад +13

    Nyimbo Bora Ya Piano Na Video Bora Kutokea Tanzania 2022 Trust me Chupa N La Kimataifa Sana Kumbe Inawezekana Iwish chupa Km ili ingekua N nyimbo ya Bongo Flavour Ingekua Poa Sana Maana Apa n kama Tumejikanyagia Kwa Wasauzi Yn Tunaonekana Tumejarbu wakati Tumefanya Ingekua N Mziki wetu Bas Lazima Kungekua Na Sifa Za Ziada Ila Heshima Kwako @Jux Umenyoosha Sana Umu Ndani

    • @Swahili14
      @Swahili14 Год назад

      Unaijua SHETANI weee 😂

    • @kamalkadode7277
      @kamalkadode7277 Год назад

      🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @faidaemmanuel9134
    @faidaemmanuel9134 Год назад

    Kama mwatka kumfananisha Simba mfananishen na juma juxJamaa hawa ndo wasanii ambao hawafnani hata kuwa watnzania

  • @DestinyElinahMotsamayi
    @DestinyElinahMotsamayi 22 дня назад

    As a South Africa I love Jux❤ 🇿🇦

  • @balakajohn3784
    @balakajohn3784 Год назад +14

    Nyimbo nzuli saana nace
    From zambie🇿🇲

  • @retroblue69696
    @retroblue69696 13 дней назад

    listening from canada 🇨🇦

  • @chachaali2255
    @chachaali2255 Год назад +2

    Wakenya Tunaompenda Jux na Marioo Gonga Like ✔️✔️

  • @kanyamaladembelesacko2812
    @kanyamaladembelesacko2812 Год назад +1

    Kali sana, ila sisi Wcb atuachagi maji baridi Kama Aya! "TUNAPITIAGA ZOTE NA TUNAKURA", NICE ONE

  • @skotziki23
    @skotziki23 Год назад

    yoyo is diamond platnumz nime penda your creativity bro

  • @Zezeta-yr3hy
    @Zezeta-yr3hy Год назад +5

    Mnajuaaaa aki Walai 🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @user-ik1jr3eb9h
    @user-ik1jr3eb9h 4 месяца назад +1

    No offense I am From Kenya but Tanzania have best Music ❤❤❤❤❤

  • @felixfernandez6676
    @felixfernandez6676 Год назад +12

    I found this while listening to the song “Sayo- Ndrangheta “ 🔥🔥

  • @ashahassan2120
    @ashahassan2120 Год назад

    Turudieni kwamungu acheni kuchafua dunia 😭😭😭😭😭😭

  • @user-fz3yi9mn1z
    @user-fz3yi9mn1z 2 месяца назад

    Asante sana

  • @victor7302
    @victor7302 Год назад +95

    I dint know African boy had it in him with Amapiano..he's killed it🇰🇪🇰🇪 we love this🔥🔥🔥

  • @mkmsapoofficiel1437
    @mkmsapoofficiel1437 Год назад +1

    Jux Thx🔥

  • @sakariyecumar7599
    @sakariyecumar7599 2 месяца назад +1

    Hi jux kiss i m from somalia

  • @hamzayusuf8395
    @hamzayusuf8395 Месяц назад

    Marioo always top on this beats my niggah killin them piano beats like he's from sauzi 😅

  • @TheNewKid_TV
    @TheNewKid_TV Год назад

    Ni mwendo wa kiss tu!😘

  • @user-no5ly1km2p
    @user-no5ly1km2p 4 месяца назад

    Goma Kali sana na video Kali sana kama mbele

  • @josephmaguza3490
    @josephmaguza3490 Год назад

    Mario like Diamond Platnumz you killing

  • @queen2natural142
    @queen2natural142 3 месяца назад +2

    This gets played at least 5 times a day.. I love this song!!

  • @esthersiresire
    @esthersiresire Год назад +1

    Let's support Jux # AfricanBoy hili Goma limeweza kama unakubaliana na Mimi weka likes hapa... Kisi 😘😘Mwaaaaah 😘Bebee Mwaaaaah 😘😘🔥💯👍

  • @dandanteh6280
    @dandanteh6280 Год назад +44

    Song and video of the year 🔥🔥💯💯💯

  • @lanafelix8649
    @lanafelix8649 Год назад +8

    Team Kiba supporting Jux 👑

  • @manyaramanyara8872
    @manyaramanyara8872 Год назад +4

    Kenya ndani ndani ya African boy.🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @4dboybonifas
    @4dboybonifas Год назад +1

    Hii ni Kali ,, wajuba

  • @softtlipssLive
    @softtlipssLive Год назад +33

    Love From East Africa 🌍 KENYA 🇰🇪

  • @emojimakopakopa
    @emojimakopakopa 5 дней назад

    Unyamaaaa

  • @Pastornarcos1
    @Pastornarcos1 Год назад +2

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪 loves you

  • @githiomimartin7553
    @githiomimartin7553 Месяц назад

    Ukiskia tu zombie........mambo kwisha!!!

