Jaivah X Marioo - SOUP (Official Video) Feat. Chino Kidd,Scotty London & Ks Hub

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 дек 2024

Комментарии • 2 тыс.

  • @othmanhassan8594
    @othmanhassan8594 Год назад +309

    Naomba like km 100 tu mm mn sjawahi kupata like izo tuanze sasa

  • @kheriofficial3846
    @kheriofficial3846 Год назад +6

    Ukitaka kupata utam wa ngoma hii tia fon au pad kwa sikio lako weka base kidogo ndo utaelewa 💣💥

  • @shabanimatua4971
    @shabanimatua4971 Год назад +15

    Sema huyu dancer alieonekana kweny second ya 50-57 ameupga mwingi knyamaa! Gonga like tujuane waliomuelewa na kurudia kpande chake kama mm!!!

    • @zacky3610
      @zacky3610 Год назад +4

      Uyo jamaa akaja kuvua na shati apoa na jeans yake ya viraka..ametisha Sana aisee ..Kila dakika nkifika sehemu zake lazima nirudie😂

    • @imanlyimo7783
      @imanlyimo7783 Год назад +2

      Nimependa sana huyo jamaa

    • @UgaliDagaa-gu2vp
      @UgaliDagaa-gu2vp Год назад

      Kaua kinyama

  • @madamarapha5169
    @madamarapha5169 Год назад +3

    kaka jaivah we bongo bahati mbaya bongeeeeee la ngoma🔥🔥

  • @BlackKing89-l1u
    @BlackKing89-l1u Год назад +12

    Nilikuwa na wanangu wakinaChinooo tunakula Maandaziii!!!🎶🎼🎶

  • @toney..
    @toney.. Год назад +13

    Uyu dogo alievaa tshrt kijani, crazy jins,bosholi......anajuaa sana naombaa like zakeee 😂😂

    • @petercley6230
      @petercley6230 Год назад

      Anaitwa Afande Mura 😂😂, noma sana

  • @naftalyragwar
    @naftalyragwar Год назад +6

    Marioo atazidi kubarikiwa sanaa hanaa roho mbaya an iron sharpens an iron nakupenda buda bosss King 👑 Marioo
    Dancers 🔥 moto y’a kutokea mbali
    Lastly huyo jamaa wa verse y’a mwisho hio sauti ni very Unique please keep up mob ❤️ from Kenya 🇰🇪

  • @theofficial.takiida_931
    @theofficial.takiida_931 Год назад +13

    Enyewe kusema ukweli Mbuzi kaanguka kwa Muuza supu..WUUEEH.. kama unamkumbali CHINO, JAIVAH & MARIOO .. NIpee LIKES😂😂🔥🔥💥💀💀🎹

  • @salviusmgedzi7672
    @salviusmgedzi7672 Год назад +8

    uchawi wa kasuru huu nomaaaa big up mwanangu Jaiva iyo style uloingia nayo hatari sana very unique

    • @HusseinHaluna
      @HusseinHaluna Год назад

      Kasulu sofyaaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉

  • @kisiaroise2344
    @kisiaroise2344 Год назад +9

    Lazima vibaka watarudi kwa babu. hii kubwa sana. big up Sir Mario

  • @mnyamwezijuma1140
    @mnyamwezijuma1140 Год назад +8

    Weeeee jaiva njani man ho away jealousy man 😅 nakubali mwana kizazi sana bro

  • @kisiaroise2344
    @kisiaroise2344 Год назад +7

    Uganda ndio trending. vibe kwa vibe, pressure kwa pressure zoezi dance

  • @theleading1655
    @theleading1655 11 месяцев назад +5

    Love from Kenya.. The best Marioo and Jaivah song ever... My 1 and a half son can't stop bumping to this song.. Kila asubuhi akiamka kitu cha kwanza ni kutamka, "abah..".. Best lyrics, best track best artists... 🔥 🔥 🔥 🔥

    • @dallsonnamubiru9148
      @dallsonnamubiru9148 11 месяцев назад +1

      1tsuxofihdhfydyyuincncyo60o97hhajj😅.THE BEST

  • @Nitwa08
    @Nitwa08 Год назад +6

    Nilikuwa na wanangu kina Chinoooo... Tumetoka batani, ENHEE
    Dope track🔥

  • @tanaboymbabe7935
    @tanaboymbabe7935 Год назад +3

    Salute home boi bilakuchoka jaah blessed 🙏

  • @alicediko4741
    @alicediko4741 Год назад +5

    Sawa sawa tuko fresh Kampala-Uganda ❤❤❤

  • @__itslighty
    @__itslighty Год назад +5

    Skujua ka ulishamposa ulishamposa ulishamposa ....❤🔥🇹🇿

  • @yohanessmkinga7713
    @yohanessmkinga7713 Год назад +4

    Nyie mbwa mmeuaaaaaaaaa🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @tommyshelbyvevo7856
    @tommyshelbyvevo7856 Год назад +7

    From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Marioo is the next Diamond platnumz on making, his is such a vibe💪

  • @hamzakitete
    @hamzakitete Год назад +6

    jaiva kwa sisi washua tunamjua jamaa talent sanaaaaaaa

  • @therealheyjoshuah
    @therealheyjoshuah Год назад +7

    This is the number one song ya kuchana unaona hapo nilikua na wanangu kina 🎉🎉🎉

  • @AbzHydrated
    @AbzHydrated Год назад +5

    Jaivah & Mario kings 👑 Of Amapiano 🙌

  • @editorlais5185
    @editorlais5185 Год назад +8

    Nilikua na wanangu kina chinooooo
    Tumetoka batani enheeee😄😄😄😄 mmeuaaaaaaaaa

  • @JaydMoses-y2k
    @JaydMoses-y2k Месяц назад +2

    Wale kama mm wa kusikiliza ili kumalizia mwaka wapo kweli ❤ siwaoni

  • @BrianMkama
    @BrianMkama Месяц назад +3

    Kwa kweli, hata Mimi Naona mbuzi alivyomwangukia muuza soup😊

  • @leonvla
    @leonvla Год назад +15

    Love from Russia 🇷🇺 international vibe!

  • @shadrackkipkirui265
    @shadrackkipkirui265 Год назад +29

    Beats and Marioo for me , keep up man African thing 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥✌️✌️

  • @maleek11flacko
    @maleek11flacko Год назад +6

    Jaivah ni mkali aisee🇰🇪❤🦋

  • @Leonard-o2v
    @Leonard-o2v 10 месяцев назад +2

    Ukweli hili song sijawahi kulichoka kwa frash harikatiki big up wajomba👍👍👍

  • @justvictor1958
    @justvictor1958 Год назад +56

    Eeeeeeiiii TANZANIANS are on another level sheeesh

  • @johderrickmkenda4586
    @johderrickmkenda4586 Год назад +8

    sikujua ka ushamposa, ningeshamtosa: the hit is so real,

  • @bonamontana
    @bonamontana 8 месяцев назад +5

    Jaiva✊🍷unyama mweng

  • @Yusufmusana
    @Yusufmusana Год назад +10

    kwanza director hizo shots ni kaliii

  • @kimaronemes5689
    @kimaronemes5689 Месяц назад +7

    Verse ya kwanza ya Marioo ni konyo sana ⚡⚡

  • @bonddondreamzent1055
    @bonddondreamzent1055 Год назад +2

    from kenya nakubali marioo na king kiba hiyo tz nzima..wakiacha muziki mi pia naacha kuskia za huko...alaf anaye mjua huyo msichana mweupe mwambie nampenda anitafute

    • @InnocentAlice-g7j
      @InnocentAlice-g7j 4 месяца назад

      Kibunda kiwepo mademu wabongo bila pesa huwawezi 😅

  • @kelvinopiyo1209
    @kelvinopiyo1209 Год назад +13

    It's always a vibe when Amapiano collaborates with Bongo.

  • @mariajason3547
    @mariajason3547 Год назад +6

    MARIOO rise to the TOP is unstoppable
    And its Inevitable......
    Kila La kheri Marioo kutoka Germany .......Congratulations to this BANGER

  • @selmesaid7405
    @selmesaid7405 Год назад +6

    Kuna dj hii nyimbo aliitafuta apate alau jina ❤ nimeipenda

  • @eliamaguchi10
    @eliamaguchi10 Год назад +1

    Woooow bonge la chupa see you far javiah hafu nataka hii ifike mbali hahah😂😂 like zenu 🇹🇿🇰🇪

  • @laxmajor
    @laxmajor Год назад +1

    Nomaa😍😍

  • @djrecklessdmcofficialdmcdj610
    @djrecklessdmcofficialdmcdj610 10 месяцев назад +5