  • @mjukuutvonline8373
    @mjukuutvonline8373 Год назад

    Ngoma kali sana na video quality mnoooo

  • @lechaboy2942
    @lechaboy2942 Год назад

    Game Yako brother nzuri sana Mzee wangu unafanya unachotaka heshima sana kwako 👊👊👊👊👊

  • @trendingtrailers4KUHD
    @trendingtrailers4KUHD Год назад +4

    Randomly streaming this bangers
    Likes here👍💯🇰🇪
    Sweeeeeeeeettttt nostalgia

  • @JumagilyaSanghudi-jk1cw
    @JumagilyaSanghudi-jk1cw 6 месяцев назад

    Imeweza hii somo

  • @AminaZani-tf4fz
    @AminaZani-tf4fz Месяц назад +1

    From Kenya ... show love to Jux and Marioo

  • @E7MOVIES
    @E7MOVIES Год назад +1

    Nikajua unatoa ep 2 ya SINA NENO 😅😅😅uliposikia vanessa anamimba nyingin 😂😂😂ila sema video tamu hii ❤❤

  • @man-solo7516
    @man-solo7516 Год назад +1

    Ugandan mwaaa😘

  • @showme.9393
    @showme.9393 Год назад +1

    Escobar waz hia 😊

  • @geraldoluoch9479
    @geraldoluoch9479 Год назад +8

    Let's go let me get those kiss likes 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥

  • @alvarobaisama6671
    @alvarobaisama6671 Год назад +2

    Ayiiiiiiii 😘

  • @willykhalid640
    @willykhalid640 Год назад +18

    Love from Zimbabwe 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @kenji_mustafah
    @kenji_mustafah Год назад

    Yaan siwezichoka kusikilizi wimbo huu

  • @user-sz6oo1rd9z
    @user-sz6oo1rd9z 4 месяца назад

    Pabi cooper is on fire 🔥❤,,,, she's hot,,,,,,,wow much love from Namibia ❤❤❤❤❤❤

  • @ramseynzai7452
    @ramseynzai7452 Год назад +2

    Kali sana
    Jux and Marioo wapi likes hapa!!!

  • @swaggerriic
    @swaggerriic Год назад

    Peleka rudisha niiiice!!💃🕺🏿

  • @user-hg1vk7lp5e
    @user-hg1vk7lp5e 3 месяца назад

    Jux unajua, I like your voice

  • @thomasorangi1072
    @thomasorangi1072 Год назад +1

    Kama unanipa nipe ama hautaki kufa nayo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👌👌...that's my boy mariooo

  • @iankirui6520
    @iankirui6520 Год назад +13

    I have a strong feeling that Maina Kageni will play this jam tomorrow morning😊🙆🥰.. hey jux have you send him?

  • @givennln4043
    @givennln4043 Год назад +5

    Who wasn't waiting and expecting Pabi to Swahili the song ❤️‍🔥💯🔥

  • @user-iu6fx4tp5z
    @user-iu6fx4tp5z 5 месяцев назад +1

    Nice song my favorite ♥️♥️♥️

  • @goodluckdavid7806
    @goodluckdavid7806 Год назад

    Msukuma, AFAI..
    MSUKUMA UNATISHA KILA WAKATI.

  • @juliusedward5808
    @juliusedward5808 Год назад

    Huna lolote mshukuru toto bad sana!!

  • @irenejunechiriikenyangal254
    @irenejunechiriikenyangal254 Год назад +21

    Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @stephgotyourvibes6045
    @stephgotyourvibes6045 Год назад +18

    Just imagine a collaboration without mario. With his dope vocals on different type of beats . Kiss from burundians we love your music our lovely neighbors. Jux made it to amapiano. Let's give it a Million views

  • @keywinsofficial3023
    @keywinsofficial3023 Год назад

    Kama we shabiki bonyeza picha hi arafu ufanye subscribers channel yangu iri uzidi ku enjoy mzik mzuri bira kusahawu ku like

  • @JIJII420
    @JIJII420 Год назад +7

    Kilifi is obsessed with this jam 🔥🔥🇰🇪

  • @misspaulah7086
    @misspaulah7086 6 месяцев назад

    Padi your Swahili 👏🏾👏🏾

  • @jacq6716
    @jacq6716 Год назад +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💃🏿💃🏿my country pplz