    BIG RESPECT TO SOUTH AFRICA FOR GIVEN US AMA PIANO !! 🔥🔥🔥

  • @christianmockoy8754
    @christianmockoy8754 Год назад +3

    Oyaaaa weeeeeehh🎉🎉🎉🎉🎉 supu supu supuuu

  • @LionOfficialMusic
    @LionOfficialMusic Год назад +4

    All the Love From Oman 🇴🇲❤️❤️😍

  • @maujanjatzonline4724
    @maujanjatzonline4724 Год назад +1

    Oyawee lakunesa iliapaaa 💥🎧🔊

  • @VeronicaOlesae
    @VeronicaOlesae 9 месяцев назад +3

    Jamani mtaniuwa .... Mario good job 👍👍

  • @tonyalex9646
    @tonyalex9646 Год назад +9

    Naaah!!!, this song f**king Liiit🔥🔥🔥⚡

  • @SuzanVitalis-hj1bx
    @SuzanVitalis-hj1bx Год назад +9

    Kila nikisikiliza hii nyimbo uyu mario sanamu linamuhusu

  • @XanTitle10.
    @XanTitle10. Год назад +5

    Mbona kana namuonaa ,chinoo
    Chino wanna man .. anavojitum kudance au so yeye

  • @blackempire2030
    @blackempire2030 Год назад +9

    Listening from KENYA hii hatari Amapiano

  • @younghustlin5397
    @younghustlin5397 Год назад +5

    Chinooooo !!! The dance moves got me dancing what a hit … Jaivah jaivah !

  • @BrayanMnyone
    @BrayanMnyone 2 месяца назад +4

    Tanzania kuna vibe so mchezo❤

  • @obito7752
    @obito7752 Год назад +5

    Kigoma kipo vizur yan😇🥰🥰🥰🥰😍😍😍

  • @juzelujo2169
    @juzelujo2169 Год назад +17

    Twitter wamefanya nije kusikiliza hii ngoma...maana hata nilikuwa sijui chino ni nani 😂😂😂😂😂😂😂...gonga like kama umeletwa na twitter

  • @Mpita_njia
    @Mpita_njia Год назад +2

    ati mbuzi kaanguka kwa supuuu!!😂😂🤣 amapiano beats laced with mario is pure fire!!!

  • @nassirmohammed2827
    @nassirmohammed2827 11 месяцев назад +7

    Hiiii nyimb9 huyu Jaivah nilikua najua n msauziiii

  • @bestbeatstoreacid
    @bestbeatstoreacid Год назад +5

    Wow, good track 🔥🔥🔥

    • @Kizanda_84
      @Kizanda_84 Год назад +1

      Let's support this another banger 🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗ruclips.net/video/WLa97naM9JM/видео.html

  • @jamalbwabo5739
    @jamalbwabo5739 Год назад +3

    daah! Huyu Producer ana balaa Sound Bar inataka kuchanika... Big Up sana Marioo @ 255

  • @philipojohn7510
    @philipojohn7510 Год назад +4

    Sina salio Bebe imewaka na show.....show kali 💕💕

  • @j.a.l.l.y
    @j.a.l.l.y Год назад +3

    chino wana😅😅😅😅😅Supu supu supu😛😛😛😛unyamwezi kabisa

  • @ArthemondNimubona
    @ArthemondNimubona 8 месяцев назад +5

    Nice song brothers until now. I'm come from Burundi Bujumbura❤❤❤

  • @faridamkumba4399
    @faridamkumba4399 Год назад +7

    Huu wimbo 🙌🙌

  • @williamkavuta8066
    @williamkavuta8066 Год назад +3

    Mario ndo diamond mpya....ana melody nzuri sana...

  • @daetihad-lh2bt
    @daetihad-lh2bt 4 месяца назад +4

    Aweeeh jaivah igama lami gu jaivah

  • @jumakasim8784
    @jumakasim8784 Год назад

    Oya huyo dogo Alie Vaa t-shirt ya kijan anafanya ni rudie kuangalia Kila muda aisee ana baraaa kino 🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥

  • @HumphreySakawa
    @HumphreySakawa Год назад +3

    MARIOOO THE GOAT👊👊🤘KENYAA INAKUPENDAAA BRO👊👊

    • @YoungHamsiq
      @YoungHamsiq Год назад

      Siku Mario atakanyanga Coast 🎉🎉🎉🎉🎉😂😂kitaumana

  • @abibujuma1806
    @abibujuma1806 Год назад +7

    Bonge la vibe awe unjan man go away jealous man😅❤

  • @اجهلكالانفلاتي
    @اجهلكالانفلاتي Год назад +3

    Marioo hana wakumzima mwaka huu💣💥💥💥💥💥💥💥💥

  • @Zedyivy
    @Zedyivy Год назад +3

    Uwi noma ❤

  • @takudzwaannahmanyika631
    @takudzwaannahmanyika631 Год назад +3

    zvakaoma hazvoooo🤗🤗🤗...this thing z a volcanoo ...🌋♦️♦️♥️♥️♥️♥️😍

  • @mymeeabdallah8255
    @mymeeabdallah8255 Год назад +4

    Umetisha javiah best beat la mwaka 🙌

  • @TaslimChinga-td7cb
    @TaslimChinga-td7cb Год назад +14

    Mm naomba lekes10🇧🇮

  • @upendozawadi3824
    @upendozawadi3824 Год назад +5

    Nakupenda marioo❤❤❤

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Год назад +6

    My favourite amapiano song 2023🔥🔥🔥🔥💯

  • @dvjmiloow2955
    @dvjmiloow2955 Год назад +2

    Jaiva we need your EP brother. Unakitu utafika mbali.