  • @donlatinohits
    @donlatinohits Год назад +30

    Love the song all the way from Nigeria! 🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬

  • @abdallahalambe7908
    @abdallahalambe7908 Год назад

    Nionjeshe onjeshe kidogo apo mahali umeuwa so nice

  • @richardmosses6776
    @richardmosses6776 Год назад

    😁😁dah video unyama mwingiii ngoma qli

  • @ChoroTesla
    @ChoroTesla Год назад

    Dancers wamepania sana aiseee cumamake. daaah wametisha

  • @freytone
    @freytone Год назад

    Dadeki my peoples@The king of hearts @toto bad🤣🤣🤣💪💪💪👊👊🙌🙌

  • @annaandrew3051
    @annaandrew3051 Год назад

    Kumbe huu wimbo ni wa miamba fire

  • @abdallahalambe7908
    @abdallahalambe7908 Год назад

    So nice mzeee....nakubali chuma hatari sana

  • @nikorausnestor7492
    @nikorausnestor7492 8 месяцев назад

    Inafanya vizur sana ngoma Bora
    💯💯✊✊✊✊

  • @Huntingseason889
    @Huntingseason889 Год назад

    The song is more than the video...

  • @kelvinduper
    @kelvinduper Год назад +1

    Video La Kibabe Mnooo.....AfricanBoy🏆

  • @Aisha-lb8ll
    @Aisha-lb8ll Год назад

    Kiss mwaaaaaah Paula mwaaa jux wewe

  • @kimkyleklein
    @kimkyleklein Год назад

    Kali Sana 🇰🇪🔥💯🚀

  • @godimahenge3345
    @godimahenge3345 Год назад +4

    Video Kali sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😘😘😘😘😘

  • @officialbenbizzo7200
    @officialbenbizzo7200 Год назад +1

    Jux nice 1

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious Год назад +10

    Bonge La Video, Vocal, Mdundo Na Ni Level Za Mbele Sana 🙌🙌🙌

    • @Real_pic
      @Real_pic Год назад

      Vocals percentage iko chini 45%

  • @thebrand1065
    @thebrand1065 11 месяцев назад

    EastAfrican amapiano is the best. Try arguing with me

  • @kelvingeorge717
    @kelvingeorge717 Год назад

    🕺🕺💃💃dude ni 🔥 🔥 kiss

  • @issaskighanga3199
    @issaskighanga3199 Год назад

    Jux Pia ni mwamba 💪💪💪

  • @emmanuelmanyozo7452
    @emmanuelmanyozo7452 9 месяцев назад

    Fire fire ipatse motso wachng u from Capetown via malawi🇲🇼

  • @asizo0378
    @asizo0378 Год назад

    Kazi nzurii broh...
    👊👊

  • @issrahayattv1356
    @issrahayattv1356 Год назад +2

    Jux babalao mario chama y wana sema unyamwezii, Kenyan we do love u guys 🇹🇿🇰🇪❤️

  • @DjRudeboy254
    @DjRudeboy254 Год назад

    Moto sana Kaka!

  • @cosmasmanase8852
    @cosmasmanase8852 Год назад

    Marioo Ni faya💯

  • @amadeuslema1099
    @amadeuslema1099 Год назад

    Ngoma ina week tatu na view laki sita jaribu kufanya connection na harmonize at least ujulikane ata Africa mashariki lasivo itakuwga ivyo ivyo

  • @avinaudax6019
    @avinaudax6019 Год назад

    So nice peleka rudisha ni hatariiiiiiiiii

  • @ramadhanimwazala52
    @ramadhanimwazala52 Год назад

    mmetisha kijiweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hicho

  • @mxofmfk8406
    @mxofmfk8406 Год назад

    Maskini maji ya watoto kunduchi wet n wild yashaharibiwa😪

    • @josephstephen1079
      @josephstephen1079 Год назад

      hahaha yameharibiwa kiaje boss?

    • @mxofmfk8406
      @mxofmfk8406 Год назад

      @@josephstephen1079 hivyo viuno na kuyakalia maji ya watoto wakati hao wakata viuno wanatumika sana mtaani

  • @starmosebarua258
    @starmosebarua258 Год назад

    Ks mwa BBY mwa ttmwa hataliiiiiii nainjoy mm uku

  • @nasriyndune3021
    @nasriyndune3021 Месяц назад

    Soooooo Nice, big song

  • @amoncymphorian3742
    @amoncymphorian3742 Год назад +1

    hujawai kushindwa ata siku moja mkali wangu juma jux, nakubali sana.

  • @barakablessing8958
    @barakablessing8958 Год назад

    Kali sana ongeza juhudi