  • @bosabobaba7824
    @bosabobaba7824 10 месяцев назад +7

    That one dancer 0:50-0:58🔥🔥

  • @FredOdhiambo-jc5uk
    @FredOdhiambo-jc5uk 6 месяцев назад +14

    They're beating south Africa in their own beat

    • @scottylondonrsa
      @scottylondonrsa 6 месяцев назад

      wdym😂😂

    • @chax255
      @chax255 Месяц назад

      extending SA vibes on the east.

    • @NgasaMaduhu
      @NgasaMaduhu 11 дней назад

      That's not the idea though😅

  • @millymilly7244
    @millymilly7244 Год назад +5

    Mariooooo 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @fahmyisco2912
    @fahmyisco2912 Год назад +3

    Chinno ft marioo mko moto mmetisha sana munajuwa wanyamwez

  • @winifridagama8990
    @winifridagama8990 25 дней назад +2

    Wangapi walidhani Jaivar sio Mtanzania the first time listening to this song🔥🔥🔥

  • @AnifaAbdul-np7tr
    @AnifaAbdul-np7tr Год назад +2

    Ngom kali kinoma sichk kusikiliza😘🔥🔥🔥🔥🔥

  • @AnilJamal-h7e
    @AnilJamal-h7e 7 месяцев назад +6

    Marioo pole pole kaka 🎉🎉🎉😮😮😮

  • @lacassa9017
    @lacassa9017 Год назад +6

    Jaivah this song faaaaiiyaa😷👌👌👌

  • @derricquenana5947
    @derricquenana5947 Год назад +5

    The choreography of bora ni enjoy video is directly linked with this video

  • @tinamweu9964
    @tinamweu9964 Год назад +1

    Mambo mbaya damn😍hizo beats tu🔥🔥❤️❤️

  • @victormickel1429
    @victormickel1429 Год назад +3

    Imefikisha 1M ukuu marioo n fayaaa

  • @ibrahimkaloki-9227
    @ibrahimkaloki-9227 Год назад +4

    Hii ngoma ukiwa jaba unaeza katika yako yote

  • @chapatimix8557
    @chapatimix8557 3 месяца назад +5

    Awee🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @khalla-cmp1021
    @khalla-cmp1021 8 месяцев назад +10

    Where is this guy from?? I’m Nigerian 🇳🇬 and bump his tracks all day

    • @MussaAbel-t9b
      @MussaAbel-t9b 7 месяцев назад +2

      Tanzania🇹🇿

    • @ianjohn502
      @ianjohn502 7 месяцев назад

      kenya🇰🇪

    • @jonhwamaratv
      @jonhwamaratv 6 месяцев назад

      ​@@ianjohn502wakenya mnapenda kujipendekeza😂😂 Nilijua tu

    • @kingsmansforexsociety895
      @kingsmansforexsociety895 4 месяца назад

      go to his bio stop asking like child

    • @Sean1877
      @Sean1877 3 месяца назад

      Tz all day 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @cleavededajao4673
    @cleavededajao4673 Год назад +1

    Hata watu wa S.A watatii hii
    Tanzania saizi ni Marioo, Jay melody then Mondi cones the third

  • @gekyume_utv7277
    @gekyume_utv7277 4 месяца назад +2

    Anuu 🎉🎉🎉🎉🎉 mwanza jama akooo 4 u

  • @beatricetairo2879
    @beatricetairo2879 Год назад +5

    Anu anuuuu nimeamin sasa jaiv ni noma

  • @xharmonyrose
    @xharmonyrose Год назад +7

    wheres the views at???? should be more than this🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mzeno4264
    @mzeno4264 Год назад +4

    Vibes 😮🔥 from Somalia 🇸🇴

  • @AbdiQani-ze3mu
    @AbdiQani-ze3mu 14 дней назад +2

    On fire 🔥🔥😊

  • @johnpaula.k.ajontez431
    @johnpaula.k.ajontez431 Год назад +2

    Bonge la vaibuuuuuuuuuuuu❤❤❤❤❤

  • @McQris006.
    @McQris006. Год назад +8

    Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.Likes zikuje banaa hii ni hit.💯🙌

  • @peterdarlington6599
    @peterdarlington6599 Год назад +5

    JAIVA 🔥🔥🔥🔥

  • @shafiirajabu4521
    @shafiirajabu4521 Год назад +6

    One of the best bang song in Tz

  • @JOHN-b9x4r
    @JOHN-b9x4r 4 месяца назад +2

    Daaaaaah ❤❤❤❤

  • @officialdanwilafrika
    @officialdanwilafrika Год назад +3

    Me nakubali hii track daaamn💥💥